Karibu Kwenye Mdahalo: Ismail Na Shabani Hugo

  Рет қаралды 1,262

Ex Imam Tv

Ex Imam Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@JohnBenedict123
@JohnBenedict123 Ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@isayaogola8733
@isayaogola8733 29 күн бұрын
itakuwa lini
@StanleyThuo-vj1oz
@StanleyThuo-vj1oz Ай бұрын
Jamaa muoga kabsa,ungefukuza yeye mwanzo
@VictorNshala
@VictorNshala Ай бұрын
Ustadhi Shahaban, inabidi arudi shule😂😂😂
@abdillahiabdallah438
@abdillahiabdallah438 Ай бұрын
HUYO SHAABAN ANA ELIMU SANA SANA KASIMA KIELIMU HOJA YAKE HUYO ISMAIL KALA HELA YA KANISA SASA HOJA YAKE IMEKUWA YA KITOTO , AMELITIA AIBU KANISA LAKE
@sammykimbo7670
@sammykimbo7670 Ай бұрын
Shabani hajui chenye amekuja akasaau vile aliambiwa aongee.
@JohnBenedict123
@JohnBenedict123 Ай бұрын
😂😂😂 Halafu wakawa wengine wanajaribu kumkumbusha kwa pembani. Lakini ni kama kumlisha ng'ombe wakati wa mnada
@projestuskabaka-ym6ps
@projestuskabaka-ym6ps Ай бұрын
Awezi mjadala uyo anawapotezea mda
@abdillahiabdallah438
@abdillahiabdallah438 Ай бұрын
ANASOMA MESAGE ZA KIKRISTO TU MBONA ZA KIISLAM HUZISOMI, HUNA UADILIFU , LIPA HELA YA GARAMA LA KANISA
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 Ай бұрын
Shabani kakimbia wanajadiliana kwanza ndio waje kudanganya
@JohnBenedict123
@JohnBenedict123 Ай бұрын
😂😂😂😂
@DavidIssa-l9w
@DavidIssa-l9w 28 күн бұрын
MTAENDA MDAALO NA KISHKI ITAKUWA VIZURI MUMUKARIBISHE MWALIMU NDACA
@DawdyMzingula
@DawdyMzingula Ай бұрын
maaalim Shaban umesisimamia msimamo wa kielimu vzur kabisa kunukuu maneno ya mtu sio kana kwamba unakubaliana nayo mpka utoe comment ya kukubaliana na nukuu hiyo ndo tunasema umekubaliana naye ila sijui hyo mkristo haelewi Nini?
@NasriAbdallah-r1z
@NasriAbdallah-r1z Ай бұрын
kwaza kuwa2 umeaza nauwongo etiyesu asifiwe umetowa kwenye kitabugani iyo salamu
@projestuskabaka-ym6ps
@projestuskabaka-ym6ps Ай бұрын
Uyo analolote anapoteza mdatu
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 Ай бұрын
Huyo hugo hana anachojua nikumaliza bando tuu mweupe labda kasomea ubishi
@MahembeBenoît-n2i
@MahembeBenoît-n2i Ай бұрын
Uyo anamazugumzo ya ku kwepa kiupumbavu. Mruhusuni uondoke amejah lawama tele
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 Ай бұрын
adoni kutoka arusha mwalimu unaambiwa usitabasam tabasamu kuna vituu havizuiliki kama kutabasamu
@MahembeBenoît-n2i
@MahembeBenoît-n2i Ай бұрын
Askari akiwa muoga kabla ya vita afai. Uyo ajiamini si akubali mzungumziye alilobisha ?
@projestuskabaka-ym6ps
@projestuskabaka-ym6ps Ай бұрын
Awezi jamaa nyuma yake Kuna watu wanamwelekeza chakuongea awezi mjadala
@rasgwandumikaisi7489
@rasgwandumikaisi7489 Ай бұрын
Au Kaka Shabani apendekeze jina la mada,. Maana inaonekana alichoandika kwenye “comment” hakina sababu ya kuwa chanzo cha mjadala/ mada.
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 Ай бұрын
Hugo mjadala umemshinda,anahepa ki stail, Wala asijitetee anahepa live aache story nyingi jibu swali unaloulizwa lini utakua tayari??
@JOHNJOHN-e8c3c
@JOHNJOHN-e8c3c Ай бұрын
Huyu mpuuzi Shaban anatumalizia bando tu mwehu huyu
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 Ай бұрын
Tafadhali sn Sheikh Ismail, achana na mjadala na Huyo. Shaban Hugo, hana Elimu yoyote kutetea hoja yake, anakwepa maelezo yake mwenyewe., anasema n msomi hapo hamna kitu kbs, tuliaribu Mb zetu bure. Jambo jingine anajificha kwenye kamera makusudi, aibu itamuandama kwa Waislamu wenzake
@bibletv9818
@bibletv9818 Ай бұрын
Huyu jamaa mbona anakwepa sms yake wakati iko wazi? Anaogopa nini?
@konandawise4550
@konandawise4550 Ай бұрын
Hamna alio kwepa - unatakiwa uelewe alichokua anakisimamia - km anakwepa asingetokea kbs
@bibletv9818
@bibletv9818 Ай бұрын
​@@konandawise4550Rudia kusikiliza sms aliyotuma kisha ona anachokitaka sasa
@mobutu3884
@mobutu3884 Ай бұрын
​​@@konandawise4550Kutokea hakumfanyi awe sawa, sisi wote tunajua kiswahili, kwa nini asiwe na msimamo, alitakiwa akubali tokea mwanzo kuwa hayo yaliyosomwa na ismail ni kweli kabisa yapo ndani ya kitabu halafu ndio waendelee na mengine anayoyataka. Maana ile msg ndio chanzo cha huu mdahalo ma sio mengine
@bibletv9818
@bibletv9818 Ай бұрын
​@@konandawise4550Tulia usikilize tena utajua anavyokwepa sms yake
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 Ай бұрын
Kama kawaida anajihami,ni dhahiri amekua dhaifu ,na inaonyesha amethibitisha ukweli anaogopa kuumbuka huyo Hugo.
@lilhydon452
@lilhydon452 Ай бұрын
Mwalimu unakazi kubwa ya kuongea na wasio tumia akili yao
@OscarWilliam-q2k
@OscarWilliam-q2k Ай бұрын
Mi nazani huyo shebani amekubal na amesema maneno yapo ila je nikweli huyu imamu suyut ndio kasema Ivo mngempa kitabu akanukuu mwenyewe kitabu ni Cha nani
@abdillahiabdallah438
@abdillahiabdallah438 Ай бұрын
UNAMUOGOPA KWA NINI UNAMNUTE?? HIYO NI ZULMA KWANI MWENYEKITI NDIO ALOKUPA AMRI UMUONDOWE ? HUMFANYII UADILIFU UNAICHEZEA MSPIKA YA MWAMBA HUYO KUTOKA MWANZA
Ni Kweli Yesu Alikuwa Ni Mwislamu?
1:24:37
Ex Imam Tv
Рет қаралды 556
Sheikh Mwaipopo! Haya Ndiyo Maneno Yangu Kwako. +254725508108
40:00
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Usikose Mjadala Baina Yangu Na Shabani Hugo.
27:40
Ex Imam Tv
Рет қаралды 322
Shetani Na Qur'an
1:26:59
Ex Imam Tv
Рет қаралды 1,4 М.
Sheikh Mwaipopo! Una Shida Gani?
1:09:26
Ex Imam Tv
Рет қаралды 892
Eti Muhammad Katabiriwa Hapa! Hagai 3:7-9. Yohana 16:12-15.
1:11:44
Mada: Eti Qur'an Ni Muujiza! Ustadh Ramadhan Na Mwalimu Ismail
35:06
Waislamu!  Punguzeni Uongo Kidogo Tu!
54:39
Ex Imam Tv
Рет қаралды 1 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН