No video

SHEIKH MSELEM ALLY AFUNGUKA KILICHO KUWA KIKIMUUMIZA ZAIDI WAKATI YUPO MAHABUSU.

  Рет қаралды 36,822

ABUU JDAWI ONLINE TV

ABUU JDAWI ONLINE TV

Күн бұрын

SHEIKH MSELEM ALLY AFUNGUKA KILICHO KUWA KIKIMUUMIZA ZAIDI WAKATI YUPO MAHABUSU.
#sheikhmselemally #uwamsho #covid_19 #mtoro

Пікірлер: 52
@mussasalimmbinga8252
@mussasalimmbinga8252 2 жыл бұрын
Pole sana shykh,Allah akulipe kwa subra kubwa na njema ulizofanya na wenzako..ama kweli duniani hakuna haki,lakini naamini haki zenu mtapewa hukoo Akhera kwa yule jaji asiye kula rusw
@hasbunakhamis487
@hasbunakhamis487 2 жыл бұрын
Allah awahifadh mashekh wetu amiin
@masoudrashidmohammed4124
@masoudrashidmohammed4124 Ай бұрын
Dah nimelia kwa kweli ila. Allah hajakhafilika juu ya matendo yao madhaalim
@kassimbitogwa6992
@kassimbitogwa6992 2 жыл бұрын
Allah amjaalie pepo shekhe Mselem Ali
@FathimaZubair-jt4cg
@FathimaZubair-jt4cg 10 ай бұрын
اللهم آمين 🙏
@abduli-ne2ef
@abduli-ne2ef 9 ай бұрын
Aamin
@LASSUH4947
@LASSUH4947 2 ай бұрын
ALLAH atakulipa habeeb na atakutoshelezea
@alizaki2846
@alizaki2846 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu ni mshindi kwa analo litaka lkn watu wengi hawajui
@queenhuu2852
@queenhuu2852 2 жыл бұрын
Allah atawaalipia Kwa mulichofanyiwa
@muzahimabdillah7044
@muzahimabdillah7044 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 2 жыл бұрын
Huwa nadondokwa na machozi kila nikikumbuka udhalilishaji waliofanyiwa masheikh wangu. ALLAH ATAWALIPA WOTE WALIOFANYA UDHALILISHAJI HUO AAMIIN.
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 жыл бұрын
Haki yao kufungwa maana walitaka kuitia nchi katika vurugu mbona sheikh nyundo alikua akigonga mawaidha na hakufungwa? Fanyeni tena muone nyoko nyie
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 2 жыл бұрын
@@maryamalli9090 Laana iwe juu yako, angefanyiwa baba yako, ungeongea huo unyoko wako, mbwa wa motoni wewe.😈😈😈😈
@alifaki4651
@alifaki4651 2 жыл бұрын
Allah atakulipa inshallah
@zubeirkhamis-ut7dn
@zubeirkhamis-ut7dn 11 ай бұрын
Wallah wabillah haki haipotei utalipwa tu mbele ya allah
@zuzadomikano3765
@zuzadomikano3765 Жыл бұрын
RAISI DR.Kikwete Na Dr.Sheni piano Dr.MAGAFALI BIN MAGUFURI NA Dr.Hussen mwinyi ,pongezini kwa kua walinzi wa Mungu na Malaika watesaji hapa Duniani vijuku vyenu Allah awanao na kuyapata mlo yapandikiza ga Duniani !!!
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 жыл бұрын
Utawala wa mabavu ndio unaotesa wananchi
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 9 ай бұрын
Nchi yoyote ambayo inamvutano wa wenyewe kwa wenyewe huwa ni mtihani kwa raia. Kuna kila sababu watu wasahau tafauti zao na kuwa kitu kimoja. Na hili haliwezekani mpaka vyama vya siasa viungane na kuwa chama kimoja. Pawe na sura tu vyama vimeungana.
@queenhuu2852
@queenhuu2852 2 жыл бұрын
Shekh,mseelem umeezeeka Sana saiv jaaman jela sio sehem nzr umeenda huna ndevu nyeupe saiv umekua na mvii telee
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 жыл бұрын
Ndio maisha, tunapita tu hapa duniani, na kila kitu Mungu amekirikodi, na kama mtu alivyokopesha ndivyo atakavyolipwa
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 Жыл бұрын
Nawee pia utazeeka
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Ishi maisha yako mema na familia zako kama Raia Mwema . Wachana na Siasa. Haija whi kumucha salama "asiye ijua."
@zehrahaji1566
@zehrahaji1566 Жыл бұрын
Kaa pembeni km ujaelewa alichokisem
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Huo ushauri unakufaa wewe. Na usisahau kuonana na dokta wa akili!
@omadal1
@omadal1 2 жыл бұрын
Why background music to noisy.
@AliJuma-gs9ct
@AliJuma-gs9ct Жыл бұрын
Sheikh anatisha
@alisharif5541
@alisharif5541 2 жыл бұрын
Mwanasiasa
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 2 жыл бұрын
Kutokea wapi??
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
Chama gani???
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 Жыл бұрын
Sijui umelisikia jibu lake
@Abuumuqbil4994
@Abuumuqbil4994 Жыл бұрын
Wewe na muungano wapi na wapi Wacha ukhawariji fuata dini Sasa nadhani utajuwa hujui soma dini wa Cha maandamano hyasaidie kitu
@JabirHaji-vj2nf
@JabirHaji-vj2nf Жыл бұрын
Shetani mkubwa wewe khawariji wewe na babie na mamio mbwa mkubwa wewe
@FathimaZubair-jt4cg
@FathimaZubair-jt4cg 10 ай бұрын
Ila umenichekexha 🤣🤣🤣ila bora umemtukan maan hana adabu
@AbuuabdirahmanAlfawzan
@AbuuabdirahmanAlfawzan 4 ай бұрын
Sasa wewe uso khawariji mwenye akili ndo watukana matusi yote haya?? kweli makhawarij hamna adabu
@NunuKupela
@NunuKupela Ай бұрын
​@@JabirHaji-vj2nf una nini????????
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 Жыл бұрын
Mlichanganya dini na siasa za kikafiri, unathani upata kitu gani...?? Lakini mnapambana na watawala ni kinyume na uislam. FANYA TAWBAH SHEIKH ULIKOSEA
@zehrahaji1566
@zehrahaji1566 Жыл бұрын
Tuliza kinyeo chako km ujaewa kafiri mkubwa
@abdissalamhassan7881
@abdissalamhassan7881 Жыл бұрын
Usenge wako uwo,,, muamsho wapo sahihi kama dini ni lazima wakemee mambo mabaya na machafu
@abdissalamhassan7881
@abdissalamhassan7881 Жыл бұрын
Usenge wako uwo,,, muamsho wapo sahihi kama dini ni lazima wakemee mambo mabaya na machafu
@JabirHaji-vj2nf
@JabirHaji-vj2nf Жыл бұрын
Khabith mkubwa wewe hata elimu huna kwani baadhi ya mitume so walitumwa wakapambane na watawala wewe wawapi ushamba tu
@FathimaZubair-jt4cg
@FathimaZubair-jt4cg 10 ай бұрын
Anzeni kufanya nyie toba mlio waeka wenzen ndan miak 8 hamkujal kama wana watt na wanapt tabu daaah Alaf xkia ww mmbwaaa rekebixha kaul yko
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 жыл бұрын
Tatizo mulitaka kuipeleka nchi katika vita na vurugu mbona sheikh nyundo alikuwa akitwanga mawaidha mbona mpaka amefariki hakufungwa? Haki yenu kufungwa kuepusha vurugu
@hajiharoub8125
@hajiharoub8125 2 жыл бұрын
Huna akili yakufikir ndio maana ukasema ilikuwa hakiyao kufungwa
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
Ukikua utajitambua
@mohammedmkwama1635
@mohammedmkwama1635 2 жыл бұрын
Hujitambui na hujui Mambo yanaendaje hvyo Ni Bora ungekaa kimya
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
@@mohammedmkwama1635 hajitambui kwel wakiambiwa wafatilie history wajuwe ukweli wapo kufatilia maisha y wasanii n propaganda z Ccm
@abuuyusra6139
@abuuyusra6139 Жыл бұрын
Upo sahihi sana
HISTORIA YA SHEIKH MSLEM HADI KUINGIA GEREZANI
31:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 87 М.
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 25 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 48 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 13 МЛН
FURAHA YA SHEKH SHAHRAN KWA SHEKH MSELEM
12:59
J TV ZNZ
Рет қаралды 23 М.
HISTORIA YA SHEIKH MSELEM HADI KUINGIA GEREZANI (EPISODE 2)
30:52
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 27 М.
ZANZIBAR INASTAHIKI KULINDWA - UAMSHO MAKUNDUCHI
2:19:13
Bin Seif
Рет қаралды 187 М.
KISA CHA ABUDHARI KUSILIMU KWAKE //SHEIKH MSELEM
34:54
arkas online tv
Рет қаралды 17 М.
SHEIKH MSELEM AFICHUA YALIOMKUTA JELA
8:16
Hafidh Media
Рет қаралды 40 М.
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 25 МЛН