Allahu aqbaru mm mwenyewe nishahidi ktk hili anaro zungumza sheikh wetu ukimtegemea Allah hakuachi hata sekunde Allah atujaalie sisi waumini na ma sheikh wetu na mahaasin tv tuwe wenye kumtegemea Allah ukweli wa kumtegemea inshaallah
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
Swadakta Amin in shaa Allah kher
@zulfahhussein5054 жыл бұрын
MashaAllaah nasah zuri sanaa Shukran wa JazakaAllaah kheyran ya Sheikh Yaani twafaidika sanaa kwakweli kupitia hii Chanel
@wiziydully56213 жыл бұрын
Napenda kuskiliza maneno yako yananivutia kila siku sichoki kuangalia Allah akuhifadhi shekh Hamza uzidi kutupa darasa wallah
@wiziydully56213 жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekh Hamza moonsor unatupa darasa
@hassanawale35764 жыл бұрын
Jazakallah kheir
@abdulazizomary17624 жыл бұрын
Mashaahlla ahsante sana shehe kwa ujumbe wako
@musaissa19363 жыл бұрын
Tumshukuru Allah kwa kutupa dini ya haki na tuwaombea mashiek wetu wawe wakitumikia dini kwa kila hali
@minaminaa16694 жыл бұрын
Allah akujaalie maisha mema marefu sheikh pamoja na mashekh wa MAHAASIN TV Allahumma Amiin
@ukhtysakinaa76644 жыл бұрын
Amiin
@minaminaa16694 жыл бұрын
@@ukhtysakinaa7664 Thumma AMIIN
@mtotomzuri5794 жыл бұрын
Ma sha Allah mashaAllah Allah akulipe kher kpenz chetu 👏
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
ماشاء الله Allah akulipe kheri sheikh
@ukhtysakinaa76644 жыл бұрын
Allahumma amiin
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
@@ukhtysakinaa7664 Thumma amin
@sanoureyaliwadoakaroyo16962 жыл бұрын
Uyuu Sheikh Nasoro Na sheikh Mauba Nawapenda sna jmn
@heyumi23403 жыл бұрын
Maashaallah maashaallah shekhe
@neemainabikorwa55704 жыл бұрын
Shukran
@leticiamashaallah20814 жыл бұрын
Masha allah sheikh wetu
@swalehmwamba13413 жыл бұрын
SHUKRAN
@muhidiniabdulrazaq60054 жыл бұрын
.aasha Allah Asante kwa ukumbusho sheikh wetu
@luqash_luqman97444 жыл бұрын
Allah ukbar 😭🙏
@nurdeensamri81973 жыл бұрын
Mashaallah!
@mumrizikchite15442 жыл бұрын
Allah akuhifadhi zana sheikh wetu
@wiziydully56213 жыл бұрын
Subhanallah jaazakallah kheri
@migogelemkude74154 жыл бұрын
mashaa llah
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
Swadakta sheikh Allah ndio aliotuumba na yy ndio kilakitu.Mmpaka raha kukusikiliza sichoki
@abduliabdallah61514 жыл бұрын
Hakika zayyati yusufu Allah ndio kila kitu katika maisha yetu hapa duniani na huko tuendapo baada ya maisha ya dunia Allah atuongoze inshaallah
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
@@abduliabdallah6151 Amin kwa sote mashaallah mawaidha yana mafuzo mazuri sana naninampongeza sana mwenye hii channal Allah amlipe kheri fidunia wali akhera kwa kuturushia mawaisha kwani tunafaidika sana
@abduliabdallah61514 жыл бұрын
Twapata faida sana kwa hii channel tunasafisha nyoyo kwakweli
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
@@abduliabdallah6151 na hususani tulioko mbali na makwetu ndio kabisa tunaona kama tupo ndani ya darasa upweke unaondoka kabisa faraji inatawala ndani ya nafsi zetu