Mwenyezi mungu akusimamie akuongoze akuepushe na hasadi za walimwengu Allah Huma amini
@Mrphilosophy-wm3hc8 ай бұрын
Wakati mwengine najihisi Nina makosa sana Kwa mungu wangu ila nikimsikili hamza Mansoor nafsi yangu inapata nguvu kwamba Kuna nafasi ya kubwa ya kusamehewa Kwa Allah hivyo nisikate tamaa
@lusupi6 ай бұрын
Tusikate tamaa na Rehma za Allah anasamehe dhambi zote apa duniani
@YunusiMwanzi6 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie uzidi kutuelimisha
@aminpattani29778 ай бұрын
Mashallah maneno ya kweli Sheikh ALLAH awasamehe Kwa kuwa n fikra mbaya
@abcmnbb26107 ай бұрын
Mashaallah tabarakaah Shukran Sheikh
@YOUSUFHUGUGU2 ай бұрын
ALLAH(SW) akuhifadhi
@GalgalloWario-yj7lh8 ай бұрын
Allah akuhifadhi na akujaalie khreri ya dunia na akhera sheikh always my role model❤
@FarajiMbaligu7 ай бұрын
Nakupenda Sanaa shekhe wang❤
@abuuqamar583 ай бұрын
Allah akuhifadhi shekh
@zaniraniartsentertainment91067 ай бұрын
Mashallah mungu akupe wepesi
@HawaMwamwezi8 ай бұрын
Allah akuhifadhi na akujaalie kheri ya dunia na akhera
@NourdnNourdn-v9q8 ай бұрын
Nakupenda san san
@NzikobanyankaAmidaАй бұрын
Mashallah
@ismailhussein19368 ай бұрын
MaShaaAllah Allah akulipe kheri
@abuuhafsah96307 ай бұрын
Bi shak
@rezgaroba35238 ай бұрын
Maa Shaa Allah
@Maimuna-fj1er7 ай бұрын
Mashaallah❤
@rashidmwasiji83188 ай бұрын
Masha Allah
@rashidishabani95218 ай бұрын
Jazakallah khaira
@abuuhafsah96307 ай бұрын
Maana halis ya daawa ni kuzumza na mtu kwa mahaba bila kugusia kasoro yake au dhambi anayoifanya..