No video

NINI HUKUMU YA MTU ANAEMUOA MWANAMKE ALIYEZINI NAE

  Рет қаралды 120,275

Madrasatulfurqani Tv

Madrasatulfurqani Tv

Күн бұрын

KISA CHA DACTARI WA KIJERUMANI NA MSOMI WA KIISLAMU
• KISA CHA DACTARI WA KI...
HAYA WAMEYAZUSHA KATIKA MAZISHI KWA MASLAHI YAO.SHEKHE NASSORO BACHU
• HAYA WAMEYAZUSHA KATIK...
WAPI MTUME KAYAFUNDISHA HAYA
• HUU NI UZUSHI
Muumini hapa duniani hana muda wa kupoteza hapa duniani SHEKHE SULEIMANI KILEMILE
• Muumini hapa duniani h...
HII NDIO HASARA WANAYOPATA WANAWAKE WENGI LEO KATIKA NDOA
• HII NDIO HASARA WANAYO...
MAZINGE NA MCHUNGAJI
• MAZINGE NA MCHUNGAJI
TAFSIRI SURATUL MAAIDAH SHEKHE MSELEUMU BIN ALI
• TAFSIRI SURATUL MAAIDA...
TAFSIRI SURATUL MAAIDAH SHEKHE MSELEUMU BIN ALI
• TAFSIRI SURATUL MAAIDA...
MWENYE AKILI HUZINGATIA HAYA. SHEKHE MSELEMU BIN ALI
• MWENYE AKILI HUZINGATI...
MWANAMKE AMBAYE MZAZI WAKE AMESAMEHEWA DHAMBI ZAKE KWA KUMTII MUME WAKE SHEKHE MSELEMU BIN ALI
• MWANAMKE AMBAYE MZAZI ...
TAFSIRI SURATU TAKUWIR AYA YA 15 SHEIJH MSELEMU BIN ALI
• TAFSIRI SURATU TAKUWIR...
WATU AMBAYO WANAONDOKA MATUPU KWENYE SWALA ZAO SHEKHE NASSORO BACHU
• #WATU AMBAYO WANAONDOK...
MAPASTA WAOMBA POO MBELE YA MAZINGE KWENYE MDAHALO
• MAPASTA WAOMBA POO MBE...

Пікірлер: 118
@user-ni6qv2zn2q
@user-ni6qv2zn2q 5 ай бұрын
Anaeamini Sheikh yupo sahihi gonga like
@jumakumala1337
@jumakumala1337 7 ай бұрын
ALLAH AMLIPE JANNATUL FRIDAUSI SHEIKH WETU NA MJALIE BARURI YAKE IWE BUSTANI MIONGONI MWA BUSTANI ZA PEPONI AMIIN
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 7 ай бұрын
aamin
@naamanomarimohamed9364
@naamanomarimohamed9364 7 ай бұрын
Amin Thuma Amin
@abouswaleh7375
@abouswaleh7375 7 ай бұрын
Amiiiiiiiiiiin Amiiiiiiiiiiin
@issaissa6711
@issaissa6711 7 ай бұрын
Ameen...
@ibrataxidriverzanzibar2158
@ibrataxidriverzanzibar2158 7 ай бұрын
Amiin
@sadahmakshnada4503
@sadahmakshnada4503 7 ай бұрын
Allahumma ghfirlahu war ham huu Sheikh Nassor Bachu
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 7 ай бұрын
Sheikh Nassor Abdallah Bachu ... ❤ ... Allah amrahamu
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 7 ай бұрын
aamin
@asilahassan9965
@asilahassan9965 Ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin allhuma amin
@suleim505
@suleim505 7 ай бұрын
ALLAH AKUREHEMU KWA KAZI KUBWA, MZURI ULIYOIFANYA KATIKA WAJIBUWAKO HAPA ULIMWENGUNI.
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 7 ай бұрын
aamin
@asilahassan9965
@asilahassan9965 Ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin allhuma amin kwa sote
@HasanShake-m6k
@HasanShake-m6k Ай бұрын
Mashallah mungu akurehemu
@barkanassir2528
@barkanassir2528 6 ай бұрын
Ustadh bora uwailimishe wengi hawayajui hayo. Shukran sanaa Allahu barik
@user-tx6rs9tj7x
@user-tx6rs9tj7x 4 ай бұрын
MashAllah,,sheikh,,shukrani kweli umeyafunguwa masikio ya wengi,,jazzakaAllah khair
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 4 ай бұрын
aamin
@shukurukoll7269
@shukurukoll7269 6 ай бұрын
Allah SW ni Mwingi wa kusamehe. Ni mjuzi wa wajuzi .
@omaryoussuphbilali9486
@omaryoussuphbilali9486 6 ай бұрын
Allah amsamehe makosa yake nampenda mnoo Kwa ajili ya Allah
@asilahassan9965
@asilahassan9965 Ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin allhuma amin kwa sote
@Ummusajdah
@Ummusajdah 7 ай бұрын
Hakika ya harali ipo wazi na haramu ipo wazi mengine tunamuachia Allah
@jumakitadu8674
@jumakitadu8674 6 ай бұрын
NAKUPENDA mpaka naumwa!!❤️❤️❤️❤️
@JumaNyange-tz8pi
@JumaNyange-tz8pi 7 ай бұрын
Ambaye hajamuelewa sheikh Bacho hawezi kuelewa tena
@asilahassan9965
@asilahassan9965 Ай бұрын
Sn
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 7 ай бұрын
Allah akujaalie jannah ❤
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 7 ай бұрын
aamin
@allysaidi-uy9rm
@allysaidi-uy9rm 7 ай бұрын
Mwenyezi mungu amrehemu
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 7 ай бұрын
aamin
@mesaidikazungu4299
@mesaidikazungu4299 7 ай бұрын
Allah amlaze mahali pema peponi.
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 7 ай бұрын
aamin
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 7 ай бұрын
Mashaallah Allah Amrehem sheikh
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 7 ай бұрын
aamin
@user-kf6wy8gs1s
@user-kf6wy8gs1s 6 ай бұрын
اللهم غفرله ورحمه
@jiongezeemaarifa1496
@jiongezeemaarifa1496 7 ай бұрын
Maa Shaa Allah Sheikh Nassor Bachu nimeshangaa hapa jibu alilotoa kuhusu swali hili ni tofauti kabisa na jibu Alilotoa mwanafunzi wake mpenzi Sheikh Mselem kuhusiana na kadhia hii lakini wote wawili wako Sahihi Alhamdulillah....
@gharibaltiwany8165
@gharibaltiwany8165 7 ай бұрын
Hawezi kua sahihi wote huyu kateleza
@jumakingambe4323
@jumakingambe4323 6 ай бұрын
@@gharibaltiwany8165 ALIYETELEZA NI NANI ???
@laja2950
@laja2950 7 ай бұрын
(ALLAH) ampe nuru qabur kwake na amuingiz pepon bila ya jesabu bi maan ameach elimu yenye manufaa mashallah Hakik na ss tulobak tuige na tutend matend mema ili tupate kikumbukwa kweny khery
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 7 ай бұрын
AAMIN
@SaidCheka
@SaidCheka 5 ай бұрын
Allah amlipe kher sheikh we2
@zainabuyassini3095
@zainabuyassini3095 6 ай бұрын
Wanaume wema ni Kwaajili ya wanawake wema na Wana wake wema ni Kwaajili ya wanaume wema.
@sharifamgumiro-zs4ph
@sharifamgumiro-zs4ph 6 ай бұрын
Oooooooh Masha Allah 🙏
@sharifamgumiro-zs4ph
@sharifamgumiro-zs4ph 6 ай бұрын
Mwanaum mzinif hamuoi ila mwanamk mzinf au mwanamk mshirkina na mwanamk mzinif haolewi ila na mwanaum mzinif au mshirikina na hay yameharamshwa kwa waumin
@SaidCheka
@SaidCheka 4 ай бұрын
Nikweli kabsa Allah a2hifadhi
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 7 ай бұрын
Wallah amekufa laakin yupo hai kwa kweli...Gwiji la fiqhi huyu
@user-dl8nj6wi2v
@user-dl8nj6wi2v 6 ай бұрын
Mungu akuingize peponi sheikh wetu
@habibabdallah8378
@habibabdallah8378 4 ай бұрын
Amiiin
@feisaldesign4156
@feisaldesign4156 7 ай бұрын
Allahuma Amin
@maryamanalisi197
@maryamanalisi197 5 ай бұрын
Maa shaa allah ❤
@user-me1zm6ck6n
@user-me1zm6ck6n 5 ай бұрын
mashaallah allah akurehem akup kaul thabit
@mussakisope7207
@mussakisope7207 4 ай бұрын
Allah subuhanahu wataala ampe kauli thabiti
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 3 ай бұрын
aamin
@naamanomarimohamed9364
@naamanomarimohamed9364 7 ай бұрын
Amin Thuma Amin
@KhamisHaroub-uj5ci
@KhamisHaroub-uj5ci 4 ай бұрын
Mtu na nusu kabisa ❤❤❤
@user-xl2fz2nu8t
@user-xl2fz2nu8t 7 ай бұрын
Naam
@user-gc5dh2mp6i
@user-gc5dh2mp6i 6 ай бұрын
Rahimahu llahu
@SalehMilulu-ks9zd
@SalehMilulu-ks9zd 2 ай бұрын
Allah atupe muongozo na mwisho mwema
@rosemaryalexander8088
@rosemaryalexander8088 4 ай бұрын
Allah amrehemu
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 3 ай бұрын
aamin
@abdallahjambia6596
@abdallahjambia6596 7 ай бұрын
Maashallah
@Ummusajdah
@Ummusajdah 7 ай бұрын
Jamani toba ya wanazinaa ni kuwatenganisha watubie wasionane kwa sasa eti ni kuwaozesha mashekh tunashindwa kuwaelewa lkn uwazi upo ktk surat nur zinaa ni haramu sio halali jamani mselem nilimuelewa sana jmn
@naadhiradam
@naadhiradam 6 ай бұрын
Kumbuka kakwambia mwanzo kua hii ni ikhtilafi ya maulamaa yeye katoa kwa mujibu wa mtazamo wake na mselem alitoa kwa mijibu wa mtazamo wake wote wapo sawa maana inapokuja ikhtilafi kwa maulamaa we angalia wapi unahisi ndo sawa halafu fata lkn sio kwa mujibu wa matamanio yako la!
@Ummusajdah
@Ummusajdah 6 ай бұрын
Amesema mtume wa Allah rehma na amani ziwe juu yake watakuwepo watu ktk umma wake wataharalisha zinaa na khalila na miziki sasa tunasubili siku ya mwisho tu mengine ndo haya kila shekh na mtazamo wake
@sammarley1413
@sammarley1413 6 ай бұрын
Unayo Aya isemayo hivo ? Naomba nisaidie please
@SurprisedOmbreSky-qg6dk
@SurprisedOmbreSky-qg6dk 6 ай бұрын
Mie naona Rai ya mselemu ni Bora
@salmakwayu3951
@salmakwayu3951 7 ай бұрын
Allah amsamehe madhambi yake
@aliwakokono
@aliwakokono 2 ай бұрын
Vv 0:35 😮
@Ummusajdah
@Ummusajdah 7 ай бұрын
Mtume alosema ktk umma wake yashatokea zinaa itakuwa harali ndo itakuwa jmn Allah atuifadhi
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 ай бұрын
Kawaida ya mwanamke uliezini nae ni vigumu kumuowa na hatakama utamuowa basi mutakuwa hamuaminiyani Kila mmoja hamuamini mwenzake ! Na kama kaweza kukupa mwili wake wewe ukastarehe nae kabla ya kumuowaa ata shidwa kuwapa wanaume wengine wanje! 😢
@otrishxavi8350
@otrishxavi8350 7 ай бұрын
Anaweza akawa alistarehe na ww kwa kukupenda sababu ungekukataa msingekuwa karibu,hii dunia ina majaribu ww sheikh ombeni toba kisha muoe halafu wote mrudieni mungu atawasamehe na kuwapa kizazi bora na msirudie madhambi kama hayo tena
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 ай бұрын
Leo maasi yameenea na uzinifu umeenea Kila konaa sababu ni masheikh ndio wanaosababisha watu waziini Kwa kutoa fatwa za kuhalalisha ndoa za uzinifu ndio maana Leo waislamu wamekuwa hawana khofu na uzinifu wanazini kisha wanaowana 😭 hatuna utofauti na makafiri maana makafiri huzini kisha wakaowana 😭 sheikh Ambae anaemuogopa Allah basi wallah hawezi kuhalalisha ndoa za uzinifu hata siku Moja na kama kisingiziyo umeshamchezea na kumuingilia mtoto wa watu ataolewa na nani ! Hiyoo ni hoja ya kipumbavu Kwa sababu kama kweli unampenda Binti wa watu na unamalengo nae basi wallah husubutu kuzini nae kabla ya kumuowa ila Kwa vile masheikh wanawasapoti wazinifu na wanahalalisha baada ya kufanya uchafu wa zinaa waowane ndio maana watu Leo wanazini Wala khofu hawana yoyote ileee
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 ай бұрын
Uzinifu Leo umekuwa ni jambo la kawaida na ndio maana hukimbiliaa kuowaana baada ya kufanya machafu ili kujihalishia ,tunazidanganya nafsi zetu sana na Wala hiyoo sio tobaa tobaa ni kutengana nae na kujutiaa Kwa ulicho kifanya ,kama ndoa ni jambo la halali basi kwanni utangulize zinaaa kisha ndoaa ? Hiyoo sio ndoaa ambayo Allah s.w anayoikubali
@AbdallahMasoud-bp6hz
@AbdallahMasoud-bp6hz 7 ай бұрын
Swadakta habib!!!
@user-ng5dr7mn1d
@user-ng5dr7mn1d 7 ай бұрын
upo sahihi kaka mia kwenye mia
@afropanorama4730
@afropanorama4730 6 ай бұрын
takbir
@bablasbulludozer-be3ww
@bablasbulludozer-be3ww 7 ай бұрын
Haifai hukum ya hao kama hawajaolewa wala kuowa mikwaju 100 bila huruma na watenganishwe miji walio owa au kuolewa mawe shimoni mpaka afe ukizini na mwamke sihalali yako umemgeuza kuwa haramu yako vp umuoe haifai
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 7 ай бұрын
Katika suratu nuur ALLAH amesema{{Mzinifu wa kiume hamuoi ila Mzinifu wa Kike na Limeharamishwa hilo kwa waumini}}
@abdab8466
@abdab8466 6 ай бұрын
Babla sheria ya kupigana mikwaju Mia mpaka utawala uwe ni wa uislamu,
@abdab8466
@abdab8466 6 ай бұрын
Mi niamuunga Rai ya marhemu,hamna zaidi ya quran ilivoeleza alkhabithina lil khabiithati
@abdab8466
@abdab8466 6 ай бұрын
Alafu mpaka uje upigwe mikwaju ushahidi ni mpaka mtu ameona dhakari ikiingia kwenye tupu ya mwanamke,sheria za kislaamu haziibatishwi
@abdab8466
@abdab8466 6 ай бұрын
Nambie utaona vipi dhakari ikiingia,labda iwe Wana act cinema chafu
@siti3197
@siti3197 5 ай бұрын
Sasa shekh ,, km mtu hmekuaribia n umezaa nae ,, n hila kukuowa ndio tabu jee kunamtu yuatk kukuowa yawezekana. ,, kwenda kuolewa. Hm😢
@user-gp1sk9hg1y
@user-gp1sk9hg1y 6 ай бұрын
Lau ingelikua hawaozeshwi haya mambo yangepungua manake msichana angejua fika kua nikifanya uchafu huu ndio nishamkosa huyu ninae mtaka
@Hustlersec
@Hustlersec 7 ай бұрын
Simba wa Allah
@laja2950
@laja2950 7 ай бұрын
Naam mashallah
@azizayassin3623
@azizayassin3623 6 ай бұрын
Sasa hivi ndio kwanza wanaolewa na mimba haswaaa😢
@user-xt6uw3fu9e
@user-xt6uw3fu9e 5 ай бұрын
Mzinifu hamuoi isipokuwa mzinifu mweznzake
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 ай бұрын
Wakristo kwanza huchezeana kisha ndipo wakaowana ila waislamu hamuwezi kuchezeana kisha ety mukaowana itakuwa munafata Mila za kikafiri hamufati Mila za kiislamu
@otrishxavi8350
@otrishxavi8350 7 ай бұрын
Hata sisi waislam wapo pia wenye kuzini kabla hawajawao na wengine wameoa na wanazini pia wapo tena wengi,ujue Allah anamuongoa amtakaye na pia anamuingiza moyo amtakaye,kikubwa ni kuombeana kheri na dua njema sisi waislam na ukimuona mwenzio anakosea basi muonye bila kujali dini yake kwa uislam umeletwa kwa watu wote
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 ай бұрын
Hao waislamu wanaozini kisha wakaowana hao hawajawa waislamu wa kweli ndio wale waislamu majina ,ilaa zinaa itabakia kuwa zinaa Wala haihaliki Kwa kuowana ,na kadiri masheikh wanapohalalisha ndoa za wazinifu ndipo huwatoa khofu waislamu ndio maana ndoa za wazinifu zimekuwa nyingi sana sababu ni mashekh kuwatoa waislamu khofu na kuwafanya kuwa waone zinaa ni jambo la kawaida tu ndio maana watu huzini kishaa wakafunga ndoaa tena bila ya khofu yoyote na wanajihesabu wamefunga ndoaa ila kiukweli hasaa hakuna ndoaa baada ya kuzinii na kama watafunga ndoaa baada ya kufanya uzinifu basi huandikiwa wanazini mpaka siku ya kiyama
@hadijahamis5455
@hadijahamis5455 7 ай бұрын
Samahani nataka kuelewa zaidi elimu yangu ndogo.kwa hiyo atakayemuoa aliyezini naye hakuna ndoa?na hata kama wakioana itahesabika bado wanaendelea kuzini?na je hawa watuu wawili tutawasaidiaje waoe ambaooo hawajaziniii au?
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 ай бұрын
Ndio hakuna ndoaa apoo Bali huzidanganya tu nafsi ila kwamwenyezimungu haikubali ndoa kama hiyoo na kama itatokea wataowana basi watengane.kila mmoja atubie Toba yakweli na watengane wasionane tenaa
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 ай бұрын
Binaadamu kukosea ni lazima Wala sikatai kwamba binaadamu hawakosei ila isiwe sababu mazali kazini nae inamlazimu amuowee ety sababu ataolewa na nani ! Hiyoo ni hojaa sio ya msingi Wala hakuna huruma katika uchafu wa zinaaa hizoo ni milaa za kikristo na kiyahudi huzini kwanza kisha wakaowanaa
@captshaky
@captshaky 7 ай бұрын
je ALLAH ametuambia wazinifu muwaozeshe? ama wapewe heddi ?
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 7 ай бұрын
haddi mpaka dola ya kiislamu kadhi ndo mwenye mamlaka ya kusimamia hiyo hukumu sasa hivi huyo kadhi yuko wapi?
@user-kq7mp8qz9e
@user-kq7mp8qz9e 6 ай бұрын
Kasome xana kabla yakulaumu xaca utatekeleza haddi VP nchi ambayo haitekelezi Sheria ya Allah xaxa jee kwahiyo hawazinifu tuwafanye nn nataka nijue fatwa yako ww msomi
@captshaky
@captshaky 6 ай бұрын
NI SWALI LIMEULIZWA SIO MAONI NADHANI UMEONA QUESTION MARK? @@user-kq7mp8qz9e
@SurprisedOmbreSky-qg6dk
@SurprisedOmbreSky-qg6dk 6 ай бұрын
Na yule mtoto wa zinaa walopata kabla ya kuoana.vp nae story yake inakua.nataka kufahamu anaejua hili suala
@gharibaltiwany8165
@gharibaltiwany8165 7 ай бұрын
Shekh hapa aliteleza hukumu ya wazinzi ni bakora na mawe
@JumaNyange-tz8pi
@JumaNyange-tz8pi 7 ай бұрын
Baada ya bakora nini kifuatie?
@jumakingambe4323
@jumakingambe4323 6 ай бұрын
MFANO. MWANAMKE MZINZI AMBAYE HAJAOLEWA BAADA YA KUPIGWA FIMBO 100 UTAKUBALI WEWE UMUOE ???
@sammarley1413
@sammarley1413 6 ай бұрын
​@@JumaNyange-tz8piHakuna jibu ndugu yangu watu kama hawa wao sio wenzetu wao ni Malaika nakila akosea dawa nikumuhukumu tu hawana solution
@HasanShake-m6k
@HasanShake-m6k Ай бұрын
Mashallah mungu akurehemu
@laja2950
@laja2950 7 ай бұрын
(ALLAH) ampe nuru qabur kwake na amuingiz pepon bila ya jesabu bi maan ameach elimu yenye manufaa mashallah Hakik na ss tulobak tuige na tutend matend mema ili tupate kikumbukwa kweny khery
@HasanShake-m6k
@HasanShake-m6k Ай бұрын
Mashallah mungu akurehemu
@laja2950
@laja2950 7 ай бұрын
(ALLAH) ampe nuru qabur kwake na amuingiz pepon bila ya jesabu bi maan ameach elimu yenye manufaa mashallah Hakik na ss tulobak tuige na tutend matend mema ili tupate kikumbukwa kweny khery
KUNA MAKUNGWI KAZIYAO MATUSI TU //SHEIKH NYUNDO
19:13
arkas online tv
Рет қаралды 118 М.
NINI HUKUMU YA KUTUMIA CONDOM KWA MUISLAMU
9:23
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 34 М.
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 374 М.
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 37 МЛН
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 7 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН
Vitu 6 hatari katika Maisha yako - Sheikh Othman Michael
27:26
NINI HUKUMU YA MTU ANAEISHI NA KIMADA
8:47
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 23 М.
Sheikh Naasor BACHU - KWENYE UZITO KUNA WEPESI
36:17
shining noor
Рет қаралды 680 М.
MTU MWENYE IMAANI KAMA HII ANADANGANYA KATIKA IMAANI YAKE
41:27
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 13 М.
TUMIA HIVI HALAFU MUITE MKEO// SHEIKH NYUNDO
4:45
arkas online tv
Рет қаралды 62 М.
HAYA MMEYAPATA WAPI KATIKA MAZISHI ACHENI MTAINGIA MOTONI SHEKHE NASSORO BACHU
11:19
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Fauz Production
Рет қаралды 224 М.
MUISLAMU MWENYE KUACHA KUISOMA SURA HII AMEPATA HASARA SHEKHE NASSORO BACHU
5:29
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 374 М.