Allah akuhifah Shekh wetu alijalie kaburi lake Liwe nimiongoni mwamabustani yapeponi
@Kabeya4103 ай бұрын
Allahu MAGFIRAHUM WARAHMAHUM Waskana hum fill Janna, nimependa SHEKH 😅japo kasema yeye siyo Shekh, halafu kila akimaliza waadh husema Mwenyezi Mungu afanye wepesi Amiina hapa alikua ktk uhai wake lakini mimi nimesikiliza baada kuondoka kwake nilikua simjui Alhamdulilah nimepata faida Allah amjaze heri kaburi lake alitie NUUR
@ghulamjuma28833 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akula mahala pema poponi Ameen
@KhadijaHincha-k7o15 күн бұрын
Allah akupe kauli dhabint Amina
@lkshmykomar54723 жыл бұрын
M / Mungu akupe nuru ktk kabur lako
@ramadhantahila91313 жыл бұрын
Aamiin aamiin
@athumaninchula20203 жыл бұрын
Allah aylilaze roho yake mahala pema peponi hakika ardhi inamuogopa mchamungu Allah atujaaliye mwisho mwema.
@aligmoha90153 жыл бұрын
Amin
@ayishaayisha80533 жыл бұрын
Nitakibuka sana mwalimu wangu
@fastlady30993 жыл бұрын
Shehe mungu amlaze mahali pema
@nizarurassa64803 жыл бұрын
InnaliLLAHI wainna iLLAIHI raajihuun.
@maliamhotimaliamhoti53024 жыл бұрын
Allah akujaze kher sheikh.
@mbarakaiddi82093 жыл бұрын
Mwenye video hii namuomba anitumie kwa namba hii 0685522542 ipo vocha ya 2000
@mrsalam10944 жыл бұрын
Jazakaallaa khera dg hilo kwa bakwata
@salumkanyinyi22794 жыл бұрын
dini nikufuata kitabu na suna mnavifuata?
@shabysean24694 жыл бұрын
Hatukumtuma mjumbe yoyote ila kwa lugha ya watu wake
@صالحمولد-ب1ط3 жыл бұрын
Kachapiya kusema vitabu vyote
@صالحمولد-ب1ط3 жыл бұрын
Imamu Nnawawi anamitizamo miwili
@aligmoha90153 жыл бұрын
Allah amuifadhi in sha allah
@mrishongwikwi64483 жыл бұрын
Innallillah wainna illah rajiun
@twalaataib92973 жыл бұрын
Mngu atakuweka mahali pema Sheikh
@centralzonetvtanzania73134 жыл бұрын
Na laiti miskiti yote ingekua inatoa Khutba kwa kiarabu yani waislam wote tungezengea lugha ya dini na tungejua kuongea kiarabu lkn kwenye kingereza hata aliyeishia darasa la saba anakomaa kujifunza na anaongea
@yahyalacha88283 жыл бұрын
Mmm?
@fastlady30993 жыл бұрын
Shehe amekufa nasauti yake
@lkshmykomar54723 жыл бұрын
Wallah laazimu alikuwa nasaut msur mashallahu mungu amlaze pepon na amtliye nuru ktk kabur lake Amina