Mnakosa vya kuimba hadi mnamuhusisha Mungu kwenye nyimbo zenu za kipuuzi
@meshackenos-ev1st20 күн бұрын
Sichoki kuwafundisha mi nalijuwa sana neno mwogopeni mungu waliokuwa wakiambiwa mwogopeni mungu walikuwa niwakosaji au nawe nimkosaji nini ninamiaka 45 tangu nimuamini mungu silahisi we kunisahihisha nipo ktk kweli polepoletu mtanielewatu
@meshackenos-ev1st20 күн бұрын
nipenitu msx zangu acheni matusi misijawatukana mjuweni mungu vizuli mungu anataka neno moja tu kwako je unampenda mungu umemwani au ndo umemwogopa kama hujamkozea mungu huwezi kumwogopa
@armytonegt38973 күн бұрын
🎉
@NyandaNkingwa-z6f22 күн бұрын
Kazi nzuri🎉🎉🎉❤
@sabatoager21 күн бұрын
chunga mdomo mungu ni mkubwa
@JamariDiRama20 күн бұрын
Mhhh
@NERYJONAS-fw2jc21 күн бұрын
Wepana fanya uchaguzi ya thème ya wimbo Yako , baba Mungu ni kuogopa kwasababu Mungu sio baba Yako ambayo anakulea angalisho , mimi ni mwimbaji mwenzako kutoka Congo
@kachelengwa23 күн бұрын
HIZO sale Sasa za ma densa duu zaman Sana ila kazi safi sana🎉🎉🎉🎉
@NyandaNkingwa-z6f22 күн бұрын
Ila ww
@PapaaMashana20 күн бұрын
Safisana
@djmasaicowboy153421 күн бұрын
Huna akili kuma ww
@meshackenos-ev1st22 күн бұрын
Ktk nyimbo hii hata wachungaji wasema
@MussaTibeth21 күн бұрын
Umepewa ufunuo mkubwa hawawezi kukuelewa.nikweli Mungu nipendo hatupaswi kumwogopa bali tunapaswa kumpenda
@meshackenos-ev1st20 күн бұрын
Mtumishi wa mungu hajaagizwa kutukana maaduwi kasome vizuli biblia mungu nipendo sio katili kama yeye alitupenda kwani nasi tusimpende maandiko yanasema mpende bwana mungu wako si kumwogopa siku zote yule anaeogopwa huwaga aduwi haiwezekani mungu ukampenda halafu ukamwogopa nipenitu kula zangu nabado nyingine yamoto zaidi inakuja
@meshackenos-ev1st20 күн бұрын
Mi nalijuwa vizuli neno mwogopeni mungu waliokuwa wakiambiwa niwale walikuwa wakimkosea mungu kwa matendo mabaya pis kumkataa mungu we unaempenda mungu hupaswi kuambiwa hivyo mi nina miaka 45 tangu nimwamini mungu silahisi we kunisahihisha japokuwa naimba nyimbo zakidunia lakini sijamkataa mungu Ila shida zamaisha jambo lamsingi nikuniombea mapungufu yangu bai bai hapo ndo mwisho wa maneno yangu mbalikiwe sana
@BRAXY-kn8qb20 күн бұрын
Nimepata tumbavu kingine huku njooni msikie😅😅😅😅😅😅
@brianambwambo329722 күн бұрын
Brother kama umekosa vya kuimba kasome biblia vizur upate uelewa zaidi kuhusu Mungu.
@kulwamaguzmaguzu220218 күн бұрын
Huyu mwimbaji hajakosea kbx kuimba kwan anakosa gan xaxa hp