Asante Kanisa Katoliki, Asante Baba Kilaini. Maaskofu wasomi. Kanisa lenye kumlea mtu kimwili, kiakili na kiroho. Kanisa la wote. Mama Bikira Maria Msimamizi na muombezi wa nchi yetu utuombee. Asante Baba Kilaini ( genious) umefanya utume au uinjilishaji mkubwa sana kwa rais wa Tanzania na dunia nzima.
@ephremmtuya30942 жыл бұрын
proud of you Bishop Kilaini hapo Historia imekolea ipasavyo. Hongera kwa kanisa limegusha maisha ya watu wengi sana kimwili na kiroho
@MohamedSleyim3 жыл бұрын
Extraordinary person.A man of Honor.
@mackmneneiy72843 жыл бұрын
Baba Askofu ahsante sana kwa maelezo wewe ni kichwa hongera sana nashindwa kusema siwezi kuwa zaidi ya kiongozi wangu amen
@eddyjosephmagenge96583 жыл бұрын
The whole Tanzania Catholic Church is proud of you Baba Askofu Kilaini
@angelomedard2 жыл бұрын
Askofu Kilaini uko vizuri sasa na 🔥🔥🔥🔥,🙏🙏🙏
@joycekiwale61213 жыл бұрын
Mungu awabaraki watumishi wake
@alexandermatimbwi54973 жыл бұрын
Safi sana Askofu Kilain kwa hotuba yako nzuri
@carolinamuchi59803 жыл бұрын
Akili sana Bishop. Kichwa kina kumbukumbu zoteee
@estermgata96173 жыл бұрын
Wow! Very knowledgeable and articulate Bishop.
@filbertdominiki7965 Жыл бұрын
nasadiki kanisa moja takatifu la mitume..asante baba askofu
@renatusmatungwa65063 жыл бұрын
Mwana historia mashuhuri wa kanisa katoliki Methodius Kilaini
@djnobitv42433 жыл бұрын
nimekipenda kiswahili cha baba askofu kilaini
@michaelndilima62103 жыл бұрын
Ahsante baba askofu.
@paulrwechungura53423 жыл бұрын
Upo smart askofu Kilaini
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
"Ukimwelimisha mwanamke mmoja utakuwa umeelimisha jamii yote" By Kardinali Rugambwa
@michaelndilima62103 жыл бұрын
Baba askofu kilaini naomba uniombee.
@paulthomas2373 жыл бұрын
Nimefurahi kukusikiliza baba Askofu kwa nasaha zako mbele ya Rais
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
"Mtu akikuthamini unapata nguvu" busara na hekima zitokazo juu.
@priscillarindi30982 жыл бұрын
This president must be very very humble look her religion is not a Xi'an yet she humbly listens attentively
@chalesallen85822 жыл бұрын
Hizo hospital na shule za hazina msaada wowote kwa walalahoi nizagarama ya juu sana serikali iwatoze kodi kubwa sana
@veronicangailo76442 жыл бұрын
Mbona gharama zao nzuri nimeenda ikonda bei nzuri huduma nzuri
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
"Tuungane katika amani"
@onesmomassawe62303 жыл бұрын
Busara ya katholic
@paulrwechungura53423 жыл бұрын
Mh Askofu Kilaini upo kilaini
@titosilayo75502 жыл бұрын
Baba askof endelea kueneza iman na injili kwa watanzania
@revocatusrweyemamu71332 жыл бұрын
Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe Mhashamu Kilaini,, Mungu azidi kukuweka,,
@ckdemagera37833 жыл бұрын
I have no public or private comment. Kazi iendelee.