Nimekusikiza kwa makini sana mwisho nimefahamu lengo lako.
@ismailsoud3634Ай бұрын
Uislamu hauongizwi na . maneno ya watu, uislamu unaongozwa kkwa Qur'an na Mwenendo wa Mtume (hadithi) Maulidi haimo ndani ya QUR'AN wala hadithi (mwenendo wa Mtume)
@user-xo9rb7wj7sАй бұрын
Mashindano ya kusoma qur'an na kupeana zawadi kwamshindi imeandikwa ktk Qur'an ipo aya kamili na dalili kwa suna zake Mtume
@shamepandu8422Ай бұрын
Kwani ww nani unaeyaingilia mambo yasiyokuhusu,mwache shekh aseme
@ismailsoud3634Ай бұрын
@@shamepandu8422 H ata kama si kwelli tunyamaze? Uislamu ni wakila MTU ameushika Mwenyezi Mungu na mwenye kuutaka. Anyway utakuja nijuwa tu muda ukifika. Wala usiww na shaka.
@abubakarmustwafa-lg8feАй бұрын
@@user-xo9rb7wj7s😂😂😂😂😂saf sana
@user-ls1ot6fs4vАй бұрын
Hata akisema uwongo tukubali tu?? Je mtume alisheza dufu na kuchezesha matako kama watu wanavyofanya sasa hivi kama rusha roho@@shamepandu8422
@ANRAHIMKADUMAАй бұрын
SEMA SEMA BABA Hawa wana ona fahari kusherehekea Vikojozi wao klk Mtume kweli Akili ni nywle kila mtu anazake
@PrinceSindayigayaАй бұрын
Acheni kuongoza dini kwa maneno yawatu tunataka korani na khadithi acheni kutuchanganya
@angle3600Ай бұрын
Viongozi wanatukuzwa,wanaimbiwa,wanasifiwa,mbona asiwe Mola wetu na Mitume wetu.
@SuleimanMakaraniАй бұрын
Je ALLAH Mwenywe Kauli yake Na Mtumie Asemaje Kabla huja fika Kwa huyo Imamu wako
@user-br6er7zf5zАй бұрын
Unataka kasemaje kabla yahuyo imamu ha nakupa sasa innallwaha wamalaaikatih swalluuna alannabiy yaa ayyuhalladhiina aamanuuu swalluu alayhi wasallimuu tasliimaaa kama una fani utajua maanizake
@user-hz3ub4xk4tАй бұрын
Waeleze hao walio soma juu juju katika madawat na viti vya kuzunguka ambao hawajielewi
@maishambaruku1301Ай бұрын
Ujue ukiona kitu unatumia nguvu saaana katika kufahamisha jambo liangalie hilo jambo litakua nilakutungatunga hivi jambo la haki limenyooka hata isinge kua na haja ya kusimamwa na mishipa ya shingo, wambie watu ukweli unapambania mauli kwajili ya masilahi yenu binafsi bana.
@sumaiyyazamilzamil121Ай бұрын
Ni ya leo hee au
@user-xo9rb7wj7sАй бұрын
Mtondogoooo,,
@user-xo9rb7wj7sАй бұрын
Salluuu'alyhi'wasallim'tasliiimaa.🎉🎉🎉
@IsmailJuma-ke2wdАй бұрын
Aslm alykm ww tumpende mtume sioni shida ya maulidi mbona hili jambo igawe waislamu
@user-ns9rw8em7hАй бұрын
Maulidi ni uzushi hata mkiyapamba vip 😂😂😂😂😂
@user-ls1ot6fs4vАй бұрын
Wewe shekh mtume hajacheza dufu hata siku moja hizo ni mila za kinaswala kanisani huko umeacha swala za suna unacheza dufu vipi wewe dumisha suna za mtume kwanza
@mrishosudi1896Ай бұрын
Ongea KIELIM soounaropoka tu
@binbaya923Ай бұрын
Kinaswala ndio kina nani? Au ulikua na maana ya Kinaswara (Manaswara)