Maashaallah ni waadhi mzr sana kwa mtoto wetu Hashyat,kiukweli imetutoa machozi wengi tu, Allah atupe uvumilivu na akulinde Hashyat wetu usijekuingia ktk kaswida za vinanda na maasia mingine. Aamiin.
@khadijasalum60313 жыл бұрын
Masha Allah, so emotional nasheed wallah, yussuph abdi umetutoa machozi, Allah azidi kumkuza mtt hashyat ktk maadil mema amiin, tutakumiss sn hashyat
@shufaaahmed46183 жыл бұрын
Princess Hashyat Sikiliza nasaha mummy.....will always lov u Bby Hashyat❤❤
@hawaosman43163 жыл бұрын
Allah azidi kumlinda na kumuongoza in shaa Allah bado twakupenda hashyat💖💖
@maryoum70193 жыл бұрын
Mashaa Allah nasaha nzuri sanaa Hashyat waliokunasih wanakupenda kwa ajili y Allah zifanyie kz nasaha hizo ,,,, Utakutana n changamoto nyingi kwnye jamii zetu n sheitaan hatokuacha nyuma kwnye kukushawishi ila shikamana n Kamba y Allah huku ukizikumbuka nasaha ulizopewa
@rahimasaid47023 жыл бұрын
😭😭😭
@hashyatkid17163 жыл бұрын
Amin yarabal Alamin Asanteni kwa nasaha zenu Allah awalipe kheri nyingi inshaallah ingawa nipo katika kipindi kigumu Sana ila Allah naamini yupo pamoja nami atanisaidia inshaallah
@fatmaaliy21343 жыл бұрын
Amini kwamba Allah hakuachi mkono yu pamoja nawe ndugu yangu , kila la kher Allah akupe amin😍😍
@faridayassin60123 жыл бұрын
Nakupenda Sanaa kwaajilu ya Allah kwa nasaha zaki nzuri ukisimamiwa Na mamti,Ummy mamy wako jaaman,nmehuzunika jaman,aalah akufanyie wepes inshaallah.
@sakinat25273 жыл бұрын
In shaa Allah Allah akufanyie wepesi na azidi kukuongoza
@nasmahgoodannyannakazinzur99543 жыл бұрын
allah akujaze kheri nying sana mdogo wang kipenzii saw allah atakuwa na ww kwa kila hatua unayo piga inshaallah
@bintsalimalbimany53403 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi inshaallah Hashyat mdog wangu😭😭😭👐👐👐Allah atakujaalia Safar yako iwe nyepesi inshaallah usikumbane na mazito yaarab
@fadyashaur88053 жыл бұрын
Allah akuongoze katika njia ilyo njemaa na akuzdshy ufaham mtoto hashyat mashaallah mungu akubariki popote uendako amiin 🙏🏻🙏🏻
Subhannallah imeniliza haya ni mawaiza allah amfanyie wepesi hashyat atuongoze kwenye njia ilionyooka
@nooor11203 жыл бұрын
Sabra wangu ni mawaidha sio mawaiza
@sabraabdilnasir88263 жыл бұрын
Shukran
@dimbablacky31803 жыл бұрын
Allah akuongoze kwenye njia iliyonyooka sawasawa inshallah
@dimbablacky31803 жыл бұрын
Mashallah nimezipenda nasheed zako
@asyaibrahim86123 жыл бұрын
Yasalaaaam.... Allah akuongoze katika mishaa yako kma ulivyo kubali kuwa wakti umefika na kufuataa njiaa ileyo sahihi Allah azidi kukuongoza In shaa Allah
@arifmuhammed33023 жыл бұрын
Mshallah
@fat-hiamussa28943 жыл бұрын
Mashallah hashyat Allah akuongoze vyema inshaallah ukuwe mtt mwema
@zuumasoud50703 жыл бұрын
ameen yarab
@noormohamed9173 жыл бұрын
Mashallah may Allah bless you with more knowledge and may you prosper inshallah
@aliadan61502 жыл бұрын
MashaAllah hashyat Allah akulinde mtoto wetu
@bintmuhammad49133 жыл бұрын
Ma sha Allah... Allah akuhifadhi mtt Hashyat
@zaharanassoromkwayu82512 жыл бұрын
Love hashyat sanàaaaa kila la kheri kwny maisha yako mbeleni am sumy love u buree yaan
@abdimalikhassan77013 жыл бұрын
Mashallah mashaik ❤❤❤
@ahlamharoub11303 жыл бұрын
Nenda Maisha yako salama Allah akufungulie kila la Khair mamyy😘😘😘we will always love you
@balqisabdullah62003 жыл бұрын
😭😭😭😭 Mashallah we luv you hashyat.
@fatmahchaurembo5121 Жыл бұрын
Nakupenda kwa ajil ya Allah Hashyat Allah akuongoze akujalie mwisho mwema usije ukaingia kwenye shubuha
@mohammedjumakhamis81513 жыл бұрын
Ni ishara ya mapenzi ya dhati ya shk Yussuf Abdi kwa Mwanawe Hashyat
@hassanmajid45793 жыл бұрын
Mashaa Allah , Allah ibarik fykum ..
@hafidhmhmd90652 жыл бұрын
Loveu hashyat ur nasheeds
@sweetyypie21653 жыл бұрын
Hashyat mamy uyackilize uliyoambiwa na kuyafanyia kazi, Allah akusimamie
@tahiyasultan10153 жыл бұрын
Allah akubarik mtoto mzuri
@rahimasaid47023 жыл бұрын
Allah atakujalia toto Hashyat uwe mwenye ucha Mungu utakua na raha za duniani na Akhera Amin 😍😘
@Itzurfavpetpo3 жыл бұрын
اللهم آمين يارب العالمين
@ashwramashallah72423 жыл бұрын
Amiin yarab allah amiin
@ahlamharoub11303 жыл бұрын
Allah akutunze mspenzi yetu kwako yako pale pale
@mpongomwenda15993 жыл бұрын
Nakupenda kwa ajili Allah.
@fayamsulleyman94553 жыл бұрын
Pole sana yusufu abdi,na mtoto hashyat sikiliza na zingatia nasaha kipenz, na pia shekhe yusuf abdi tunaomba ujitahidi na usikate tamaa kumnasihi ndugu yako bro nassir maana sasa anafanya mambo hata hayaeleweki ni vituko tuu😪😪😭
@maryammas5 ай бұрын
😢😢😢
@Awatee3 жыл бұрын
Masha Allah
@husnaali92263 жыл бұрын
ما شاما الله
@bubulibubulishrine7013 жыл бұрын
Mashaallah
@khadijahaji63413 жыл бұрын
Mashalla
@bintsalimalbimany53403 жыл бұрын
Hata mim nimelia Saanaaa😭😭😭wallah Iwe Safar yakher lovely Hashyat love u Soomuch Tutakumiss Saana wallah😭😭😭👐👐
@munaahmed84993 жыл бұрын
Samahan naomba kuuliza kam waelewa huyu mtoto aenda wapi kwani? ????
@bintsalimalbimany53403 жыл бұрын
@@munaahmed8499 Ameshaacha kusoma Nasheed Ndug yangu kwan sasaiv ameshafikia stage yakuwa hatakikan tena kuskikana Sauti yake Na wanaume😭😭😭Ndio anaacha hukuona Tamasha lake wengeelewa kila kitu Fungua chin yahii video kwenye Riyadh tv online utaona 😭😭😭😭😭
@munaahmed84993 жыл бұрын
@@bintsalimalbimany5340 ah mpendwa kumbe kawa mdada wanaume watamtaman sio bc allah amjaalie akue ktk mena zaid na zaid ametupea nasheed za kutosha pia
@bintsalimalbimany53403 жыл бұрын
@@munaahmed8499 ya hakuna ujumbe ambao hakuufikisha katika Nasheed zake mawaidha yote yamo katika masheed zake👐👐
@munaahmed84993 жыл бұрын
@@bintsalimalbimany5340 masha allah yupo vzr mno
@alisaleh25073 жыл бұрын
Allah tujaalie mwisho mwema.
@sarahmuhammed6872 Жыл бұрын
Kwani.alienda wapi kuagwa huko?
@zulfafarid9227 Жыл бұрын
And answers pdf on iphone with
@abdullahseif49843 жыл бұрын
Kuwa salama Hashyat nijenikuoe
@shabnaalii45243 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣yote kheri
@sikukuuchuo30933 жыл бұрын
🙊
@aliabdalla92973 жыл бұрын
Makubwa
@zainabomar91393 жыл бұрын
Hahahahaaa inshaAllah bora uwe mume mwema kwake
@SoudShuraim2 ай бұрын
Me ndo najiandaa hivi barua iko njiani
@halimajuma61193 жыл бұрын
Afaizu luheta hem njoo hapa tuyapange. Nna hadithi yng ninataka nikupe alaf uitungie nasheed. N kisa ch ukwl
@ramlahemed98663 жыл бұрын
Unaihitaji namba yake?
@halimajuma61193 жыл бұрын
@@ramlahemed9866 ndio. Na nitafrahi sana ukinisaidia.