HII SIO ALKAABA ALIYOIWACHA NABII IBRAHIM // SHEIKH OTHMAN MAALIM

  Рет қаралды 5,854

arkas online tv

arkas online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py Күн бұрын
Jazzak Allah kheri shekhe.
@MaulanaAbdallah
@MaulanaAbdallah 2 күн бұрын
MashaAllah sheikh wetu...naomba unijuze miskiti miwili iliyo makkah baada ya masjid jinn kuna miskiti miwili upande wa Kulia na kushoto
@alimohamedhatub7947
@alimohamedhatub7947 3 күн бұрын
ماشاء الله
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 күн бұрын
Mambo mengine yanahitaji upembuzi yakinifu.inahitaji elimu tosherezi.Na waita sana ma sheikh na ma ustadh pamoja na waliyoshika mihimili katika kila nyanja waje niwapambanulie yaliyo jificha msiyo kuwa na elimu nayo. Hamjapata kuona mtu anayefundisha yatokayo Moja kwa moja katika hifadhi ya Mola wetu. Mwenyezi Mungu ametia maneno yake ndani yangu kwa ajili ya upambanuzi yakinifu ili mpate uhakika katika kila jambo. Nitaifasiri Qur'an kwa nyinyi wenyewe kuisoma. Na mtapata kujuwa yaliyomo ndani kwa ajili ya haki. Nimepewa elimu kwa amri ya Mola wetu,nayo hakam min hakamullah bashiran. Nawasihi wale wanaotengamana na majinni kwa njia moja au nyengine watambuwe kuwa qapo upotevuni. Majinni wao walisha tengewa MOTONI wao hawana pepo. Someni Qur'an vizuri. Nawaonea huruma, nawaogopea wanaoshikiana na majinni kwa ajili ya kupata mali utajiri, kweli mtayapata hapa lakini huko mjuwe hamna kitu biashara fi nnari.(shirki ) maswali yote Sunia nzima yaletwe kwangu, najuwa waislamu wana mambo mengi wanataka kujuwa , lakini hawapati majibu tosherezi, sasa mtayapata kupitia mimi. Najuwa kuwa tafsiri ya Qur'an hamnayo maana kina mengine yapo wazi kwa watu na mengine hayapo wazi. Na Mtume alisema (Hakika mimi Muhammad ni mfano wa Qur'an na matendo yangu, ukifuata matendo yangu utakuwa umeitenda Qur'an) na hii Qur'an ukiisoma na ukiielewa sivyo utaifasiri sivyo na ukiifasiri sivyo utatenda sivyo. Kwa sheikh yeyote atakaye weza kutoa maana iliyomo katika surat Tini kuanzia aya 1-4 tu nampa LAKI MOJA. TAFSIRI ILETE MAANA. 0715417511 WHATSAPP. nipo Dsm. Nata nikiweka zawadi ya hati ya nyumba hakuna atakaye pata. Qur'an imezungumzwa katika elimu. Nayo ni bishara njema kwa watu.
@HashimMohamed-ku8mg
@HashimMohamed-ku8mg 3 күн бұрын
Umeandika mambo mengi nje ya mada cjui wamaanisha nn jaribu kuandika polepole tuone maneno vzuri waandika haraka paka maneno wakosea kuandika
@HashimMohamed-ku8mg
@HashimMohamed-ku8mg 3 күн бұрын
Eti Allah ametia maneno yake ndani yako?? wamaanisha?
@HashimMohamed-ku8mg
@HashimMohamed-ku8mg 3 күн бұрын
Quran haitafsiriwi Kwa tafsiri ya mtu au Kwa Rai yake Qur'an inawafasiri maalum Ka vile ibn Kathir na wengine sielewi kabisa waeleza kuhusu nn
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 күн бұрын
@HashimMohamed-ku8mg Hashiim, maana yangu si nje ya mada, hapana , Sheikh anacho kiekeza kuhusu ujenzi wa Al kaaba kuwa walijenga kwanza malaika, sioni kuwa sahihi. Halafu ilikuwa ya mita nne na nusu. Hapo nikachoka. Katka dini hakufai kuingiza usilo lijuwa. Ndiyo maana nikasema ma sheikh waje niwasomee yenye ufafanuzi na haki. Mimi nina habari za Moja kwa moja katika Umulk. Nice jambo geni kwenu ila ni mipango ya Mwenyezi Mungu kumpa amtakaye bila hesabu. Nimepewa katika ngazi ya ulamaa, si Mtume wala Nabii.Ila ni mwalimu tu ila elimu yangu inatokana katika hijab la Mwenyezi Mungu. I'll kuwapambanulia watu ukweli katika nyakati hizi zenye Mwishirizo. I'll kusije kuwa na hoja siku hiyo kuwa HATUKUJUWA.
@WilsonAlphonce-m2z
@WilsonAlphonce-m2z 3 күн бұрын
Waisilam mna stori za kutunga sana!!
@kassimualli1755
@kassimualli1755 3 күн бұрын
Nyinyi wakristo ndo mmetungiwa dini na bibilia mnazidi kupotea
@HashimMohamed-ku8mg
@HashimMohamed-ku8mg 3 күн бұрын
Wakristo kwanza waisome Qur'an alafu kisha ndio waongee cz Qur'an imezifafanua Imani zote zisiyo za Sawa na uislamu ukaweka wazi kua ndio dini ya Sawa na dini ya Allah na dini yoyote isiyokua uislamu haitakubaliwa Kwa Allah Chapter 3verse 18
@AdamChogo
@AdamChogo 2 күн бұрын
We mwenyew umtungwa
@HashimMohamed-ku8mg
@HashimMohamed-ku8mg 2 күн бұрын
Huyu Naye pia hajui aongea nn
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 11 сағат бұрын
Majinuni 😏
@HashimMohamed-ku8mg
@HashimMohamed-ku8mg 3 күн бұрын
Nani alikwambia alkaaba inaabudiwa? usiongee kitu usichokijua Alkaaba ni direction Yani kibla ya pili ya waislamu kuelekea wanaposwali sio kua waislamu wanaiabudu waislamu wanamubudu Allah pekeake
@HashimMohamed-ku8mg
@HashimMohamed-ku8mg 3 күн бұрын
Kibla cha kwanza waislamu walikua wakielekea ilkua ni masjid aqsa Palestine kisha mayahudi wakamfanyia istihzai mtume Muhammad ndio Allah akareremsha verse akamuelekeza aelekee alkaaba
@AbdallahSalum-vi3tw
@AbdallahSalum-vi3tw 3 күн бұрын
Mtu huyo ni kafiri yeye anawaza waislamu tunaabudu jiwe ! Hajui kibla hayawani.
@tanzanite9944
@tanzanite9944 3 күн бұрын
Mnaabudu Vimonfo nilivyopasuka na kudondoka kutoka Angani huku Mkisema ni jiwe limeshuka kutoka Mbinguni 😢. Enzi za WaQurash waliokuwa hawajui Kusoma kuandika wala Sayansi, waliokota jiwe hilo ambapo ni Kimondo kilichopasuka na kwakuwa hawakujua kilipotoka wakafhani kimetoka Mbinguni kwa Mungu Kumbe ni Jiwe la kimondo kama lile lililoko Mbuzi-Mbeya-Tanzania.
@salmasalim14
@salmasalim14 3 күн бұрын
Hao waliosoma mpaka hii leo wanasanyi wameshindwa kuthibitisha haya madai yako na mpaka leo kwao imekuwa ni kitendawili kwakuwa hawana majibu. Kwahio wewe sio wa kwanza kuwa na fikra kama hizo bali ningekushauri ndugu yangu kwa upendo usipinge kitu ikiwa hukijui na iache akili yako huru ktk kuifuata haki usikubali moyo ukushawishi maana moyo hupenda kupotosha
@m.n.a2306
@m.n.a2306 3 күн бұрын
Kuna siku tanzanite utameza maneno Yako
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 3 күн бұрын
Sasa wewe kunguni bibilia yenyewe 😭 imekushinda kusoma unasomewa kila weeks ukiwa juu ya kiti 😂 kweli utaweza kuweka ku Quran kwenye kifua chako na kichwani.kweli ebu weka kwanza bibilia kichwani yte kama vile muslimu wanafanya kwenye Quran na pmoja na watoto wao alafu ndio urudi hpa 😂 tumefeli wakristo kuabudu mungu kwa weeks moja 😢😢😢
@AbdallahSalum-vi3tw
@AbdallahSalum-vi3tw 3 күн бұрын
Wewe ni MASIKINI WA AKILI pole sana, fika mbeya uende mbozi wakupeleke uone tofauti iliopo. Ma astrologist katika nchi hizo wapo na wana elimu tangu enzi hizo. Vipi mbona hakujatokea hata mmoja aeleze ujinga kama huo wako ? Au wafikiri ni tanzanite ?
@AbdallahSalum-vi3tw
@AbdallahSalum-vi3tw 3 күн бұрын
Guy , Are you crazy ? That stone it's not a gemstone. What hell are you ?
ALLAH AKIKUKATAZA JAMBO HUKUPA MBADALA WAKE // SHEIKH OTHMAN MAALIM
33:57
MAKABILA 27 YALIYOMKATAA MTUME MUHAMMAD// SHEIKH OTHMAN MAALIM
58:02
arkas online tv
Рет қаралды 13 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
KISA CHA NABII SULEIMAN MFALME TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI
1:11:03
arkas online tv
Рет қаралды 212 М.
UTAKUJA KUJUTIA WAKATI WAKO UNAOUPOTEZA// SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:18:04
arkas online tv
Рет қаралды 42 М.
Sheikh Ali Bahero||•Aliyetoweka katika ulimwengu huu harudi.(Maiti).
43:59
Mbinu zinazotumiwa kuangamiza Uislamu // Sheikh Othman Maalim
1:02:56
Idh - har online Tv
Рет қаралды 1,2 М.
KISA CHA DEREVA NA MTOTO WA MBWA // SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:11:49
arkas online tv
Рет қаралды 33 М.