SHEIKH MWAIPOPO ASLIMISHA WACHUNGAJI WA NGOMBE PORINI

  Рет қаралды 10,920

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 80
@brightshaka6301
@brightshaka6301 3 жыл бұрын
Anasema yesu ni Mungu na pia ni mwana wa Mungu Mudi co Mtume. NI MSIBA MKUBWA KHEIR INSHALLAH
@achanifumos1093
@achanifumos1093 3 жыл бұрын
Allah akuwezeshe...amiin
@adellsefu2485
@adellsefu2485 3 жыл бұрын
Masha Allah sheikh mwipopo
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
Tutachanga Shekhe wangu kidogo tulicho kuwa nacho kitasaidia Inshallah.
@kizamaulidi6004
@kizamaulidi6004 3 жыл бұрын
Mashaallah allah akuzidishie kheri katika maisha yako amiin
@hashim8130
@hashim8130 3 жыл бұрын
Maashaallah mungu akuhifadhini mashekhe zetu
@bushrasiadali7038
@bushrasiadali7038 3 жыл бұрын
Allahu Akbaru,Allah azidi kumuonesha njia ya Haqi
@bahatigwivaha2201
@bahatigwivaha2201 3 жыл бұрын
Pole sana kijana. Neno la Mungu aliye hai linasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Hapo unapotoshwa tu. Hosea 4:6. Acha chochote kwaajili ya Mungu, lakini usimuache Mungu wa kweli kwaajili ya chochote. Isaya 44:6-8
@jamilaalfarsi7712
@jamilaalfarsi7712 3 жыл бұрын
Nvivo walivo kufunza hao wajinga wezio hivo?
@swalehiddy2468
@swalehiddy2468 3 жыл бұрын
Good work bro,waislamu tutoeni kwa ajili ya Allah
@salimmatsudzo8727
@salimmatsudzo8727 3 жыл бұрын
INSHA allah mwenyezi mungu ataleta rehma zake.
@skjjsj1889
@skjjsj1889 3 жыл бұрын
Ma sha allah Allah akufanyie wepesi wa kila hali
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
tuko pamoja sheikh ALLAH SW.atakupa unachotoa
@t.v.a.i.s.s6842
@t.v.a.i.s.s6842 3 жыл бұрын
Tunakupata 100% sheikh .. Abubakar toka south Africa. Johannesburg
@ngokaomary5123
@ngokaomary5123 3 жыл бұрын
MashaaAllah tabarakallah
@halimakihame1744
@halimakihame1744 3 жыл бұрын
Baraka llahu fiqi Allah awafanye weoesi
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Mashaa Allah
@thummujey956
@thummujey956 3 жыл бұрын
MASHA ALLAH
@balyyusuf7394
@balyyusuf7394 3 жыл бұрын
Mashallah
@kudrawanguvu5923
@kudrawanguvu5923 3 жыл бұрын
Inshallah Allah alete wepes
@zainababdallah308
@zainababdallah308 3 жыл бұрын
Allah awafanyie wepes inshaallah
@barnabasmajige8473
@barnabasmajige8473 3 жыл бұрын
Hzo ni mbwembwe tu hakuna dini hapo labda chuo cha kufundisha watu jinsi ya kuiishi na majini na mapepo pamoja na ugaidi wa kuteka watu wasiokuwa na hatia km wale wanafunzi 200 wa kike.
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Maashaallah Kangeme Uyumbu hiyo
@makariospeter9447
@makariospeter9447 3 жыл бұрын
Umepotea. Mwamini Yesu Kristo upate wokovu
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 3 жыл бұрын
Ulie potea ww kasome kafili ww
@mwahamedychilungu8981
@mwahamedychilungu8981 3 жыл бұрын
kafili mkubwa wewe
@makariospeter9447
@makariospeter9447 3 жыл бұрын
@@mwahamedychilungu8981 siku ya hukumu tutajua ni nani alikuwa kafri
@jamilaalfarsi7712
@jamilaalfarsi7712 3 жыл бұрын
Km wewe ukosawa toaandiko kwenye baibol yakua usristo nidini yamungu punguwani ww
@bahatigwivaha2201
@bahatigwivaha2201 3 жыл бұрын
Yesu ni mwana wa Mungu 1Yoh 4:15, 1Yoh 5:5
@jamilaalfarsi7712
@jamilaalfarsi7712 3 жыл бұрын
Sio mwana Wa mamaako??
@hamisimfaumenamwewe193
@hamisimfaumenamwewe193 3 жыл бұрын
@@jamilaalfarsi7712 Ndugu Jamali Farisy kutoka Oman Kaifa khali?
@hamisimfaumenamwewe193
@hamisimfaumenamwewe193 3 жыл бұрын
@@jamilaalfarsi7712 Mie ni kaka yako wa ukoo mmoja. Naitwa Khalfani Nasoro Mohammed Farisy. Contact hii: 0787-132922) Nitafute tujuane zaidi Kaka. Sisi ni Damu kabisa.
@seremenikibwene8633
@seremenikibwene8633 3 жыл бұрын
Nani kakudanganya kuwa Yesu mwana wa Mungu
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 3 жыл бұрын
Mkisha kuwafikia na kuwasilimisha , msiwaache mrud tena kwenda kuwapa elimu ya din mkiwaacha wanarud walikotoka
@alexambrose4722
@alexambrose4722 3 жыл бұрын
Hilo sio gar la kimasikini shehe hiyo ni brevis so hiyo ime simama kiasi chake.
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
Ni misaada wanatafuta. Mtu hawezi kuwa muislamu ama mktisto kwa kupewa jina na kisirabu ama ka kizungu. Tanzania inaelekea pabaya.
@saidswalehe2807
@saidswalehe2807 3 жыл бұрын
Hii Alex yakimaskil coz kwa mihadhara na Rafu road haiwez himil topel land cruiser ni sasa la mm ningekuwa nalo walah ningewapa
@Rastamuslim
@Rastamuslim 3 жыл бұрын
Apo kwa kutoa tambi na camera ndio mnaonekana wasanii walimu wangu kwani amuez toa bila camera😭
@Izikiel55
@Izikiel55 Жыл бұрын
Waislam bhna😂😂😂 sasa wachungaji wako wapi sasa😅 daah! Mungu awasamehe tu kwakwel
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 жыл бұрын
Pumzika bac! Wsfadhili washakuckia,vyakula vyote vitapitia kwako,pesa, magari utaletewa,
@makariospeter9447
@makariospeter9447 3 жыл бұрын
Unadanganya watu. Yesu ni Mungu na Mwana wa Mungu. Mudi sio mtume
@kudrawanguvu5923
@kudrawanguvu5923 3 жыл бұрын
M/Mungu hakuzaa wala hakuzaliwaYesu hana uungu wowote wala haikutokea wala haito tokea M/Mungu awe na mtoto
@zahorsalum663
@zahorsalum663 3 жыл бұрын
Hahaha Allah akujalie umjue mwenyazimungu.uache ukafiri.
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 3 жыл бұрын
Auna jipya kwanza aitwi mudi anaitwa muhammad rasurura pia unapo zungu mza kitu zungu mza kwa elimu
@abdiabdallah697
@abdiabdallah697 3 жыл бұрын
Wakiristo bwana hamna akili hata moja munakuwa kichwa tu mungu gani anayezaliwa?? Mungu gan mwenye mtoto, subir mutaenda kuona haki na kujuta.
@shanimasangula2120
@shanimasangula2120 3 жыл бұрын
MashaAllah
@waytvtz2549
@waytvtz2549 3 жыл бұрын
Mwaipopo acha unafiki eti umetegesha gari kwenye topo eti uombe gari landcruse acha ujanjaunja .
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
Mwiislaamu anaowa mktisto. Yesu sio Mungu wala mtoto wa Mungu. Tanzania inaelekea pabaya.. Hatuwezi kuacha waislaamu wateketee, , kauli gani hizo za kutenganisha watu.. Mama Samia nakuomba usipoingilia hili jambo Tanzania haitakuwa Tanzania tuliyoizowea. Kila familia Tanzania kuna waislasmu na wakristo. Sasa uislamu umekuwa kama kabila. Sheikh ni misaada anatafuta na maafa yake yatakuwa makubwa sana. Vita duniani huletwa na makabila ama dini. Jina lako nani kajibu David, kampa jina la kiislamu. Na kamwambia ataenda mbinguni, utafikiri ana mbingu ya kumpeleka. Wahubiri kama hawa wakiwa wa kikristo ama wakiislamu Watanzania angalieni sana. Hawa ni pesa na misaada wanatafuta. Mtu anawezaje kuwa muislamu kwa kupewa jina la kiarabu? Ama kuwa mktisto kwa kupewa jina la kizungu? Wafrica tufunguwe macho haya mambo yakujidharau sisi wenyewe.
@alexambrose4722
@alexambrose4722 3 жыл бұрын
Nimekuelewa mkuu umesimama kati kati ila wasio kuwa na akili utaona comment zao za kuharibu na sio kujenga....mfano pale palestina....wao wanaugomvi na mayahudi ambao wamechukua ardhi yao na istoshe mayahudi sio wakristu ingawa wapo wachache na hata waislam wapo wachache na sio wakristu coz wanakaa nao wana heshimiana na maisha yanaenda.
@barnabasmajige8473
@barnabasmajige8473 3 жыл бұрын
Usitumie chakula kama fimbo na hicho chakula kilichotumwa hao magaidi wa kiarabu
@jamilaalfarsi7712
@jamilaalfarsi7712 3 жыл бұрын
Wewe endekeza chuki zakijinga wenzio watafuta pepo ya allah
@barnabasmajige8473
@barnabasmajige8473 3 жыл бұрын
Hakuna jipya hapo acha ulofa wa kuwadanganya hao wasio kuwa na elimu bibilia
@saidmadizi9152
@saidmadizi9152 3 жыл бұрын
Kwn umeambiwa lazima utazame kma waona c haki achana nao coz maneno yako hayawez wazuia kutangaza Dini katu Bora ujishuulishe na Mambo yko
@barnabasmajige8473
@barnabasmajige8473 3 жыл бұрын
Na kama wadanganya watu wenye uelewa mdogo km ww et Muhaamand ni Mtume na wakati bibilia haimujuwi Huyo Muhaamand kuwa ni Mtume pia ujue Mm sina akili ndogo km yako ww bwana mdogo.
@jamilaalfarsi7712
@jamilaalfarsi7712 3 жыл бұрын
@@barnabasmajige8473 ss diniyetu haitoki kwenye bibilia yio baibol niyawajinga makapuku vipofu km ww vile ila watu naelimuzao hawafuati bibilia kitabu Cha makafiri
@barnabasmajige8473
@barnabasmajige8473 3 жыл бұрын
Tatizo pamoja na hayo yote nyinyi kwa nyinyi ni wanafiki mfano nchi km somalia nk dini moja ila upendo haupo kila siku ni kuaana hauoni kuwa huo ni upumbavu wa hiyo Qruani yenu ambayo ni kitabu cha majini na mapepo
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 жыл бұрын
Nilidhani fuso ndo limebeba chakula cha futari,kumbe karambo.
@jamilaalfarsi7712
@jamilaalfarsi7712 3 жыл бұрын
Wivu utawauwa nyie makafiri kilakitu kinawakera loh
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 3 жыл бұрын
Bora silimisha wachungaji wa wanyama kuliko wachungaji wa kanisa 😂😂 kabisa
@alibell5246
@alibell5246 3 жыл бұрын
Huku kenya kwetu mbona wachungaji mapastar wote wanaclim bado ww tuu cjui unangoja nn
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 жыл бұрын
Weeee! Acha kuongopea wa2, Mkubwa mwenzio huyo lazima a some dini,aelewe,huyo ni binadamu cyo gogo,kijana kakulupushwa hajui A wala B.Huyo mkaka sawa kakutana na Ajali ya gafla bin Vuu.
@jamilaalfarsi7712
@jamilaalfarsi7712 3 жыл бұрын
Ww kaaivoivo naujingwako
@shaazlaptopquality8649
@shaazlaptopquality8649 3 жыл бұрын
Alafu wajue kwamba Sheikh Mwaipopo alikua mkristo ila kaujua ukweli ndio maana leo anauchukia ukristo kama mimi
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 жыл бұрын
Heee! Wafadhili bado hawajakupa gari,?walozaliwa kwa hii Dini wametulia wanakuchora,wanakucheka kiherehere.
@barnabasmajige8473
@barnabasmajige8473 3 жыл бұрын
Hakuna kitu kibaya km kupenda sifa Et Muhaamand ni Mtume amakweli kusoma bibilia ni kuwa na akili nyingi sana soma Hosea 4.6.
@hassanmakora2944
@hassanmakora2944 3 жыл бұрын
Kwaiyo we unasemaje
@jamilaalfarsi7712
@jamilaalfarsi7712 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 polesana mbwege usiejielewa tafuta wasomi km hao wakueleweshe uondokane naujinga
@husseinmwanjela8644
@husseinmwanjela8644 3 жыл бұрын
Maa shaaAllah
@saidlucas1216
@saidlucas1216 3 жыл бұрын
Masha-allah
@seliidrashio6968
@seliidrashio6968 3 жыл бұрын
MASHAALLAH
@shamtesaid1377
@shamtesaid1377 3 жыл бұрын
Mashallah
@iyadahmed9797
@iyadahmed9797 3 жыл бұрын
Mashaallah
@mohammedopetu2745
@mohammedopetu2745 3 жыл бұрын
Mashaallah
@fatumaabdhul8620
@fatumaabdhul8620 3 жыл бұрын
Mashallah
@leeymanseif7269
@leeymanseif7269 3 жыл бұрын
Mashaallah
@georgeotieno2818
@georgeotieno2818 3 жыл бұрын
Mashallah
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 жыл бұрын
Mashaallah
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 20 МЛН
БУ, ИСПУГАЛСЯ?? #shorts
00:22
Паша Осадчий
Рет қаралды 3 МЛН
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 6 МЛН
VĨNH BIỆT - Sáng tác: LAM PHƯƠNG- Ca sĩ: HỌA MI
5:04
HỌA MI OFFICIAL
Рет қаралды 30 М.
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:52:03
SAUDI ARABIA WATU KUCHEZA MZIKI UCHI
30:25
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 2,3 М.
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:51:48
DADA ALIEKUWA AKISOMEA USISTA ASILIMU
27:39
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 78 М.
WAISLAMU WA TANZANIA WAINGIA PALESTINE NA KUTOA MSAADA
38:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,1 М.
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 20 МЛН