No video

Shomari Kapombe Atangaza Rasmi Kuondoka Simba, Ataja Sababu "Changamoto mpya)

  Рет қаралды 79,952

BM TV TANZANIA

BM TV TANZANIA

Күн бұрын

SUBSCRIBE HAPO JUU
tembelea WEBSITE YETU
bmtvtanzania.com/
INSTAGRAM
/ bmtvtanzania
FACEBOOK
/ bmtvtanzania
TWITTER
/ bmtvtanzania1

Пікірлер: 49
@teresiamgimba760
@teresiamgimba760 4 жыл бұрын
Tunakupenda kapombe usiondoke simba
@salum_lg1969
@salum_lg1969 4 жыл бұрын
Kama unampenda inatakiwa ukubali aondoke akatafute changamoto sehem nyingine
@rajabujohn4573
@rajabujohn4573 4 жыл бұрын
Kipezi chetu kajalibu maishaa Ila usubili tucheze na yanga tukishawanyosha luksaa
@simonjustin5921
@simonjustin5921 4 жыл бұрын
😃😃😃🙏
@jamespapaa644
@jamespapaa644 4 жыл бұрын
Kapombe yupo vizuri Sana
@samsonmajebele837
@samsonmajebele837 3 жыл бұрын
Mm nakubali kpaj unacho uko vzr bro
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 4 жыл бұрын
Dah😢😢😢😢😢😢😢
@shikuassi4876
@shikuassi4876 4 жыл бұрын
Tunakupenda mwamba katafute changamoto In shaa Allah
@enessamramba5542
@enessamramba5542 4 жыл бұрын
Safi sana kutafta changamoto ni sawa ila aliyeuliza swali hajielew simba inasajili ili unapopata majeraha walau ukitoka pia kuwe na mtu ambaye awe vizuri walau viwango vikaribiane kama zimbwe na gadiel
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 4 жыл бұрын
mmmh..unataka kuanza ustaa tena? Mbona kama unasusa bro? usitufokee
@zainabumcharo2163
@zainabumcharo2163 3 жыл бұрын
Acha tamaa kijana
@shabanimkumba1224
@shabanimkumba1224 4 жыл бұрын
Tatizo wengi wakienda nje wanafeli
@emmapallanjo3641
@emmapallanjo3641 4 жыл бұрын
Kapombe ulishafeli ulipoendaga ulaya ukarudi sasa umri wako siyo rafiki tena sisi wanasimba bado tunakuhitaji sana plz usiondoke tena simba malizia mpira wako hapa hapa simba
@frankkalanda872
@frankkalanda872 4 жыл бұрын
Unajifanya niongee tofauti,nenda japo bado nakuitaji sana mdogo wangu!
@gidionjacob1850
@gidionjacob1850 4 жыл бұрын
Tunakupenda shomali usiondoke bwana
@janeelias4879
@janeelias4879 3 жыл бұрын
Anataka kwenda wap huyo mm bado namhitaji sana kwenye kikos change cha simba
@eng.sibanganyalbjse9600
@eng.sibanganyalbjse9600 4 жыл бұрын
Kapombe nini tena jamani? Ustupasue mioyo sie!! Kaa tulia Simba kumenoga, tunakupenda sana wanaSimba.
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 4 жыл бұрын
jaman
@ireneroman290
@ireneroman290 4 жыл бұрын
Acha uoga jamaa kisa kuletewa mbadala unataka kukimbia
@hamadbakar4541
@hamadbakar4541 4 жыл бұрын
Baada ya kumsikiliza nimekubaliana na wewe. Kapombe anahofia kupoteza nafasi ela mm namuona bado nimchezaji mzuri. Ninachokihifia nikua endapo atafanikiwa kuondoka anaweza kupoteza kiwango chake km akina Kichuya. Ela hatuwezi kupinga maamuzi yake
@ireneroman290
@ireneroman290 4 жыл бұрын
Ni kweli mbona kiwango chake bado kikopoa sana cha msingi yy angee na mawakala wamtafutie team za nje lakin sio kukurupuka tu from no where
@omarymtamajika6947
@omarymtamajika6947 4 жыл бұрын
Nikwel me nakubali kapombe ni nzuri sema aangalie uko nje na team ambayo ataenda kuchezea akikishe anacheza asije akaenda kuuwa mpla. Bola astaafu apa apa Simba na kupewa eshima ila namuombea mafanikio mema mungu awe P1 na yeye Simba nguvu moja 🤝🤝 🤝🤝 🤝🤝 🤝♥️
@mussamakungu7209
@mussamakungu7209 4 жыл бұрын
kwa dani alves ✔
@flavialeonardissangu1311
@flavialeonardissangu1311 4 жыл бұрын
Shomari mbona Kama anawasiwasi ?
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 4 жыл бұрын
Baki hapo tu nje huko ulishashindwaga
@rashidsamwel6823
@rashidsamwel6823 4 жыл бұрын
Nenda ukatafute sababu kuñakihàma kinakuja hapo simba
@gibsongodfrey985
@gibsongodfrey985 4 жыл бұрын
Njee ya wapi mnaendaga mnaludi
@frankkalanda872
@frankkalanda872 4 жыл бұрын
Analeta ujinga nae,nilimuona wa maana anaongea ujinga!
@peterhano8706
@peterhano8706 3 жыл бұрын
Uko sahihi Dogo kasake kitu kingine
@masanjajuma3010
@masanjajuma3010 4 жыл бұрын
Nakupnd xn shomi
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
Mpaka sasa yupo SIMBA na anawauwa YANGA keshokutwa KIGOMA. KUDADADEK
@gilbertmosha1844
@gilbertmosha1844 3 жыл бұрын
Bado tunakuhitaji sana kapombe usiondoke
@mussamakungu7209
@mussamakungu7209 4 жыл бұрын
Uwezo wako sina swali ! swali langu ni pacha2 yako ndo cjui hapo!
@musahusein3090
@musahusein3090 4 жыл бұрын
Nenda sisi simba tunakuombea kilalakheri by kambini kichokochwe 1
@aminasefu6113
@aminasefu6113 3 жыл бұрын
Shomari Mimi babako sheidi kigoma nimetoka reokongo nipigiye kwahinamba sasaivi sim imearibika nimimi shiheidi nimekusomeyadu pokeyameseji
@mbozeevanc4325
@mbozeevanc4325 4 жыл бұрын
Baki usiondoke shomari bado tunakuhitaji
@zahorrashid5459
@zahorrashid5459 4 жыл бұрын
wachezaji wetu wanavunjika nguvu.wanajituma kuiweka timu pazuri mwisho wasiku wanaachwa km deo kanda.au shibobu.hakuna sababu yakuwatema.KBS
@ibrahimchediel4867
@ibrahimchediel4867 4 жыл бұрын
Duchu anatisha ww kama vip sawa
@fabiangama2786
@fabiangama2786 4 жыл бұрын
Asiondoke ni fundi
@amanchatila7607
@amanchatila7607 3 жыл бұрын
mbona hii ni ya muda sana
@majaliwamajaliwa2132
@majaliwamajaliwa2132 3 жыл бұрын
m
@naseebamri2191
@naseebamri2191 4 жыл бұрын
ʲᵃᵐᵃᵃ ᵏᵃᵒᵍᵒᵖᵃ ᵃⁿᵃʰᵒᶠᵘ ˢᵃⁿᵃ ˢᵃⁱᵛⁱ
@donakingtz773
@donakingtz773 4 жыл бұрын
Kapambane mkali
@mdungimdungikhamis7779
@mdungimdungikhamis7779 3 жыл бұрын
Umeongea kitu shome
@thobiasshikome1480
@thobiasshikome1480 3 жыл бұрын
Usiondoke jembe
@thobiasshikome1480
@thobiasshikome1480 3 жыл бұрын
Usiondoke jembe
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 38 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 38 МЛН