Sheikh Hamza Mansoor - Uharamu wa MUZIKI na FITNA zake

  Рет қаралды 116,239

MAHAASIN TV SHORT CLIPS

MAHAASIN TV SHORT CLIPS

Күн бұрын

Пікірлер: 77
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 6 жыл бұрын
Shukran sana sheikh kwa kutuelimisha Allah akujalie umri wenye afya njema uzidi kutuelimisha
@MariamMbaruk-rk3vj
@MariamMbaruk-rk3vj 4 ай бұрын
Shukran shk Allah akujalie umri mrefu
@khalefhamad7243
@khalefhamad7243 4 жыл бұрын
Shuqran Sana Sheikh Hamza Mansour Allah (S.W) atujaalie mwisho mwema.
@abdxmd_t2414
@abdxmd_t2414 2 жыл бұрын
Shukran sheikh hamza Mansoor Allah akuzidishie umetuelimisha ssi na wengineo wenye walikua wamepotea. Allah akupe afya njema na akuzidishie miaka zko uendelee kutuelimisha❤️
@ftyaly2842
@ftyaly2842 3 жыл бұрын
Shukran kwa kutuelimisha shekh jazaka llahul khaira
@efremmjema5763
@efremmjema5763 4 жыл бұрын
Allah awepe umli mrefu wenye manufaa
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 6 жыл бұрын
Shukran masheikh wote kwa ujumla Allah awalipeni kheri fidunia waliakhera
@abuurajabu3656
@abuurajabu3656 4 жыл бұрын
Mbo
@larkiilarka2822
@larkiilarka2822 5 жыл бұрын
Shukran shk Wetu Allahu Barik
@ramseyramazani9120
@ramseyramazani9120 5 жыл бұрын
Allaah awalipeni kila la kheri ma sheikh wetu kwa kutuelimisha
@ozairsaid8304
@ozairsaid8304 5 жыл бұрын
MashaAllah Allah akulipen kila la kheir masheikh wetu
@alinoorabdi2440
@alinoorabdi2440 5 жыл бұрын
Allah awalipe na pepo in shaa Allah ustadh mumetuelimisha
@aminaally2029
@aminaally2029 6 жыл бұрын
Subhana Allah,, Jazakallahu kheira
@Msakatonge23
@Msakatonge23 Жыл бұрын
Kwenye harusi apo napo ndipo shekhe mungu akulipe kheri amin❤❤❤
@سعدالمنجي
@سعدالمنجي 5 жыл бұрын
Shukran kwa ukumbusho allah akulipe kheur duniani wal akhera inshaallah
@huseniyahaya7485
@huseniyahaya7485 6 жыл бұрын
Thanks ustadh mungu awepo nawe naakuongoze inshaall
@kimayaTv12
@kimayaTv12 4 жыл бұрын
ALLAH AWAPE UMLI MREFU
@salimomary1922
@salimomary1922 3 жыл бұрын
Allah akuhifadhi ujumbe utafika shekh
@khadijashungu7140
@khadijashungu7140 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah akujalie kheri 🤲🤲
@abdimalikmoha310
@abdimalikmoha310 5 жыл бұрын
JazakAllahkheir ya sheikh
@nusralilobwa4752
@nusralilobwa4752 6 жыл бұрын
Jazzaka Allahu khayra
@murshidarumi4917
@murshidarumi4917 5 жыл бұрын
Ma sha Allah... Well said Sheikh
@vanilla7863
@vanilla7863 2 жыл бұрын
Mashallah nakupenda Kwa ajili ya Allah
@abdinuur427
@abdinuur427 4 жыл бұрын
Jazakumu Allah kheiran Akhi. Mola atuongoze sote Waislamu tunapotea kwa injia ya haki na hiyo ni kufuata mnendo na mafundisho Mtume (s/w/s) . Tumechukulia dini ni kutimiza ibada pekee bali tunatakiwa vitendo vyetu yote yawe yameambatana na dini yetu. Lakini tujiangalilie sisi leo tunaishi kwa kuigiza au tunaishi maisha isio ambatana na uislamu. Tuamrishane mema na tukatazane mauvu na tujiulize mbona leo dunia mzima imekuwa na Janga la Corona ni sababu ya yale maovu tunayoyatenda tutubu kwa Mola wetu swt. Wasalam Aleykum.
@nishimwefatmasiradji2945
@nishimwefatmasiradji2945 6 жыл бұрын
MashaAllah djazakirah khaira
@minaminaa1669
@minaminaa1669 5 жыл бұрын
BarakaAllah Fiykum shekh
@noreenalriyam2892
@noreenalriyam2892 5 жыл бұрын
Subhana Allah
@mamaside1707
@mamaside1707 3 жыл бұрын
Mashaalla
@mohamedathuman4107
@mohamedathuman4107 6 жыл бұрын
Jazakallahu khaira
@hamzasafiabuu6451
@hamzasafiabuu6451 3 жыл бұрын
Shekh Allah akuhifadh qalima nzr Ila hao wanao kurikodi na kukutuma Wewe na mashekh wenzako muongee kuwatahadharisha kuwa watowe hako kamlio wkat mnapo ongea Waache maneno makavu Hio ni ktk moja ya ala ZA miziki ambayo umegusia Hapo Kwhio vzr wtowe kubaki maneno tu haina haja kutia hvyo Ili kusikitisha Yatosha maneno ya Allah na mtume wake صلى الله عليه وسلم...
@HusseinAli-ou1ij
@HusseinAli-ou1ij 2 жыл бұрын
Instruments ndio Makatazo. Ila huo sio mziki kwasababu hamna instruments. Vinanda, mabiti na upuuzi mwengine
@jumiimbonde5445
@jumiimbonde5445 4 жыл бұрын
Allah akuzidishie kheir
@hassanawale3576
@hassanawale3576 4 жыл бұрын
Jazakallah kheir
@adhabuabdu2618
@adhabuabdu2618 2 жыл бұрын
Allaah akulipen kwa kutuelimisha
@pab7216
@pab7216 4 жыл бұрын
قال الله تعالى ( واستفزز من استطعت منهم بصوتك.....)
@halima2549
@halima2549 3 жыл бұрын
Allah atuepushe na sauti yake sheitwan
@musahemedi6027
@musahemedi6027 5 жыл бұрын
Hamza mansoor huko sahihi sheikh
@abuubakarathman2829
@abuubakarathman2829 6 жыл бұрын
Shekhe hamza ypo
@abuuswidiq9391
@abuuswidiq9391 4 жыл бұрын
Allah akuzidishie
@ummyzee6247
@ummyzee6247 4 жыл бұрын
Shukran jazeelaah sheikh
@nusuraismail6767
@nusuraismail6767 4 жыл бұрын
Shukran jazka llahu likhaira
@ibrahimmaskini2967
@ibrahimmaskini2967 6 жыл бұрын
jamii imepotea jamii inajipotesha wenyew kwa kuiga mambo tusiyoyajua
@abdiimran176
@abdiimran176 4 жыл бұрын
Mungu akubariki ustadh
@bakarhemedbakarhemed291
@bakarhemedbakarhemed291 4 жыл бұрын
Allahumma ammy
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 4 жыл бұрын
MASHALLAH
@sabrinahamis1932
@sabrinahamis1932 6 жыл бұрын
amiin ya rabby
@hudhayfasalim3362
@hudhayfasalim3362 3 жыл бұрын
daawa nzuri sana
@fatmahmlumba8978
@fatmahmlumba8978 4 жыл бұрын
Jazakallah kher
@princedan9228
@princedan9228 4 жыл бұрын
Allah awajalie burewi WA afya
@hellymbuyambuya3908
@hellymbuyambuya3908 3 жыл бұрын
Ishaanllah
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 6 жыл бұрын
Ahsante
@NuryaMusa
@NuryaMusa 3 ай бұрын
Nanyie mahzibi achaneni na anasheed 2:18
@shamteomary6794
@shamteomary6794 4 жыл бұрын
Shukulan shekh
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 5 жыл бұрын
Subhanallah
@luqmanjumanne4667
@luqmanjumanne4667 4 жыл бұрын
Shukraan sanaa
@allyomari2579
@allyomari2579 4 жыл бұрын
ALLAHU akbar
@Ali-dv7ds
@Ali-dv7ds 6 ай бұрын
Shurkan sheikh
@salimmohamed694
@salimmohamed694 6 жыл бұрын
سُبحَنَللّٰه 😰😰😰😰
@ramadhanabdalla3042
@ramadhanabdalla3042 3 жыл бұрын
Machala
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 5 жыл бұрын
Nikweli kabisaa
@mohafaty8565
@mohafaty8565 3 жыл бұрын
shukran
@jayomarion8183
@jayomarion8183 3 жыл бұрын
Asante sheikh kwa fatwa yako ila mm swali langu ni je ni upi uharamu wa muziki ni upi..? Na je qasida ni halali..?
@OmaryAllyMsati
@OmaryAllyMsati Ай бұрын
Sasa akhy mbona Luna vinanda vyaskika yani wakemea mzki alafu kwa mbali twaskia kinanda na manung'uniko ya MTU hii ikoje😢😢😢
@mwinyistsuleyman9547
@mwinyistsuleyman9547 4 жыл бұрын
Inshallah
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 2 жыл бұрын
Sasa mbona na nyinyi mumeanza na nyimbo???
@haridnjohole7600
@haridnjohole7600 4 жыл бұрын
Shekhe unaongea vzr sana ila bado kuna background music au hiyo sio nyimbo au ni nyimbo gan zilizokatazwa?
@hamzasafiabuu6451
@hamzasafiabuu6451 3 жыл бұрын
Hio pia ni nyimbo inayolia wakt akizungumza Ni miongoni mwa ala ZA miziki Wanatakiwa hawa mashekh wa chanel hii Wawaaambie hao wanao warikod na kuwatuma wabakishe maneno makavu haina haja ya hvyo vimlio Mtu kam hayajamtosha maneno ya Allah na mtume Hata hako kamlio hakito mtosha.
@shabankayumbo1933
@shabankayumbo1933 4 жыл бұрын
Sub hanallah,
@mohamedally6450
@mohamedally6450 2 жыл бұрын
sin tu chakukuambia kikalingana navile navyo kupend shrkhe mansoro
@husseingulam996
@husseingulam996 5 жыл бұрын
Shukraan
@islamoluu6574
@islamoluu6574 5 жыл бұрын
Hussein Gulam Asalam aleikom
@hoseamasumbuko1436
@hoseamasumbuko1436 4 жыл бұрын
Hakika dunia imekwisha
@muhuzarhamad634
@muhuzarhamad634 2 жыл бұрын
Mawaidha
@saidlucas1216
@saidlucas1216 3 жыл бұрын
😭😭
@akidashekue163
@akidashekue163 4 ай бұрын
Kupiga dufu na Nai ni haramu
@jaydensancho74
@jaydensancho74 2 жыл бұрын
Unafanya vyema ingawa mm n christian lakini napenda unavyo Saudi watu
@ramseyramazani9120
@ramseyramazani9120 5 жыл бұрын
Allaah awalipeni kila la kheri ma sheikh wetu kwa kutuelimisha
Sheikh Hamza Mansoor - Tuwe ni wenye Kusema Ukweli
3:45
MAHAASIN TV SHORT CLIPS
Рет қаралды 44 М.
Sheikh Hamza Mansoor - Sababu za Kufaulu ni kuwa na Msimamo
41:33
Mahaasin Tv Official Channel
Рет қаралды 218 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Sheikh Hamza Mansoor - Tujiweke mbali na Unafiq
4:18
MAHAASIN TV SHORT CLIPS
Рет қаралды 43 М.
NI UPI UHARAMU KUCHEZA NA KUANGALIA MPIRA
8:02
IQRAAMA Online Tv
Рет қаралды 7 М.
UHARAMU WA NYIMBO NA MUZIKI. SHEIKH KISHK.
56:18
Kishki Online TV
Рет қаралды 36 М.
IOGOPE MAHAKAMA YA ALLAH, SHEYKH HAMZA MANSOOR
39:17
Al-hidayah online tv
Рет қаралды 22 М.
NINI HUKUMU YA MTU ANAEMUOA MWANAMKE ALIYEZINI NAE
3:04
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 183 М.
RAIS ALIYEGAWA MALI KWA WANANCHI WAKE.
3:49
IQRAAMA Online Tv
Рет қаралды 2,5 М.
Sheikh Hamza Mansoor - Jinsi ya kupata Mwisho Mwema
4:15
MAHAASIN TV SHORT CLIPS
Рет қаралды 62 М.
ASILI YA KILA KHERI NI KUWA NA HOFU YA ALLAH. SHEYKH; HAMZA MANSOOR
48:04
Al-hidayah online tv
Рет қаралды 15 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН