#SHULE KUMI ZENYE ADA KUBWA TANZANIA HIZI HAPA #SHULEBORA #SHULEADAKUBWA
Пікірлер: 312
@kuruthumsharifu3 ай бұрын
Shule hizo ninzuri sana mwanangu atakuja kusomauko sikumoja ambayo nikesho😊❤
@mwajumariami29972 жыл бұрын
Mungu aninusuruu kusomeshaa wanangu skulii hizoo najua ipo siku nitaicha bora nitoe sadaka
@junkie9211 ай бұрын
Yeah...Aga Khan Mzizima. My school..I graduated 1994. So as my brother and sister.
@lovenessvisent9408 Жыл бұрын
Watoto wa viongoz ndio husoma huko lakin mimi mwanangu atasoma shule ya kayumba na atawaongoza wote hao sheeeeem
@devothaherman5820 Жыл бұрын
Naomba nitafute elaaaa tuuuu maaana wanangu nawatakia elimu nzurii
@alfredmsambaa14434 жыл бұрын
Mbn cc kayumba fresh tu, na hatuwazi🤣🤣
@shuubinty14474 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Kabisa umbuje😃😃😃😃👌
@fourteen_kiid4 жыл бұрын
Hatuna habari kabisa yaani!
@enitafelix19433 жыл бұрын
😂😂😂🙌🏼🤝
@macklinahrv2284 жыл бұрын
Mimi nimesoma elim bure😂😂😂
@rabanikisusi3864 жыл бұрын
Hakuna hata rais mmoja tz Aliesoma hpo
@carolinaadolf69554 жыл бұрын
Dah! One day my kids will be attending that school
@zakyahya46454 жыл бұрын
Usenge tu million 71 iyo kwio
@namkundainfor12654 жыл бұрын
😅😅😅 Haya ndio Yale Yale, Unaenda Super Market Unakuta Pesa ya Mshahara wako Wamembandikia Bei ya Mdori wa Kuchezea Watoto 😂😂😂
@Apelo_GAMER Жыл бұрын
Aah nmecheka sana😂
@TheodoraJoseph-s2f6 ай бұрын
Hatar san
@miriammpinga70749 ай бұрын
Aisee ,,,mm elim Bure na imenifikisha sehem flan iv sio mbaya sanaaaa ila Kuna watu jaman Wana pesa mhhh m.71 nazimia
@abdul-bz1cy4 жыл бұрын
shule mazingira ni mabaya sana
@philomenamakonge2274 жыл бұрын
Ni vizuri kwa mwenye pesa
@deogratiusdominick88824 жыл бұрын
Mmmmmhhhhhh iv mwanafunz akitoka hapo anapatiwa na kaz au
@shamiraathuman44784 жыл бұрын
Awa kazi nje nje tena sio Tz mambele uko
@deogratiusdominick88824 жыл бұрын
@@shamiraathuman4478 mmmmmhhhhh ukiwa unasomesha uko lazima uwe na marafiki au uwezo wa kumpatia mtoto ajira vinginevyoo. !!!!!!
@abedinegoheriel82644 жыл бұрын
Hahaa wamesomeshwa kwa mamilioni lakini mbon wako wengi kitaaaa tu😃😃😃😃😃😃😃😃
@saumusalimuhassan24994 жыл бұрын
Mmmmh! Watasoma kayumba wanangu
@faustinluambano295810 ай бұрын
Hulazimishwi ni hiari yakooook
@ebaraniathomas47504 жыл бұрын
mamaaaa mimi milioni na laki 7 tu inanitoa jasho
@azeezhmussa93424 жыл бұрын
af chuo unakuj kusoma na waliosom bure kuanzia primary had secondary
@edinakyaruzi92262 жыл бұрын
Hapana kabisa wengi wanasoma chuo nje
@mandytv26674 жыл бұрын
Alafu mazuzu marais ...madoctor wote wanatokea kayumba
@wittyjamanidarmura91414 жыл бұрын
Uwiiiiiii na kweliii Hakuna kitu
@athumanichato96444 жыл бұрын
Ww mtu analipa ada milioni 71 kwa mwaka alafu afanye kazi tz unaweza kumlipa kweli hao wanafanya kazi ulaya huko hahahah
@shylahkawa90744 жыл бұрын
Yani hawa hata hawajui Tanzania kuna nn hawa wapo nje huko hawana ata muda na Tz ndo maana hamuwaoni ata kwenye matokeo ya kitz maana wana mitaala tofaut
@gracejesca69134 жыл бұрын
Kweli kabisa
@justinecharles31053 жыл бұрын
@@shylahkawa9074hii
@hijjaferrari82434 жыл бұрын
Ada za kawaida Sana hata million 71 ya kawaida ilimrad Mtoto apate elim bora
@annaazaeli21453 жыл бұрын
Kwa nyie matajirii tutolee wengee ww ety kawaida af bado huyo mtt namwajiri baadae mm mtu wa kayumba
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Shule za gharama ndo zinaharibu watoto maana wanapewa sana uhuru
@danielurassa49093 жыл бұрын
Wew ni muongo mo dewij wa simba ame soma arusha muongo wew
@BONGOSTARMEDIA3 жыл бұрын
Asante nashukuru kwa kutizama video hii
@dulabori99224 жыл бұрын
Hao ndio viongozi wanaokuja kutawala baadae Dah!!!!
@joycecharles47194 жыл бұрын
Mm ada ya ef sabini inaniumiza kichwa🤕,wenzng 40M chekechea...nazmia
@shammoha52974 жыл бұрын
@Joyce Charles Mungu mwema. Utapata kw rehma zake, Ameen!
@miltonmachage24624 жыл бұрын
Hiyoo ada bora nipewe mtaji
@kelvinjohn68514 жыл бұрын
Kabisa yaani
@evaristirazalo74594 жыл бұрын
Jamani kama shule zote zikiwa na bei kama hizo watu hatutasoma kamwe
@AverinaShirati4 ай бұрын
Hizo hela zote wanatoa wapi?
@catherinelandas1938 Жыл бұрын
Watu wanaela kah
@happyalman65804 жыл бұрын
Tunachoangalia mkate tu kikubwa hapa kufanya bidii ya kuwa karibu na Mungu maana haya yote tunayaacha
@Feroze-h2d6 ай бұрын
Me ninachoonq kikubwa ni uelewa tuu
@adammwambuluma68944 жыл бұрын
Hata hazpo kwenyd top ten kitaifa c ufala huu
@millifire6936 ай бұрын
Hawatumii mtaala wa tanzania
@dannymyegeta43793 жыл бұрын
duh feeza ata no 10 imekosa...
@estomiailomo78444 жыл бұрын
Jmn kweli sisi fukara tutaishia kusikia kwenye midia eeeh mungu tubaliki nasi familia zetu zisome
@hadijasaid82353 жыл бұрын
Jmn ni aTary
@SulmanAliy-wp8zq6 ай бұрын
Kuna msemo unasema aliekupa elimu hata ya kukusomesha A huwezi kumlipa hata umpe nini sasa tusilalamike jamani hata watowe kiasi gn bado hawajalipa hao😂😂
@dianajames71314 жыл бұрын
Mm nikipeleka mwanangu iyo shule labda hela zipo halafu cjui nifanyie nn
@ananiamkasu88474 жыл бұрын
Hizo shule za matajiri tu!
@sylvesterfrancis68264 жыл бұрын
Mbn st. Marys siziioni?
@maulidisaidimuhani6859Ай бұрын
Kuna shule naisikia inaitwa FEDHA vipi hiya ipoje nayo?
@ambakisyemwakinunu20024 жыл бұрын
Hii ndo dunia na watu wake aisee
@binsultan69814 жыл бұрын
Mbona hatuzion ktk top 10 ya kufaulisha
@farlesfales9184 жыл бұрын
Mtaala
@lauramlay12104 жыл бұрын
Hawatumii sylubus ya tanzania watacompare matokeo vip
@fatmakiruwasha23784 жыл бұрын
Tumesoma karumba lkn alihamdulilahi
@msowamhokole77142 жыл бұрын
Wakimaliza hapo wanakuwa maraisi ama wakurugenzi ama mameneja maana si kwa Ada hizo mm
@hijjaferrari26234 жыл бұрын
Sema international School of Tanganyika bei yake za ada ni ndogo sana
@eliasdominick25864 жыл бұрын
tatazo we unatafuta sifa
@eliasdominick25864 жыл бұрын
au ni mhaya nn
@abduiddi41884 жыл бұрын
Upuuzi uliokuwepo tanzania one anatoka kayumba school aya wanakwama wapi hawa
@asnawlopez12124 жыл бұрын
Ist babalaooooooooo
@holycrossctc51744 жыл бұрын
Kidumu na mfagio mie ctaki taabu😅😂
@kanankirannko61742 ай бұрын
Usichokijua ni kwamba ,huyo Wa kifagio na kudumu tayari ameshajifunza maisha ya chini akipata A hashikiki nakwambia ,Fanya utafiti ,
@schosay_4 жыл бұрын
Milioni 34 chekechea???? Yeeuuuwiiii mimi jamani🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️
@amnymbega8774 жыл бұрын
Mil 16 chekechea 🤣 na mtu amasomesha watoto 3 wa chekechea hapo🤣😂😅 maisha sio fair
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Mashallah
@sunsetpictures74844 жыл бұрын
Sema mtaala na mtawala
@goodluckjoseph22034 жыл бұрын
Mnajitakia plesha to
@estart86344 жыл бұрын
Maghabe cec
@Msetotz4 жыл бұрын
Nyongeza P funk majani kasoma pia International school of tanganyika
@BONGOSTARMEDIA4 жыл бұрын
💪💪💪🔥
@khalidali11304 жыл бұрын
Na matokeo yake hajakua gavana wa benk kaja kua p funk majani 2 daud balali alosoma kayumba kawa gavana mungu anarehma zake 2jfnze kwa haya
@enitafelix19433 жыл бұрын
Kumbe
@amosmahona4334 жыл бұрын
Hahaha hahaha Eti za kayumba
@HanceBablo-ot8sz10 ай бұрын
Mwanangu atasoma mwisho ada million 7 tu kushuka chini zaid ya apo no money to use
@MaedaMm9 ай бұрын
Mimi.milioni.tatu kushuka chini😅
@ramadhankibaja88924 жыл бұрын
Haha ina bei kwan unapewa na mke huko huko au
@mbarikiwambarikiwa39884 жыл бұрын
Maisha yana utofauti Mkubwa sn.
@tousihhhh67654 жыл бұрын
ndomaan mo kiwango milion 71🔥🔥🔥🔥
@jacobkeleman80014 жыл бұрын
Kumbe duniani nimekuja kusindikiza wengine? Chumba 70 tu mpaka Mwenyenyumba anipeleka kwa mjumbe, wengine wanalipa 70M, anyway tumeingia Uchumi wa kati na kati penyewe hatupajui ndio wapi😂😂😂😂
@annedavienyamhanga47384 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@joyceabdallah4654 жыл бұрын
😂😂😂😂
@aminielyohana30524 жыл бұрын
Hhhhhhh tanzania yetuuu
@gracepalex74544 жыл бұрын
@@aminielyohana3052 🤩🤩🤩🤩
@gloryyairo9284 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Najiuliza mbona nchi zilizoendelea wanaelimu nzuri na elimu na matibabu ni bure
@mohamedmnjeja32714 жыл бұрын
duuuuhhhhhhh.....💪💪💪
@carrenkapia78413 жыл бұрын
Life is not fair😢
@khamiskamtoi50944 жыл бұрын
Sisi Hatuwazi kina kayumba na wengine tupo Nao tunapiga spana huku
@Apelo_GAMER Жыл бұрын
Hizo shule wanapewa nini hao watoto huko? N elimu hii hii au kuna kingine nyie😳
@everythingshorts2555 жыл бұрын
Hizo shule hazina wanafunzi
@BONGOSTARMEDIA5 жыл бұрын
MI ni mwalimu piq
@happynesjohnhappynesjohn44754 жыл бұрын
Wapooo
@fredducaunt17244 жыл бұрын
Unaota!!!? Nini?
@yusuphmwanjoli98624 жыл бұрын
Daya ya umasikini siku moja moja unaushtua unaenda kuuliza nafasi ya kuhamia kama ipo ukitoka hapo unakunywa soda na tikiti bac maisha yanaendelea
@jacquilinenoah9492 жыл бұрын
😂😀😀😀mamaaaa
@frankhoffa8356 Жыл бұрын
Nyoko kweli wewe yaani umenifanya nicheke kama mwehu😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@norahdenis2299 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@upendomfaume37924 жыл бұрын
No no no no haujataja Imperial Sec school na feza girl and feza primary
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
HUKO WANAJIFUNZA NINI AU UCHAWI TU WA KUTUBAGUA WANYONGE?
@wahidkombokhamis43304 жыл бұрын
Milioni 71 nishasoma chuo kikuu mpaka PHD,nishajenga nyumba ya kawaida tu,nishapata na mtaji wa biashara
@shammoha52974 жыл бұрын
MashaAllah. 😁👌🏼
@darliadarl37494 жыл бұрын
🤣🤣🤣 na unabakiwa na mtaj
@shuubinty14474 жыл бұрын
Acha kabisa 😃😃😃😃👌
@dellyally64134 жыл бұрын
Jaman naomben namba ya cm
@najma32684 жыл бұрын
Hesabu zako kali, hebu nieleweshe vzr 🤣🤣
@frederickrubinda19584 жыл бұрын
Hujui kutamka Cambridge
@georgemassebu20834 жыл бұрын
Nashangaa sijaona Isamilo school ya Mwanza wala Kaizirege..uwe unatafuta habari zote kuliko kutumia kichwa chako pekee
@shamiraathuman44784 жыл бұрын
Wee Kaizilege Ada ata haizidi 5M alfu ipo Necta izi azipo Necta ndgu
@devothakokwiyukya5179 Жыл бұрын
Hizo zilizotajwa kaizilege ni sawa na kanumba
@zainabuayubu1953 жыл бұрын
How about hazina international school
@BONGOSTARMEDIA3 жыл бұрын
Tutaileta. Zai
@neemamwanga49104 жыл бұрын
Nimeishia kuona majengo tu kwa nje, labda waniite cku moja wanipe msaada nitoke kimaisha
@dorleenmp25904 жыл бұрын
Kweli dada agu
@jamesmwita29954 жыл бұрын
Jamani wao wanafundishaje hivyo
@smolletmwakamele42754 жыл бұрын
Eti Kilimanjaro hiyoo shulee iko Arusha kisigo
@amosmpeko52833 жыл бұрын
Bablai
@JanetSemweta Жыл бұрын
Education is key
@ismailahmed51334 жыл бұрын
CHA AJABU HIZII SHULE ZOTE HUWA HAZITOI MWANAFUNZI BORA KITAIFA ,,,,Sasa sijui hawafanyi mitiani ya TANZANIA 😅😅,,,,au wanajionyesha tu na kuwa tofautisha watoto wao na watoto wa wengine,,,hakuna hata mwanafunzi ambae kagundua kitu inaonyesha elimu inayo tolewa kwenye hizii shule ,,,ni malezi tuh😁
@shamiraathuman44784 жыл бұрын
Ndgu awa wanamitaala Yao tofauti mtihan yao haitoki tz
@shamiraathuman44784 жыл бұрын
Na wengi unakuta wakimaliza wanaenda kuishi nchi za nje
@mariammvaa51904 жыл бұрын
Mmmm makubwa
@blandnakonkii74704 жыл бұрын
Kufahuru ndio kulele
@elilanda71374 жыл бұрын
Mmh iyo shule
@mesiamatheo22304 жыл бұрын
Mbona ktk top ten za ufaulu sijawahi kuziona hizo shule?...
@shamiraathuman44784 жыл бұрын
@@mesiamatheo2230 ndo maana akasema azitumii mitaala ya Tanzania ndgu
@shamiraathuman44784 жыл бұрын
@@mesiamatheo2230 ndo maana unakuta ao wakimaliza wansfanya kazi nchi za nje uwezi wakuta Tz
@nyambuli.mmanyasi68594 жыл бұрын
Tukutane Udsm
@anitajacob36414 жыл бұрын
Du! Watu wana ela jamani
@emanuelakaro14234 жыл бұрын
Watoto wanaosoma huko wakimalza hawawez adapt mazingira
@lucyalto87514 жыл бұрын
Wengi unakuta wanaenda ishi ulaya
@kevindesigner67954 жыл бұрын
umeisaau MPONJA
@siwemasalehe1922 жыл бұрын
kuna kashule flan iv kanaitwa lumiere sunrise ada yake m7. 5 na inafuata mtaala wa cambkage na ni chekechea tu
@jaklinifaustini42594 жыл бұрын
Kama hakir hazipo hazipo tu, hata kama akasome uingereza wangap wanaenda shule bila hata viatu lakin wanafaulu wanaishi mazingila magu
@Ankobcomedytz4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@adnanmaulid20134 жыл бұрын
Jaman nisaidieni kidogo hz hbr Ni kwel Na mbona ikitoka listi za shule zilizofanya vzr hiz shule mbona huwa sizioniiiii
@Zrss6024 жыл бұрын
Mtaala wao ni tofaut na hizi nyingine
@renatusdeogratias21084 жыл бұрын
Hawa mitaala huwa n tofauti na hii mi Nina binamu yangu alisoma pale Constantine alishikaga number one dunian in short n Kama upo marekan Ila unasomea tz
@fredydonald16104 жыл бұрын
Mtaala wa Cambridge maana ya ndiko mitihani inakotungwa. So hawafanyi pepa za NECTA
@esterkimario11264 жыл бұрын
ni kwel mumy
@esterkimario11264 жыл бұрын
mtaala wao ni tofaut ndo maana huzion mumy
@mayamoris5293 жыл бұрын
Afu ka mtu kanasoma Baobab kanajitapa
@dullahmudy22554 жыл бұрын
Hizo ada kawaida tuu watu wanalipa na mtoto akifeli baridii tuuu sio ww unasoma mchamba wima primary and sec ukifelii mawaidha kibaoo hutokii ndani wiki nzima wengne mara unafukuzwa na nyumbnii
@uncleelly45434 жыл бұрын
Na ada umelipiwa 20000 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@josephjosephat78264 жыл бұрын
Hahahaaaaaaaa
@ismailchilonga28783 жыл бұрын
Due yaaani hao wakiajiriwa Tz ni hasara kwa wazazi wao wafanye harakati zao tu
@BONGOSTARMEDIA3 жыл бұрын
Asante Sana kwa comments yako karibu bongo star media
@edwardrichard50714 жыл бұрын
Hela uchizi yaan ada 40M chekechea da nikizipata mtaj hatar
@ilynpayne74914 жыл бұрын
kaah milion 71 maanina huyo mtoto labda kama kuna uhakika atakuja kuwa raisi wa nchi
@mwajumamwajumamuhammad14574 жыл бұрын
😂😂😂😂😂umenena mzeee mwenzang
@hannahsanga56474 жыл бұрын
Nakwel
@isayajrsantoslazaro52334 жыл бұрын
😂😂
@shammoha52974 жыл бұрын
Kkkkkkkkk eti eh!😂
@shuubinty14474 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@lissamsalu123454 жыл бұрын
Yaan Mimi nasomeshe mwanangu shule ada 1.6 lakini nalalamika Sana duuuh kunawatu wanapesa jamani sijui wenyewe wanapata wapi hiyo mijiela tu
@khadijashabani55092 жыл бұрын
Hata wewe mshukuru mungu pesa unayo kuna watu mlo m1 unawashinda.