Shukrani sana shekhe wetu kwa elimu nzuri km hii tunaomba na mafunzo ya vijana wakiume nao hawajui kabisa jinsi ya kuishi na mke japo wanapenda kuoa lkn elimu ya kuishi na mke hawana kabisa yaana ni bure kabisa na ndio anajifanya mume na ndio baba wa watoto mtarajiwa ni huzuni kwakweli.
@najmaawadh13593 жыл бұрын
😘Namuomba Allah akujaalie mwisho mwema insha'Allah
@AbdulRashid-cr6cu2 жыл бұрын
Jazaaka lahulkheira shekh othman tunaitat ukumbusho Zaid kwan wengine tupo ktk ndoa tunaish Kama marafiki je tunakupataje
@70FADHILSALUM2 жыл бұрын
Mungu akupe hatima njema pamoja nasi amin amin
@swaiseif29893 жыл бұрын
Masha'a Allah sheikh nampenda huyu Kwa ajili ya Allah
@latifaalsh54212 жыл бұрын
Allah akujaalie kheriiii shekhe wetu othumani maalimu 🤲🤲
@sulleyshbinally79033 жыл бұрын
Shukran sana Sheikh Othman. Licha ya kujifunza mengi kwenye nasaha hilo, Tuandalie nasaha na sisi vijana tunaotaka kuoa.
@najmaawadh13593 жыл бұрын
Allah Akupe kila la khery na kukuepushia kila Baya na mabaya ya duniani na akhera insha'Allah
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@aishaseif78522 жыл бұрын
Nimeipenda Bure hii ni zaidi ya kungwi maasha Allah
@farhawaziri70452 жыл бұрын
Allah akupe umli mrefu na afya❤️❤️
@wardajumaa1272 Жыл бұрын
Tupo shehe❤
@fayzal-amoudy62853 жыл бұрын
Mashaa'Allah Tabaaraka'Rahman kwa Wasia mwema, Jazaka'Allahu Kheir
@nasraiddy32522 жыл бұрын
Shukran sheikhe ujumbee nimeusikiliza kwa wakati maalumu ...jazak llah kherii sheikhe wetu
@maimoonabakari14262 жыл бұрын
Shukran sana sheikh wetu Allah akujaalie umri wenye manufaa na elmu zaidi uzidi kutuelimsha ss na vizazi vyetu insha'Allah
@Hannat_henna Жыл бұрын
Shukran kwa nasaha nzur
@amurisabiti70373 жыл бұрын
Man'shallah sheihk wetu ❤️🇨🇩
@shinayzashiraaz45882 жыл бұрын
Shukriyah...jazakumullah kheir ya sheikh...Allah akujaliie jannatul Firdousy, na akupe kila la kheir katika maisha yako...ameen
@faridaikussi Жыл бұрын
Subhaanallah niliolewa nikajituma lakin nawaogopa wanaume
@missmoona44972 жыл бұрын
Maashaallah maneno mazuuri sana na yenye maana na kueleweka kwa ufasaha shukran jazaka ullahu khair 🙏🙏🙏🙏❤kwaajir ya Allah sheikh wangu
@bintsalimalbimany2873 жыл бұрын
Allah akbar jaman nataka niihifadhi yote hii clip😢jaman nije nimpe Usia mtt wangu akiolewa🤲❤️💖💕🥰Jazakallah kher Sheikh Othman wallah jaza yako iko kwa Allah subhanawwataala🤲🤲🤲Wanawake tukitoka kufanikiwa basi tuyashike haya mawaidha jaman makubwa mnoooo jaman Nakupata sheikh Othman from uae🇦🇪👍👍
@ShaffikAbdul2 жыл бұрын
Umeolewa?
@bintsalimalbimany2872 жыл бұрын
@@ShaffikAbdul yes Alhamdulillah Why??
@ShaffikAbdul2 жыл бұрын
masha'Allah.. may Allah bless your marriage.. am praying to Allah to bless me with a good wife .. akiwa na Deen na imani
@bintsalimalbimany2872 жыл бұрын
@@ShaffikAbdul Allahumma Ammin yarab Omba dua tu sana amka usik Usali umuombe Allah akupe mke mwema🤲inshaallah dua zako ziwe maqbook🥰🤲
@sikukuuchuo30932 жыл бұрын
@@ShaffikAbdul ALLAH n mwingi wa Rahma . Dua.
@tatumohammed6301 Жыл бұрын
hongera
@ustadhisimbula86223 жыл бұрын
Maa shaa allah mmefanya jambo kubwa kuweka chaneli hii tutapata meng sana allah awalipe kher nying dunian na akhera
tupo shkeh wetu wanawke wanamn hyo ila tu waume zetu wanachkua udhaif wetu huo kutuonea
@nasirshekhi60702 жыл бұрын
Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❣️🤲✨
@zayyatiyussuf95663 жыл бұрын
Walaykum salam warahmatullah wabarakatu ya sheikh
@hshshsshjdjejjejejejej98232 жыл бұрын
Amiin yarab nashukur
@shakazulu85322 жыл бұрын
Shukran kwa darsa 👂
@mtumwasudi38232 жыл бұрын
Asalam alaikum mm naomba namba zako kwasbb kuna jambo linanitatiza
@sharifamohammed8093 жыл бұрын
Nip mm lakini sina bahati kwakweli 😭kitu nilicho kuwa siwezi naskiya aibu basi kumuomba mumewangu nahisi kama atanifkiriya namtiya ziki yani siwezi kwakweli 😓
@ShaffikAbdul2 жыл бұрын
Kwani bado ww ni mwana ndoa
@nassorbushiri2330 Жыл бұрын
8:24 Thanks
@jimjam41483 жыл бұрын
MASHA ALLAH
@zaitunmohamed72402 жыл бұрын
MashaaAllah may Allah bless us with end good time
@zayyatiyussuf95663 жыл бұрын
Sheikh lini kipindi cha maswali na majibu?
@salehsuleiman94072 жыл бұрын
Huyu ni zaid y hazina
@nooratshariff5067 Жыл бұрын
Je kama umefunga ndoa mwanaume hanauwezo Wa kukuingilia hiyo ndoa inaswihi?
@nooratshariff5067 Жыл бұрын
Mume wangu hana uwezo Wa kuingilia yani jmai nahaki yakuendelea kuishi nae? 7:46