Yaani kabisa interview za chilii na sky zinaheshimika kweli si utani.. Kuna watu wakorofi kwenye interview lakini wakifika hapa wanakuwa wa pole wanajibu kwa adabu mfano mzuri ni Hemed PhD niliaangalia interview yake nikasema hee kumbe huyu jamaa Kuna saa network inashika kwenye interview.. Big up brother 💪💪kweli nimeamini ukijiheshimu utaheshimiwa
@SimuliziNaSauti2 жыл бұрын
Asante sana Amina
@aminamnyaruge85742 жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti tupo pamoja 🙏
@vickydan28692 жыл бұрын
Sana huyu kaka etu anajiheshimu ndo maana watu wanamheshimu
@aminamnyaruge85742 жыл бұрын
@@vickydan2869 kabisa
@husnaseph94762 жыл бұрын
Yaan hapa lazima pawe patulivu kaka skay yupo na heshima sana
@yusufulimo57372 жыл бұрын
Brother siky nakukubali Sana👊🙏
@noru90282 жыл бұрын
Brother SKY you the best 🇴🇲ukifanya interview na mtu Yan ata Sisi watazamaj tunaenjoy ubakishagi kitu ❤️👊
@salimsaid25882 жыл бұрын
Good work SNS am proud of you guys keep it up for the good work 👏 🙌 👍
@kaveresylvia13022 жыл бұрын
I love this woman
@debbiethomas98252 жыл бұрын
GOOD JOB Br. Nice interview 👏👏👏👏 as always
@mikesonko44282 жыл бұрын
Napenda ulihpomtaja Diamond Platnumz
@ziadaskitchen50602 жыл бұрын
Miladi ayo mashaallah umenenepa
@genelnchera56072 жыл бұрын
Shishi umependeza sana pia nakupenda sana
@husnaseph94762 жыл бұрын
Shishi ndo kwanza unazidi kujaa naramadhani yote hii mashallah
@mwaminindayishimiye44342 жыл бұрын
Nice Sky👌👌👌👌❤❤
@uwimanacitegetse99262 жыл бұрын
Sky Congratulation Interview it’s very Nice👌🏿💕💕🔥
@aishakombo38242 жыл бұрын
Umezungumza KWA BUSARA na HEKIMA shishi. Live long mumy
@mikesonko44282 жыл бұрын
Ni macho yangu au……..Shishi ana rangi mbili
@Lassana7552 жыл бұрын
Ni tatu braza
@rukianakukubalikibamwakahu57192 жыл бұрын
Mikono meusi
@Jassmin-media-official2 жыл бұрын
Mwenyewe nakukubali sanaaaaa kaka kwanza una adabu unauliza maswali umetulia tena ya maana ,napenda vipindi vyako M/mungu akubariki na akipiganie,
@agnesandrew27422 жыл бұрын
Akili kubwa Sky Bundala❤❤
@fatumasalumu28692 жыл бұрын
Kweli kbs anakipaji
@malikzafarani1722 жыл бұрын
Show kali
@iradukundamike53702 жыл бұрын
Sky mtangazaji anajiyerea anajua nini anafanya wapi anataka kufika sio média zingine zinavurugu ata awo watu wanauriza maswari hawaishimu kutokana na watangazaji vire wana mionekano yao mufano wa uwoneye sky mturivu hana mambo mengi pia anajua kuriza maswari kwa uturivu naupole hongera sky wewe ni mufano wa kuigwa👏👏
@is-hakacena782 жыл бұрын
Sky 🙌🔥
@zuweinaalhabsya87732 жыл бұрын
👌🏻👌🏻👌🏻
@najuf80212 жыл бұрын
😅😅😅ukampa kichwa
@vickydan28692 жыл бұрын
I love you My sister Zuwena
@eben_ezer88532 жыл бұрын
Mashallah samehe saba Mara sabini🙏🏿🙏🏿👏👏👏
@juliaayieta25782 жыл бұрын
Huwezi kuzungumza na moyo wangu, moyo wangu ndo unasema 🤣🤣🤣🤣🤣. Dah! Nimejipata napasua kicheko kama chizi. Hii interview imekua very entertaining but pia motivating 💯
@barrynzeyimana62702 жыл бұрын
Kuna eneo hasema kua sijuwi ana fatuation badara ya frustration
@elizabethsakina23062 жыл бұрын
Heading to 1M subscribes 🔥🔥🔥I started watching this channel since round up
@dangotee50512 жыл бұрын
💥💥💥💥
@rademm89242 жыл бұрын
Umefika home
@nabintukadende23882 жыл бұрын
shishi ❤❤❤❤
@binthkhamisi10972 жыл бұрын
Zuwena kiboko yao
@azzamahamdu70392 жыл бұрын
Somesing 😂😂😂shishi
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@catherinemuhagama73382 жыл бұрын
Bundala dimpo kama la pacha wangu☺
@saimarmuhsin95782 жыл бұрын
Mtandio tulia basi 😄 🤣 😂 jamani mie nikiufunga unatuliaa tu tuliiii hautoki hahaaa
@ibrahimkibira99432 жыл бұрын
Snura yuko vizuri bhna shilole wewe kujichetua kwingi na ww ndio ukimuanzaaa snura
@svt32 жыл бұрын
Ibrahim kibira: snura mpangaji Dar- Shilole mama mwenye nyumba, na mgahawa wake na tu ubalozi tunamsaidia kwa kipato, ila snura hana nyumba ,wala biashara ionekanayo wala sio ubalozi Shilole mpambanaji hiyo iko wazi
@zawadisingano56592 жыл бұрын
Wengine maisha yao sio yamitandaoni yawezekana akawa ananyumba ila sio lzma aweke mambo yke pablik
@svt32 жыл бұрын
@@zawadisingano5659 anatangazia wapi biashara yake?,na ubalozi wa kampuni nao unafichwa?
@zawadisingano56592 жыл бұрын
@@svt3 Soma vzur comment yangu umesema hana nyumba namimi nakujibu yawezekana akawa nayo lkini sio lzma aweke mambo yake mtandaoni
@svt32 жыл бұрын
@@zawadisingano5659 ubalozi ni kuuza biashara ya kampuni lazima uwekwe, yeye mwenyewe kama anabiashara matangazo ni mitandaoni, yeye hivi vyote hakuna shilole anayo biashara yake ya chakula, na ni balozi wa nazi,nguo .... lazima auze hizo vitu na mitandaoni ni nafasi kubwa ya kutangaza biaashara
@alicekisanga80042 жыл бұрын
The level of luck of exposure in Tanzania is at another level. You find someone with a small business like this lady been worshipped 🤣🤣 .