shekh othman maalim mashaaAllah..Allah s.w amekupa kipaji sio ch kawaida kabisa mashaaAllah
@drayamochannel122 жыл бұрын
Assalam alykum Kazi nzr mashalllah *Vip kuhusu historia ya Suleiman lkanun* tutarajie mda gan
@khuiii90322 жыл бұрын
Mashallah kama tuna angalia vidio vile
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
Amiin
@sumaiyaadamramadhan9726 Жыл бұрын
Masha Allah Allah akulipe kheri duniani na akhera ❤
@samirasadasalum59742 жыл бұрын
Allah atuzidishie imani
@kwkw57232 жыл бұрын
NAAM,,,shukran jazzaqallahu kheri
@eshasalim54962 жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH. Allah Akuzidishie Elimu Na Akuruzuku Fahamu Njema Ya Rabb. Allahumma Amiin
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
Amiin
@ibnujumanne4054 Жыл бұрын
Assalaam alykum warrahmatullah wabarakaatuh shukran sheikh jazaka ALLAH al khayr
@fatmaalbeity90972 жыл бұрын
Nakumbuka niliona kwenye series yao ya sultan waliwashinda maadui zao kwa adhkar baada ya nchi kama 3za kimagharibi ziliwazingira waturuki lakini hawakubabaika kwa kuwa walijua kuwa vita vyao ni vya kuitetea dini ya Allah basi waliandika aya na adhkar kwenye karatasi wakazitupa baharini basi Allah subhana wata3ala aliamrisha mawimbi ikayasukuma meli zao kusukumwa nyuma ziliko toka subhanallah Allahuakbar....hiyo ndio imani thabit
@fatmasaid97652 жыл бұрын
Jazaka Allah kheri
@zainabalbaity77522 жыл бұрын
Barak Allah fik yaa Sheikhuna Alziz. Zainab Albaity.
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
Amiin
@fatmaalbeity90972 жыл бұрын
Assalam alykum..MashaAllah Tabarakallah..baada ya kuona series ya kiturky Ertughul na kusikiza hii silsila yako kuhusu tarekh ya turkia..niwazi kuwa ukimuhifadhi mwenyezi mungu niwazikuwa nae atakuhifadhi na vipi utamjua mwenyezi mungu ila ni kwakusoma na kuhifadhi quraan na hadith za mtume salallahu 3alyhi wa salam ...na MashaAllah walifanikiwa sana kwa kumueka mungu mbele . Lakini zama zetu hizi elimu hii imetengwa kabisa ilimu ill na muhimu siku hizi nizile za kumfanya mtu afanikiwe kimaisha awe daktari au wakili hiyo ndio ilimu sasa hata ukiwa hujui hata kuitimiza swala ya jamaa unapokosa raka ..inasikitisha sana ..let's learn our mistake and go back to our quraan and sunnah..in shaa Allah..shukraan wajazakallahu khairan ustadh.
@mahmudahmad53692 жыл бұрын
Mashalla
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojl
@allymansur81552 жыл бұрын
Episode baada hii ya Daulat othmania mbona siipati.
@fatmaalbeity90972 жыл бұрын
Namara nyingi mvundati ni mwanati..hata sultan abdulhamid alikuwa na shemegi yake alikuwa akishirikiana na madui ..siri zote alikuwa akiwajulisha madui . .lakini vitimbi vyao vote Abdulhamid alikuwa ahead of them . lakini kama kuna kibaraka ndani ya serekali nirahisi adui kufanikiwa
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojl