No video

Shida Aina Yoyote Soma Uradi Huu X100 Utapa Unachotaka /Siri Iliyokuwepo /Sheikh Othman Micheal

  Рет қаралды 34,561

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Shida Aina Yoyote Soma Uradi Huu X100 Utapa Unachotaka /Siri Iliyokuwepo Ndani Ya Uradi Huu /Sheikh Othman Micheal
Mashaa Allah Sheikh Othman Micheal akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Shida Aina Yoyote Soma Uradi Huu X100 Utapa Unachotaka /Siri Iliyokuwepo Ndani Ya Uradi Huu /Sheikh Othman Micheal
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZbin @Darsa tv
TikTok @Darsa tv

Пікірлер: 21
@lakima5972
@lakima5972 3 ай бұрын
In sha Allah kisomo hki kiwe kunfayakun biidhnillah maana twapandiwa maradhi kila kukicha ila mungu yu pamoja nasi
@piliramadan875
@piliramadan875 10 күн бұрын
Mashaallah mashaallah
@BesalimAmina-ng3kr
@BesalimAmina-ng3kr 5 ай бұрын
Mashallaah shekh Allah atuhifath nakupenda sana
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 6 ай бұрын
Shukrani Jazira Kwa HOTUBA MUAFAKA
@abdisalim7900
@abdisalim7900 5 ай бұрын
Sheikh maelezo yk ni mazuri lkn unazunguka sn,ni vigumu msikilizaji wako kujua ni ipi mada unayoielezea,kwani hata hy dhikri kwa mgeni wako ktk kukusikiliza sidhani km atakuwa amefaidika vzr
@bintmohamed4136
@bintmohamed4136 3 ай бұрын
Naomba tujuze hiyo adhkar
@user-ux4ht3el5g
@user-ux4ht3el5g 6 ай бұрын
Shukran sana sheikh Allah atuzidishie twapata faida zaidi
@Bimwana-uc1og
@Bimwana-uc1og 2 ай бұрын
Sheikh Asante Kwa mafunzo yak mazur sana
@user-ph3ks6hp9y
@user-ph3ks6hp9y 5 ай бұрын
Assalam alaikum akuomba unikumbu kwenye duo ayita yako uniombeye nihatari sana
@Devidmolelilobulu
@Devidmolelilobulu Ай бұрын
Assalaimaleikmu nikumbuke kwaduwa🙏
@MusanabaganwaAssia
@MusanabaganwaAssia 2 ай бұрын
Asalamu alaikumu wallaha matulullah wabarakatu asanti chehe mbone mimi sidjuwe kishwahili ntafanya ajde na jduwa kinyarwanda tu
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 6 ай бұрын
Nachotaka kusema ukitafsiri Quran ni bora kutaja Imamu Aliyepokea hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad S.A.W?
@SwedyKatuga
@SwedyKatuga 3 ай бұрын
Shekhe naomba nambayako
@DarsaTV.
@DarsaTV. 3 ай бұрын
Namba ziko kwenye screen zinapita
@user-dh5cx6lc3w
@user-dh5cx6lc3w 6 ай бұрын
Asalaam aleikum warahmatullah wabarakatu, Ustadh Michael nakufuatilia sana mafunzo yako lakini mimi Nina mutuhihani wa kuyaelewa mambo mazito yako kwa lini yangu ya doa. Sijui kama niyase hapa nitasaidika?
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 6 ай бұрын
Swali ,Kama nime taja Hadithi mfano Al Islam Nadhifu -Uislamu ni Usafi.Fatanadhafu--Basijiafisheni Fainahu -- Hakika ya Amri na Shani na kuendelea swali nikisema Rwahau Twablaniyu. Hiyo iko sawa?
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 6 ай бұрын
Sasa wapi katajaa hizoo azkari
@user-vr6lu8tq1n
@user-vr6lu8tq1n 5 ай бұрын
Unatangaza dunia tu wambie watu mambo ya peponi
@fatnasaidi3027
@fatnasaidi3027 4 ай бұрын
Nawewe msaidie kutangaza ya pepon
@ommarysaid7391
@ommarysaid7391 2 ай бұрын
Dunia Yako ndo Pepo Yako Unatakiwa uindae Pepo Yako Ukiwa Duniani na Adhakar ndio Ufungua Mambo ya Dunia na Akhera, Jitahidi Usome Uelewe Mambo Kwa kina
@mohamedisimai
@mohamedisimai Ай бұрын
Mijitu mengine sasa hiyo pepo inatafutwa akhera kila kitu ni duniani hapa
USIKU SAA9 SWALI HIZI RAKAA2 KISHA OMBA DUA HII INSHALLAH MAMBO MAZURI
47:28
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 107 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 30 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,6 МЛН
IKIWA SHIDA YAKO NI MALI SOMA SURA HIZI 2 TU UTATAJIRIKA, MDENI HATOKUDAI
31:13
041 2 OTHMAN MAALIM MARADHI YA NAFSI
1:09:22
HABARI MOTO MOTO TV
Рет қаралды 34 М.
SHEIKH OTHMAN AMKUMBUKA SHEIKH NYUNDO
35:36
arkas online tv
Рет қаралды 54 М.
SIRI HII HAKUNA ATAKAE KWAMBIA, NA KAMA UTAIFANYIA KAZI UTASHANGAA NA MATOKEO YAKE
10:48
050 NYUMBA YANGU NDIO PEPO YANGU YA DUNIANI | OTHMAN MAALIM
2:02:46
HABARI MOTO MOTO TV
Рет қаралды 77 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 30 МЛН