Mashaallah Allah S.W awape kila la kheri kw kujtoa kwenda kwny mji mtukufu wa Madinah na pia awajaalie muwe na muendelezo wa kwenda kutembelea mji huo mtukufu na sisi pia ambao hatujabahatka kufka Madinah kw mwaka huu tumuombee Mungu kw neema zake tuweze kufka kwny mji huo mtukufu inshallah
@AndulHida-hs5py18 сағат бұрын
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri,, Mola awakubalie Ibada iyo muhimu sana , kwetu sisi waislam, na mtuombee na sisi inshaallah.
@zuhoor-mc7hq15 сағат бұрын
Nami kabis nitakuj kufika Makkah na Madinah 😢😢😢❤ Yaa rabbi nizidishie ktk ridhiki zangu niweze kufanikiw kufika Makkah na Madinah kwa ajili ya hijja na utujalie khusnul khatima yafikapo mauti yetu sote ummati muhamadu swallahu alayhi wasaalama 😢😢❤ amiin.mola azitaqabal Ibada zenu wapendwa wangu ktk imaan
@SadaHasimu14 сағат бұрын
Mashaallah Allah awape wepesi nankuwaongoza vyema mtimize .maamgizo matukufu ya mwenyezi Mungu inshaallah mtuombee na sisi tuliyobaki Allah atujaliye kwa sote tuweze kukanyanga mjinmkuu wa Allah na kufanya ibada tukufu inshaallah🤲🤲🤲🙏🙏
@user-to6up4hg2w17 сағат бұрын
Masha Allah ❤❤❤❤
@saidasaleh645112 сағат бұрын
Mashaallah Allah awatimizie haja zenu natamani na mimi kufika huko
@abdulhamidjabu653018 сағат бұрын
mashaallah
@خذالمعلومة-س1ي7 сағат бұрын
Mu mwambiye shkh othman ajaribu kuyika mbele ya maulama apo wa mtibu ugonjwa wa MAULID NA BIDAA TOFAUTI.