Ewe allah mjaalie sheikh wetu awe katika watu wa peponi❤❤❤
@charlesjohn5127 Жыл бұрын
Allah akuhifadh sheikh bachu na tunamuomba Allah atujalia sote waumini katika kukumbuka sana umauti na atujalia mwisho mwema
@hassanajiruu77932 жыл бұрын
Allah Akueke Pammoja na Waja wake wemah InshaaAllah. kaburi lako liwe Sawa na jumba la peponi InsaaAllah. Nakumbuka Kuwahi Kujahaliwa Kubusu Mkono Wako Sheik Nassor Bachu Umetangulia InshaaAllah Allah Atukutanishe Siku ya YAUMULDIN InshaaAllah.
@HusseinNuru-zd3bf4 ай бұрын
Allah amrehemu shekh amlipe jannatul firdaus
@mohammedOmar-w7uАй бұрын
Amiin
@rahmaalbert8882 жыл бұрын
Allah akurehemu sheikh wetu mawaidha yako lillah huwa yananipandisha imaan nakuntia subra sheikh bachu haupo duniani lkn maneno yako bado yanaishi na yataendelea kuishi namuomba Allah akuepushe na adhabu za kaburini aifanye kaburi lako kuwa miongoni mwa viwanja vya peponi Allah naomba utukutanishe na waja wema amiin amiin
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Allah akuangazie Nuru ndani ya kaburi lako nimefaidi Mengi kupitia Daawa yako Nakuombea Kila nikiona video zako na nitazidi kukuombea Allah akuweke miongoni mwa waja wema na pepo ya Firdausi nuzulah tukutane Insh'Allah amiin 🤲 ya Allah 😪
@mussakatawila94082 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Msamehe Mrehemu Na Mujaalie Makazi Peponi.
@jumakumala13372 жыл бұрын
ALLAH amrehemu sheikh wetu amlaze pema pamoja na wema peponi amiin , nasi tuliopo nyuma atujalie mwisho mwema amiin
@zainamusa26862 жыл бұрын
Rahimahu llah shekh nasoor bachu allah akurehem inshaallah
@ibugharib3894 жыл бұрын
INNALLILLAH WAINA ILLAIH RAJIUN ALLAH AKUREHEMU WEWE NA UMATI ISLAM ULIOTANGULIA MBELE YA HAKI
@ahmadisaid93042 жыл бұрын
Wallah nikisikiliza haya mawaidha naona kama niko kwenye kikao hiki nimekukumbuka sana shekhe wangu Allah akupe pepo inshallah
@suleimankhatibjogoo72363 жыл бұрын
Allah amrehemu sheikh wetu sheikh Nassor Bachu
@masudihemedi54882 ай бұрын
INNALLILLAH WAINA ILLAIH RAJIUN ALLAH AKUREHEMU WEWE NA UMATI ISLAM ULIOTANGULIA MBELE YA HAKI🤲
@kibwanamuhsin87724 жыл бұрын
Mwenye elimu inayonufaisha ummah hubaki hai hata kma amekufa. Mola akukutanishe na wema na manabii ya sheikhuna ameeen.
@saidimohamed89927 жыл бұрын
Yaa Allah mlipe pepo mwalimu wetu Hakika ametenda mambo mengi duniani
@andrewerick99715 жыл бұрын
Saidi Mohamed
@abdullahsumura Жыл бұрын
Yaa Allah,mpe mema
@issaissa6711 Жыл бұрын
Ameen
@alikashmir29835 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi wakabri liwe moja ya makaburi ya peponi
@omarisuleiman26114 жыл бұрын
Allah akuwek ktk jannatu firdaus
@hassanrashidi12676 жыл бұрын
Mawaidha ya Nassor Bachu ni mazuri sana, Allahumma rahmuhu waafihu waafuanihu
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Allah akujaalie pepo shehe wetu unatuelimisha japo upo mbele ya haki Allhamdulillah
@hamadramadhan95752 жыл бұрын
alla atusamehe dhambi zetu na atulizie amee.
@mohdmpete10657 жыл бұрын
Ewe Allah mpe makazi mema shekh wetu
@amraniibuo43575 жыл бұрын
Subhanallah Allah akuhifadh mahala pema peponi sheikh bachu Amiiin
@AA-yr7sr2 жыл бұрын
Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar 😭😭😭
@alisalim3228 Жыл бұрын
Yaa Rabbi tu nakuomba umpe Safar njema shekh nasoro Al marhuum
@hafidhimzee1697 Жыл бұрын
yarab mrehemu shekh wetu umuondoshee shida za kabrii na umpe rahaa za kabri.
@chusemwai31153 жыл бұрын
Allah, muweke mahara pema peponi huyu sheikh.
@adilihassan84553 жыл бұрын
Allah mjaze heri zaidi n zaidi kaburin mwake,mpe Raha yarabi uko alko,amiin
@tumtam88254 жыл бұрын
Allahumma ghfirlahu Warhamhu wa askinhu fil JANNAT.....ALLAHUMMA AAMIN
Allah akurehemu shekh Nassor bachu Amiin 🤲, Eee Mola wangu naomba unijaalie mwisho mwema inshalla Amiin 🤲
@ashamohamedi67124 жыл бұрын
Maaashaalaah Allah akulaze mahali pema peponi
@muntarjunior22324 жыл бұрын
mashAllah ewe Allah mrehemu sheikh wetu na umuingize ktk pepo yko ya firdauss
@nuramoboy11 жыл бұрын
maalim wangu Mungu amlaze mahala pema peponi kupata mtu mwenye kipaji kama huyu tena inachukua muda Watu kama hawa ni wachache sana wamebakia lakini ilmu yao itaendelea kuweko
@abdalashaibu26036 жыл бұрын
Maalimu wangu mungu akulaze pema..
@ndoanirahaonlinetv50315 жыл бұрын
Allah amuingize peponi fardausi kwa Rehma zake na utukufu wake
@anitaciza76605 жыл бұрын
Allah akibar walilahlihamdu Allah akuweke mahalapema fii jaanatifilidausi 👏👏👏❤🙏
@hajikaleji57955 жыл бұрын
اللهم إنى نسألك بحسن الختم
@alibinismaili23694 жыл бұрын
Allah akbar
@hamisijuma11629 жыл бұрын
mwenyezi mungu amlaze pema peponi in'shaallah
@masoudali24385 жыл бұрын
Aamiyn
@mahutochogogwe1045 жыл бұрын
Mola mjalie pepo
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Amyn
@skjjsj18892 жыл бұрын
Ma sha allah ujumbe umefikisha Allah akurehemu sheikh wetu
@jayequalizer_ke111 жыл бұрын
Allah atuingize peponi inshaallah
@amanadam42744 жыл бұрын
Mwenyezi mungu amlehem
@shabanimussa12194 жыл бұрын
M'MUNGU ampumzishe kwa amani maalim wangu,Amen!!
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Amiin 🤲
@kassimmbela6552 жыл бұрын
Allah akurehemu sheikh wetu
@Moses-w7v6 ай бұрын
Allah akujaliye pepo ndugu yangu inshaallah
@mohamedindity56244 жыл бұрын
Allah amlipe mema
@rashidially78811 жыл бұрын
mola amlipe kheri tele
@mussahamisi11916 жыл бұрын
ALLAH akuhifadh huko Innshaallah maana Dah Sina LA kusema
@jumamshimu5435 Жыл бұрын
Allah aiweke roho yake pema palipo na wema amin
@fatyakauga2951 Жыл бұрын
Allah akurehemu shehe wetu
@yusufabubakarayub282311 жыл бұрын
ameen ameen
@erickritte69417 жыл бұрын
Mungu akulaze mahala pema peponi amin
@sabrinayounisaden64138 жыл бұрын
JazaakaAllah khair sheikh nasir.may Allah azza wa jal have mercy on soul.
@alibinismaili23694 жыл бұрын
Allah akbar
@muhammedwakif62162 жыл бұрын
amin Yaraby
@abduazizi45365 жыл бұрын
Allah amrehemu shekh Nassor
@SalmaSalma-qp3xf6 жыл бұрын
Pumzika kwa aman shekhe wetu kwan umetuelimisha wengi
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Amiin 🤲 ya Allah
@fahdladen169311 жыл бұрын
inalilah waina ilah raj'un allah ampe pepo ya fridaus awe pamoja na mitume wote kina s.a.w. huzni imenijaa mwalimu wangu amenitoka lakini huzuni yangu inaitwa huzuni ya furaha coz sheikh kafa akiwa ktk jihad ya kulingania dini huyu ndio alikuwa akiniusia kwa wingi ndio alikuwa anajibu maswali yangu ewe allah nakuomba umpokee mja wako huyu na mpe pepo yako nasisi tujalie pia tujekukutana nae peponi insha allah ameen
@mamakinasha48277 жыл бұрын
ameen
@salimhahahaha.kilanga20276 жыл бұрын
Amini, Amin, Amin Yarabil Al'amin.
@ramadhaniathumani55996 жыл бұрын
IQRAA CHANNEL.
@abukhanifah23256 жыл бұрын
Aamin
@fatumafatuma6925 жыл бұрын
😤😤😤😤😤
@lailashaban58837 жыл бұрын
Ya Allah ampe makaz mema ya pepon Ameen
@abdalashaibu26036 жыл бұрын
Laila Shaban yaa alaah mpee makazz mema
@masoudali24385 жыл бұрын
Aamiyn
@iddylupenga72884 жыл бұрын
Asalam aleykum
@Saumu-tw1to Жыл бұрын
Allah amjalie pepo shekhe wetu
@pilimakundalongoilongoi3386 Жыл бұрын
MUNGU ampepepo ya juu INSHALLAH
@salehabdallahrugaish62753 жыл бұрын
Mashaalah God bless you
@SheheKhamis8 ай бұрын
❤❤❤ Allah amrehemu
@asayubeejr11995 жыл бұрын
Allahu akbar biyyadiq llykheir Allah yaa rabbiii wew ndo kila kitu kwetu
@aminasaid65556 жыл бұрын
Allah ampe firdaus
@suleimansaleh51234 жыл бұрын
Allah amhifadhi na ailaze roho yake pamoja na wema peponi
@shuwaibuzahran52572 жыл бұрын
Maashalla
@salimjuma51849 жыл бұрын
mungu amlipe mema huko aliko insha allah.
@msafirimvugalo82805 жыл бұрын
salim juma inshaallah!!
@masoudali24385 жыл бұрын
Aamiyn
@rashid.mwenyezimunguakurin29685 жыл бұрын
mwenyezi mungu akuripe pepo
@saumuseif91894 жыл бұрын
Allah amrehem
@Truthshallprevail129112 жыл бұрын
Rahimahullah. It's a very sad day. The sheikh passed away today, 14.03.2013. May Allah reward him with jannatul firdaws. Ameen
@Duck-zx5sy6 жыл бұрын
MrMedu490 May Allah give the highest of all paradise.his great job will continue until judgement day.sheikh Nasor Bachu is one of the greatest sheikh in my life time
@muhammedwakif62162 жыл бұрын
amin Yaraby
@Truthshallprevail12912 жыл бұрын
@@Duck-zx5sy Allahumma Ameen. He was indeed one of the greatest scholars from East Africa. His eloquence is especially unmatched in the swahili speaking world. رحمه الله رحمة واسعة وأسكنه الفردوس الأعلى من الجنة آمين
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Amiin 🤲 ya Allah
@ishakafaki35013 жыл бұрын
ALLAAH HUMMA AMIN YARABY
@abdulhassan85725 жыл бұрын
ALLAHU AKIBARU
@alishehaussi532 жыл бұрын
Salum ali haji
@jumaabdallah31375 жыл бұрын
اللهم اغفرله ورحمه وسكنه فل جنه.
@juruwayasin53464 жыл бұрын
Ina lli llahi wa inna illeihi wraji unn
@officialmrizzy75064 жыл бұрын
Allah akirehemu
@abdrazackhashim65496 жыл бұрын
Allah aqbar
@gorykawiche14657 жыл бұрын
inshaaallah
@rehemamarjan80596 жыл бұрын
Ma shaa Allah.
@mkudeleo80356 жыл бұрын
rehema marjan
@taqdeermrisho99255 жыл бұрын
Allah akulinde akuepushe na adhabu zote zilizopo Akhera
@MustoOmar Жыл бұрын
الهم اغفرله ورحمه
@mwanaharusisangwa91324 жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema
@ftimaramadan47484 жыл бұрын
Amiin yarabi
@yasinikanyamala66583 жыл бұрын
Mngu akurehem
@FatmaHassan-z5m Жыл бұрын
Twakuombea Dua Kila saa na dakika
@shabaniman95465 жыл бұрын
Rahma llah
@allyjongo43884 жыл бұрын
Yanga price
@YusufuMgunda2 ай бұрын
Sasa yule sheikhe aliyesema watu wafupi hawaingii peponi vipi kuhusu huyu masuudi?