BILLIONEA BAKHRESA AONYESHA UFAHARI WA NYUMBA ANAYOKAA YA MABILLIONI.ANAISHI KAMA YUPO PEPONI

  Рет қаралды 150,905

Bongo Feed

Bongo Feed

Күн бұрын

BILLIONEA BAKHRESA AONYESHA UFAHARI WA NYUMBA ANAYOKAA YA MABILLIONI.ANAISHI KAMA YUPO PEPONI
#emailmarketing #insurance #harmonize

Пікірлер: 110
@abdulkadirsheikhmohamed5
@abdulkadirsheikhmohamed5 2 ай бұрын
MWAMBIE BAKHRESA ETI MTUME MOHAMED HAKUWA NA KITANDA HATA MOJA ALIKUA ANALAALIA JAMVI TU ALIJUA DUNIA HAINA MAANA HATA CHEMBE NA MTUME ALIKUA KIPEENZI WA ALLAH.
@ramadhanihamisi5596
@ramadhanihamisi5596 2 ай бұрын
Aacha kumzushia mtume,
@issaalfani1030
@issaalfani1030 2 ай бұрын
Amekukosea nini?
@abdulkadirsheikhmohamed5
@abdulkadirsheikhmohamed5 2 ай бұрын
@@issaalfani1030 Hajanikosea mimics lakini amekosea Dini ya Islamu ni Sunn ya Mtume Mohamad saw. Dini yeti haikubli majivuno na riyaa au kujionyesha nakupenda dunia kiasi kama Bakhresa.Sheitan andi Kenya kiburi.
@marlonointerior
@marlonointerior 2 ай бұрын
Ujinga tuuu wezio hawana dini Hawa kwakua wanajua dini ni uongo😂😂😂
@zeddybass6672
@zeddybass6672 2 ай бұрын
Maneno ya kimaskini gred ya mwisho
@salumjuma3152
@salumjuma3152 3 ай бұрын
Mash Allah Allah amzidishie zaidi na zaidi na ampe nguvu ya kukumbuka waliokuwa hawana uwezo
@stanleynjovu8939
@stanleynjovu8939 Күн бұрын
Ameen.
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 3 ай бұрын
Allah yarzuk man yashaau bihair hisabu
@rajabungatanda630
@rajabungatanda630 2 ай бұрын
Sema tu anayo nyumba mzuri ya kifahari ya mabilioni Lkn usiseme kama yupo peponi Afikii kiwango cha peponi
@SayyidAhmadBaalawy
@SayyidAhmadBaalawy 2 ай бұрын
Pepo ni moja hupati pepo mbili wala usijidanganye..😮😮
@Dfamilysingers
@Dfamilysingers Ай бұрын
Nani aliewahi kupaona peponi kaka
@KaghuvaMsuya
@KaghuvaMsuya 3 ай бұрын
Wee usidhalilishe Pepo haifananishwi na chchte tubu
@madarakaiddi
@madarakaiddi 3 ай бұрын
Mshukuru Mungu KWA YOTE si KWA ujanja wako tukumbuke safari ya mwisho Mungu akuzidishie
@fatumashabani9122
@fatumashabani9122 3 ай бұрын
Mashallah mwenyezimungu humzidishia amtakae
@bintikhamisi7806
@bintikhamisi7806 3 ай бұрын
Soma sura Ash shuraa Aya ya 12 na pia Aya ya 19 utajuwa Allah ni Malikul mulk..Allah Akbar
@HashmaSalim
@HashmaSalim Ай бұрын
Bro Kwan umeshawah kufka peponi au ndio u chawa.acha kukufuru,.anaishi kifahar Ila sio Kama Yuko peponi masalaam
@ZainaRashid-t3m
@ZainaRashid-t3m 3 ай бұрын
Mungu humps amtakae na kwa wakati autakaona humnyima amtakae kwa wakati autakaona
@MuhamedAjigar-dw9ve
@MuhamedAjigar-dw9ve 2 ай бұрын
Mm naona upande hospital na upande duka la magari uwanja wa mazoezi aina uzuri wowote mambo yamezidi mengi ndani lkn alhamdulilah
@abaskhatoon9425
@abaskhatoon9425 3 ай бұрын
UZURI WAKE NI ANAJUA PIA KUTOA KUSAIDIA NA KUWAJIBIKA.ALLAH KARIM.NI MTU MWEMA NA MTANZANIA .
@husnamadai7052
@husnamadai7052 2 ай бұрын
Masha Allah Mungu amjalie na pepo ya akhera pia
@HawaMkanda
@HawaMkanda 2 ай бұрын
Mwezimungu akampa alhmdulilahi mungu amkumbushe kufanya ya ahela
@Rukiasijahi
@Rukiasijahi Ай бұрын
Pepo haiwezi kufanania na kit chcht hap dunian pepo anae juwa mungu mwenyew
@SultanKeys1
@SultanKeys1 3 ай бұрын
Mashaallah
@saadaahmada7600
@saadaahmada7600 2 ай бұрын
Acha uongo hata uishi vipi uwe Na uwezo gani ila pepo haita fanana kabisa, chezea pepo wee! (ACHA UONGO)fisadi wee
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 2 ай бұрын
Wanawapa sadaka maskini kila siku waache waishi maisha yote mazuri....hatuwadai
@kelvinmisso4145
@kelvinmisso4145 3 ай бұрын
Kwa hiyo ndugu mwandishi peponi ndo ipo hivi?
@NassourBimkubwq
@NassourBimkubwq 2 ай бұрын
Siwote, kama lazima kukicha tuagize vitu vya bakharesa. Wengine asubuhi muhogo jioni ubwabwa wa nguvu za masikini.
@frankd1156
@frankd1156 3 ай бұрын
Nyumba kama hospitali....kama chumba cha operation .Hujaona nyumba duniani
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn Ай бұрын
Mbora mbele ya Allah ni mcha Mungu
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 ай бұрын
Duka la magari au nyumba ya kuishi
@ErickMacha-sb2ot
@ErickMacha-sb2ot 2 ай бұрын
Napenda wapambanaji
@RashidiHamza
@RashidiHamza Ай бұрын
Mwenyezimu anasema hiyo report ukubwa wake nikama ukubwa wake nikama mbingu na arizi je hiyo nyumba imefika ukubwa huo kama haijafika funga mdomo kuhusu pepo
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 3 ай бұрын
MashaAllah
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 3 ай бұрын
Maneno umeyamaliza baba
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 ай бұрын
Pazuri sana ❤️❤️
@MASHIRAMADHAN
@MASHIRAMADHAN 2 ай бұрын
Sheria haijamkataza kikubwa ni ajuwe haki za Mwenyeezi mungu na kuzifanyia kazi
@abdulkadirsheikhmohamed5
@abdulkadirsheikhmohamed5 2 ай бұрын
@@MASHIRAMADHAN Allah ametuamrisha tufuate Sunna ya mtume.Na MTUME haku anajivuna na magari au kujionyesha na majumba.makubwa.Lazima yoshi vile alikua anaishi.
@maryammohammed2345
@maryammohammed2345 Ай бұрын
​@@abdulkadirsheikhmohamed5jmn bn😅..swahaba othman alikuwa ni tajiri sana wala mtume hakuwahi mwambia tupa kila kitu ishi kma mm ..mungu kaunba matajiri na kawaamuru watoe sadaka na zaka kwa ajiliya maskini wala hajasema kuwa wakiwa nazo watupe....nabii suleiman alaihi ssalam yy alikuwa tajiri mno hadi sakafu ake ilikuwa ni ya madini wasema alikuwa na majivuno ama ..hmn rudi kasome uzur usimzushie mtume kijana
@RashidiHamza
@RashidiHamza Ай бұрын
Mungu anasema hiyo pepo ukubwa wake nikama mbingu na arizi je hiyo nyumba unayosema nikama pepo imefika ukubwahuo usilopoke kuhusu pepo
@venancerutta6875
@venancerutta6875 25 күн бұрын
Hakuna kupigia maana cc tunataka tufanane kitu hicho hakuna mwenyezi mungu azido kumubarika hajalishi Nina Hali gani tuachane na wivu usio na tiba comment hujalazimishwa
@DotoFlavian
@DotoFlavian 16 күн бұрын
Pesa alizotoa mahari kuoà si angenunua kitanda
@AdaniMohamedi
@AdaniMohamedi 13 күн бұрын
Mashallah
@RenatusYuda
@RenatusYuda 14 күн бұрын
Anaishi kama peponi, wewe ulisha ishi peponi ukapajuwa palivyo?
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Ай бұрын
Nan anakufahamu peponi? Acheni kudanganya watu bhana huyo yupo duniani tu na akifa anazikwa kama sisi tu! Acheni kukufuru
@jakayajuma9867
@jakayajuma9867 7 күн бұрын
Wew nyumba ya baba iyo sio mtoto toka we
@khalifakhatibu5123
@khalifakhatibu5123 2 ай бұрын
Ishalla mwenyezimungu! Amsame makosayak Akunamkamilifu duniani tumuhombe duanjema Jamani azidikutenda mema
@mayazamzam7274
@mayazamzam7274 3 ай бұрын
Unataka aishi wapi?
@Official_Nilamz
@Official_Nilamz 16 күн бұрын
POTEZENI MUDA KUKOSANYA MALI MTAZIACHIA WATU WENU NA SISI TUTAWAULIZA MLIZIPATAJE
@SuleimanKhamis2024
@SuleimanKhamis2024 8 күн бұрын
Akumbuke mayatima nawajane
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 2 ай бұрын
Unajua pepe sio karatasi ni mahala watu wazuri watakapoende bro hatubabaiki na ya dunia mungu atatupea ya akhera paradise tutaishi tukila zaituni na anabu forever inshaallah mungu amempa ya dunia Allah atupe ya paradise akhira
@003peaceboykenya
@003peaceboykenya Жыл бұрын
Wow
@ErastoMhozya
@ErastoMhozya Ай бұрын
mtu akiwa juu yako kimaisha huyo yupo tu na pepo zinaanziaga duniani maana ndipo tunapo ishi
@venancerutta6875
@venancerutta6875 25 күн бұрын
Uamini je? Mali zake tosha unazoziona azamu tv pekee ushutuki kuwa huyu ni biliionea
@lisauroble31
@lisauroble31 3 ай бұрын
Nice
@KhalifanRashid
@KhalifanRashid 2 ай бұрын
Mbna zote na kongwe Hana gari mpya
@ShukuruTamla-lp6tm
@ShukuruTamla-lp6tm 3 ай бұрын
Stupid hujaongea Cha maana rudi chuoni ukasome stupid umeongea ujinga unama😅liza bando zetu bure.
@AshaAli-u3w
@AshaAli-u3w 2 ай бұрын
Nyumba yote kubwa hivyo au ndio kwa ajili ya maonyesho kama hivo kupiga picha
@khalidimponela279
@khalidimponela279 Ай бұрын
Hii nyumba ipo wap mkuu
@galluskanenge4898
@galluskanenge4898 3 ай бұрын
😂😂 mbona hata chungu hujenga zikabomoka 😂😂
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf 2 ай бұрын
NI makinini hata hi video NI ya kimaskini haina gharama kubwa ndio maana haioneshi bizurip
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 3 ай бұрын
Onyesha ya kwako bhana ya Bahresa yanakuhusu nini.
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
Haven in earth 🌏
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 ай бұрын
Kwaiyo tufanyeje sasa
@tajiliwamadeni
@tajiliwamadeni Ай бұрын
Kikubwa pumzi mengine majaliwa
@dassustephen731
@dassustephen731 3 ай бұрын
Huu ni kutangaza uahamba.Mbona zipo nyumba nyingi za hivyo duniani.
@MzeeMkoloni
@MzeeMkoloni 3 ай бұрын
Wakati mwingine jifunze kunyamaza pita kimya kimya kwani utakuwa umepungukiwa nn???????!!!!!!!
@RashidNdege
@RashidNdege 3 ай бұрын
Acha wivu ww,haujaambiwa hakuna iyo ni ya omar baharesa,
@RashidNdege
@RashidNdege 3 ай бұрын
Washazoea za diamond uwa awasemi waona roise roise mbili hapo tena zile bei mbaya naajitangazi dogo
@godlovemalekela17
@godlovemalekela17 2 ай бұрын
Unaijua Pepo wew kaa Kimya na zambi zako kama zangu
@floramsacky3929
@floramsacky3929 2 ай бұрын
Tutafika mbinguni tumechoka sana
@NaziruIddy
@NaziruIddy 3 ай бұрын
We ni muongo mbona hatumuoni tutaaminije sasa
@ErastoMhozya
@ErastoMhozya Ай бұрын
shida za hapa duniani ndio jahanamu yetu na raha za hapa duniani ndio pepo na vyote hivyo mkuu wake ni fedha
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 2 ай бұрын
Akumbuke kunakufa asimsahau mola wake
@sweetplacidnkya4863
@sweetplacidnkya4863 3 ай бұрын
Msisifietafuteni vyenu
@sweetplacidnkya4863
@sweetplacidnkya4863 3 ай бұрын
Nimekuelewa
@rasnchimbi
@rasnchimbi 3 ай бұрын
Ni bandia za dunia tupu!🤔
@teyizwilfred429
@teyizwilfred429 Ай бұрын
Msifie mzee aliumiza kichwa na Bado mpaka Sasa anapambana
@IsmailJumatanu
@IsmailJumatanu 2 ай бұрын
Hajuwi anacho kisema
@IsackSamwel-nx1xp
@IsackSamwel-nx1xp 3 ай бұрын
Naomba kazi 4:47 4:50
@biommy6700
@biommy6700 5 күн бұрын
Wee si ndio Mwenye akili
@DanielSanga-w9y
@DanielSanga-w9y 25 күн бұрын
Ww inakuhusu nn
@pelican752
@pelican752 3 ай бұрын
Hivo vyote ni dunia tuu
@ProsperUlungi
@ProsperUlungi 3 ай бұрын
Kauli za kimaskini hizo😂😂
@abdulkadirsheikhmohamed5
@abdulkadirsheikhmohamed5 2 ай бұрын
HATA KAMA ANA NYUMBA KUU KAMAHII YA FAHARI HAINA MAANA SANA KABURI INAMNGOJA NI NI FT 4 TU NA KABURI NI GIZA SANA ATAKUA NDANI PEKE YAKE TU BILA BWAKE NA MAGARI YA FAHARI.
@issaalfani1030
@issaalfani1030 2 ай бұрын
Amekukosea nini?
@majidabdul-wg8ww
@majidabdul-wg8ww Ай бұрын
Fukara huwa ana taabu
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI Ай бұрын
Yote ni bureeee,kifo kipo palepale
@AristidesJustin-ik7lc
@AristidesJustin-ik7lc 3 ай бұрын
7j 3:58 3:59 6
@Zainab-f9w5x
@Zainab-f9w5x 3 ай бұрын
Mali ya dunia
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 2 ай бұрын
Haya yote ni mapambo ya dunia mimi na wewe tusisahau akhra vyote hivi tutaviacha
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 ай бұрын
Anaishi ulaya au
@sweetplacidnkya4863
@sweetplacidnkya4863 3 ай бұрын
Acha ushamba
@eugenkiwale
@eugenkiwale 2 ай бұрын
Kama hajamwamini Yesu na kuokoka ili asamehewe dhambi moto wa milele unamsubiri hamna lolote hapo kazi bure bila kuokoka
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 ай бұрын
Wivu utakuua
@abuuhanifah.1646
@abuuhanifah.1646 2 ай бұрын
Amuamini Yesu kama nani? Unajua kama Yesu mwenyewe alimuamini na kumuabudu Mungu huyo anaemuabudu Omar Bakhresa. Kama hulijui hilo, sema uonyeshwe aya za biblia (si ktk Quran)...huenda nawe siku moja ukasujudu kama alivyosujudu Yesu na waislamu wengine zama zote duniani
@mubaarakhassani5746
@mubaarakhassani5746 2 ай бұрын
Eti yesu ndio nini
@ErastoMhozya
@ErastoMhozya Ай бұрын
acha umasikini huo ndio maana mnaendeshwa na kiboko ya wachawi
@AishaUpendo
@AishaUpendo 3 ай бұрын
kwer uko Kama pepon
@MamuduAziz-h1z
@MamuduAziz-h1z 3 ай бұрын
Ndio unajua leo, pepo ipo hapa hapa aridhini ndio maana viongozi wa dini wanaishi vizuri kwa michango y misikitini na makanisani embu nambie mfalume gani maskini duniani
@Zainab-f9w5x
@Zainab-f9w5x 3 ай бұрын
Mali ya dunia
@Is-hakaRuweikh-k9s
@Is-hakaRuweikh-k9s 2 ай бұрын
Mashaallah
@RenatusYuda
@RenatusYuda 14 күн бұрын
Anaishi kama peponi, wewe ulisha ishi peponi ukapajuwa palivyo?
@RenatusYuda
@RenatusYuda 14 күн бұрын
Anaishi kama peponi, wewe ulisha ishi peponi ukapajuwa palivyo?
@chichigirl6000
@chichigirl6000 4 күн бұрын
Watu wengine wanashindwa kufahamu ufalme wa mola haufananishi na hauna upeo wala mipaka
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 4,7 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,7 МЛН
FUMBA TOWN -  Apartment Ownership Opportunity in Zanzibar
9:04
Tanya Innovations Africa
Рет қаралды 9 М.
WASANII HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA UMESHAWAHI KUJUA??
10:15
THE THIRD TV
Рет қаралды 628 М.
TAHADHARI, WADUDU hawa 6 Hutakiwi KUWAUA  ukiwaona nyumbani kwako
13:36
MELI kubwa Duniani Hii hapa, Ni Mji Unaoelea, Inatembea milele bila kusimama,Utashangaa ubunifu wake
2:38
Kona ya Teknolojia - Habari na Maujanja
Рет қаралды 596 М.
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26