Dah kama Harusi yangu ijirudie , MashaAllah nampenda sana mke wangu
@NJamal-nb4ld10 ай бұрын
Allah akuhifadhie na awazisishie mawaadha
@munaahmed84992 жыл бұрын
Allah anijaalie nipate mume mwema na mwenye hofu ya Allah na ajue dini anifunze na mie nijue dini nitamsikiza kwa kila atalosema ispokuw lile ambalo ni haram kwa Allah na kwa waislam amina thumma amina 🤲🏼
@jimmylouisy40212 жыл бұрын
Inshallah mie npate mke km weye anickze kwa yalo mema🙏🙏
@munaahmed84992 жыл бұрын
@@jimmylouisy4021 insha Allah
@SaidyRashid-sr4oh11 ай бұрын
Mashaallah
@rajabshedangio61839 ай бұрын
Mashaallah allah akupe hitaj la moyo wako
@HhosnaRashid7 ай бұрын
amiina
@sarahsembe19343 жыл бұрын
I'm a Christian and I like this song....it'll play on my weddings majaliwa💯
@eliasdavson23113 жыл бұрын
Wish u all the best
@maryamsaid9912 жыл бұрын
💖💖💖💖 All the best
@xxxbabyuxxx2 жыл бұрын
Wishing you a long happy life with ypur husband
@estherdhahabu9586 Жыл бұрын
Me too a Christian but the way I love qawsida❤❤❤
@HusnaMgunda7 күн бұрын
Nice 👍
@fettympilipili7673 Жыл бұрын
Sijui kwann naipenda hii qaswida aisee lazima niicheze nikipata kuolewa hata ka ya mkekaa
@HhosnaRashid7 ай бұрын
muombee allaah atkupaa ukitakachoo
@mwajumakilobwa6237Ай бұрын
Usisahua kunialika ❤❤❤❤😂😂😂
@mwanathumujumaa162 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu anijalie na mm inshallah nipate stara kabla sijafa nipate kuonja ndoa na mm😢😢
@IssaBailly Жыл бұрын
Amin inshaallah kwa sote 😢😊
@FatmaSaid-j9o9 ай бұрын
InshaAllah
@SameerKhalid-e4s8 ай бұрын
AMEEN thumma AMEEN mwezimungu akutakabalie Dua yako na INSHAALLAH utuombee pia kwa wale bado hawajaoa
@LatifaLatifa67-ho1zr7 ай бұрын
insha'Allah Fanya Ibada za usiku Kwa wingi kipnzi Millie mola wako insha'Allah
@nassorissa60087 ай бұрын
Badoo hujaoa
@asiaoman30402 жыл бұрын
MashaAllah sikuya yaharusi yangu nitaipiga hii kawaida naipenda sana😗😗😗😗InshaAllah
@abdalamwinyi19164 жыл бұрын
mashaallah na mm nahitaji oa mke wa kiislamu Allah nifanyie wepesi
@rachelmaleko30884 жыл бұрын
Inxhalwaaa
@johannahakim84704 жыл бұрын
😂😂😂
@johannahakim84704 жыл бұрын
Miye Niko single,🇧🇮
@zawadiabdul13974 жыл бұрын
Asalam aleikum.harus yako imeshatimia.
@hishaam88513 жыл бұрын
Mashallah.naipenda Sana
@zuchuu66594 жыл бұрын
Ndoto Zang kuolewaa inshaaaaallah Allah anifanyie wepe🙏
@fahimsaid12164 жыл бұрын
In sha ALLAH
@issakatety35354 жыл бұрын
Seco Almakhashni mume wa kukuoa umeishapata
@abdulmlangali70473 жыл бұрын
Inshaallah Amiiin
@ayoubliyanga533 жыл бұрын
@@issakatety3535 mungu aku ongoze
@abuusalamasalehe7253 жыл бұрын
Seco unapatikana wapi
@applebarkq94192 жыл бұрын
Allah nijalie ndoa na Mimi
@emanuelcharles5182Ай бұрын
Udini usitufanye tuchukiane kwenye haya maisha hakika napenda nyumbo zenu japo mm sio Muslim...
@issakatety35354 жыл бұрын
dah hii qaswida ipigwe kwenye spika kubwa bhana kama ujaoa utatamani ukaoe siku hiyo hiyo😀😀😀
@roquiaroquia12924 жыл бұрын
😂kwa kwel
@tabyhamisi77974 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@abdulmlangali70473 жыл бұрын
Hahaha hakika
@buthainarashidsalum86203 жыл бұрын
Hahahaha 😂😂😂
@faridataza56163 жыл бұрын
Umeona eee
@maryamhamis44353 жыл бұрын
Allah atupe mwenza wa kheri n sisi inshaallah.....from Qatar
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Ameen yaarabbi 👏 alamin
@latifamohamed5946 Жыл бұрын
@@jaymwinyi6957 ejofdnl
@latifamohamed5946 Жыл бұрын
Wk5❤️
@kiningashukran5177 Жыл бұрын
Nipo Burundi mariam jina lizuri
@faudhiamalllata2902 жыл бұрын
Hii qaswida huwa naipenda kipindi sijaolewa nilimani kuolewa na kweli nikaolewa basi wee ilipigwa hii nilifurahi sanaa hatimae leo ndoa yangu inamiaka minne naisikiza leo tarehe1 mwezi wa12.2022 Alla awaweke mlioimba hii qaswida
@OmanOman-ep7bw Жыл бұрын
Maashaallah
@sadaramadhani7874 жыл бұрын
MashaAllah hii video niliitafuta mpaka nikakata tamaa.
@fatmaally72523 жыл бұрын
Sasa mimi ndo napata leo 2021 ni hatari naona kama njozi
@LenJohn-th3xe4 ай бұрын
Mashallah namuomba Allah anijalie na mimi nipate ndoa Inshallah 😢🙏
@SalehRama-uy2uzАй бұрын
This Qaswida will always remain in my heart forever because it was sang on my wedding day🥰🥰
@KhalifaIbrahim-x8w4 ай бұрын
Hii qaswaida isipopigwa kwenye harusi yangu nitaandamana ❤❤😢😢
Maashaallah Baaraka llahu feeq..wallahi hii qaswidah haikongi 2022 ..bado iko conk ..Kila la kheri inshaaallah kweli ni kharous si msibah
@saidtembele30704 ай бұрын
Duuhh nakumbuka mwaka 2011 form one hiyo, Wallahi miaka inakatika 😢😢😢😢
@nanaabdallahkitupa26455 жыл бұрын
MashaAllah farid umeweza
@aminasaid74563 жыл бұрын
Ndo nilikua najiuliza hapa huyu mbona kama farid uwezo? Kumbe ni yeye
@LinetMwadziwe-g9h Жыл бұрын
inshaallah kw harusi yangu ❤itachezwa
@uthaymaanashshiraaziyy6294 жыл бұрын
Maa Shaa Allaah Bado ladha yke iko pale pale
@ottokassim91524 жыл бұрын
Kabisa yanikumbusha harusi yangu
@muuminially41544 жыл бұрын
Muumini Ally,,, kweli kuoa raha
@othmanalikhamisi29624 жыл бұрын
@@muuminially4154 mashulula jida
@ibrahimseteme49123 жыл бұрын
mungu tujalie uzima wenye mwisho mwema
@AnnaEdga21 күн бұрын
We kaka farid jiandae mwezi wa kwanza ndoa yangu uje uniimbie wallah
@faizaahamd20524 жыл бұрын
Mashaalah kaka farid uwezo. ..assassins nzur sana. Imba Na nyingine
@vanessaandrew737 Жыл бұрын
Mungu nami anijalie nionjee ndoa kabla sijapumzik katika hii dunia
@fatumajuma5926 ай бұрын
Amiin yarrab
@OphoroTube2 жыл бұрын
Can't wait my wedding jamani 🙏 Mungu nijalie
@maryamsaid9912 жыл бұрын
Inshaallah ❤️❤️❤️
@devotaemili91704 жыл бұрын
Nzuri sana hii kaswida jamn...Masha Allah
@aishaawil97262 жыл бұрын
Must be played in my wedding In sha Allah
@hassantwalib679611 ай бұрын
Alfu hapo kwa hyo video,kuna mukusanyika kwa wanaume na wanawake kiholela,ambpo hyo pia katika deen si sahihi,jamani tujiepushe na vitu vya haraam vitu ambyo Mungu na Mtume Wake wametukazana tujiepushine in shaa Allah
@winfridamalembeka-ik5qw3 ай бұрын
Jamani SI wamesema ni sherehee.. muhimu hawakumbatianii
@salahibrahim27982 ай бұрын
Very underrated song walah, beautiful
@AishaSalim-k2f8 ай бұрын
InshaAllah mwenyzi mungu kuna siku ataitikia dua zangu 🤲🤲
@noordinyahya71713 жыл бұрын
Allah nijaalie nipate mke mwema inshallah
@MaryamAli-qt4wz3 жыл бұрын
Inshallah
@michaelkalunga53053 жыл бұрын
@@MaryamAli-qt4wz maryam Ali 😘😘🙏
@asinaaward6932 Жыл бұрын
Ameen thumma Ameen
@mwanatumumwatsumi586211 ай бұрын
Mwenyezi mungu niajalie niipate stara kbla y kifo chngu Amiin yarab🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@ulamaajazam59832 жыл бұрын
Ndoto zangu kuoa lnshaAllah nitaowa.
@maryamsaid9912 жыл бұрын
Inshaallah kheri 💖💖💖💖
@ulamaajazam59832 жыл бұрын
Aamin
@fatumaally34444 жыл бұрын
Mashallah Allah niajalie ndoa na mm
@issakatety35354 жыл бұрын
fatuma ally inshallah
@michaelkalunga53053 жыл бұрын
Umeongea kwa uchunguu
@rehemayustice44143 жыл бұрын
Mungu anijalie ndoa na mimi🙏🙏🙏 amina
@abdulmlangali70473 жыл бұрын
Naiwe kheir juu yako Inshaallah
@sukariyao65373 жыл бұрын
😪😪😪 amina 🙏
@aminaismail14193 жыл бұрын
Mashaallah
@ommyapril5084 жыл бұрын
Inshaallah kwa waimbaji wa qaswida hii jamaaaa
@mgenilmj7502 жыл бұрын
Mashallah Qaswida nimipenda
@HilalMlenga3 Жыл бұрын
Hatari sana hii kaswaida❤
@Shani-xs4td7 ай бұрын
Nani tuko 2024
@salahibrahim27983 жыл бұрын
In shaa Allah May Allah grant us good spouses
@AbubakariMohamed2 ай бұрын
Daaah 😁😁😁😁 Allah atufanyie toe
@salmakasmakasma30052 жыл бұрын
Inshallah Allah atakapo niletea mume huu wimbo utapigwa kwa harusi yangu
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Inshaallah 👏 ALLAH akuitikie ombi lako
@faridataza56163 жыл бұрын
Hii Qaswida naipenda sana na niliitafuta sana , ndo nmeipata leo 2021
@FaidhaKihiyo7 ай бұрын
Inshaallah nikiolewa razima ipingwe❤❤
@fatmahzahra1982 жыл бұрын
My wedding song Alhamdulillah
@AminaHassan-vy7pf7 ай бұрын
Qaswida nzuri sana❤❤❤❤😊😊naipenda sana
@FatmahHussein-zb6vz2 ай бұрын
Ukisiliza hii unataman ndoa yan 😂uolewe u uoe wallah Allah akituweka kweny hatusi yang hii ieikosekane