Ni miaka mine sasa Tangu Ututangulie ALLAH AKUJALIE KILA JEMA AKHERA ULIKO.
@Tips____99k77k4 жыл бұрын
Namuomba ALLAH amjaalie sheikh wetu pepo ya firdaws na amuondolee adhabu ya kaburi na atupe pia mwisho mwema sisi sote Amiin
@mwajumaabeidy81374 жыл бұрын
Amiin
@HalimaAthuman-us8gi17 күн бұрын
Amiina yaa Allah
@nassorhamad52254 жыл бұрын
Allah mpoee sheikh nyundo kwa wema msamehe dhambi zake na uweke pahali pema peponi uliko waweka maswahaba wema am in a rabbi amin
@halimaothmann23524 жыл бұрын
SubhanaAllah. Kifo cha shekhe wetu NYUNDO kila muislam akiona mazishi yk machozi yanamtoka Allah tupe hatma njema wajawako Aamin😭😭😭
@fatumaramadhanmashaallahal99664 жыл бұрын
Hata tulioko qatar tuna huzuni kompoteza kipenzi chetu shehe wetu Lakin mauti ni mlango kila mtu lazima atauingia yarabi mfanyie wepesi maisha yake ya kibri inshaallah mueke nuru katika kaburini mwake inshaallah wape subra family yake wakati huu wa huzuni inshaallah Pole.sana
@husseinmrisho61214 жыл бұрын
Inalilahi wainailaih rajighun alla amlipe janat firdaus allahuma amin.
@abdulmalikshariff98674 жыл бұрын
fatuma Ramadhan mashaallah Allahu barikin Ameen
@hassanmirambo5644 жыл бұрын
fatuma Ramadhan mashaallah Allahu barikin Dua nzuri ila rekebisha hapo ulipo andika kibri badala ya KABURI ili na mimi ni like
@abdulrahmanrajab43694 жыл бұрын
Amn
@machintangachibwena59224 жыл бұрын
Mie nipo Germany pia ninahuzuni sana innalilah wainna ilaih rajuun
@faqrudiinmedia85394 жыл бұрын
Amiin yarabii amuweke janatul firdos shikh nyundo
@Amneamne-qi2du4 жыл бұрын
Sio znz hata sisi tulio kuwepo Dubai tuna huzuni sana kwa kuondo kewa na Shekh wetu kipenzi cha Waislam Nyundo Allah ampe kauli thabit
@FatimaFatima-bx8ez9 ай бұрын
Amin amin amin 🙏 🙏 mungu am weekend Mahalia permanently peponi 🙏 🙌 ishaallah 😢😢
@zahraabdi87724 жыл бұрын
Wallahi nihuzni kubwa kuondokewa na shekhe wetu...Allah amrahamu...kutoka Kenya
@sharifamohammad77764 жыл бұрын
Allah amjaalie pepo ya daraja ya juu kabisa na amghufurie madhambi yake amuepushe na adhabu ya kaburi na akubali amali njema zake....Ameen
@rossamengo72114 жыл бұрын
ALLAH amrehemu na amuangazie nuru kaburini kwake,awape subra familia na waislam wote duniani na tunamuomba ALLAH atujalie mwisho mwema waislam wote Amiin IN SHA ALLAH
Inalillah wainaillah rajiuun,,,yaaAllah muepushe mbali na adhabukali ya kaburi aamiyn
@NKOLAJUMANNE9 ай бұрын
Mlezi wa viumbe U pamoja nawew wema ulio fanya utalipwa aamin aamin,, nakupenda sana shekh wang
@mwadawasaidi37524 жыл бұрын
Nipo USA 🇺🇸 kiukweli nimeumia sana kwa kuondokewa na Shekh wetu kipenzi nilikuwa nikimfatilia kila anapo fundisha ila kazi ya Allah haina makosa tutamkuta uko inshaallah Pmzika kwa amani baba yetu kipenzi cha watu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@janerouhassanjanerou7933 Жыл бұрын
Mwadawa
@LuuljilalBarre9 ай бұрын
Aslm alykm
@rashidjuma19693 жыл бұрын
Allahuma ghufrlahu warhamahuu filjannah Allah akusamehe madhambi yako in shaa Allah cc tulikupenda Ila mungu kakupenda zaidi
@abdulmtitu74784 жыл бұрын
Mashaallah!!amesema mtume(s.a.w) ukitaka kujua wewe n mtu wa peponi au wa motoni,,tazama watu watasema nini baada ya kifo chako"mashallah sheikh wengi tunakusema kwa mazuri,na tunakudhania ni mwema inshaallah
@suleimanrashid39184 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 Hakika sio znz tu au tz hata ss tulio. Nnje ya Zanzibar nyoyo zetu zime jawa na simanzi Allah amrithie sheikh nyundo. Alifanya juhudi kubwa za kheirat. Aliwafunza wanawake wengi na ss vijana. Allah amjalie awe kwenye furaha sasahiv Allah atujalie na ss atupe wisho mwema. Tangulia sheikh nyundo nenda nasi tupo nyuma yako.😭😭😭😭 Bado tulitaman uwepo wako ila Allah ame kuhitaji. Hakika ni pigo kwa wenye Iman. Ewe mola wetu tuna kuomba uwalee mayatima alio waacha warahisishie riski zao. Wajalie wawe warithi wa elim njema.aaammin. Ewe mola wape subra wajane alio waacha warahisishie riski zao ya Allah.
@maryammct39674 жыл бұрын
Amen😭😭😭😭😢😢
@oumshoaib87144 жыл бұрын
Amen Amen Amen🙏 🇱🇺
@allahisone63864 жыл бұрын
Allahumma Aamiin,
@gharibsheikh36324 жыл бұрын
Aaamin
@mwajumaabeidy81374 жыл бұрын
Amiin Yaarab
@hassankatram56974 жыл бұрын
Allah amjalie pepo na amfutie madhambi yake na pia sisi Allah atusameh na atupe mwisho mwema insha Allah....
@sulezanzibar75054 жыл бұрын
From #Moscow Russia 🇷🇺😭😭 kwaniaba Ya Wazanzibar wote hpa #Moscow tunatoa pole kwa wana family wote,Allah sw amsamehe makosa yake Amiini,daima Tutakukumbuka 😭😭🇷🇺🇹🇿
@husseinjamaldin12138 ай бұрын
All the way from Rostov
@ramadhanihudhaifani43764 жыл бұрын
Inna Lillah Wa Inna Illayh Raj'uun! Allah Akupe kauli thabit wewe,wazazi wetu na umma wote wa Mtume wetu kipenzi,Muhammad (S.A.W).Amiin! Hard way,but the only way.😥
@fatmarefai92094 жыл бұрын
Poleni sana familia ya sheikh wetu Nyundo.Mungu awape wepesi kwa huu mda mgumu.
@rehemasalimini54664 жыл бұрын
Allah amrehemu shekh Nyundo ampe kauli thabiti amlaze mahali pema peponi kwa mawaidha yake yalitugusa sana ndani ya mioyo yetu kweli ametuachia darsa kubwa sana Allah amuangazie nuru katika kabri lake Aamiin
@suleimansaid15704 жыл бұрын
Allah amsameh ampe makazi mema amee.na ww shekh allah aibar kazi yko na atupe mwisho mwema ameen
@felixsunga70596 ай бұрын
Rip sheikh nyudo am a Christian bt really enjoy and follow the teachings of sheikh nyundo
@LaaajoAlhamdilillah9 ай бұрын
Inalilah wa inalilah ranjuni allah akupe pepo yake rhustaz wetuu
@shamsahaji62024 жыл бұрын
Innalillah wainnailayhi raajiuun Allah amsamehe amakosa yake ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia amin nasi atupe mwisho mwema amin.
@fatmasaid32794 жыл бұрын
Ameen Ya Rabby 🙏
@oyay28214 жыл бұрын
Amiin
@wemakalamu35384 жыл бұрын
Aammeen yarrab allahumma ammeen 🤲🤲🤲🤲
@shuuufadhil13494 жыл бұрын
Ameeen
@rehemahamisi99714 жыл бұрын
amina ishaa llah
@medi222alrajhi92 жыл бұрын
twamkumbuka mpaka leo shekh nyundo mungu amuweke mahala pema na wote walotangulia
@zainabmkomwa20644 жыл бұрын
Innalillah Wainnailayhi Rajiun 😭😭😭nyoyo zimejaa huzuni macho yamejaa majonzi Ya Rabb mpokee mjaa wako ya Allah tujaalie n sisi tuliobaki mwisho mwema ya Rabb
@abuuzahbeka70624 жыл бұрын
Aamin Yaarabb aamin
@shuuufadhil13494 жыл бұрын
Ameeen
@SoudShuraim8 ай бұрын
Mja mwema huyu mashallah..Mufti kasalisha..
@husseinidris28794 жыл бұрын
Ma sha allah.... Allah amlaze pema sheikh wetu
@ayoubabdull12654 жыл бұрын
Hili kubwa has maan dah' sina la kusema kwa kweli .... mwenyez mungu amfungulie milango ya pepo .....sheikh wetu ya rabbi...
@Da-cr6ow4 жыл бұрын
Ya Allah mwingi wa huruma mpe nuur katika makazi yake mapya nasi utupe mwisho mwema Ammin wallahi tumehuzunika japo tupo mbali nyoyo zinavuja machozi yahuzni
@ahmadmadhi81474 жыл бұрын
Inna lillaah wa inna ilaihi rajiuun. Allah amghufurie na amjaalie amani na Nuru katika kaburi lke mwisho ampe kitabu chake kw mkono wa kulia. Na sisi atupe mwisho mwema Amiin
@PaziTuktuk4 жыл бұрын
Sheikh nyundo allahummaghfirlahu warhamhu waskanhu fil jannah🙏mi mkenya lakini nsuguyenu kwa dini 😭😭😭
@mudylipawaga53622 жыл бұрын
ALLAH amjaalie kaul thabit piah atujaalie mwixho mwemaa na cc tuliobak Amiiiin 🙏
@saudaomary93634 жыл бұрын
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki mungu msamehe mazambi yake
@jumakombo4044 жыл бұрын
Shekhe wetu nenda salama , Allah sw, Amekupenda zaidi, ila hatuwez kukusahau. Na sc tunakuja huko huko, Allah sw, Akulaze mahali PEMA. Amin.
@kassimjuma38692 жыл бұрын
kgslb
@saidmswahili87934 жыл бұрын
Dawa mpaka kiamaaaa, Allah amlinde, amsameh na amuepushe na fitna za masihi ddajjaal yeye pamoja nasisi aamin aamin aamin
@anniyahfacebeat89374 жыл бұрын
allah amrehem, amfanyie wepec kwa safar yake hii. mungu ampe noor kwny kabri lake, ampe pepo kwa rehma zake, afanye kabri lake liwe ni miongon mwa vyumba vya pepo. AMIIN
@safarikarisa59123 ай бұрын
Mwenyezi MUNGU Akujaalie pepo kipenzi chetu mwalimu
@abdulramanhemed37494 жыл бұрын
Allah amrahamu shekh wetu... sio msiba wa zazibar ni waislam wote kwa jumla ameacha mengi kwa mama zetu dada zetu yani sote kwa jumla
@fatmamdidi81084 жыл бұрын
Allah amsamehe na amrehemu shkh wetu. Na ajaalie kaburi lake liwe katika viwanja vya pepo na si katika mashimo ya moto.
@salummussa73644 жыл бұрын
Allah ampe kauli thabiti sheikh nyundo
@calicabqaricalicabqari65984 жыл бұрын
INNALILAHI WA INNA ILAYHI RAJICUUN SHEEKH NYUNDO FROM SOMALIA
@sylvestermlalo39444 жыл бұрын
Allah amsamehe madhambi yake inshaallah
@sylvestermlalo39444 жыл бұрын
Njia ni moja sisi sote tutaipita
@hamisihamisi50784 жыл бұрын
Inna liLlahi wa inna ilaihi rajiuun.Allah amsamehe makosa yake sheikh wetu na amueke mahali pema peponi inshaAllah.
@ediyngoto18114 жыл бұрын
Allah amlipe kheir In sha Allah
@fatummsagat51774 жыл бұрын
Napenda sn mawaidha yake, Allah ampe kauli thabit
@nusurashaban9554 жыл бұрын
Sheikh nilikuwaa nakupenda kwel kwel
@zillarajab78734 жыл бұрын
Machozi yamenitika, mungu aiweke nuru katika kabri lake. Na sie atujaalie mwisho mwema Ameen ya Allah🙏🏿
@nusurashaban9554 жыл бұрын
@@zillarajab7873 Amiin
@zalkhsule26174 жыл бұрын
Innalilah wainnailah rajiun. Allah akulaze mahala pema peponi na sisi atupe mwisho mwema inshallah
@halimabakari41744 жыл бұрын
Allah amjalie kauli thabit inshaallah
@sifajacky77794 жыл бұрын
Inalillah wainailllah rajiun. Tunaomba Allah wetu mtukufu Subhanah wataala amuweke mahala pema peponi Sheikh wetu mpenzi na kipenzi cha Allah, Inshaallah 🙏 kusema kweli hautasahaulika kamwe kwenye nyoy zetu. mawaidah yako yame badilisha wengi ulimwenguni kote. Allah wetu mtukufu Subhanah wataala alifanye kaburi lako kuwa pepo miongoni mwa pepo Inshaallah 🙏
@tumajunior60804 жыл бұрын
Innalilahi wailehiraju,un Allah amueke mahala pema peponi ameen yarabby
@hanifasilima48164 жыл бұрын
Allah amrehemu shekha wetu kipenz ampe qauli thabit atujalie mwisho mwema na SISI ishallah
Innalillah wainna ilayh rajighun. Allah amlaze pahala pema . Kiukweli msiba umetugusa waislam wote ila ndio mauti ni haki kwetu sote na mauti yanakuja ghafla. Allah atupe khusnu lkhatima.
@sungwizi33904 жыл бұрын
Mungu amlaze pema peponi Amin Yaarabi Njia yetu soote yeye katangulia nasi tupo nyuma yake kila mmoja kwa wakati wake Alhamdulillah
@MohamedMwaita-y4iАй бұрын
Sisi tulio kuwa uku Tanga tumeuzunika sana kuondokewa na sheikh wetu nyundo Allah amjalie Nuru ya milele ndan ya kabur lake🤲😭😭
@medysaid16134 жыл бұрын
Hakika waislam tumeondokewa ni mtu muhimu kwetu zaid wazanzibar Allah amsamehe madhambi yake sheikh nyundo aifanye nyepesi safari yake
@rossamengo72114 жыл бұрын
Amiin
@sandrineakingeneye51624 жыл бұрын
Amiin
@fatmasaid32794 жыл бұрын
Ameen Ya Rabby 🙏
@nasrakapama36704 жыл бұрын
Amini
@maryammct39674 жыл бұрын
Amen
@thauratmuhamed22184 жыл бұрын
Mungu akueke pema pamoja na wema tunahuzun kubwa maskitiko makubwa tunakupenda sana shekh wetu ila mola wetu amekupenda zaid
@hcgghfgg66794 жыл бұрын
نسأل الله ان يرحمه و يتقبله في جنات النعيم. كم أسعد كثير من المسلمين بخطبه القوية و المعبرة . عاش في خدمة الإسلام والمسلمين. يعظم الله عزائكم و يصبر أهله و ذويه في هذا الفقد الكبير . تحياتي عبدالله من سلطنة عُمان
@aligedi28694 жыл бұрын
Tukiwa ujerumani ni huzuni kumpoteza sheikh, but ni kazi ya Allah haina makosa, Allah amfanyie wepesi huko, ya rab.
@shakilamathe26432 жыл бұрын
INALILAHI WA INA ILAIH RAJIUN 😭😭😭 Mungu amuodole zambi. Amuwekeye Nuru kwenye kaburi lake. Amurehemu.
@suleimantora31314 жыл бұрын
Shekhe msema kweli katika mambo ya kijamii Allah akulaze pema palipo na wema tutakukumbuka kwa ukweli wako sababu hakuna mashekhe wa kuyaongelea mambo ya jamii kwa kuona haya. Inna lillahi wa Inna ileyhi rajoun Poleni sana ndugu zetu Tanzania
@hajjatbintkhamis89134 жыл бұрын
"INNA LILLAHY WAINNA ILAYHI RAAJIOUN" Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake Allah hakika tutarejea......waliofikwa na msiba tunawapa pole na Allah awape subra waqti huu wa huzuni,,,,mbele yetu nyuma yake
@saidshuaib76454 жыл бұрын
INNA LILLAH WA INNA ILAYHI RAAJIUUN Mwz mungu amlaze mahali pama insha allah. Mie niko Iraq ila hata watu wamehuzinika sana kwa kifo cha shekh wetu
Innalillah wa innalillah rajiuni 😭 Allah amrehem uko alipo Sheik wetu
@ziadasadiki81964 жыл бұрын
ALLAH MSwamehe dhambi zake na umuweke ktk PEPO Inshaallah
@mwanaishahussein26354 жыл бұрын
Inalillahi wainna ilaihi rajiuun,hakika Sheikh Nyundo alikuwa haogopi kukaumiwa kwa hali yoyote ili kuwazindua walio kuwa wamepotea na kumuasi ALLAH.Kiufupi mie sikuona uso kwa uso lkn kupitia simu yamkono,nimejifunza mambo kadha wa kadha juu ya dini yetu ya kiisilamu.ALLAH amjalie pazuri insha Allah🤲🤲🇰🇪
@mohamedkagoma70664 жыл бұрын
Mungu akupe kauri thabiti Shekh wetu mbeleako nyuma yetu Amin
@asmahrajab98642 жыл бұрын
Innalilalh wainnalah lajioun mwenywez mungu akupunguzie adhab za kabr shekhe wetu
@Dachboy-f3v9 ай бұрын
Allah ampe kauli sabit kiongoz wetu mpenz
@mwajumalugenja38954 жыл бұрын
Inalilah shehe yundo Leo upon kimy daa! Umaunt! Yaaa Allha tusamehe waja wako na utupe mwisho mwema.
@hamadimuya72484 жыл бұрын
Ina lilallahi waina ilayhi raajioub.May Allah subhanahu wata'ala grant him jannah for the work he has done and may allah have mercy on his soul in sha Allah.
@ghulamjuma28834 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu amuweke mahala pema peponi ameen
@wm96694 жыл бұрын
Innalillahi wainaillahi rajiun. Good news inshAllah. Jannah tu fardows inshallah
@kombomohd48784 жыл бұрын
Allah amsamehe makosa yake amin sheikh wetu nyundo tulikupenda sana lakini mungu amekuita ni Nazi yake allha haina makosa
@fatmasayid88954 жыл бұрын
Mashalwa shekh Rashid kwa mawaisha mazuri inalilahi wainailahi ilahi rajiun
@hassankurwa4644 жыл бұрын
Inalilah waina ilaih rajiuwwn. Mungu mpokee Shekh Nyundo kwa mikono yako yenye Kheri
@kimutattoo40674 жыл бұрын
Inna illah Wainna illah Lajjiuun daghhhhhhhhh MOLA akupokee na Atujaalie naSisi tuliobakia MWISHO MWEMA 🙏🙏🙏🙏🙏
@zuwenanyoso91104 жыл бұрын
innalillah wainna ilayhi rrajiuna
@saheelameir43134 жыл бұрын
yarabbi husni lkhatima
@ladymashaallahilikeuaadvis9974 жыл бұрын
Allah amuepushe na Adhabu za kaburi, Allah awazawadiye subrah kubwa jamii yake yote
@thauratmuhamed22184 жыл бұрын
Umeniliza sana sheikh wetu
@salehesalehe29672 жыл бұрын
Mungu mjaalie shekh nyundo
@omar96-tz4 жыл бұрын
Ya Allah amsameh na umrehem sheikh wetu ya rabbil alamiyn
@muniramohammad17884 жыл бұрын
Innalilahy waina ileyhi rajiun Allah ailaze roho yake pema peponi.
@hanifaali95264 жыл бұрын
Nilipenda sana kumskiza sheick nyundo kwa KZbin. Poleni sana familia na wazanzibari wote kwa ujumla, natuma rambirambi kutoka Kenya, mwenyezi mungu amjalie jannahtul firdos. Ameen.
@aisharashid62414 жыл бұрын
Kwa niaba ya wafanyakazi wote wa omani waandishi zanzibar tumepokea kwa huzun kubwa Msiba wa shekhe wetu Hussein Nyundo mungu ampe kauli thabit na sisi tuko nyuma yake atupe shahada kabla ya umaut ishaallah
@sekijajanjatv20474 жыл бұрын
Mungu amsamehe mazambi yake amuweke kwenye pepo yajuu shekhe wetu
@saadarashid81744 жыл бұрын
Innalilah wainnalillah rajiuun brother nyundo my Allah guide you in shaa Allah
@bittybitty27124 жыл бұрын
Allah amrehem ampe kauli tabiti 🤲
@magomakabanja4809 ай бұрын
Innalillah Wainnalillahi Rajioooun Allah Ampe Kauli Dhabit
@miangijunior43584 жыл бұрын
Innalillahi wa Inailaihi ra jiun Mimi binafsi katika masehe niliotokea kuwakubari na kuwapenda ile ukweli wa kuwapenda kwa Ajili ya Allah number Moja ni marehemu sheikh Hussein Hassan nyundo. Kiukweli nimehudhunishwa sn na ninaeumia na naendelea kuumia juu ya kifo Cha sheikh Hussein Hassan nyundo Ila Sina budi kukubariana na Allah Alipotuambia kuwa kila nafsi itaonja umauti. Namuomea kwa Allah Amrizie mjawake huyo na Kaburi lake liwe viwanja miongoni mwa viwanja vya Peponi Allahmma Amiin".
@mtumwenikassim52454 жыл бұрын
Allah amlazeee mahalii pema peponii amiini....
@euniestherwilliam1513 Жыл бұрын
Apumzike kwa amani. Alikuwa Mwalimu mzuri. Mwanafalsa wa kweli.
@mrbnaid54474 жыл бұрын
Mola karima ailaze roho yake mahali pema Amiin😭🙏
@tumatuma64784 жыл бұрын
yaani mwanangu miaka 6 namuuliza unamjua ananambia namjua yule anatoa mawaida kisha anachekesha namuonesha picha ananambia huyu namjua yaani mpk hivi aaubuh hajaamini km kafa mana kaniuliza maswali kuhusu mtu akifa sahv ananambia yule kafa kweli au watu wanasema tu kwahio hatumuoni tena akisema subhana llah mtto hakuamin km huyu mtu hayupo
@saymarsaymar46544 жыл бұрын
Wallahi. Sheikh ametusaidia
@rashidally12114 жыл бұрын
Yaarabbih ampokee sheikh wetu al maruuhm nyundo
@hawaashaban80084 жыл бұрын
Allah msamehe skekhe wetu japo inatuuma San yaa Allah mpe Nuru kweny kaburi lake mpe pepo kwa rehema zako yaa rabbi na sis type mwisho mwema mola wetu tuhurumie😭😭😭😭😭😭
@shuuufadhil13494 жыл бұрын
Ameeen
@azizamwambashi3988Ай бұрын
Mungu wetu mlezi mjaalie sheh wet pepo
@aminarashid17984 жыл бұрын
Amina inshaallah pole kwa familia
@abuubakarhaji32444 жыл бұрын
Allah msamehe shekh nyundo na ampe makaazi MEMA peponi Amin
@khatibumagambo16654 жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya marehem Mahala Pema amen
@halimaothmann23524 жыл бұрын
SubhanaAllah. Kifo cha shekhe wetu NYUNDO kila muislam akiona mazishi yk machozi yanamtoka Allah tupe hatma njema wajawako Aamin😭😭😭