Allah aja'alie tuwe wenye kuzingatia katika elimu mnayotupatia mashekh wetu
@feisaldube7296 Жыл бұрын
Amin
@mwanajumanduni3375 Жыл бұрын
🤲🤲🤲
@MaldiniEl-Dugheish-fs9zh Жыл бұрын
Amin
@azzanassor3482 Жыл бұрын
Allah awajaze kheri masheikh wetu .
@hemedadam8641 Жыл бұрын
Mashallah, allah awahifadhi mashehe wetu, pia awajalie kher katika maisha
@ArafaSaalum2 ай бұрын
Maashaallah!Darsa kubwa na lenye ujumbe mzito saana tu kwa wenye mazingatio,tumuombe Allah awape uzindushi vijana wetu na sote kwa pamoja Allah akupe uongofu
@azizaiddy4981 Жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah yaani haya mawaidha. Mafupi lkn Mashaallah yamebeba ujumbe mwingi mzito wallah Allah awahifadh mashekh zetu awalipe malipo makubwa .mnipooza mioyo yetu alhamdulillah
@kassimali2273 Жыл бұрын
Mashaa Allah Othman Maalim Allah akuhifadhi uzidi kutupa dawaah
@zulachama1067 Жыл бұрын
Mashallah nimependa darasa kwa mawaidha mazuri sana masheilk wetu mungu awazidishie umri tuyapate mengi zaidi yakukumbushana mema kuepusha maovu.
@Abdulfatth-666 Жыл бұрын
Shukran jazeelan.🤲
@mizerochrispin7114 Жыл бұрын
Skukran🙏
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Allah atusamee aturudishekwake kwa uwezowake naatujaalie mwishomwema,....... Jazzakallah khaiilah mashehezetu kwaukumbusho
@mzeemzee7503 Жыл бұрын
ALLAH AWALIPE KATIKA MIZANI YA HASANATI NJEMA NIMEELIMIKA ALHAMDULILLAH DAAWA NJEMA AMEEN
@issrahayattv1356 Жыл бұрын
Alhamdulellah sheikh kw hu mjadalan mada y leo Allah awalipe heri
@rehemaismail2807 Жыл бұрын
Mashallah, ALLAH awalipe kila la kheri mashekh wetu
@nasrahassan2260 Жыл бұрын
Masha allah.allah awalipe kheri kwa kutowa mdawenu kwa ajili ya allah
@Samsungjprime-ww9ve Жыл бұрын
MASHAALLAH NAKUPENDENI NYOTE KWA AJILI YA ALLAH
@legend9805 Жыл бұрын
Allah ibareek fekuuum
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Mashallah Allah awalipe mmetuelimisha moja kwa moja mpaka peponi lnshallah.
@chimilasaid447 Жыл бұрын
Maisha Allah Allah akakulipe kwa chenye umefanya
@halimaramadhan2000 Жыл бұрын
Baraka llahu fiykum
@abdikadirabdulahi731 Жыл бұрын
Allah awajalie kheri Dunia Na akhera
@eyesheradnone2378 Жыл бұрын
Ma Sha Allah May Allah bless you abundantly
@bintmwanyello2350 Жыл бұрын
Amiiin amiiin.... shukrn
@halimamfaume1925 Жыл бұрын
Bismillah MashaAllah ❤❤❤❤❤❤❤
@fidelitekarigirwamuyangwa973 Жыл бұрын
Yani uyo sheh nampenda mwaka nimemuona
@hamisisaid-zz2ye Жыл бұрын
Mashallah! jazakallaheir sheikh wetu Allah akupe umri mrefu.
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@حسنيهاحمد-ل5ه Жыл бұрын
MashaaAllah
@khadijaali4167 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akujazi kheri akuzidishie elimu na hikma
@abdullahal-adhary5180 Жыл бұрын
ما شاء الله تبارك الرحمن Maa Shaa Allah جزاك الله خيرا
@lukmanalbimani3030 Жыл бұрын
3³and ŕ2è08b
@nasserabdallah5750 Жыл бұрын
Jazzakka Allah khyern 🌴❤🌴
@bakarimwakabebe9649 Жыл бұрын
Alhamdulillah Allah atuongoze katika kutubia .. shukran Allah atujaalie na mwisho mwema