SHEIKH MWAIPOPO AITIKISA ZANZIBAR KWA KISHINDO

  Рет қаралды 2,120

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@IlhamMaalik
@IlhamMaalik 9 ай бұрын
Allah akubarik sheikh Kwa jitihada zako inshaallah kukumbushana ndo yalio tusivunjike moyo Kila la kheir
@rashidimahmud8605
@rashidimahmud8605 9 ай бұрын
Mwenyezimungu akuzidishie endelea kusema sheikh .
@hajikomora703
@hajikomora703 9 ай бұрын
Maasha llah.. Mungu akubariki.
@odilowairinga6324
@odilowairinga6324 9 ай бұрын
Kwa maombi ya walokole Mungu amefañya njia
@maisarirajab4846
@maisarirajab4846 9 ай бұрын
Sheikh upo zanzibar sehemu gani
@Omar-g9q9b
@Omar-g9q9b 9 ай бұрын
CCM sindo haowalio tusababishia dhkinchi hihi
@odilowairinga6324
@odilowairinga6324 9 ай бұрын
Swala la huyo mtoto na mama yake kiimani walokole wana amini mungu amefanya njia
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 9 ай бұрын
Af mwambien asitoe fatawa
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 9 ай бұрын
Umeona anakosoa kiarabu sbb anajua yy hatak kusoma..hata qur an yake mbovu ktk kutamka
@zuberimussa5508
@zuberimussa5508 9 ай бұрын
Mwaipopo alikua anafiti sana kupambana na wakiristo sio kua shekh msemaji katika uislam kwasababu uislam unasomwa haurithiwi ,mwaipopo anavaa kilemba sio chake, Azinduliwe aache.
@mutomubaya
@mutomubaya 9 ай бұрын
Mimi sina urafiki na Muipopo alinitumia ujumbe akanitukana eti mimi ni mnafik nk. Lakini kwa hili jambo nampatia PONGEZI kulidhihirisha. Hakuna mkamilifu katika watu. Ukidhani wewe ni bora utakuta wengine bora zaidi. Tuacheni ubinafsi tumfuate Mtume, swalla Allahu alayhi wa sallam. Makosa yetu ni kutofuata Sunnah. Mtume alikuwa katika masaa 24 hushughulikia kila jambo la Uislamu, ataswali alfajiri kwa jamaa msikitini, atahifadhi Qur'an ataelimisha Waislamu, atawafurahisha wake zake, atacheza na watoto, atasaidia kazi nyumbani, atawatembelea wagonjwa, atakusanya, sadaqaat, atawasaidia masikini, atawaongelesha wasiokuwa Waislamu nk nk nk....hatuwezi kutaja kila kitu kwa upungufu wetu mwingi wa ilmu. Basi Masheikh acheni kumshambulia Muipopo. Na yeye aache kushambulia viongozi na kuwaita wafalme makafiri na kutaka kudunisha Waislamu wa Saudia. Aambiwe akija hapa Saudia hawezi kupewa kazi ya kusomesha pr. School kwa kuwa hana ilmu ya kutosha kufunza watoto wa kiarabu. Lugha pekee itamchenga...
@AbuuShuraimAl-Shirazy
@AbuuShuraimAl-Shirazy 9 ай бұрын
Nayeye ashasoma na ndio maan anaongea
@YunusDaudi
@YunusDaudi 9 ай бұрын
Kmbusha ijapo aya moja 5:08 uislam
@YunusDaudi
@YunusDaudi 9 ай бұрын
Kumbusha ijapo aya 1 uislam sio kama ukristo mtu unachokijua unatakiwa kukfikisha
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 9 ай бұрын
@@AbuuShuraimAl-Shirazykasoma wapi acha ushabik maandaz mi nshampaga nasaha mda sana kwa elimu ya uislam hana hata chembe hatakiw kuongelea mambo asiyo na elim nayo..
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 9 ай бұрын
Hakika sheikh mwaipopo wewe ni hasara katika dini ya uislamu na ni shekhe pilau na ndizi ,kazi yako wewe ni kuwa mganga wakienyeji
@FeisalDoctor-tn9vd
@FeisalDoctor-tn9vd 9 ай бұрын
Wew cio muislam unataft nn uk
@maisarirajab4846
@maisarirajab4846 9 ай бұрын
Masheikh wa zanzibar kz yao kubwa ni kutoa tafsiri ya Quran hadith na visa vya mitume mijadala ya kipuuzi tu lkn hawana lolote kuutetea uislamu
@mutomubaya
@mutomubaya 9 ай бұрын
Tueleze mifano ya mijadala ya ki puuzi.
@gabrielmzomkunda4881
@gabrielmzomkunda4881 Ай бұрын
Usitulete siasa kwenye dini ...tunajua wewe ni kada wa ccm ...acha porojo
@ngoni7944
@ngoni7944 9 ай бұрын
😂😂😂😂 yaani mwaipopo ni msanii aise. Wewe ni mtafuta njaa hao wagojwa ni watu wenye depression you are taking advantage of them
@RamadhaniRichardson
@RamadhaniRichardson 9 ай бұрын
Sasa hapo mwaipopo kosa lake nn mbona mtoto kasema ukweli ebu tuache ubaguzi
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 9 ай бұрын
Sasa mwaipopo ni sheikh tangu lini tuache utani na dini..ni muislam wa kawaoda sana na hata kusoma bado hajui.saiv ndo nae anauza dawa mpigaji tu
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 9 ай бұрын
tatizo wewe elimu yako ndogo kwanza maana ya sheikh yenyewe huijui
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 9 ай бұрын
Mbona unapoenda hospitali kutibiwa hauhoji viwango vya elimu za hao madaktari unapewa vidonge unabugia kama mahindi?lakini kwa sababu Unachuki na Mwaipopo unahoji kuhusu dawa zake make hata vyakula unavyokula kila siku unatakiwa uvipime kama viko salaama,je wewe unafanya hivyo ili tujue huko makini na maisha yako?
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 9 ай бұрын
@@RamadhaniLukambuzi majitu majinga kweli hv mtu kusoma surat fatha tu hajui hata kuwa imam hawez.af anatoa fatawa..mnapendaga ubish wa kipumbavu
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 9 ай бұрын
@@IssaNasir-v2e Nimekuuliza hao madaktari wanaokutibu hospitalini wengi ni Waislamu?au hiyo surat fatihah wanaijua?au nani kakwambia kwamba tiba nilazima mtu aijue Quran?tiba ya miti shamba ni kitu kingine na Tiba ya Quran ni kitu kingine kwa sababu katika miti hiyo Allah aliweka shifaa ndiyo maana hata kafiri akipatwa na maradhi fulani anaingia polini anaponda ponda mamiti anakunywa na kupaka magonjwa yanatokomea bila hata ya kusoma ayah yoyote ya Quran laki kwa Muislamu tumeagizwa kumtanguliza Mungu mbele hata Masheikh wanaofanya tiba shalti waijue miti ya tiba kisha waifanyie visomo ili dawa iwe na nguvu zaidi katika kufanya tiba sikatai kabisa kwa ni muhimu sana hata Mwaipopo kuwa na elimu na ndiyo maana hata Yeye mara kadhaa amekuwa akisema kwamba kazi ya dini anayoifanya anao Wanavyuoni wakubwa na watu wasomi anaofanyanao kazi hata walaam wa miti anao anasema kila wakati labda wewe umevamia kipindi leo na kuanza kutoa mapovu hata visoma alisha sema wapo Masheikh wanaofanya visomo na Yeye bado najifunza dini lakini nakuuliza tena hivi hao wanaotengeza mavidonge hiyo surat fatihah wanaijua?Wauza madawa masokoni wote ni Waislamu?Mbona wataalamu wa Miti wengi sio Waislamu na hata Waislamu wanaenda wanapewa dawa zinawatibu ili muradi sio shiriki!Wewe ni mihongoni mwa vilaza nini?Uislamu ni dini iliyobeba kila kitu na fani mbalimbali sio kila anayejua kusoma Quruan vizuri anaweza kumtolea mtu jini,kuna watu wengine akikushika tu kichwani masheitani wanatoka mwilini mwako,kuna wengine wana elimu kubwa sana lakini hawana vipaji na karama za kutibia watu,kwahiyo acha kukalili wewe jamaa!
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 9 ай бұрын
@@IssaNasir-v2e Allah kaweka ponyo katika miti kwahiyo hata bila kusoma Quran watu wanatumia miti wanapona vizuri tu.Quran na tiba ya miti ni fani mbili tofauti ndiyo maana hata dawa za vidonge na sindano nazo zinatokana na miti na watengenezaji sio Waislamu na wateja wakitumia dawa hizo bila ya Quran wanapona,Wewe unadhani ni kwanini?Mwaipopo kila mara anasema analo jopo la wajizi wa mambo ya visomo na wataalamu wa miti wanasaidiana hajui kila kitu,sasa wewe umekurupuka na kukoment ujinga hapa!
Sheikh Mwaipopo Aililia Zanzibar..!
25:06
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,4 М.
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 86 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
SAUDI ARABIA WATU KUCHEZA MZIKI UCHI
30:25
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 2,3 М.
Tabora waislamu waangusha kilio waomba dunia iwasaidie
10:12
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 270
ZANZIBAR YAPATA MSIBA MZITO
12:17
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 60 М.
Sheikh Mwaipopo awatikisa wachawi Zanzibar
18:37
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,1 М.
SASA ZANZIBAR YAWAKA MOTO KWA MAFUTA
26:16
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,2 М.
WAUMINI WA KIISLAMU ZANZIBAR WALIZWA NA SHEIKH MWAIPOPO...
1:11:17
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 2,9 М.
MWAIPOPO AMLIPUA MSOMALI ALIEDAI KUMUONA YESU NA KUINGIA KTK UKIRISTO
19:33
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 10 М.
ASKOFU GWAJIMA ABOMOLEWA # MUHUBIRI MWAIPOPO#
12:37
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 7 М.
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 86 МЛН