Rehma na Amani za MWENYEZI MUNGU zimshukie Mtume wetu kipenzi Mohammad Swalallahu Alleyhi Wasallam Ahli zake na Maswahaba zake wote
@ibrahimdieumerci3952 жыл бұрын
Jazaka llahu fih
@fatumjumaa55633 жыл бұрын
Sheikh shukran kwa mawaidha mungu akupe umri mrefu
@eshasaid32583 жыл бұрын
Mashaaallah mawaidha ni mazuri ni meyapenda akulipe Allah lnshaalla ameen
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh ukty maasha Allah tabaraka Allah sheikh #othmanmaalim Mwenyezi Mungu akupe uzima na umri mrefu tuzidi kunufaika katika mambo ya Dini yetu shukraan jazzakah ALLAHU kheiran barakallahu feekum #riyadhtvonlineznz na team nzima
@ukhtyhumairah733 жыл бұрын
Waalaykumussalaam warahmatullahi wabarakaatuh
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
@@ukhtyhumairah73 maasha Allah tabaraka Allah vipi hali yako habibty
@twalaataib73373 жыл бұрын
JAZAKALLAH SHEIKH MANENO YAKO SAFI SANA MASHALLAH🙌👏
@mwanaramadhan70593 жыл бұрын
MashaaAllah jazakAllah ukheri sheikh
@eshasaid32583 жыл бұрын
Shehe Allah akupe pepo ameen
@ukhtyhumairah733 жыл бұрын
Shukuran kwa ukumbusho ya sheikh Othman maalim mswiba ya subhannallah
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
SUBHANALLAH kweli kabisa mswiba mkubwa MWENYEZI MUNGU atustiri 🤲🏽💖💖💖
@ukhtyhumairah733 жыл бұрын
@@زينببنتسعيد-د9ح Allahumma amiin ya rabbi habibaty 😘😘😘😘
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
@@ukhtyhumairah73 Amiin ya RABB ya habibty 💞💞💞😍😍😍
@hamizaramadhan12753 жыл бұрын
Masha ALLAH ❤❤
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
Shukraan na sifa zote zimuendee Muumba mbingu,ardhi na vote vilivomo ndani yake ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA
@sadhiyaiman60383 жыл бұрын
Kweli sheikh na kuna wengine Wana sifa zote subhanaAllah....Ila sheikh kuna waume wenye hizi sifa inakuwaje
@alhajnamkopa45973 жыл бұрын
Mwenyezi akupe umri mrefu amini
@sayleewaprocess56413 жыл бұрын
Mashallah mashallah say good
@sabilibrahim24573 жыл бұрын
Kweli kabisa
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Ukitaka kuchagua mke mzuri hakikisha kwanza na ww mume uwe mzuri. Si unataka mke mzuri halafu ww mwenyewe si mzuri hata ukachukue shamba ipo siku atakuchoka. Na wanaume wengi wa siku hzi sihao wakulisha na kuvisha kwa hio hata km huiba, huiba kwa maslahi/matamanio yao wenyewe natamaa zao za maisha na ufakhari lkn si kwa ajili ya kumtimizia mke. Sheikh siku hzi w'ke wengi sana wanafanya majukumu ya wanaume na wametwikwa na waume zao ima 100% au 50%. W'me pesa zao wanaficha wakaongeze wake.
@sm88363 жыл бұрын
Wanaume pia wanawavunja wake zao moyo pia, wanajiona wanyonge mbele ya waume zao.
@salummzee89083 жыл бұрын
wapo hao walio laaanika Allah atuepushe fitina za wake wa baya
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Wapo wengi sana lkn wengi wao unakuta vyanzo ni nyie wanaume. Wanaume wengi siku hzi hamtimizi majukumu yenu na hamjui thamani za wake zenu/thamani za wanawake na ndio ttzo kubwa hilo.
@salummzee89083 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 hakuna sifa zote shekheir amezitoa sio km amekuoneeni zito sifa zinatoka moyo na malezi waliyokulia wanawake ,istoshe Dini tumei weka nyuma tuna ipenda dunia km utasoma Qur-an na dhikri kumtaja Allah hutowez kumzarau mume ila rudini kwa Allah
@ftimaramadan47482 жыл бұрын
Amini ya Rabby
@ummua50063 жыл бұрын
Kwanza wafindisheni hao wanaume kujali majukumu na masuulia yao. wawache uzinifu, ubakhili, ubaridi,madharau na kibri. Wanawake hawana shida ndio maana hata katika wazazi mama anakua karibu zaidi na watoto kuliko baba. Wanawake shida kubwa ni mapenzi. Wakipata wakuwajali na kuwapenda, wanajitolea muhanga. Mwanamke ndio mama anaelea vizazi.
@abaafarhat91913 жыл бұрын
We ni moja wapo usiyefaa na umelengwa safi sana othuman maalim
@talibmuhsin52212 жыл бұрын
Cc Kwan wanawak hawazin ? Tena ndo wachochez haswa
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Lkn sheikh siku hzi uzazi wa mpangilio umevuruga wanawake. Wengi wamejichokea na wabovu tofauti na nyie wanaume. Inabidi uridhie kumsaidia. Ukitaka m'ke yule wa kukaa jikoni kila siku... sijui naona utapita ukioa na kuacha mpaka. Halafu wanaume nao mridhike siku hzi hakuna w'ke 100% mzuri kwa kila kitu. Shukuru huyo mvivu unauezo utamtafutia mtu wa kumsaidia au utamsaidia ww kuliko kupata wambea, wagombanishi, wahuni, wasioridhika na wanaokulinganisha na waliopita.
@ukhtyhumairah733 жыл бұрын
Ya subhannallah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sm88363 жыл бұрын
Sheikh ni kweli maneno yako kabisa kuhusu Wanawake hao, lakini naomba ulete video za kuhusu wanaume pia ambao wanapata wanawake wazuri wenye kufanya wajibu wao kwa waume zao lakini wanaume wakawa wanawasumbua wake zao mpaka wakachoka pia. Kwa mfano mke anakaa nyumbani peke yake mchana mzima ana hakikisha nyumba ni swafi, ana pika kila kitu, jioni ana jipamba kumngoja mume kwa hamu na furaha, lakini utakuta mume akiingia yuko serious ata ku smile na mke wake anaona tabu, na isitoshe akiguswa pia balaa anakwambia nimechoka wewe wataka kila siku haya, na isitoshe hakupi pesa pia zakutumia, usiku ana lala fofofo ata hana wakati na mke, hivi ni sawa? Mke anabaki na kufikiria mawazo mabaya kwa nini mume yuko hivi, mpaka mke anachoka pia kufanya wajibu wake kama mke. Hivi ni sawa wanaume hawa wafanyao hivi? Na mke akisema inakuwa balaa analeta vita ama atakunyamazia kimya kisha hajirekebishi, hukumu yao ni nini wanaume hawa? Naomba majibu please. Shukran. Nimeshaona haya yanatokea sana.
@ftimaramadan47482 жыл бұрын
Waifu ama naifu 😀😀😀
@claudettezainabu21623 жыл бұрын
Hakuna kitu kibaa kama kuzini.ndoa zaisiku mungu tu
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Na hio zinaa siku hzi ndio inachochewa direct na indirect. Unakuta masheikh wengi wanahimiza w'me kuoa wake kuanzia 2 bila ya kutaka kujua kwanza huyo m'me anamtimizia mmoja aliyenaye na wtto? Na unakuta w'ke wengi hawataki waume waoe kwa sabbu akijitizama yupo mmoja na anajiona kishaingia maradhi kwa kutupiwa au kugaiwa majukumu ya nyumba na wtto kulisha na kuvisha. Kila vibiashara kishauza mume hana uwezo anataka kusaidiwa...leo akatafute wa pili mpaka 4 hali itakuaje? Matokeo yake unakuta wanaume wanapita wakizini tu.
@husseinjuma9384 Жыл бұрын
@@alhamdulillah5796Mwenyez mungu hajalazimish kuoa mwanamke Zaid ya mmoj Ila kasem km una uwezo. Sasa akitokea mtu anaoa na Hana uwezo yeye ndo mweny matatizo sio mungu Wala shekhe