Amen Mchungaji uyo mwapopo ajui elimu ya dini zaid ya polojo na kutangaza uganga wake.
@emmanuelnganya972225 күн бұрын
Bwana asifiwe, mwalimu huyu mwaipopo unapoteza muda bure huyu anamatatizo ya afya ya akili hili halina ubishi kabisa.
@rasgwandumikaisi748924 күн бұрын
Ex Imam TV nakupongeza sana kwa kuamua kumjibu huyu jamaa,. Hakika inahitaji moyo wa uvumilivu kumjibu huyu ndugu.,
@peterenos262725 күн бұрын
Mtumishi acha woga. Tumeambiwa "Tuwe tayari wakati wowote, wakati utufaao na wakati usiotufaa". Acha aendelee na taratibu, akikuambia wiki ijayo, nenda, maadamu utafanikiwa kufika kwa muda muafaka
@daudimichael733825 күн бұрын
Mwaipopo anataka aonyeshwe wapi kwenye Quran siyo maneno ya Mungu. Ukweli ni kwamba Quran ni maneno ya Muhammad. Siyo Mungu wa huyo Jibril wake.
@harrisoncharo-qz3vz25 күн бұрын
Ujumbe wa quraan yenye sio ya mungu ni ya hadui wa jibri qrn 2.97 halafu uislam nidini ya muhamad qrn 10.104
@chrispinkagaruki417021 күн бұрын
Ni kweli adui wa Jibril ni shetani. Math 13:24-39@@alhadajjmohammedsmith9042
@petermutuku12895 күн бұрын
Mwaipopo ana shida na si dogo.
@edwardmtemi134025 күн бұрын
Mwaipopo kilaza tu,anapambania tumbo lake Hana hoja zinazoeleweka.
@paulmushi242825 күн бұрын
Mwalimu Timothy, Masheikh wengi wameshakuelewa sema tu Mwaipopo hana elimu ya dini anayoiamini
@petermutuku12895 күн бұрын
Mwaipopo hana lolote hasira za mkisi dizo anazo tu. Na dini haitetewi kwa hasira na matusi
@celestinshayo729524 күн бұрын
Ni dhahiri kwamba Mwaipopo hana akili hata chembe. Kama ana akili basi ni akili za inzi😢
@gideonstephen687923 күн бұрын
Tunakusikia wote mnasikika
@MwasabuniSuleiman25 күн бұрын
Mijadala yenu heri sasa ifungwe kwa Sababu hapo ilipo fika inaelekea kwenye makonde, kwa Sababu mkianza kuzozana kila mtu anatolea anatolea mwenzake izo ni ngumi.
@roggerasili30896 күн бұрын
Mwaipopo alikosa michango kwa kigezo cha mdahalo. Baada ya kuona unamchelewesha kupata hela na anashida ndiyo akagazabika, saizi madawa yake na maubani hayauziki.
@alphamboi401124 күн бұрын
End times wako kwa shida iran wametoka uislamu net imewafuruka
@emmanuelnganya972225 күн бұрын
Huyu anataka awapige hela waislamu wenzie kwani hana ushawishi wakuweza kuandaa mdahalo huo
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl25 күн бұрын
Ex Imam mwaipopo ni mganga wa kienyeji moja kafuga majini mengi pili anauza dawa nakutembea maeneo mbali mbali
@godwinmsuya608024 күн бұрын
Mwaipopo haku-silimu ili awe muislamu, huyu baba, ni mganga wa kienyeji, dini ya kiislamu inaruhusu uganga/ushirikina kwani ndipo yalipo majini kwa hiyo ukiwa mganga muislamu hakuna anayekuhumu alimradi sala tano zisikupite, sasa ndani ya uislamu, uganga wake uko salama salimini.
@NovisMgeni25 күн бұрын
Mwaipopo hana elimu hata ya quaran ,,Cha ajabu ana tetea hoja,, mwaipopo tulia uta kuja kuwapa mtihani mashekhe wako kujibu hoja ,ambazo una zi fufua wewe,,
@Anonymous-w9v-i1p25 күн бұрын
Muache tu😂..mtu elimu hana ila anapayuka ile mby.
@harrisoncharo-qz3vz25 күн бұрын
Huyu jamaa mwaipopo nikulalamika tu kwakweli hajui hata qrn
@NathanielNathan-m4o25 күн бұрын
Twawajua hawa ni waislam....wanatetea dini Yao Kwa matusi badala kupanga debate pajulikane mbivu na mbichi
@harrisoncharo-qz3vz25 күн бұрын
Hiyo ninjia ya kuhepa huo mujadala huyu mwaipopo kwnini mtu hamuja elewana halafu anatangaza poronjo
@wakeshojana25 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/m5m8lHd-d7eCoLM
@abdillahiabdallah43824 күн бұрын
wewe una TABIA ZA KIKE MWANAUME HANA TABIA ZA WOGA , UNA MAMBO YA VIJINENO KAMA MWANAMKE SISI TUKO TAYARI KUCHANGA GARAMA YOYOTE, WEWE X MUISLAM HATA ONGEA YAKO HUONGEI KAMA MWANAUME KAMILI, AU UNAOGOPA SAUTI YA KIUME YA MWAIPOPO