Dah! Nimeipenda sana hiyo shule.Ina mazingira mazuri, halafu safi kinoma.Big up mkurugenzi wa shule, mkuu wa shule na walimu wote pamoja na wafanyakazi wengine wa shule hiyo.👏👏👏👏
@cineplus-tv2552 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aXjcdaptqM2JqaM
@victoriaishengoma56342 жыл бұрын
Shule Ni nzuri Mwanangu amesoma hapa amepata Div 1.7 F4 Hongereni sana sana. Mambo ya kuboresha: -Wekeni muda wa watoto kucheza -Wekeni Extra curricular training activities ili Kuibua na kukuza vipawa ; Kama Music, Arts etc -Punguzeni kuchapa watoto tumieni positive Discipline. Non Teachers staff wasipige watoto. All ni all kazi yenu nzuri sana.
@andrewmachage91022 жыл бұрын
Dah wanapiga hao mdg wang kidg wamuue
@christinagideon9612 жыл бұрын
Mbona kasema hawachapi bila kibali
@andrewmachage91022 жыл бұрын
@@christinagideon961 muongo huyo hyo shule kwnz kuna waganda wengi xn ndo waalimu wa hapo na unawajua vzr wajukuu wa iddi Amin dadaa
@sweetbertrwiza59822 жыл бұрын
Shida inawezekana hopo kuna watoto wa matajiri ndio maana wanaogopa kuchapwa wamezoea kudekezwa, na usipowachapa wanakuwa legelege wacha wanyukwe
@hadijamandanje61892 жыл бұрын
@@christinagideon961 hawwzi kusema tunachapa Sana Ila kwa maelezo ya anaetafuta viboko anavipata jibu tosha
@kamalaeditha58642 жыл бұрын
Hongera Sana mmiliki na walimu kweli kazi yenu ni njema Sana. Mungu awabariki sana. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@josephkisibijr.42612 жыл бұрын
Just love the part of supplementaries😂😂🔥🔥. It's a great idea,,,, I think I need a job in KEMEBOS. This is not just investment but also a great blessing to the founder of KEMEBOS,,, pure heart,, a man of development,,we need more of him in TANZANIA 🔥🔥.
@verdianrweyemamu63672 жыл бұрын
Kazi nzuri Sana kaizilege na kemebos, Pia Asante Sana Millard Ayo kwa makala hii nimejifunza mengi🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@francisshake80162 жыл бұрын
This is very impressive for a school director hongera Sana bazuu
@khamisshee51312 жыл бұрын
MASHAALLAH MUNGU ambariki sana AMIN AMIN AMIN 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@clintonkhan49612 жыл бұрын
Niko Kenya ila natamani Sana mwanangu asomee hiyo shule. Hongera Sana Mzee mkurugenzi💪💪💪.
@tunkuh6612 жыл бұрын
Kuna cha kujifunza hapa... hongeraa sana Mkurugenzi na team yako.
@geophreymlewa38632 жыл бұрын
Aiseeee inashawishi , inavutia, inakufanya ufikirie juu ya haya kazi nzuri kaka hongeraa sanaaa hizi shule big up sanaaaaaaaaaa kwa mmiliki na walimu wa ujumla
@hajimusa98102 жыл бұрын
Aisee hongereni sana Mungu awabariki sana na huu uwe mfano kwa shule zingine
@linamacha76862 жыл бұрын
👏👏👏👏Duuuuuuu hongereni sana pamoja na yote kuwa mazuri nimependa sana hilo la kutokuchapa watoto maana walimu wengi wanapiga sana watoto jamani mimi mwakani namleta mwanangu kwa nyeupe kabisaaaaaa
@rosemarysulle92882 жыл бұрын
Wana chapa mnooo km mtt haelewi.mm ninawatt hpo na nimekuwa na kesi mara nyingi ya kuchapiwa wtt kikatili.baadhi ya waalimu cjui ni mijaluo?
@jamesobedy39402 жыл бұрын
@@rosemarysulle9288 😳😳😳😳
@emes6022 жыл бұрын
@@rosemarysulle9288 watoto wako hawaelewi?
@frankbangimoto34622 жыл бұрын
Hongereni sana mkuu. Ni mfano wa kuigwa na wawekezaji wengine.
@naomistanslaus21112 жыл бұрын
Hongera sana mzee Kaizirege Wagila mayo
@Mubarak_10002 жыл бұрын
Hongera Sana shule ya Kaizirege, kweli kazi inafanyika
@robertkimaryo71782 жыл бұрын
Safi sana, kweli hakuna mtoto mjinga. Muhimu ni Malezi tu! Shukrani sana Ayo TV, hii interview ina kiwango cha Hali ya juu.👌
@sarahgaula22202 жыл бұрын
Hii makubaliana nayo nimewahi.kuwa na mtoto WA wifi yangu alifiwa na mama akabaki na wa kambo alipata zero nikakaa naye akamaliza na 2 form 6
@yusufmohamed88742 жыл бұрын
Dah! Amegusa moyo wangu. Keep it up mwamba
@nestoemanuel17682 жыл бұрын
Brother millard Ayo tunashukuru kwa habari mzuri💥💥
@kassimibrahim47762 жыл бұрын
Amazing man.....i do booking for my son in next 3years to come
@silverman69302 жыл бұрын
Well the school is doing great … but this is the problem of Tanzanian education we all focus on divisions one two or three extra … having general skills will be more important cos the sad part is there is not enough jobs out there at the min unless you can employ yourself… the whole education system needs looking completely
@OnlyRuky2 жыл бұрын
Wawooooo....Mashaalah. Serikali njooni mjifunzee hapa
@fakihdarusi43852 жыл бұрын
Mmmh! Mbona izo mikakati ya kawaida tu
@halfankallah71732 жыл бұрын
Hapo Kwenye suala la Ada nmewakubaliiiii Huwa inatuaribu Sana kisaikolojiaaa kweny suala la kudaiwa
@jovinathasavoie80182 жыл бұрын
Wow that is a good strategy.,hii shule haipo mbali na nyumbani, nafurahi kuona hizo mbinu nyingine zipo kama za huku nje.Asante millard Ayo,iam your big fun.greetings toka USA.
@victormajariwa84842 жыл бұрын
Nime fanya kazi apo namkubali sana mkurugenzi ukiwa na shida anaga kinyongo anakupa zaid ata ya mshala wako
@fremwamedia19762 жыл бұрын
Ila shule zingne Kila cku vitisho Kwa wafanyakazi
@abubakarihamisikawambwa24652 жыл бұрын
Naomba mawasiliano ya hapo shule namba zao
@justinendizeye7142 жыл бұрын
Amazing protols, kama juli ughaibuni 👏👏👏👏👏
@wazirihamisi64842 жыл бұрын
Mwalimu huyu yuko vzr big sana teacher
@lulusimba75262 жыл бұрын
Kuna cha kujifunza hapa hongera sana mkurugenzi pamoja na team yako
@justinendizeye7142 жыл бұрын
Muonekano wa shule, usafi yani baba huyu Big Salut 🤠🤠🤠
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Mtu mwema sana ni tajiri wa asili ana mbwembwe na huyo mwanalimu mkuu ni mtu poa sana pahala hapo lazima pawe na bless
@AinekishaRwiza Жыл бұрын
Big up kwa wahaya🙌
@winniewairimu38222 жыл бұрын
Ila hii chanel naipenda sana Millardy ayo Mungu akubariki Sana,ipo siku nitawaita mje muone mafunzo nilojifunza kwenu, maana nanijenga mno
@lylyanaloyce28582 жыл бұрын
Yaan amna mbinu nyingne za ufaulishaji zaidi computation kwa wanafunzi wenyewe na fimbo juu .I really love that school ndo imenifanya nisimame hapa nilipo
@iffahbahet14992 жыл бұрын
Mkuu wa shule anafafanua vizuri Sana Hadi raha
@efraimobadia49442 жыл бұрын
Mungu ambariki huyo mwekezaji
@mbwanamtessa86072 жыл бұрын
Daaaah...... nimeipenda sana hii shule aisee
@yuliahenry33832 жыл бұрын
Shule Ina mazingira mazuri ya usomaji . Hiki ni kigezo Cha kwanza. Conducive environment. Kudos 🔥🔥🔥🔥🔥
@mastajabudekula48282 жыл бұрын
If you had a best school this is the one.best of the best
@jeromekabogo94562 жыл бұрын
Hayoo ni mkulugenzi mwenye utu wa kipekee mungu amlinde palikiwa babaa
@JoshuaShoo9 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI
@KakaDanny2 жыл бұрын
Hongeresa sana kwa mmiliki na wafanyakazi. ILA CCTV vyumbani SIO sawa. Wangeweka kuzunguka mabweni na wangeona nani kaingia na kutoka saa ngapi. SIO ndani ya mabweni !
@rosemarysulle92882 жыл бұрын
Siyo sawa kwann?kama kuna watoto wanatabia mbaya si watawaharibu wengine?tena afunge mpk vyooni
@rosemarysulle92882 жыл бұрын
Hiyo shule ni nr sana ila wtt wetu watabasti vichwaa jmn.wanasoma hao ni hatari.
@KakaDanny2 жыл бұрын
@@rosemarysulle9288Siyo utaratibu. Kuna mipaka ya usiri ( "Privacy") na ndio maana ya kuwa na mlezi ( Matron mfano ) kufuatilia watoto kwa karibu na siyo Kazi ya CCTV !
@chiefchacha29922 жыл бұрын
Waweke tu had choon coz kuna matukio mengi sana ya uchomaji wa shule
@geofray01322 жыл бұрын
Yaaani kuna mijitu inajifanyaga inajua kuliko mwanzilishi
@MwantumRashidi11 ай бұрын
Hahahaha😂😂😂hata mie tuu ningekaza butiii aisee nan asiependa zawad nchii hiii anyooshe mkono nimwoneee nimeipenda sana
@consolatarwabuganda71872 жыл бұрын
Yusto nimempenda sana, mwenyezi mungu amlinde😭😭
@azizamvungi64092 жыл бұрын
kusoma sio ishu ishu maisha kwakweli unaweza ukasoma na usiwe na plani kwakweli nimejifunza kitu..hapa
@eliezerhokororo17492 жыл бұрын
Hongera kwa mwl mkuu, anajua kujieleza kwakweli na kueleweka. Ila rafudhi yake sasa
@ikosawamusic2 жыл бұрын
🤣🤣🤣rafudhi
@humphreykamuhungiraobenets99482 жыл бұрын
Lafudhi bhn sio rafudhi
@faysasalax55512 жыл бұрын
Hongera kwa mmiliki wa shule mungu azikumuongoza
@stanslausmteme84552 жыл бұрын
Iv ndivyo walimu wanatakiwa wawe handled hongera sana mkurugenzi ni mfano bora wa kuigwa
@winstonmutafungwa88952 жыл бұрын
THE BEST STRATEGY FOR A SUCCESSFUL SCHOOL!! PROUD TO KNOW THERE'S A TANZANIAN DOING AN AMAZING JOB IN CHAMPIONING A NO.1 SCHOOL IN TZ
@emmanuelmasanja60402 жыл бұрын
Huyu mzee ajengewe sanamu
@bellerlynx61222 жыл бұрын
Appreciate Kemebos
@avitusmichael52 жыл бұрын
Shule nzuri sana hiyo, hongereni
@mussachief10242 жыл бұрын
Na matokeo ya form 6 bado mmeshikilia nafas ya kwanza kitaifa hongeren sana
@jamuhurisalumu35142 жыл бұрын
Hongora sana kaizilege shule iyo nimeikubari sana Mungu akubariki sana
@brysonuronu58622 жыл бұрын
Mungu akubariki sana sana ... Nimefurahi mno
@DrFatmaKhanPanAfrikan2 жыл бұрын
UBaarikiwe sana Mzee Kaizerege. Hongera sana
@peterlujuo16402 жыл бұрын
Mwamba kaishia std 7 tu. Kaajili watu wenye masters, kama hakuna ulichojifunza apo bas tena
@wazirihamisi64842 жыл бұрын
Hahahahahahah Kaka P
@zuleikhakhamis33032 жыл бұрын
kabisa apo utumie akili tuu sio kusoma ili uje kuajiriwa na serikali
@juliethhouseofdesigns1472 жыл бұрын
Safi sana Kaizirege, kwenye viboko na ada nimeelewa sana
@maroasamson62192 жыл бұрын
Nimependa mazingira rafiki yenye madhari na miundombinu ya kutia hamasa ya kusoma, hongera kaisare
@pudensiamhina64782 жыл бұрын
Kwa kweli
@donardmsomi84512 жыл бұрын
Duuuhhh..!! Nimependa life style ya Boss kwa wafanyakazi wake
@josephjila9572 жыл бұрын
Hii shule usisimuliwe binafsi nimefurahi sana Sana
@malikzafarani1722 жыл бұрын
Woow safi saana nimependa shule yenyewe 🇶🇦🇹🇿
@evancerwamugata10642 жыл бұрын
Our school 🔥🔥@class of 2019
@ilovejesus93032 жыл бұрын
Twaba shobokelwa❤️❤️❤️
@felickfelix86002 жыл бұрын
Hii ya ada! Dah! Imenigusa
@esthermatijo60402 жыл бұрын
Noma sanaaa mzeee kaizeregee
@enjoomaliya13992 жыл бұрын
Wahaya oyeeee
@colemanhenry50192 жыл бұрын
Mungu awabaliki walimu
@eugeneesau66222 жыл бұрын
hongera sana kwa mwenye shule. yuko makini sana na biashara yake
@azaiyayassin16272 жыл бұрын
Millard ni kweli kabisaa Amna mda wa michezo kabsaa
@salumsamesame17412 жыл бұрын
KWA KWELI NI SMART SMART SANA🤝🤝🤝
@mokhimji2 жыл бұрын
God Bless Mzee Kaizerege
@kabwelasutiviraka47652 жыл бұрын
Mfumo wa elimu Tanzania ulitakiwa wote ufumuliwe na usukwe upya , mitihani na elimu ya Tanzania haijengi na kuchochea udadisi na ufikiriaji yakinifu. Ni mfumo wa kukalili ili kufauli mtihani ndio maana nchi haizalishi wanasayansi wengi na wabunifu na wagunduzi
@lovenessandrew91212 жыл бұрын
Yaani ni maumivu ya mawazo yangu kila siku....huu ni mfumo wa kikoloni ambao walifanyia kazi wakajua kabisa kuwa Africa itaendelea kuwa tegemezi,mfumo ambao tumeurithi toka Kwa wazungu viongozi hawajawahi kuwaza kubadirisha mfumo huu ambao bado unaendelea kufunga ufahamu wa akili zetu..... Hii serikali yetu Bwana
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
@@lovenessandrew9121 Kiukweli hilo nalo ni janga kwa Taifa.
@sweetbertrwiza59822 жыл бұрын
Halafu mtu anasoma anafaulu vizuri mwisho wa siku anaanza kutafuta kuajiajiliwa!!
@lovenessandrew91212 жыл бұрын
@@sweetbertrwiza5982 ndo uwaze hapo sasa,mtaji anautoa wapi na kasomeshwa Kwa kuungaunga na wazazi wake,wameuza pombe mpaka akili zimeingia ganzi,wakiamini kuwa mtoto atakuja kupata kazi apunguze umaskini nyumbani...... Haya maisha sio jaman tutaishia kuteseka kwakweli
@AlAl-sd9pl2 жыл бұрын
Manshalah manshalah manshalah mungu azid kuipa sifa shule hiyo
@robertabel69842 жыл бұрын
Millardayo:Kun walimu wenye masters hapa? Mwalim mkuu: Ndiyo ikiwemo na mimi mwenyewe tunao walimu 9 wenye masters😆😆😆😆😆😆😆😆😆💪💪💪
@gilbertkasikila52942 жыл бұрын
😂😂😂 noma sana. Watu wengi wanadhani ualimu ni kazi ya waliofeli kumbe ni tofauti sana
@brayanjames99532 жыл бұрын
Yani feza ni wasenge tu kwa kaizilege mahana ada ya feza ni kubwa zaidi ya m10 kwa mwaka na ya kaizilege ni ndogo sana m3.5 lakini ina kuwa ya kwanza kitaifa duuuu
@salmasalim60552 жыл бұрын
Wow mashallah
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Mashallah ALLAH barik am on the way..
@rogasianshayo37402 жыл бұрын
Ajali Sana wateja wake.
@bensonbenezeth2 жыл бұрын
Aisee kwa Wafanyakazi ameweza Safi Sana.
@mgcs20762 жыл бұрын
Perfect
@chiizadomician37752 жыл бұрын
Huyo mwamba anaweze kwli kwli,kazi iendelee.
@ezekielabraham39152 жыл бұрын
daaaaah, nzuri sanaa Kongole kwa omukama wote..!!
@joevang4685 Жыл бұрын
motivesheni kwa mwalimu muhimu sana
@brunodemarx91982 жыл бұрын
Very smart
@fatmafatu11282 жыл бұрын
Mashalla tabaraka llah
@godfreygodwin74132 жыл бұрын
Ongera Mr kaizilege jambo jema Mwenywzi Mungu akujarie 🤲
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Work hard as a slave and ...you will live like king.
@justinendizeye7142 жыл бұрын
Wauw, big up baba kaizerege 👏👏👏💪
@charleskaozya99242 жыл бұрын
Uyu jamaaa kiboko aise daah living legend 🔥🔥🔥
@hildadaudi61092 жыл бұрын
Amazing ❤️❤️
@abahimbangerina3802 жыл бұрын
Tagalinda, Hongera saana. Keep it up
@madamgtv732 жыл бұрын
Daah kwakweli hata zawadi zinashawishi kusoma na kufundisha vizur
@miriamngosha68562 жыл бұрын
Milion tatu😳🤔 mi nilifikiria itakuwa labda mamilion kum na kuendelea uko 🙆♀️ aise wapo vizur sana mungu ampe umri mrefu uyu baba
@margarethlushiku90632 жыл бұрын
Hongera sana mkuu wa shule kwa uongozi wako bora akiwemo mwenye shule.Naomba namba ya simu.
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Duh congratulations 🔥🔨
@leecy0162 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 My best school 👏👏👏
@bornifacecharles22 жыл бұрын
Naomba kazi ya udereva hapo wakuu
@Worldunite2 жыл бұрын
Hongera ndugu kwa mafanikio uliyoyapata
@khamixilotwa56652 жыл бұрын
Serikali nayenyewe ijitahidi maana wanafunzi wa shule za serikali majanga tu.
@Sppah6972 жыл бұрын
Ana akili zakuzaliwa na siyo za darasani! Hiyo ni very mportant!
@omarsal32662 жыл бұрын
Kwanza Hongera ya dhati kwa wote mmiliki, wafanya kazi, walimu pamoja na wazazi. Where rules and regulations are implemented and followed by the rulers themselves, but naturally the whole framework will systematically be prosperous , because an organized action plan does not lead to failure.