Hakika Bwana wangu hutukuzwa Kila napowatch za SAC 😊 Nabarikiwa Sana tupo pamoja wapendwa katika kristo🤗🤗
@IbrahimChacha-i5rАй бұрын
Very nice song with great message to God’s people. Let everyone hear it’s essence. Be blessed all.
@farajakalabaka684Ай бұрын
Mbarikiwe kwa Ujumbe makini saana👏👏
@christinayudaАй бұрын
Kazi nzr Mungu awape mwendo 🙏
@beatusmanumbu8197Ай бұрын
Bravo 👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏nice song
@AidanKostantine-f5lАй бұрын
Amina sac
@paulmboje26772 ай бұрын
This made my day looks nice Here today 16 Nov 2024, Saturday. Through him the Lord we’ll fear nothing. Call upon him he’ll make it upon his time. God’s duration is real and perfect. Thanks a lot for Shinyanga Adventist Choir for this hopeful and strengthening message from you ❤ ❤❤🎉
@ellenmalombe88172 ай бұрын
Haleluya ❤
@wilsonmatoti5792Ай бұрын
Kwaya yangu pendwa kabisa shy tz Big up sana mungu awatumie vyema
@ellenmalombe8817Ай бұрын
Amen 🎉
@faustinakivambe9767Ай бұрын
Hongereni wapendwa!wimbo umeendelea kunijenga sanaa kiimani.hakika tumtizame Yesu🙏🙏
@ellenmalombe8817Ай бұрын
Amina bibi
@ruthmaeja6340Ай бұрын
Amina mpendwa Mungu akubariki sana
@ruthmaeja63402 ай бұрын
Hatuna budi kusonga mbele daima 🙏🏽 Yesu ametangulia mbele
@sabatopeter8514Ай бұрын
Amina mbarikiwe sana🙏🙏
@MwasiKafwembaАй бұрын
Amina! nimebarikiwa kwa wimbo huu ❤️ Mungu azidi kuwainua muende mbele zaidi
@ruthmaeja6340Ай бұрын
Amina ❤
@henrysimanamagu7079Ай бұрын
Nawapenda, songeni mbele na kazi ya Mungu wapendwa.
@ellenmalombe8817Ай бұрын
Asante sana mzee wa kanisa🎉
@ellenmalombe8817Ай бұрын
Amina mzee wa kanisa
@EliwazaEmnuelАй бұрын
Mbarikiwe na bwana ❤
@MathiasDaud-j8fАй бұрын
Amen hakika twapaswa kumtazama Yesu mwokozi
@ruthmaeja6340Ай бұрын
Hallelujah
@KelvinDamass2 ай бұрын
Mbarikiwe sana 🙌
@JoshuaLimbe-d7b2 ай бұрын
Nice song SAC Mbarikiwe 🔥🔥🔥🔥
@ellenmalombe88172 ай бұрын
Amen
@DoricasJoseph-mm1be2 ай бұрын
Familia yangu ❤❤ hongereni sana
@shinyangaadventistchoir2 ай бұрын
Amen
@SengokaMndambi2 ай бұрын
Amen. Amen. Mbarikiwe Sana SAC.
@ellenmalombe88172 ай бұрын
Amina sana ❤
@shinyangaadventistchoir2 ай бұрын
Amen 🙏
@samueldaniel55952 ай бұрын
Sifa na utukufu kwa Bwana! Songa mbele🙌
@shinyangaadventistchoir2 ай бұрын
Amen
@christinalukwaro40622 ай бұрын
Hakika Tumtazame Yesu Tu Rafiki Wa kweli❤❤❤❤❤❤Asante SAC,Wimbo Umefariji Moyo wangu,Na Kunipa Tafakari ,Tumaini,,Kuimarsha,,Mbarikíwe
@shinyangaadventistchoir2 ай бұрын
Amina
@NaomiNarikiso2 ай бұрын
Songa mbele mtazame yesu
@ChristinaMagesa-y1x2 ай бұрын
Hit Song💥💥💥songeni mbele SAC
@shinyangaadventistchoir2 ай бұрын
Asante sana ndugu yetu🤝
@Marry-o3e2 ай бұрын
Mungu awainue nzuri sana ❤
@shinyangaadventistchoir2 ай бұрын
Amina
@malombechallo5608Ай бұрын
Huu wimbo ni faraja ya pekee pale unapopitia magumu! Songa mbele!🙏🙏💪💪
@ellenmalombe8817Ай бұрын
@@malombechallo5608 Amen
@ruthmaeja6340Ай бұрын
Amina sana
@thebrightenvoices-zl9xl3jp7v2 ай бұрын
Mbarikiwe na Bwana
@finestford007Ай бұрын
Ujumbe mzuri sana, mbarikiwe
@estermasuke56292 ай бұрын
Mbarikiwe 🎧
@shinyangaadventistchoir2 ай бұрын
Amina
@ruthmaeja6340Ай бұрын
Amina
@zabronntale2 ай бұрын
God bless you Sac choir for your comfort song.
@shinyangaadventistchoir2 ай бұрын
Amen🙏
@barakabwatwa89612 ай бұрын
Songa mbele 🔥🔥🔥
@BetinaNdutaАй бұрын
Amen
@suzanahoyemangosengose2 ай бұрын
Mungu awabariki
@makulakiduta1001Ай бұрын
Mbarkiwe sana Sac❤❤
@AGNESCASSIAN28 күн бұрын
Mbarikiwe Sana wapendwa 🙏
@maigapyeno2455Ай бұрын
Barikiweni sana🙏
@KanaanzaJuma-p3uАй бұрын
Mubarikiwe sana wapendwa
@dorcaemanuel5937Ай бұрын
Mungu wabariki kwa huduma hii
@ellenmalombe8817Ай бұрын
Mtazame Yesu 🤝🤚
@andrewmosses-j2j2 ай бұрын
Songa mbele 🔥🔥🔥
@InosiaOnyango2 ай бұрын
Aminaa
@happysopilian-je6lbАй бұрын
Tusonge mbele🙏🙏🌹🌹
@georgejoshi22162 ай бұрын
Asanteni ujumbe wa matumaini ❤❤
@danielkatiti52229 күн бұрын
Mbàrikiwe sana
@jajialophacempyalimanus5912Ай бұрын
Asanteni sana kwa ujumbe mzuri na utulivu wa uimbaji