SHEIKH MWAIPOPO AWAONYA WAHUBIRI WAKISLAMU PART2

  Рет қаралды 1,618

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@issamohamedi9225
@issamohamedi9225 2 жыл бұрын
Sheikh Mwaipopo waadhiri wa kenya wanafanya kazi kubwa sana ya Allah usiwatupie lawama maana sisi watanzania tulilala kwenye mihadhara na tukawa tunafatilia midahalo yao na sijaona kosa lolote na nimefatilia waadhiri wote kenya embu jaribu focus kwenye mihadhara na ww
@entertainmentmashup2687
@entertainmentmashup2687 2 жыл бұрын
Semeni nyinyi angalau tukisema sisi wakenya tutaambiwa ni chuki
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 жыл бұрын
Wahadhiri wa Kenya wapo juu maashallah wanafanya kazi ya Mungu kwa dhati tofauti na baadhi ya Wahadhiri/Wahubiri wa Kiislamu wa Tz .
@qhatramohamed7006
@qhatramohamed7006 2 жыл бұрын
Kenya tunawapenda sana wahadhiri wetu kwa kazi nzuri wanao ifanya pamoja na sheikh mazinge Allah azidi kuwapa nguvu na afya ya kuilinganiya dini ya haki.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
Shekhe wangu Mwaipopo nakupendeni wote wahadhiri wa Kenya na Tanzania na Dunia nzima kwa ujumla. Wahadhiri wa Kenya nawafwatilia sana na wengi wao walikuwa wakristo na Alhamdulilah wameslim na wanaipigania Dini kulikoni sisi tulio zaliwa ktk uislam. Wallah ni wahadhiri wengi wa Kenya hata kuwahesabu siwezi. Kama mmoja kafanya makosa ni yeye nasio wote. Msiwavunje moyo hasa hawa wahadhiri walio slim hususani hawalipwi chochote ktk uislam kama wangebakia ktk ukristo saizi wangekuwa matajiri siunajua ukristo ukifungua kanisa na kufanya usanii unatajirika. Wao wamekuja ktk uislam baada ya kujua ukweli na wanajitoa haswaa. Allah awaongoze wote .
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Kwani huyo Mwaipopo hasa anacho kupigania ni kipi yeye mbona mambo yake yakuuza dawa za kisuna hakuna anae muingilia,,naona huyu kaashiwa ,na siku zote Ngoma ikilia Sana inaenda kupasuka
@jimjam4148
@jimjam4148 2 жыл бұрын
Sh mwaipopo uko sahihi 100%.
@khatibuhijja459
@khatibuhijja459 2 жыл бұрын
Mbn unashambulia wahubiri wenzio, unakwenda siko sheikh, mie binafsi unaanza kunikera.
@issamohamedi9225
@issamohamedi9225 2 жыл бұрын
Sheikh sijaona sheikh yoyote wa kenya anafanya biashara ya dawa we fatilia midahalo ya sheikh yusufu wambugu salimu daawa uwone masheikh wanavyotetea Uislamu
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 жыл бұрын
Sheikh mwaipopo vp tena Sheikh fanya Miadhara tu hii acha Sheikh Allah ndo anajua kweli hii me sijapenda kabisa Sheikh.
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 жыл бұрын
Anajichanganya, nashawishika kusema Allah anawaumbua baadhi ya Wahubiri hawapo kwa ajili ya Allah bali wapo ktk maslahi yao binafsi; kuuza dawa, visomo/dua ili kupata pesa. Sina maana kuuza dawa, dua/visomo ni haramu bali ifanyike kwakufuata misingi ya Uislamu. Mwaipopo amekuwa sasa amekuwa mropokaji. Kusilimu/kuingia ktk Uislamu si hoja bali hoja kuzingatia misingi na adabu za Uislamu. Mwaipopo inabidi azidi kusoma dinini maana hata rafudhi yake ktk matamshi ya Kiarabu ni mtihan. Nashangaa BAKWATA,Sheikh wa Mkoa na Mufti kwanini wamekaa kimya hawamkanyi Mwaipopo anapoelekea sipo atajiporomoshea hadhi na kutoaminika/kutiliwa mashaka ktk Uislamu wake/kusilimu kwake nini lengo lake ?!!
@abdulssamiubaruani2262
@abdulssamiubaruani2262 2 жыл бұрын
Sheikh Mwaipopo kumuambia Muhimbili mwenzako kuwa kichwa chake hakipo sawa, jua na chako hakipo sawa pia maana hiyo sio busara kumtusi muislam hadharani. Kila mtu ana mapungufu yake. Mche Allah na uache kujiona we ndo msomi zaid. Wahadhiri wa Kenya wako juu katika kufanya mihadhara kuliko hata wa kwetu Tanzania na wanaslimisha kweli. Sheikh mwaipopo sioni tabu kusema na ww utakuwa na tatizo linakusumbua maana hawa sio wa kwanza kuwasema vibaya.
@samwelmwasomola2457
@samwelmwasomola2457 2 жыл бұрын
Mwaipopo mwislamu nayo ni maajabu hayo
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 жыл бұрын
Hata ukilala njaa nk (umeingia ktk Uislamu kwa tabu) haitaji kujisifu bali Uislamu wako utabaki kuwa moyoni na matendo yako.
@MohamedAli-mj3mg
@MohamedAli-mj3mg 2 жыл бұрын
Kwamutizamo wangu kwako wewe. Unajiona unaelimu naelimu huna achakutukana wahupiri wakisilsmu acha ujinga kbs jitasimini acha utahiri
@asriyaaljabry27
@asriyaaljabry27 2 жыл бұрын
Samahani sheikh ungewaita mkaongelea mkatatua kuliko kulaumu hadharani haifai
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 жыл бұрын
Kama anavyowauta waktristo sio? 🤣
@sheikhabdikadir6312
@sheikhabdikadir6312 2 жыл бұрын
Maipopo Mimi Ni mhubiri Ila walahi umeongea ukweli mtupu
@karimscomedy2021
@karimscomedy2021 2 жыл бұрын
Ni kweli lakini. Mimi nishatembea na wahubiri. wengi wao hawafanyi kwa ajili ya Allah. ,Majority ni kwasababu ya kuchangisha.
@abdallahtsuma5610
@abdallahtsuma5610 2 жыл бұрын
Mwaipopo wacha wawasema wenzako vibaya hata kama wasema kwli lkn hku kenya hujatembea area zote so waache wahubiri wakenya wafanye kazi
@seniorcade1784
@seniorcade1784 2 жыл бұрын
Sheikh mwipopo mimi binafsi naona kumwambia muhadhiri mwenzako ananja ya kumtafuta mapeni sio jambo nzuuri
@1THEBRAIN
@1THEBRAIN 2 жыл бұрын
We mwaipopo nilikua nakuona wamaana sana ila kwahuu upuzi ulio ongea leo umejidhalilisha kuwadhalilisha wahubiri wakenya, sio kweli kua kufanya dawa mtaani kwamba sio sahihi, ina matokeo chanya na yana onekana,
@hannansheemohamed3882
@hannansheemohamed3882 2 жыл бұрын
Assallam alaikum,huu ndio uisilamu kweli??kumkana muhubiri mwenzako ili watu wakuone ww ndo mkweli,mwaipopo kama waona upungufu wowote kwa wenzako wafate uwaambie wenyewe sio kutangaza ubaya wao huku,mungu akuongoze na ww.
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 жыл бұрын
Kama anaona waktristo wanakosea pia awafuate nyie mwapenda aupige vita ukristo Ila kwa waislam mnavimba
@ramazecha2877
@ramazecha2877 2 жыл бұрын
Nikweli kbsa hlaa daawa mtaani ni muhisana coz wapo wanasilimu kupitia daawa mtaani
@1THEBRAIN
@1THEBRAIN 2 жыл бұрын
We mwaipopo nahisi ndio unahangaika na njaa mimi ni mtanzania ila nawasikiliza sana wahubiri pia wa kenya na wanafanya kazi kubwa sana kuliko hata nyie, wao wanahubiri na wanafanikiwa kwa kuwasilimisha watu na kuwasomesha kuwaunganisha katika miskiti iliopo karibu na wanawafatilia, we ndio unanjaa na ndio kutaka kutangaza biashara yako kuuza madawa yako, sio ww kuna muhadhara mlikua mnatangaza dawa zenu kuwa watu waje kwenye gari, yani leo nimekuona mpumbavu sana kuwasema wahubiri wa kenya mpumbavu sana ww.,
@ابرهيم-ج7ن
@ابرهيم-ج7ن 2 жыл бұрын
Iyo ya kutembea na camera ni sawa cha mbaya kwa7bu waubili wa ki kisto Wana tembea na kuubili uislamu ssa kwanini waislamu wa tembee na wawo alafu jua wakristo wana zaminiwa kufanya hayo maubiri lakini waislamu au waubili wa kiislamu hawana wazamini kwa hili cwezi kuku unga mkono
@rashidkeke9462
@rashidkeke9462 2 жыл бұрын
Asalam mwalekum kwa mtizamo wangu ungewaita makajilidiana kuliko kurusha huku muislamu ni ndugu ya muislamu kila moja anamapungufu yake, ikiwa mtu ameritad nani ajadiliane nae ka si wasilam wanaojua dini naimani?
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
Shelkh Mwaipopo kwanini usiwapigie simu kusudi muyamarize kwa siri kuliko kwenye midia
@aidarusabubakar5776
@aidarusabubakar5776 2 жыл бұрын
Mwaipopo umekuwa too much sasa. Punguza maneno na Muislamu hapendezi kuwa na maneno mengi.
@kennah03m
@kennah03m 2 жыл бұрын
Mwaipopo nakupendea kitu kimoja wewe atakayekosea unamuumbuaa papo hapo
@1THEBRAIN
@1THEBRAIN 2 жыл бұрын
Alirudi kwa tamaa zake za kidunia, na Allah alisha sema atamuongoza amtakae nasio ww huna uwezo wakumuongoza mtu,. Mpumbavu kabisa ww mwaipopo
@kennah03m
@kennah03m 2 жыл бұрын
Wahubiri wa kenya njaa😅😅😅
@نووورنووور-ج5د
@نووورنووور-ج5د 2 жыл бұрын
Na watanzania sihua munahubiri na omari yohana nasini murtadi
@kennah03m
@kennah03m 2 жыл бұрын
Nyinyi waislamu mwasema kuingia kanisani ni bidaa nyinyi munaenda kurusha video za waislamu wakiombewa huko huko kanisa ama kuingia inalingana na lengo??
@MohamedAli-mj3mg
@MohamedAli-mj3mg 2 жыл бұрын
Umesilimu juzi tu unaanza kutukana waliyo kusilimisha acha kbs utahira wako umezidi na hizo bangi unazovuta acha ujinga
@inamxmdsheekh1978
@inamxmdsheekh1978 2 жыл бұрын
Acha matusi we pia! Kosa halisahihishwi kwa kosa...tupeane nasaha kwa njia inaofaa
@MohamedAli-mj3mg
@MohamedAli-mj3mg 2 жыл бұрын
@@inamxmdsheekh1978 sionge na majinga
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 жыл бұрын
Tulia dawa iingie
@inamxmdsheekh1978
@inamxmdsheekh1978 2 жыл бұрын
@@MohamedAli-mj3mg war nacas yahow aflagaadada jooji...
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 2 жыл бұрын
Ama kwa Adam Haji ukimsikiliza unajuwa kuwa Hana chochote katika dini Ila anawadanganya wasiojuwa kitu
@jumjumsaid3552
@jumjumsaid3552 2 жыл бұрын
Ingia acount ya yahya amesilimisha kanisa sita na kufanywa misikiti na madrasas mbona usiongee mazuri yao
@qhatramohamed7006
@qhatramohamed7006 2 жыл бұрын
Sheikh mwaipopo mbona piya wewe uko kwa yu tube achana na wahadiri wafanye kazi ya Allah wengine hawana nafasi ya kwenda kwenye mihadhara kwa hivyo wengi tunatumiya yu tube
@نووورنووور-ج5د
@نووورنووور-ج5د 2 жыл бұрын
Basi sheikh ungewaita binafsi ukawambia kama umeona kosa lakini wahadhiri wa kenya hawafanyi biashara
@entertainmentmashup2687
@entertainmentmashup2687 2 жыл бұрын
Hapo umesema vyema sheikh wangu.....wallahi faida anayopata ni kujisifu tuu kwa youtube na hapati thawabu yoyote
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 жыл бұрын
Acha afanye adharani Kama anachofanya kwa waktristo
@نووورنووور-ج5د
@نووورنووور-ج5د 2 жыл бұрын
@@josephwilliam5813 nyinyi muna haki ya kuambiwa sababu ukristo sio dini ya mungu
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 жыл бұрын
@@نووورنووور-ج5د Kwaio unafki ndani ya uislam uendelee kua Siri si Ndio?
@نووورنووور-ج5د
@نووورنووور-ج5د 2 жыл бұрын
@@josephwilliam5813 unafiki gani hayo nimambo personal awafikishie yeye wenyewe ju sio vibaya kurekebishana katika dini
@jumjumsaid3552
@jumjumsaid3552 2 жыл бұрын
Sa waita wenzako wananjaa sa we wauza dawa zanini umeharibu sasa
@MohamedAli-mj3mg
@MohamedAli-mj3mg 2 жыл бұрын
Acha bangi wewe
@kennah03m
@kennah03m 2 жыл бұрын
Yahya 😂😂😂 Ramadhan bin kaguo😂😂😂 Yusuf wambugu mumesikiaa???
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
@Kennah acha fitna kafiri wewe.
@kennah03m
@kennah03m 2 жыл бұрын
@@nakundwamkubwe7823 hujaonaa😂😂 angalia shehe mwaipopo online TV
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
@@kennah03m Kwani hapa ninapo kujibu ni Chanel gani au una malolo ? Mambo yetu waislam tuachueni wenyewe sisi waislam ni ndugu nani wamoja hapa Duniani na kesho mbele haki . Muislam ndugu yake muislam.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
@@kennah03m Mashallah umewataja wahadhiri wasomi wa Kenya it’s mean dawa inakuingia sawa sawa 😀😀in shaa Allah nakuombea utoke kwenye giza uje kwenye Nuru ya Uislam.
@kennah03m
@kennah03m 2 жыл бұрын
@@nakundwamkubwe7823 sasa waislamu si wako msikitini mbona hapa tunaona buree senema?
@entertainmentmashup2687
@entertainmentmashup2687 2 жыл бұрын
WEWE HAPO UMESEMA VYEMA MTU AITWE FARAGHA KAMA AMEKOSEA UMUELEZEE FARAGHA.....MBONA SASA WEWE UNAFANYA KWA KZbin BADALA YA KUMLINGANIA MTU FARAGHA NA KUMUELEZEA ALIPOKOSEA???
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 жыл бұрын
No anafanya Kama anavyofanya kwa waktristo SEMA takbir
@vincentashiembi
@vincentashiembi 2 жыл бұрын
mwaipopo acha uongo deni yako yasema watu wauwawe kama hawamtaki muhammed. Unajua historia kweli wewe ya Mutume wako?
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 5 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2 МЛН
SAUDI ARABIA WATU KUCHEZA MZIKI UCHI
30:25
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 2 М.
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:51:48
Kunci dari Dakwah ( Salah satu hal yang membuat ustadz terharu )
34:05
ISRAEL YAMALIZA PALESTINE WATOTO KULA MAJANI
33:19
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 520
MWAIPOPO AWAONYA MAASKOFU
30:03
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1 М.
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:59:26
WALIO MSHAMBULIA SHEIKH KISHKI SASA YAWAKUTA MAKUBWA
32:26
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 4,7 М.
ASKOFU NA PADRI WAZIDII KUMSHAMBULIA RAISI
39:51
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,5 М.
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:32