Mashaallah Allah akuhifadhi sheikh Nurdin Kishki Nakupenda sana shukran sana kwa nasaha yako Mie nakuamini wewe ni mwana Sunnah kwa ufahamu wa salafi. By Rashad Murshid Swaibu Mussa.
@IdrisMwayama-hf2dx5 ай бұрын
ماشاءالله الشيخ كشكي
@HakizimanaSalima-sg7cv5 ай бұрын
Masha Allah tabarakallah Allah akuifadhi Sheikh kishki Allahumma Ameen
@UkhtyAsiyaah5 ай бұрын
Na hiyi AL Amnu tv leo imepata watu wengi sababy yakumfata Sheikh kishki tumetumiana like 👍 team nzima ya kishki sababu kishki tv mtandao unasumbua uko burundi 🇧🇮
@rashidyyusuph43865 ай бұрын
Wajinga ndo wanao mshabikia kishk na upotevu wake
@alamnutv46755 ай бұрын
Mashallah
@ZainabuRadjabu5 ай бұрын
@@rashidyyusuph4386wew usie mjing wafwat Nin hapa😂
@HanifaOman-oo4pl5 ай бұрын
Kwanini ujingawao nini. Ndugu@@rashidyyusuph4386
@AmoIslamicTv5 ай бұрын
Ok sawa! Kishk mpotevu, na wewe Mungu kashakuingoaa??@@rashidyyusuph4386
@HakizimanaZainabu-f8d5 ай бұрын
Masha'Allah Allah akutuhifadhiye Sheikh Nurdin Kishki Allah akupe umri mrefu wenye kheiri na baraka pamoja na familia yako
@omanmct1355 ай бұрын
Mashalllahh tunakupenda shekh ❤
@faridaally-jp1gx5 ай бұрын
Sheikh Allaah Akuhifadhi biidhini llaah
@hakizimanarahma65155 ай бұрын
Ni kweli sheikh kishk Allah akuzidishiye Hikmah sheikh wetu
@feisaldube72965 ай бұрын
Hawa jamaa ni mtihani sana Duh sijui kama si magenge ya kiyahudi
@MiriamYassini-kt6jh5 ай бұрын
ManshaAllah Allah akulipe kheri duniani mpaka kesho akhera burundi tunakupenda kwa ajili ya Allah😍🥰❤ pia ma sheikh wa🇧🇮 mnatia aibu kweli yani fujo nyingi tu😂 acheni wasomi wawape kitu kwa ushahidi
@omanmct1355 ай бұрын
Aaaalllah akuhifadhi nahudsa
@AmissaBIGIRIMANA5 ай бұрын
Maanshaa Allah Allah aku zidishiye Hekima
@mokitaa87505 ай бұрын
MASHAALLAH ALLAH AZIDI KUKUHIFADHI kipenzi chetu
@WaziriChambo-p6j5 ай бұрын
Yani sheikh mkubwa wakimataif utamsikia tu kwny kuongea kwake yani point tupuuuu kabisa mashe waburundi fujo tuu nakuhukum watu mnatutia aibu sisi maamuma
Uyo ane sema Sheikh kishki hapendwi burundi 🇧🇮 ninani waache wivu Sheikh kishki anapendwa sana kapewa zawadi na kina mama nyie wenyewe AL Amnu tv mmeona jisi juzi tumejazana live kimfata alipo Sheikh kishki nasi tupo nyuma yake mkono kwa mkono Adi peponi 🤝
@MariamUmande5 ай бұрын
Maashallah Maashallah Maashallah
@issandayisaba15765 ай бұрын
❤❤
@MariamUmande5 ай бұрын
Wambie masalafiya jadidah
@algakire5 ай бұрын
Masalafi wa kisasa wana mtindo kama makhawarij kwel 😢😢😢
@MaryamShabani-n2u5 ай бұрын
Shekhe ulipokuwepo na sisi tupo
@Kzm-c9u5 ай бұрын
Hapa kishki kachemka bado hajasema
@NduwimanaZena5 ай бұрын
Masheikh wa Burundi acheni wivu.kishki tunampenda saaana hamto tubadilisha tunampenda.kawaida hampendagi masheikh wakutoka inje acheni wivu kabisa
@AdiliNkurunziza-th2ly5 ай бұрын
Sheikh ao mwanadini wowote Naiman atakua ameelewa. Masheikh wa Burundi acheni Kiki mjifunze kupeane nasaha acheni kukufurishan mnapotosh ummah
@MaryamShabani-n2u5 ай бұрын
Mpaka unaza safari yakuludi tz nasi tupo
@ZulfahMuhammad5 ай бұрын
Allaah atuifadhiye sheikh wetu hao wangine ni husda tu ndio zimewajaa na elmu dogo wanayo na hawana huwezo wakuikaa shini na sheikh wajadili maswala ya dini
@AmirbigirimanaBardazard5 ай бұрын
Hhhhhh daaaah. Mna chekesha kwa kweli kwan kishki. Mnamuona nani katika hii dini kua awezi kujadiliwa kwa elimu gan? Au mna ghurika na. Kiswahili?
@SAIDIYABUSHINGEDJUMA5 ай бұрын
Labda wanapigwa na butwa kwa kiswahili kishk yeye nani ambaye hawezi kujadiliwa
@ZulfahMuhammad5 ай бұрын
@@SAIDIYABUSHINGEDJUMA ni ma Ustadh wa fcbk hao hawana jipia wasome kwaza alafu wakibeba elmu ndio wajiandeye kujadili na sheikh
@مبغضالبدع-ع9ص5 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/rqrCo5WKabaCkLcsi=C4hyTra1EXiIPTg2 Naam naam tunaendelea pole pole na shekhe letu kidhabdhabina....
@assouminiNshimirimana-ri1hd5 ай бұрын
Ma chekh wa Burundi aceni fitina nacuki Duniya zima aikuona kama ni mupida kakundi ka cace ndiyo kamezusha kawaita bado agali mjadiliyane akisha ondoka musianze habari zake
@HassanNzeyimana-yh4qm5 ай бұрын
Umwana yankwa nuwe akura kama watu wasio juwa kurusha nguvu nimahrenade tu hhhhhh kaenda badae muanze fujo tena
@nasilukilawaga20215 ай бұрын
Kishki Alisha pewa nasaha na abulfadhil tena kwa barua.
@awadhally10525 ай бұрын
Kwel
@abumuhsinminaniabdoullahas91855 ай бұрын
Amefatwa,mu post na yaliotokea baada ya kufatwa
@allywaziry64195 ай бұрын
Kipotokea nn akhy, Kuna mjadala wowote umefanyika???
@مبغضالبدع-ع9ص5 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/pZubZ4Rol7WFaaMsi=PAL4VWAEnyDy1UFV Naam naam tunaanza kukuweka wazi pole pole.... angalia hapo uko na nani??? Alafu madalafy wachana nao huwawezi kijana... 😂😂😂😂😂😂
@rashidyyusuph43865 ай бұрын
قال الأوزاعي: إصبر نفسك على السّنة، وقف حيث وقف القوم، وقل بما قالوا، وكف عما كفوا عنه، واسلك سبيل سلفك الصالح، فإنه يسعك ما وسعهم. ولا يستقيم الإيمان إلا بالقول، ولا يستقيم القول إلا بالعلم، ولا يستقيم الإيمان والقول والعمل إلا بالنية موافَقةً للسنة. 📜تهذيب حلية الأولياء ٢/٢٩١
@AmirbigirimanaBardazard5 ай бұрын
Hiy aingii kwa nurdiini anae shirikiana nmaibadhi nama Sufi
@rashidyyusuph43865 ай бұрын
@@AmirbigirimanaBardazard kweli kabisa huyo sio mtu wa sunna bali anaenda na upepo wa watu sifa zinampoza
@AhmednurHussein-m2s5 ай бұрын
Hakika akhy@@AmirbigirimanaBardazard
@UkhtyAsiyaah5 ай бұрын
Bisokoro kwinyo kana nawaina mbavyo teseka nakwambia ivi Wivu utawatafuna na njaaa 😅😅😅 mbona mbamuigopa kawaitisha kama mnajiamini nendeni mkakutane nae awatoe povu kavu kisha inulia na Allah nyie Bisokoro kwinyo hamuwezi kumshusha jipangeni upya utafyka na roho zenu mbaya mnanuka njaaa tu 😅😅😅😅
@UkhtyAsiyaah5 ай бұрын
Mnateseka sana etiii eeeh nabado mtaongezwa oxygen juuu ya kishki maskini wa elimu yatima wa imani wewe tajiri wa majungu na roho mbaya 😅😅😅jiangalie udije kufa na presha ya kishki
@ZulfahMuhammad5 ай бұрын
Na huyu Ustadh namuhifadhi jina hana uwezo wowote wakuikaa chini kuzingumza na sheikh zaidi anataka kiki tu kwenye mitandao ya jaami
@mariamndikumana-nn9ly5 ай бұрын
😂😂😂ata usimuhifadhi yepeke hajihifadhi. Ninjaa zinawasumbuwa na wivu nishakafaham Kam neno mengi na adabu akana
@AmirbigirimanaBardazard5 ай бұрын
Mnamuona nani huyo nurdiini? Hamna lolote zaidi ya kupaka mbona awa kutaka ajadiliwe?
@AmirbigirimanaBardazard5 ай бұрын
@@mariamndikumana-nn9lykwan huyo unae mzungunzia. Kishawah kuja kukuomba lolote au ana kula kwako hiyo kwako ni adabu? Huko niku kosa aibu
@ZulfahMuhammad5 ай бұрын
@@AmirbigirimanaBardazard acha mbwembwe aiza nyie ndio hamna lolote mwaikalia kisema tu nyuma ya pazia chevu
@UkhtyAsiyaah5 ай бұрын
@user Acha makasiriko Kishki ni mmoja tu acheni wivu na roho mbaya zinawatafuna kazi yenu kama nawaona mnavyo teseka na 😄 Kishki tatizo njaa ndo zinawasumbua Adi mnakula na roho mbaya elimu yenyewe huna eti unakaa chini unamjadili MUHADHIRI WA KIMATAIFA wee huogopi 😅😅
@AhmednurHussein-m2s5 ай бұрын
Hhhhh eti atoa fursa kwa masalaf nyinyi a'awamu ndo mnashaka na uhizbi wa kishki ivi niulize kitu unaweza kua unashirikiana na masufi na maibadhi kadhalika na kuwasifu na kuwaponda masalafi afu eti ni mtu wa sunna yani wallah wa Rabbii ni mashariq na magharib
@docteurjames48585 ай бұрын
Acheni wasomi wa kiislam wawe wa tangazaji kuliko awa ambao awa kusomeya iyo kazi ya ujournaliste kuliko kutukanisha kazi za watu na kiswahili ujuwi kuoji pumbavu ww
@Zafarankanyange5 ай бұрын
Msomi hatusi dr
@issaisandeko62175 ай бұрын
Aisee kweli huna hata chembe ya Imani, matusi ya nini sasa? Tuache tabia ya kikafiri
@OmarSwalehe-z9u5 ай бұрын
We ni mtu wa bidaa ndio mana kwenye maulidini unakwenda
@UkhtyAsiyaah5 ай бұрын
Ulishaga wahi kumuona kwenye maulidi ?
@UkhtyAsiyaah5 ай бұрын
Mnajiropokea tu mambo msio yajua kawaitisha mkafanye majadiliano mbona mnamiogopa nendeni sio maneno tu ya vichochoroni
@hamzakimaro37645 ай бұрын
Huyo kishki ni KASUKU tu na mkusanya mali!! Wala hana elimu ya kueleweka!!
@abuushakiraddausiy86665 ай бұрын
Kasomeahe wewe na walinganie watu wewe mwenye elimu ya kueleweka
@الدنيافيهذاالزمان5 ай бұрын
We mbwa
@saidisaidi45025 ай бұрын
Kasema yupo Burundi wiki nzima nenda kaongee usoni mwake acha kujificha nyuma ya computer kama mwanake @hamzakimaro
@EricsonNoah5 ай бұрын
We unayo?
@AboubakarNiyonzimaAboubakar325 ай бұрын
Hauko salafi uko nani? Mana ya salafi jifunze ni nini??
@الدنيافيهذاالزمان5 ай бұрын
We utakwenda peponi kwa sababu usafi hayaaa
@NduwimanaZena5 ай бұрын
Masheikh wa Burundi acheni wivu.kishki tunampenda saaana hamto tubadilisha tunampenda.kawaida hampendagi masheikh wakutoka inje acheni wivu kabisa