Allah akulipe sheikh kwamajibu mazuri kwampotoshaj kasim mafuta
@MkindiJujan11 ай бұрын
Hajui mskini hata anachokiongea anatafuta Kiki mihoja kibao masufi mmetupiwa mjibu lkn mnamangamanga tu Masufi hamna hoja zozote juu ya Maulid Khitma Assunatul Tarkiyya Fanyeni tafiti Wachezeeni wafuasi wenu watu wa Ubwaubwa Punga na Biriani wasioweza kuhoji wala kuuliza kila wanachoelezwa kwao ni sawa tu
@HassanHd-e7y11 ай бұрын
Mungu akubaariq xhekhe hakika wao niwabovu ktk lugha wafahamishe haooo
@swalehabdulrahman411811 ай бұрын
Allah akuhifadhi shekh kwa ufafanuzi mzuri , nakupenda kwa ajili ya Allah
@eng.saalim864611 ай бұрын
Kwahy hapo ndo waongea huku wafanya adhkaar na hlo jitasbih lako!!! Hahahaha....
Kaomba wanafunzi wa al marhuum Abuu Bakari Burhaan. Kwahiyo wajitekeza asikimbie
@Dr-ubaida96510 ай бұрын
Walimu wake wanamtaka mwalimu wa Qasim mafuta
@SOLOMONADAMS-b3i11 ай бұрын
Kassim Mafuta awajibu watu katika Mitandao lazima ajibiwe katika Mitandao
@salimmgwira717911 ай бұрын
Mbna km huwelewi unacho ungea ??kwaiyo ufahamu wenu wa hadithi iyo ni kuhalalisha bidaa zenu embu muogopeni Allah nyinyi
@mudybeka669811 ай бұрын
Mjomba kabla ujatuma kwenye mitandao hicho unachokizungumza ulitakiwa ujisikilize kwanza....maana wachekesha watu huku....
@ayububakari994211 ай бұрын
huyu mjomba kumbe anajua kutamka (ح) مُحَمَّد ila huenda tunavomkosoa humu ndio anajirekebisha alikuwa akisema MUAMMAD !!
@mudybeka669811 ай бұрын
@@ayububakari9942 😀😀😀😀
@AbuAsiya-oj3zs11 ай бұрын
😂😂
@ShurayfuHamis11 ай бұрын
Umejionesha hata ww hujasoma lugha kasome ww na huyo mafuta
@ayububakari994211 ай бұрын
@@ShurayfuHamis Wewe ulosoma lugha embu tuambie ni مُٶَمَّد au ni مُحَمَّد
@Mwanaidijuma-e3b11 ай бұрын
Huyu shekh ni mzury bila n matunda ya aalim shekh Muhammad ayyuub.wahabi wengi tatizo lao ili kufahami lugha
@abuukauthar52511 ай бұрын
shekhe ndevu ziko wap??
@HassanHd-e7y11 ай бұрын
Wataka ndevu za nn
@abdallahally864011 ай бұрын
Ukikosa elimu ndio unaweza kuongea hivi..au ndugu yangu umeambiwa kuwa NDEVU ndio zinatoa fatwa katika Dini..Ww Fuga ndevu lakini acha wasomi watoe elimu
@jumafaki289110 ай бұрын
Mtume s,a,w anasema watu watakao ingia peponi hawakua na ndevu ila wawili nabii mussa na nabii Adam akaeleza sababu ya nabii Adam kufufuliwa na ndevu ni kua hapa duniani hakua na ndevu Sasa wewe Wang,Ang,ani devu za Nini au ndio siku hiyo utahamaki kutokua na ndevu kama utabahatika kuingia peponi
@eng.saalim864611 ай бұрын
Kama unataka hadeeth swaii haipo. 😂😂😂😂 jaahil ww
@OmarAlly-iz8ot11 ай бұрын
Utadhani masufi wana elimu kweli na wameshika haqqi kwaio wanaitetea maana imeharibiwa😂😂😂😂😂 Mtabakia kudhalilika tu mahasidi wakubwa nyie masufi, kazi yenu kushikilia batili, elimu hamuna, yaliomo ndani ya vitabu hamuyajuwi, sasa imekua kupotezea watu muda tu na hakuna cha maana munacho kfanya
@mwalimumwanyongo88011 ай бұрын
Ukiwa mwanachama wa kikundi Cha salafi basi ukifa unakwenda PEPONI moja Kwa moja, na woote waliobakia ambao sio wanachama wa kikundi Cha salafi watakwenda MOTONI, Si ndio hivyo bhana au
@mkurdimnubi-oo8es11 ай бұрын
Hizi tabia mnazoleta sio sheikh kassim ni ndugu yako ktk imani kama kakosea unapaswa kumfata ana kwa ana na sio kuja hapa kwenye mitandao allah anasema mwenye kumsitiri ndugu yake mwislam nae atamsitiri sasa wewe unakuja hapa umeshamfata na akakataa kukusikikiliza au kukupa dalili ya kile alicho sema?
@HassanHd-e7y11 ай бұрын
Aombwe mara ngapi kakataa kwaiyo hapana budi kujibiwa