Maashallah Allah ajali kabri lake liwe nimiongoni mwa mabustani ya peponi Amin
@HemedSeriousАй бұрын
Inshallah
@MohamedibrahimMwatemboАй бұрын
Wallahi Allah amuongee uchamungu kabli lake Allah alipambe kwa Nuru ya mtume (s.a.w) amin
@أبوفيصل-د3شАй бұрын
Duh yaonesha ujinga ulio nao.Usingesema maneno hayo
@Hamis-ks1sy29 күн бұрын
@@أبوفيصل-د3ش Kabisa hajui kama huko uchamungu unatokanao duniani😁😁
@أبوفيصل-د3ش29 күн бұрын
@Hamis-ks1sy uislam umekataz kusema fulani ni Mchungu.au fulan ni mtu wa peponi kwa kukata kabisa kli hizo ni makosa kwa sbb mpaka lije Andiko. Allah akuongoze
@Mnyaruge19 күн бұрын
Hiki kilikuwa chuma🙏
@MiriamAziz-z5tАй бұрын
MARHUM SHEKH MUHAMMAD AYOUB....MCHAMUNGU MKUBWA WA MFANO KWA TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI NA KATI....KUNA KHABARI YAKE KUBWA YA MCHAMUNGU MMOJA ALIYETOKEWA NA MARHUM SHEKH AYOUB ANA KWA ANA NA KUWA NAE KWA SIKU MBILI TATU MAHALI PENYE UTUKUFU HAPA HAPA TANZANIA...ALLAHU AKBAR.
@ALIKHAMIS-pl4yl25 күн бұрын
UCHAMUNGU upo moyoni sasa wewe ulijuwaje level yauchamungu wake??
@saidyussuf229125 күн бұрын
@@ALIKHAMIS-pl4yl Haikukatazwa kudhania watu mazuri
@IbraFareedАй бұрын
رحمه الله
@meksd2418Ай бұрын
Amiiiin
@KhalfanMakotaАй бұрын
Mwamba uyu kutoka pale shamshia tanga tamta...alkamadhy
@tztanzania226217 күн бұрын
Ni sawa kwenda ktk kabur lake na kumuomba Allah kupitia sheikh?
@BakariAthumani-vs8lk13 күн бұрын
Maneno machache yenyew hekima kubwa mno
@hamzakimaro3764Ай бұрын
mwenye kumjua mcha MUNGU ni ALLAH peke yake!!sisi tumatakiwa kusema hivi,Tunamdhania fuani ni ktk wacha MUNGU!!
@AliJuma-k2tАй бұрын
Acha hasad ww
@alhilaltvonline27 күн бұрын
Sio lazima tuseme tunamdhania.... Tunasema ni mchaMungu. Yatosha kusema hivyo.
@SuleAhmad-lt5qc13 күн бұрын
Hata ukisema ni mcha mungu c tatizo kwa sababu unamdhania kheri kama alivotufundisha bwa Mtume " wadhanieni waumini kheri "