@@edwardngugi3537 Safi kabisa. Mshukuru allah na mtume kwa kutupatia zawadi halali ya Mut'ah. kzbin.info/www/bejne/b3aXl3qobt2Wn7M kzbin.info/www/bejne/aIqyXnqHpZ2UpMk
@alphoncekalama4346 Жыл бұрын
Mazee Clam am your big fan watching from Kenya 254 but i think you should marry this lady called shemeji walahi she is really beautiful
@JokeyPaul9 ай бұрын
I do support you meen❤😂😂
@neemamzande8547 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂wasi wasi wa nafsi bwana 🤣😂😅🙌
@sophsoph4740 Жыл бұрын
Black beuty hanajua uyu
@leamwalimu312 Жыл бұрын
Huyu dada nampenda much love 💕💕💕💕💕from Kenya
@seifdavidmkama7752 Жыл бұрын
Ila shemeji yako clam anajua kutongoza wanaume halafu kwenye vipande vyake anajua sana kuwa siriasi toeni movie itakua bomba sana
@mwanamaliatv8775 Жыл бұрын
Dah clam pole sana mana hiyo baba anapena kukupa pigo baya hivo kwanini jaman ila hongela sana kwa comedy nzuli sana
Kiukwl naongea kutoka moyon huyu mdada anaemtega clam nmemuelewa San macho mazr rangi nzr umbo zur...yaan ww n baraaaa
@hayawikisukali Жыл бұрын
Huyu Dada anafaa hata kuadisia story so nice
@dreamreport3222 Жыл бұрын
Lite kama marehem Steven kanumba angekuwepo huyu dada ( vailety ) angefika mbali sana ana kipaji kikubwa san mm kwa upande wangu nime mkubali san All in all nawakubali san vijana wenzangu mtafika mbali san tupambane 🙂💪💪💪🙌🙌
@samwelimwaim7136 Жыл бұрын
Kikubwa tuzidi kumuomb MUNGU attusaidie
@hishamahmed8551 Жыл бұрын
Am the first one to comment , nipeni likes waugwana
Jmn usalit duuuu chupi imejivua yenyewe wewe vai mwngo
@lilianalmas5911 Жыл бұрын
Nilimiss Sana kumuona Kim🥰🥰🥰. Clam unajua Sana 🙌🏼🙌🏼
@sophsoph4740 Жыл бұрын
Kim had mim nimemis
@loveintruth6170 Жыл бұрын
@@sophsoph4740 Safi kabisa. Mshukuru allah na mtume kwa kutupatia zawadi halali ya Mut'ah. kzbin.info/www/bejne/b3aXl3qobt2Wn7M kzbin.info/www/bejne/aIqyXnqHpZ2UpMk
@abdulgeorge5968 Жыл бұрын
Nakubali san kzi zenu nyote mnajua namini mtfika mbli zaid ya hap 🙏🏻🔥
@Halimamaere Жыл бұрын
Na kwan sauti mulipeleka wap juu mii sisikii kitu akii
@gladnessmark2690 Жыл бұрын
Uyu dad jamn nakupenda hatr
@loveintruth6170 Жыл бұрын
Safi kabisa. Mshukuru allah na mtume kwa kutupatia zawadi halali ya Mut'ah. kzbin.info/www/bejne/b3aXl3qobt2Wn7M kzbin.info/www/bejne/aIqyXnqHpZ2UpMk
@manbonge3015 Жыл бұрын
Huyu dada Malaya kafanana na lulu Michael. Au ni macho yangu???
@user-ko4tl9tj5t8 ай бұрын
😂😂😂 vai nakupenda
@manjaruu1575 Жыл бұрын
Mbona me sipatagi mashemeji wa hivi😁😁😁
@emmanuelmachibya2034 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kwamba chupi ilijivua Yenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🙌
@chamiwachamiwa1017 Жыл бұрын
Mbona muendelezo wake hakuna jamanii
@vince0044 Жыл бұрын
clam unajua ku kaguwa yani huyu mdada uwezo wake mkubwa hatari yani katisha kinyamaa anajua sanaa iseeh kazi nzuri sana clam hongera ndio manake nakwambia tunaomba full movie kazi zenu nzuri sending love from 254 🇰🇪
@edwardngugi3537 Жыл бұрын
Akuna ww c mkenya iyo swaa yko ni ya ubwakni sana
@francisnatal9091 Жыл бұрын
Nyie watoto mtatuumizaaa mbavuuuuu
@dukebosire4739 Жыл бұрын
Uyo dem ako fiti
@user-eb3ld4cb4g9 ай бұрын
Clam super staa lini inatoka
@anafisuwerd875 Жыл бұрын
Uyu demu anajua sana
@issazalala4907 Жыл бұрын
Naomba no ya huyo mdada
@alicenice1711 Жыл бұрын
Huyu mwanaume bhailam nampenda jamani
@manyanyazakaria Жыл бұрын
Mzee wa naenda nyumbani🤣🤣🤣🤣huelewi kabisa huyu shemeji yako
@@kamunenetv Safi kabisa. Mshukuru allah na mtume kwa kutupatia zawadi halali ya Mut'ah. kzbin.info/www/bejne/b3aXl3qobt2Wn7M kzbin.info/www/bejne/aIqyXnqHpZ2UpMk
Safi kabisa. Mshukuru allah na mtume kwa kutupatia zawadi halali ya Mut'ah. kzbin.info/www/bejne/b3aXl3qobt2Wn7M kzbin.info/www/bejne/aIqyXnqHpZ2UpMk
@shawn-the-first.1643 Жыл бұрын
Road to 500k
@richardcandidus186 Жыл бұрын
Huyu Dada mngembadilishia scene aisee maana hii inamzoea watu wanaanza kumwona kama malaya kweli sio wote wenye uwezo wa kujua anaigiza maana hata akiolewa ndugu wa mume wanaweza mchukulia sio. Wakati mwingine mchezesheni kipande kizuri mnamsusa sana huko. Ila hakika anazitendea haki Scine zake maana sio rahisi kuvua chupi namna hiyo mbele ya camera, amekomaa kisanii na hongera sana kwake na sanaa ya bongo