Allah akupe janna firdawsi babu yangu na tunaomba Allah atukutanishe tena kwenye maisha ya akhera,,,,In Shaa Allah
@leonardmyeya59053 жыл бұрын
Eee Mwenyezi Mungu mhifadhi Shekhe wetu nimekaa sana Zawiyaani pale
@mussa1363 жыл бұрын
nakupenda sheikh muhammad nassor
@ramadhanimgombewa70324 жыл бұрын
Allahumma ghfirlahu warhamhu RadhiyaAllahu Anhu
@LumolaSteven2 ай бұрын
Allah amzidishie nuru kwenye kaburi lake Sheikh wangu Sheikh Muhammad (R.A)
@NuruJumanneHamimuАй бұрын
Mashallah Allahuma firahu Alihamuhmu nasikuluku fijana ,na Allah atupe kheri kutokana na yota yakoo nanuru yako Allah atutengenezee Akhella yetu na dunia yetu amiin
Alifariki lini shekh wetu?namkumbuka alipokua anakupa kigoma mji unazizima.shekh alikua mpole sana asiependa makuu
@aminamwinyi55284 жыл бұрын
Allahuma ghfirlahu warhamhu waskana filjjana
@oumarqassim53104 жыл бұрын
Maa Shaa Allah ! Tabaaraka Allah!
@YahayaYahaya-f8b9 ай бұрын
انشاء الله ❤️
@officialdihimbwa43325 жыл бұрын
Allahumma ghfir lahum war ham hum sheikh wetu
@captain_kharus47845 жыл бұрын
عليه رحمة الله
@OsmanBey-yy1lq7 ай бұрын
nakupenda San babaangu kipenz chang
@mohamedabdi26535 жыл бұрын
Allahumma ghfir lahum war ham hum alhabiby shekh Muhammad nasor radhia allahu anhu, ne3ma juu ya ne3ma hakika iko haja ya kuitangaza hii falsafa kwa uwezo wetu wote, pepo ni lulu na lulu iko chini ya bahari na bahari ndio twariqa yenyewe , sasa waislam muliomo ndani chombo mnangoja nini kuingia ktk bahari kuifata lulu?mbona bahari imetulia haija chafuka?
@muhammadialliy12375 жыл бұрын
aaamiyna
@omaritwaha45995 жыл бұрын
waliyullah
@jumasungura79453 жыл бұрын
Tumtegemee Allah
@MohanedJumaАй бұрын
Nampenda Sana bwana mkubwa huyo namimi nimepita pale zawiyani shaurimoyo Zanzibar chini ya khalifa swaleh kinunu
@thonioaugust26089 ай бұрын
Swahibul maqaam .... Qutubul akhtwaab ...RA
@aliysaid93673 жыл бұрын
Natamani sana kua muridu wa twariqul Qaadiriya laiti ningefanikiwa angalau macho yng kusadifu uso wa huyu Bwana. Nawezaje kufikia nia yng wakubwa niongozeni.
@abdallahsalum73013 жыл бұрын
Soma
@hilalkhalfan14523 жыл бұрын
Yupo alomchagua kabla ya kufa kwake. Anaitwa Shekh Sayyid Othman ibn Abdul qadir maarufu shekhe Mlezi ndio kaachiwa ulezi na huyu shekhe. Utampata zanzbar njia ya daraja bovu kutokea Amani msikiti ngamia au Baladul amiin. Na hata ukimuulizia Dar manzese njia ya uongo ya mwendo kasi unaingia ndani msikiti wenye Jina kama Hilo. Ndipo alipozikwa huyu shekhe Muhammad nasour radhi za Allah sw ziwe juu yake.