Sheikh Sule ana elimu na anajiamini,hodari wa kujieleza huchoki kumsikiliza na unajifunza mengi.
@saifal-busaidi-x8j8 ай бұрын
Dr. Sure maneno yako sahihi Mungu akujalie uwe mwema na muadilifu
@رحمةمحمد-ش1ه8 ай бұрын
Swadaqta doctor Sule.mashaallah Allah akuzidishie akili.
@ShukurMkan8 ай бұрын
Upo sawa sana shekhe
@maxmiletz45638 ай бұрын
Asante dokta nimejifunza kitu
@AzaAzamhmod8 ай бұрын
Shekhe smart sana❤❤❤
@MartinaMsimbe-qk8ug8 ай бұрын
Nimependa somo❤❤❤
@CatySungula8 ай бұрын
Hongera Sana shehe. Umesema kweli tupu, uko vzr Sana. Yani hapo pa wanaume ndo penyewe, hata mm naliaga na hapo pa elimu ya ndoa kwa wanaume pamesahaulika Sana.
@ErizicDaud8 ай бұрын
Dr .nimekuelesa sana
@jacklinelyimo74078 ай бұрын
Asante imenisaidia sikujua mambo mengi nimemjua sasa
@sudamohamed14398 ай бұрын
Subhana Allah dunia imekwisha ajiitangaza ataka mume . Waschana Mbona hatuna Haya . Aibuuuuu
@elizabethmukeba25288 ай бұрын
Shilole we ni mwanamke mwenye muzuri sana tena mpambanaji lakini pesa yako sio fimbo ya kuwachapa wanaume
@scholarmawala14038 ай бұрын
Dr eeeh,Hachezei wanaume,anachezea wavulana😂😂😂😂😂
@raimajimoto11228 ай бұрын
Nimekuelewa sana mwamba
@MuharamiNgasinda8 ай бұрын
Dr of drs
@jamilamasoud85448 ай бұрын
Jifundishe kutuma handkerchief sheikh, kimawaidha uko sawa.
@florakimaro-vw7qj8 ай бұрын
😂😂😂😂😂umenifanya nicheke jamani mwanamke anaweza kuongeza vitu juu ya kitu unaweka kucha juu yakucha nywele juu ya nywele jamani nimecheka
@RehemaKiswago8 ай бұрын
shilole upo sahii san
@MsonjoSicario8 ай бұрын
Mie ni Mkristo.... Ila Huyu MR DR Sheikh SURE ni brilliant sana....Awesome....AMESOMA.....BIG UP SIR...
@tonnyojambo17318 ай бұрын
Sasa ukristo hapo unakujaje?
@Brunn-mh2bq8 ай бұрын
@@tonnyojambo1731Sasa wewe wataka jibu la aina gani? Kasema yeye ni mkristo lakini maelezo ya huyu sheikh yamemwingia. Ubishi tu wa kipuuzi hauna maana. Huyu ni mkristo anayeweza kuingia uislamu.
@Bahatiali7816 ай бұрын
Ukweli uxtdhi ❤
@D1andonlysally8 ай бұрын
Leo dk kakerwa na mmoja wa wake zake😂😂
@afianzele75718 ай бұрын
nkadhani nimeona peke yangu😅
@Onlyforfun1992tube8 ай бұрын
Shekh toa namba kuna mtu nimtengeneze 😂😂😂😂
@Annalisejg2ur8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Onlyforfun1992tube8 ай бұрын
😂😂😂😂 janja janja dah hatari
@sallysafisanakijanakazibut16888 ай бұрын
Mengine umesema sahihi km kuwa na hasira sana unapokuwa kwenye siku. Ila hili la kutosheka wanaume pia hawatoshiki haswa kwa kutaka wanawake hamtoshi na hicho kitu hata mkiowa wanee bado mnataka zaidi
@MsNajma-e6e8 ай бұрын
Tz ndoa nyingi watu hawana herimu na ndoa sasaiv watu wameona mtandaoni ndio makama Yao
@HadijaMmwaro8 ай бұрын
Roho inakuuma umekosewa eti unaenda kupika na kupakua kwa wakwe😂😂😂😂nijikute
@sallysafisanakijanakazibut16888 ай бұрын
Yaqni hilo la mwanaume kujitetea akiwa na kosa nakupa 100 kwa 100.
@faridseilan44008 ай бұрын
Assalamu alekum naomba Dr.Sule ani fasirie hii Ayaa wayata3allamunna ma yadhuruhum wala yanfa3ahum surrat Bagara Ayaa 101 to 102
@TatoTato-t7s8 ай бұрын
Nawewe kunamaajabu gan usiposikiliza apa Kwan umeitwa au umekewa bando namtu usikilize
@sharifahabsi50048 ай бұрын
Haswaaa🎉😂😂😂😂
@maryammdoe58018 ай бұрын
Saa mbona sidiria yangu iko wapi, 😂😂
@zayanazayana55188 ай бұрын
Vipi sheikh anakunywa maji bila Bismilah wala Alhamdulillah
@jamilakhamisshaaban47528 ай бұрын
Bismillah kasema moyoni
@TatoTato-t7s8 ай бұрын
Sio lazima aseme adi wewe usikie
@ashaabdalla9248 ай бұрын
Hio kila mtu anaisahau hata weye hupigi unaisahau
@farhannahkulishwaburekunam53608 ай бұрын
Kwani kuachika kwa shilole ni ajabu au kwa vile ni star hamna kitu cha kuzungumzi ktk news
@mwanaikaomar86288 ай бұрын
Kiukweli ata na mimi nampenda huyu dada.sana
@salisali37388 ай бұрын
Sawa lini niende kuchumbia😂😂😂
@khadjamhozya8 ай бұрын
Umbea tu
@AminaJuma-r4v8 ай бұрын
ALLah mtukufu akupe mwesho mwema shehk wetu uko vizurr 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤،،🌹🌹🌹💞💞💞💞💕💕💕💕🍀🍀🍀🍀🌱🌱🌱🌱🌷🌷🌷🌷☘️☘️☘️☘️🌷💓💓💓💓💖💖💖💖🇹🇿
@farhannahkulishwaburekunam53608 ай бұрын
Sheghe sio wanawake wa siku hizi si kama wapenda kujaliwa no hawana habari wanapenda pesa tu hata asipokuona
@abdulazizimashaka32758 ай бұрын
Huyu shekh nae anapenda umaarufu jmn
@Brunotarimo108 ай бұрын
Shekh yupo visuri . Anaelimisha jamii👏
@Brunotarimo108 ай бұрын
Shekh yupo visuri . Anaelimisha jamii👏
@nakundwamkubwe78238 ай бұрын
@abdulazizimashaka3275 Dr Sulle ni maarufu kabla mimba yako haijatungwa. Sulle hana shida ya umaarufu labda wewe umemjua jana.
@hajiramadhanihaji3558 ай бұрын
Dr sule Ni sheikh maarufu tangu zamani . Anaelimisha jamii vizuri . Jamii inahitaji watu Kama hawa.
@salisali37388 ай бұрын
Sana
@mataypanga52628 ай бұрын
Hakuna uhusiano Kati ya dini na ndoa kwa sababu ndoa ipo daima na ni ni lazima.Dini ni hadithi nyingine
@hemedramadhani79468 ай бұрын
upo uhusiano wa ndoa na dini kaka.
@mataypanga52628 ай бұрын
Upo uhusiano?. Kivipi@@hemedramadhani7946
@annasolomon98558 ай бұрын
Kikristo imeandikwa ndoa ni mojawapo ya maisha matakatifu, ikaandikwa Mungu anachukia kuachana 😢
@khadijaa8158 ай бұрын
Aaa sh na wanaume pia wapo wanauliza masuali ya kijinga hayo unoyasema na wanaume wanayo pia wengine
@MonaMis-m3t8 ай бұрын
😂😂😂
@HASSANBAKARI-q9c8 ай бұрын
uyo sule hafai ata kwa chumvi...aachwe kama alivyo...na usipomuelewa hakuna kitu utaelewa mpaka kifo chako