Nabarikiwa sana na maubili yako.mungu akubaliki father.
@humphreybilly743711 ай бұрын
Baba Askofu Nakupenda Sana.Mungu Akutunze
@no3electronics3613 жыл бұрын
mungu wetu nimwenye huruma sana ...azidi kubariki kazi ya kinywa na akili ubarikiwe sana padre
@romanaeugen30665 жыл бұрын
Hongera sana baba Padre na Asante Sana'a kwa homilia nzuri...Utume mwema baba..
@janethkajoro94783 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na mahubili yako, ashukuriwe Mwenyezi Mungu aliyekuumba na kukuleta katikati yetu.
@paulina.baynit79705 жыл бұрын
Kweli padre umehubiri vizuri sana. Mungu azidi kukubariki.
@komugisha99043 жыл бұрын
Baba Mungu akujalie nguvu na maisha marefu.
@deolaballa30725 жыл бұрын
Mahubiri mazuri sana, Mungu azidi kukuongoza father
@radiombiu3725 жыл бұрын
Mbarikiwe sana wapendwa kwa kuendelea kutufatilia
@sylvesterjose32863 жыл бұрын
Mahubiri yenye mafundisho ya kina katika uzoefu wa maisha. Mipango na mawazo ya Mungu haichunguziki/haitabiriki, nimeguswa Sana!
@unitytzdar95535 жыл бұрын
Padre mmoja mzuri sana kwa " homilia " Ana kipaji na ameenda shule. ( PhD ya Theology )
@alexmaboko99675 жыл бұрын
Unitytz Dar hongerasanafatharkwahomilia
@kaizamulinda6333 жыл бұрын
Ma-padre wote wameenda shule. Huyu pamoja na shule, ana kipaji. Nilitamani sana kuwa padre mpaka leo japo nina miaka 35 na si mroma ila hakuna mtu namuheshimu kama father.
@gracedamas58833 жыл бұрын
Nabarikiwa sana
@jenniferokello19175 жыл бұрын
Nabarikiwa na mafundisho yako baba
@geraldmajula14534 жыл бұрын
Ubarikiwe Baba Padri. Hongera saaaaana
@gracenkongo1995 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako, ashukuliwe Mungu aliyekupa upadre
@franciskajessy74013 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na maubili yako Fr.🙏🙏
@josephinegravasiano88605 жыл бұрын
Uko vizuri sana Fr unajua kudadavua
@joachimjoachim25285 жыл бұрын
Ahsante Nimefarijika Sana na Mafundisho "Muembe au Mpapai haujilishi Wenyewe"
@davicedavid97715 жыл бұрын
Mungu akuzidishie Katika kuubiri injiri ya Yesu
@neybenson78815 жыл бұрын
Am bless natam mapdre wote wawe iviii yani mungu awasimamiee
@angelakhamala28833 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati
@bedamgonja94845 жыл бұрын
Asante kwa mahubiri
@fideliskimati46195 жыл бұрын
Twabarikiwa sana
@EpipodiusJustinian10 ай бұрын
Thanks
@lameckgunze63763 жыл бұрын
Huyu mchungaji Ni Baraka kwa watanzania Tumetunukiwa
@hilgathjoshua88043 жыл бұрын
AMEEN
@jovenaryjovenary84285 жыл бұрын
#Entasiima eabwa limoi. Tuwe watu wa shukrani.
@renatusmatungwa24395 жыл бұрын
Ahsante sana father Kamugisha
@floriankempanju56194 жыл бұрын
He is very tarented
@roselambert67004 жыл бұрын
Fr umebarikiwa kipaji cha kuhubili enjili
@gracealexander53095 жыл бұрын
AMEEEEN
@gibsonjosephat63523 жыл бұрын
Huyu Padri huchoki kumsikiliza kwa anavyopangilia mafundisho yake na mifano anayotumia.
@violetludovick53823 жыл бұрын
Natamani mapadri wangu wa Babati waubili km wewe.
@saimoncharles70182 жыл бұрын
Hai
@andrewkissavah82722 жыл бұрын
Kwa kweli kilicho baki ni kuokoka tu ilo MUNGU aweze kukutumia katika kusudi lake toka huko ili uingie mbinguni
@georgekimboka98213 жыл бұрын
Hii history ya wamasai nikweli kbsa imetokea pawaga iringa vijijini
@monicamsona4405 жыл бұрын
Mahubiri mazuri sana
@pascalmbwira78155 жыл бұрын
Gali likipata ajali dereva analaumiwa ,kwahuyu padre huwezi ukasinzie akiwa anahubili hogera saana
@annakimambo88735 жыл бұрын
Huyu Padre ana kipaji cha pekee, aliwahi kutupa semina kibamba Dsm sitayasahau mafundisho yake, Mungu aendelee kukuinua Father.
@happymsaki17205 жыл бұрын
Safi sana wazazi wetu wanafurahia hata LUGHA unayotumia na unadadavua somo
@happymsaki17205 жыл бұрын
Ameen
@happytemu47765 жыл бұрын
Nabarikiwa mno
@martinemwita77433 жыл бұрын
Ninavyo kufatiria ninapata faraja Sana mpakwa mafuta