Sheikh mansoor Allah atakulipa juu ya nasaha zinazoiginga nyoyo daah!! Waniliza kwa nasaha kali
@lussewaclassic61882 жыл бұрын
Allah akukipe kheri sana Mansoor imani inaongezeka kila nikisikiliza maudhui yako
@mbkbabalao24884 жыл бұрын
Allah atuongoze Katika njia ilionyooka😭
@hasanchuma31433 жыл бұрын
Aamin
@naamohamed99644 жыл бұрын
Allah atuongoze
@muzdalifathajyali3494 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah Allah awaongoze mashekh wa mahasin tv
@mwajumamajaliwa18902 жыл бұрын
Nasi pia allah atuongoze tufate matendo ya mtume Muhammad swa alyh wassalam
@user-rf5nr8un4h8 ай бұрын
Jazakillhah khairaa sheik Wang
@hamisjuma23662 жыл бұрын
Allah akulipe akuongoze njia iriyo sahihi akuepushe na Moto wa jahnam tuseme ishaallah
@ayshermursally50696 ай бұрын
Masha Allah shekh nakupend kw ajili ya Allah, Allah akuhifadh na atuhifadh
@fatmehfaraj51883 жыл бұрын
Allah akupe maisha mema na umri mrefu wa kutu elimisha na kutusaidia kujua dini yetu.Allah atujaalie tuwe wenye kufanya mema na kuacha maovu.
@user-kv4gw7gz1w9 ай бұрын
Subhanallah
@muhidiniabdulrazaq60054 жыл бұрын
Allahuma jaalni khusnil khatima
@sephunaombakulizaishuyacha73102 жыл бұрын
ALLAH akulipe sheihk kwa mawaidha mazuri sheihk
@swabraathmani7061 Жыл бұрын
jazakillhah khairaa ostadh wang
@ayunramadhan31045 жыл бұрын
Subhannallah
@husseinramadhan56404 жыл бұрын
Allah atujaalie mwisho mwema
@aliabdi7542 Жыл бұрын
Ma Sha Allah
@allykidonga2363 жыл бұрын
Sheikh tunashukuru na mawaidha mazuri mawaidha yanatufunza
@mwikyakyalo73222 жыл бұрын
😥😥😥😥😭😭😭😭😭 Allah atusaidie .. Sisi ni udongo ...tutarudi kwa Allah 😭😭😭😭
@user-rk5ld2ny6l7 ай бұрын
Mungu akuzidishie
@ibrahimmaskini29675 жыл бұрын
Allah awaongoze mahasin tv
@ibrahimmaskini29675 жыл бұрын
i need this clip in my phone day to day phone number whatsapp 0672678900
@bakarihassan8512 жыл бұрын
😭😭😭Allah tuongee 🤲🤲
@omaraziz63863 жыл бұрын
Allah akuingize ktk pepo ya aljannatul firdaus
@iddiinsperationaltv84953 жыл бұрын
الله اكبر
@salimmohamed6945 жыл бұрын
Sheikh allah akuweke
@kibelaame51784 жыл бұрын
mashaallah
@wizzoally83545 жыл бұрын
mashllah
@sephunaombakulizaishuyacha73102 жыл бұрын
Allah akupe mlimlefu sheihk
@haidaromar20794 жыл бұрын
Masha Allah Alla sw akulip ustadh
@amyinakhalifa3314 жыл бұрын
سبحان الله hakika mawaidha ni mazito mnoo
@skanjureni82942 жыл бұрын
Mashallahh
@o.aniomani94774 жыл бұрын
😪Allah. AkibLu😭
@ramadhanjamali42565 жыл бұрын
Mashaallah
@osmanowino78123 жыл бұрын
🤲🤲🤲
@naamohamed99643 жыл бұрын
😢😢😢
@oparetionmaalum90304 жыл бұрын
Kwakweli ni faraja kua na mahasin tv dawa mpaka kiyama
@nasrakhamis61314 жыл бұрын
Yaarabi tuepushe naazabu ya kabur
@sulemanissa54884 жыл бұрын
Yani huyu sheghe maneno yake na saut yake huwa yananifanya natokwa na machozi
@abdallahwambuya88575 жыл бұрын
Sasa hivi mnatuwekea clip fupi
@sidemlulu31015 жыл бұрын
Nn ambacho hujaelew ndugu!!!
@soudmoshmnyika58135 жыл бұрын
Asallam Allaykum Warahmatullahi Wabarakatuhu Ndugu zanguni katika Imani , Leo hii nikwamba watu wanashidwa kusikiliza mawaidha marefu wakihisi yanawachosha, wakaonelea walete clip fupi ambazo hata mvivu anweza akaangalia, na ujumbe ukawa umefika bila wasiwasi, yapo maneno ambayo yanasema "maneno yaliyo mazuri niyale mafupi na yenye kueleweka"