Ni mtihan mzito waislam wenzang tunaelekea wapi tumche Allah tuache kutenda dhamb tuogope adhab na hasira za Allah Allah atulinde tusiwe wenye kutenda dhamb na kurangaza tulete toba ya kwel ili tupate saada kwa Allah yaarab atujaalie mwisho mwema ustadh Abdi mawaidha yko mazur Allah akulipe kher tusikilize tuyafate tubadilike dunia ni mapito
@kulthumali50509 жыл бұрын
mashaallah
@maryamoman59266 жыл бұрын
Subhanallah
@yushalforever72168 жыл бұрын
بارك الله فيك
@rahmasellemani45637 жыл бұрын
mashaallah mashaallah
@salumkhalfan10737 жыл бұрын
marshallah ujumbe mzuri ila ningependa kujua hizo Aya zipo katika sura Gani ili basi tuweze kuzisoma na kuzizingatia