BAADA YA MAUTI - SHEIKH OTHMAN MAALIM

  Рет қаралды 178,714

Arahman Tv Online

Arahman Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 153
@AsmaaEddysuba
@AsmaaEddysuba 9 ай бұрын
Allah akupe ujura mwem sheikh wetu
@rahimhussein9323
@rahimhussein9323 8 күн бұрын
Yaarab tujaalie salama mola wetu
@husseinnasir9029
@husseinnasir9029 11 ай бұрын
Maalim sheikh uthman best in the world❤
@zubedahassan409
@zubedahassan409 Ай бұрын
Allah ampe wepes wa kila jambo
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 21 күн бұрын
Tubadilikeni waislamu tuacheni kibri Kifo ndio mwisho wetu wa kiburi Mungu yupo wala halali.
@guyogalora-gl2lu
@guyogalora-gl2lu 7 ай бұрын
Allahummah inni as-aluka husnal khatimah,Allahummah Zugni taubatan nasuha qabla maut,Allahummah ya muqallibal qulub thabbit qalbee alaa deenika
@tabutabu8900
@tabutabu8900 11 ай бұрын
Nampenda sheikh huyu ❤❤❤
@azizayassin3623
@azizayassin3623 5 ай бұрын
Hunishindi mimi❤❤❤
@MgosiMzalendo
@MgosiMzalendo 22 күн бұрын
Allah tunakuomba utujalie mwisho mwema.amiina yaarabi
@OmanOma-xi3hm
@OmanOma-xi3hm 11 ай бұрын
Na hasa shekhe othumani maalim ukimsomea aur ani moyo unasuuzika maasha Allah❤❤❤
@UmmiGanja
@UmmiGanja 10 ай бұрын
Yaa Rabbi tujaalie mwisho mwema yaa Rabbina Alamin 😭 Allaumma takabal 😭😭😭😭😭😭😭
@dhahabo2451
@dhahabo2451 10 ай бұрын
Ameen ya rabi 🤲 😢
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 10 ай бұрын
آمين
@mc-omoro2366
@mc-omoro2366 10 ай бұрын
Ameen Thumma Ameen
@Marim-sj7oi
@Marim-sj7oi 10 ай бұрын
Amiin thumma Amiin 🤲
@aysherally6158
@aysherally6158 9 ай бұрын
Aameen Allahumma Aameen
@Rehema-h6t
@Rehema-h6t 4 ай бұрын
Hakika duniya NI mapito Allah atujalie mwisho mwema yaarab 😢🤲
@NurahhNurray
@NurahhNurray 3 ай бұрын
Ameeen 🤲
@zulekha-jv9rn
@zulekha-jv9rn 7 ай бұрын
Mwanadamu sio kitu kibri chabure,mungu atuepushi nacho tumche Allah
@Fatuma323
@Fatuma323 6 ай бұрын
Yarabb tujalie mwisho mwema sote inshallah
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Ай бұрын
Mashallah, Mungu tujaalie tuwe na mwisho mwema na utusamehe makosa yetu,na tuongoze tuzidi kukuabudu wewe pekee .
@mulolemary1317
@mulolemary1317 6 ай бұрын
ALLAH atuongoze aziongoze nafsi zetu
@rahimhussein9323
@rahimhussein9323 8 күн бұрын
Mungu yupo jamani tumuabud ilitupate salama kesho akhera.
@HadijaSobo
@HadijaSobo 20 күн бұрын
ALLAA tujarie mwisho mwema umati Muhammad nampenda sanaa shekhe
@ramasadaka7320
@ramasadaka7320 4 ай бұрын
Mungu amzidishie umri na azidi kuwaelimisha waja.
@AthumanMatembezi
@AthumanMatembezi 24 күн бұрын
Mmungu akupe maisha marefu aamiiiin
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 10 ай бұрын
Mungu tupe Imani ya Dini yetu tufanye mazuri kwenye maisha yetu utupe mwisho mwema kwenye Dunia hii.
@kabelegecletus718
@kabelegecletus718 19 күн бұрын
Duniani tunapita mwenyezi Mungu atujalie tuwe na mwisho mwema duniani na tuingie peponi ❤
@fatmasaleh3373
@fatmasaleh3373 6 ай бұрын
Allah atujaalie vifo vyema 🤲🤲🤲
@idimubarak5693
@idimubarak5693 11 ай бұрын
Masha Allah Allah azidi kukulinda kwenye hii dunia na kesho akhera unaufasaha nzuri.. jazakallah
@fatumawanjiru750
@fatumawanjiru750 11 ай бұрын
Asalam alaykum.Asante sana Sheikh wetu.Allah skulipe duniani na kesho Akhera...darsa zuri MaashaAllah
@Zulpha-i5d
@Zulpha-i5d Ай бұрын
Waelekum msalam warkmatulahi wabarakatu
@MaxamedCali-k1v
@MaxamedCali-k1v 9 ай бұрын
Nampenda❤Saana Sheikh othman Maalim ..napenda Nasaha Yako.
@Ney_kweyamba
@Ney_kweyamba 11 ай бұрын
Allah❤❤❤ Tunakupenda Shekhe wetu Allah Akuweke
@dcgyywqswe4562
@dcgyywqswe4562 5 ай бұрын
Uko wap jmn
@shamepandu8422
@shamepandu8422 Ай бұрын
Allah atuwezeshe Kila lenye kheri Duniani na kesho Akhera
@rahimhussein9323
@rahimhussein9323 8 күн бұрын
Tupendane tufanye ibada anaetoa adhabu ni MUNGU PEKEE
@shwehasaid4083
@shwehasaid4083 Жыл бұрын
Mashaallah jazakallah khaira
@nasrahassan2260
@nasrahassan2260 Жыл бұрын
Masha allah tabarak allah allah akuhivazi na akulipe ujira wako insha allah❤❤❤❤
@MonaMona-d6w
@MonaMona-d6w Ай бұрын
Allah akbar... tupe mwisho mwema yarabi
@fatmakhamis9982
@fatmakhamis9982 Ай бұрын
Nataman wanangu Allah awajaalie km wewe shekh othman mashaAllah
@SALUMUALLY-x4o
@SALUMUALLY-x4o 23 күн бұрын
Tumuombe Alla mwisho mwema
@FurahaYasin
@FurahaYasin Ай бұрын
Mungu atuepushe na adhabu za kaburi inshaallh
@AayshaAyash
@AayshaAyash 21 күн бұрын
Allah atujalie mwisho mwema
@OmanOm-wy5wj
@OmanOm-wy5wj 9 ай бұрын
Yarabi tujalie mwisho mwema
@MansurAlmas-w3n
@MansurAlmas-w3n 2 ай бұрын
Nakupenda shehe wanguu❤❤❤❤
@aminahizam2791
@aminahizam2791 Ай бұрын
Shukraan sana .shekh Allah akulipe kila lakher..
@sweetylove9918
@sweetylove9918 11 ай бұрын
Mashallah Allah akulipe kheri naakupe umri wenyekheri kwamawaidha unayotupatia Amiin
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t 3 ай бұрын
Subhannalah,Allah tipe mwisho mwema Yaarab,tusamehe tuwe miongoni mwa waja wema Yaillah tukutane na kipenzi chetuMyume Mohammad S.A.W
@NasriRamadhani-po1lz
@NasriRamadhani-po1lz Ай бұрын
Mashallah ❤🎉🎉 Allah atupe mwisho mwema tuwe wenye kuacha story nzuri
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t 3 ай бұрын
Allah atukumbuke na atusamehe sikuu za vifo vyetu ,Inshaalah
@ZenaBatte
@ZenaBatte 9 ай бұрын
Tupemwisho mwema ya allah na utuogoze njiailiyonyooka
@Veronicahcharles61comAsia
@Veronicahcharles61comAsia 3 ай бұрын
MashaAllah sheikh twashuru Alhamdullah kwa ukumbusho wetu wa kuelekea kwa Mola mlezi, aki Allah akujalie Neema zaidi uzidi kutumlikia
@MejumaaMuhammed-z5i
@MejumaaMuhammed-z5i 4 ай бұрын
Mungu atujalie mwisho mwema 🙏🙏
@NurahhNurray
@NurahhNurray 3 ай бұрын
Allahuma ini as'aluka husnal qhatima 🤲
@jarajara7859
@jarajara7859 2 ай бұрын
Mashaaallah tabarkaallh mungu atujalie mwisho mwisho mwema yarbii
@shinayzashiraaz4588
@shinayzashiraaz4588 7 ай бұрын
Subhanallah Jazakumullah kheirun
@bageniomar2245
@bageniomar2245 2 ай бұрын
Jazakallahu kheir
@Mapene314
@Mapene314 8 күн бұрын
Kitu cha kwanza tutayoulizwa swalah hakika tofauti kati ya kafiri na muisilam ni swalah tufanye ibada ndugu zangu.
@ramasadaka7320
@ramasadaka7320 4 ай бұрын
Mimi pia huyu athuman malim nampenda sana na ndio mwingi kwa simu yangu
@TahilaRamadhan-hz3pd
@TahilaRamadhan-hz3pd 11 ай бұрын
SubhanaAllah ata sijasikiliza natanguliza kabisa😭😭😭
@muhinanjowa7229
@muhinanjowa7229 10 ай бұрын
Allah akulipe kher Sheikh wetu na Akupanulie elmu yko na iwe yenye kuridhiwa kwa waliokuzunguuka🙏Allahu Akbar ☝️ 💖
@SubiraAlly-z5n
@SubiraAlly-z5n 8 ай бұрын
Mashlla mungu akulinde
@swabiaa1489
@swabiaa1489 10 ай бұрын
Allah atujalie mwisho mwema 😢
@sitimzee5817
@sitimzee5817 10 ай бұрын
SHUKRAN SHEIKH WETU KWA UKUMBUSHO MZURI SANA. BARAKALLAHU FIIK.
@ZainabAisha
@ZainabAisha Жыл бұрын
Mashallah Mungu akupe umri mrefu
@NanaHassan-s8x
@NanaHassan-s8x 9 ай бұрын
Allah atusamehe yarab 😢😢😢
@imanmohamed2215
@imanmohamed2215 11 ай бұрын
Allahumma Amiin
@ramasadaka7320
@ramasadaka7320 4 ай бұрын
Amin
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 10 ай бұрын
Subhanah Allah ikiwa Viongozi watafata Utawala kama huo basi Wananchi wote wataishi kwa salama na Rahaa na Imani. Bila UJAMBAZI.
@nzeyimanahussein5485
@nzeyimanahussein5485 5 ай бұрын
"ما شاء الله وبركله فكم"
@SayraHamadi
@SayraHamadi 11 ай бұрын
Alla akulipe kila la kher
@SumailaAli-s4k
@SumailaAli-s4k 9 ай бұрын
Nampenda sana othman
@FawziaFawzia44
@FawziaFawzia44 2 ай бұрын
Subahan laah subahan laah subahan laah yarabii tusameh waja wako dhaifu ukamilifu niwako peke yako ALLAH tupe mwisho mwema ALLAH akulipe kher shekhe wetu Othuman kwakutukumbusha
@ZenaBatte
@ZenaBatte 9 ай бұрын
Mansha allah
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 11 ай бұрын
Mashaallaah watabarakaallah shukran sana shekhe wetu Allah akulipe kila la heri ishaallah
@seifally8235
@seifally8235 Жыл бұрын
Masha ALLAH
@ramasadaka7320
@ramasadaka7320 4 ай бұрын
Amin inshallah allah
@fahadmohamedsuleiman880
@fahadmohamedsuleiman880 Жыл бұрын
Khalaka samawati wal ardwi bil khaki wa swawarakum fa akhsana swa warakum wa ileihi maswiir
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 11 ай бұрын
Alhamdulilah shukran sanaaaa sheikh othman maalim
@UwimanaDjamilla
@UwimanaDjamilla 9 ай бұрын
Ya Allah utupe mwishow Mwema huma wako ya Rabi bira hivo tumekwisha
@gadwario
@gadwario 10 ай бұрын
Amin ya rabbi utujaalie mwisho mema
@SabrinaAmiry-gw1ei
@SabrinaAmiry-gw1ei 8 ай бұрын
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar
@kareenaalliy5344
@kareenaalliy5344 9 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@gratefulfatma
@gratefulfatma 3 ай бұрын
YAARAB tujaalie mwisho mwema 😭🤲
@zainabkiarie9163
@zainabkiarie9163 Жыл бұрын
Imani hiyo i wapi zama hizi.Nas'alu llaha salama
@SuleimanMgòba
@SuleimanMgòba 9 ай бұрын
ALLAH ATULIVU NAUSIKIVU NAKUYAFANYIA KAZI
@faridamajid2921
@faridamajid2921 11 ай бұрын
MASHA ALLAH MOLA AKUHIFADHI
@AsmahFundi
@AsmahFundi 9 ай бұрын
Maashalah allah akupe maisha marefu inshallah uzuidi kutupa daawa
@hafidhkikocho9161
@hafidhkikocho9161 8 ай бұрын
Mashaallah mungu akuzidishie inshaalah uzid kutupa mawaidha matam kias hiki
@HassanothmaSaleh
@HassanothmaSaleh 10 ай бұрын
Shekh wa mashekh nakupenda sana
@AlukoAbuba
@AlukoAbuba 5 күн бұрын
Manshaalah mungu atujalie mwisho mwema ameeen🙏🙏
@NzobonimpaZawadi
@NzobonimpaZawadi 11 ай бұрын
Allah atupe mwishomwema kwahurumawake pasinayy hatutofaulu.
@adijarashidswedi6979
@adijarashidswedi6979 10 ай бұрын
Shukran Shekhe kwa ukumbusho Allah akulipe
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 11 ай бұрын
MashaAllah Allahu akbar
@omerkhamis321
@omerkhamis321 9 ай бұрын
Jazaka llahu khayra Shekh,Allah akupe umri mrefu wenye uzima na afya njema,uendelee kutuaaidh
@adamkilembwe.
@adamkilembwe. 11 ай бұрын
ماشاء الله
@zainabkiarie9163
@zainabkiarie9163 Жыл бұрын
Barakallahu fik
@rrk6425
@rrk6425 10 ай бұрын
MashallaAllah darsa nzuri sana sheikh wetu Allah akulipe khr.Allah atupe mwisho mwema amin
@fatumjumaa5563
@fatumjumaa5563 11 ай бұрын
Khutbqahyenye mafunzo Alhamdullilah Allah akupe umri mrefu sheikh
@amina2044amin-zv2gh
@amina2044amin-zv2gh 9 ай бұрын
Maalim Amine Amiin Amine😢😢
@ZaituniRashidi-m6n
@ZaituniRashidi-m6n 9 ай бұрын
Iyaalah tuujaaliy mwisho mwema wenye kukufurahisha
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 10 ай бұрын
Yaarabi tujalie mwisho mwema😭😭😭😭😭😭😭😭
@OmanOman-vf3li
@OmanOman-vf3li 5 ай бұрын
Amina Yalabiii
@fahadmohamedsuleiman880
@fahadmohamedsuleiman880 Жыл бұрын
Hakuna mfalme yoyote sheikh
@HalimaSaid-w2j
@HalimaSaid-w2j 11 ай бұрын
Ma Sha Allah,Shukran jazzakallahul kheir shekh
@Rahela-u4b
@Rahela-u4b Ай бұрын
Amin thumma amin
@MardMaxy
@MardMaxy 3 ай бұрын
So good guys..... this episode 🎉🎉❤🎉🎉
@Blackgoat-t6l
@Blackgoat-t6l 9 ай бұрын
Mngu hamjalie osohman🕋🕋🕋🕋🇹🇿🇹🇿
@Ummuayman-vt6zy
@Ummuayman-vt6zy 2 ай бұрын
Amiim inshaallah
MAKUNDI MAWILI SIKU YA KIAMA. - Sheikh Othman Maalim
1:14:45
Arahman Tv Online
Рет қаралды 111 М.
MAWAIDHA HUBADILISHA MAISHA YAKO // SHEIKH OTHMAN MAALIM
29:46
arkas online tv
Рет қаралды 41 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
NGUVU YA ADHKARI, MAISHA YA KABURINI NA CHANGAMOTO ZA MALEZI. SHEYKH; HASSAN AHMED
1:27:30
MASIHI DAJJAL ATASHUKIA KATIKATI YA IRAQ NA SYRIA// SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:03:20
KISA CHA TAJIRI MZEE HAJAWAHI KUFANYA IBADA // SHEIKH OTHMAN MAALIM
29:51
THAMANI YA BABA KATIKA UISLAMU | SHEIKH NURDIN KISHKI
52:39
FADHAKKIR TV
Рет қаралды 20 М.
SIRI NZITO NDANI YA MBINGU SABA | SHEIKH MSELEM BIN ALY
1:12:10
Fanya Hivi Ili Dua Yako Ijibiwe Kwa Haraka Zaidi - Sheikh Othman Michael
24:32
SHEIKH :-OTHMAN MAALIM"HISTORIA YA KUUMBWA MAJINI MPAKA KULAANIWA
1:04:48
KABLA YA KUUMBWA DUNIA ALLAH ALIKUA WAPI?// SHEIKH OTHMAN MAALIM
42:18
arkas online tv
Рет қаралды 438 М.
SABABU ZA MTU (KUHUSUDIWA) SHEIKH OTHMAN MAALIM
59:28
arkas online tv
Рет қаралды 28 М.
ТИПЫ ЛЮДЕЙ в САМОЛЕТЕ !
29:26
A4
Рет қаралды 12 МЛН
НЮАНС (смешное видео, юмор, приколы, поржать, смех)
0:59
Натурал Альбертович
Рет қаралды 817 М.
Kidnapped Boy Found In Fridge | #Shorts | PD TV
0:59
PD TV
Рет қаралды 9 МЛН