Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh Naam vipi kuhusu MAQADIYANI/AHMADIYA?
@SaidJuma-ru7vmАй бұрын
You are a truth teller
@karimuchande3659Ай бұрын
Ww pamoja na hao wenzako wote Allah awaongoze maana mupo katika baatwil na mnalingania baatwil
@aminaosman3315Ай бұрын
,na kudhulumu ndio itikadi yao wekeni na zenu tuwatumoe ushahidi WA uhakika
@hassanrangambo8007Ай бұрын
Maashalla nimekuelewa sheikh kiufupi wewe ni muislam
@SalehLofyАй бұрын
Sheikh endelea tatizo Mawahabi hawaoni isipokuwa yale waliosomeshwa na kuambiwa na walimu wao
@naasibabuuАй бұрын
Bado hujasema utasema tu
@SalehLofyАй бұрын
Tatizo Mawahabi hawasomi isipokuwa yale walioambiwa na walimu wao Sasa jisui wanataka kujibu mtihani au wanataka kujifunza mambo kama wakristo waislam mashetani nao wanaamini lakn wanapofanya uchunguzi wanasilimu
@AbuuUzairАй бұрын
Huyu ni shia uthibitisho mimi nnao kwasababu nishaawahi kuwal nae safu moja shia huyu
@sama-_8368Ай бұрын
Akhy kama hakuna unachokificha, unaongea kitu ambacho ndio uislamu wa sawa. Ila ukiwa unaficha ushia wako kwa maneno matamu hilo ni juu yako na Mola wako na Allah atuongoze sote. Aamiyn
@AbuhajiHamza-d3wАй бұрын
Kwa ufupi wewe ni SHAITWANI
@badrudindaud1087Ай бұрын
Haswaaa
@Ashrafabdullahi-b2lАй бұрын
Shetwani ni ww na family yako ambao hawajakusomesha ukajua dini yako