This is good and healthy too 👍 ... definitely going to try
@richybellah85183 жыл бұрын
Have prepared this tea for breakfast today and everybody ako like " kuna nyingine umebaki niongezewe" ubarikiwe sana shuna you are like heaven sent to many people
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Thank you so much for the lovely feedback. I'm so glad you liked it ☺
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Niambie ulishawahi kujaribu chai ya nazi? Have you ever tried coconut milk tea before?
@HadijaSheban3 жыл бұрын
Hapana sijawahi ila nitajaribu 😋🔥
@umratmasoud89163 жыл бұрын
Cjawah ata kufikiria🙈ila soon ntapika inshaallah 😋😋😋
@preetykituma89473 жыл бұрын
Ntajaribu inshaAllah
@nadyajaffarali87503 жыл бұрын
Mh yummy 😋
@zaytunyemen55563 жыл бұрын
Sijawah ila nitajaribu asante mamy
@khadijasalum23023 жыл бұрын
Shukran jazakallahu habibty in shaa allah iwill cook yesterday iwas try wali wa kuku wa kituruki bismillah maa shaa Allah my family love na hii nitaipika soon in shaa Allah
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
MashaAllah habibty nimefurahi umejaribu wali wa kituruki na umeupenda asante sana kwa feedback nzuri 🙂💕
@dativeradamu36693 жыл бұрын
Da shuu Asante nimejaribu kweli ni tamu jamani😋
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Wohoo! Thank you for the feedback. Nimefurahi umeipenda 🙏💕
@amanimohamedi43383 жыл бұрын
Sijawahi ila nitajaribu. Katika maisha yangu yote ya mapishi sijawai. Masha'allah najifunza vitu vingi kwako
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Shukran sana my dear. Jaribu hii I'm sure utapenda in shaa Allah.
@amanimohamedi43383 жыл бұрын
Okay I will
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
I love the way you say "shuna's kitchen " mashallah nilidhani utani kumbe ipo kweli😍😍acha tujifunze ntakuletea mrejesho habibty ♥️♥️
@tumaahmed44303 жыл бұрын
same to me nlijua anatania tu... kwakwel me hii nahis itanpita tu🙈
@cutiethuma99313 жыл бұрын
The kitchen part
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Thank you my love nasubiria mrejesho 💕😋
@ummsalamahrashid79203 жыл бұрын
Shukran sana habibty kwa chai ya nazi napia nilijaribu wali wa kituruki ulikuwa mtamu mashaa Allah
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
MashaAllah shukran sana nimefurahi umejaribu na umeupenda 🙂💕
@fatmasalim71323 жыл бұрын
Shukran habibty kwa ujuzi mpya! Sijawahi kuiona wala kuisikia ndio mara ya kwanza! Ila najua itakuwa ni healthy zaid kuliko ya maziwa.kwa wale wasiotumia maziwa wanaweza kufaidika sasa kwa chai hii ya nazi.Allah akubarik habibty.
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Ni kweli, ni healthy na option nzuri kwa wasiokunywa maziwa. Asante sana.
@naima52203 жыл бұрын
Niko hapa kwa sababu ya mwantumu, nilifikiria in uongo kumbe kuna chai ya nazi
@ayshaidarousidarous104123 сағат бұрын
Inaonyesha tamuuu inshallah nitatest
@rumayyaibrahim53533 жыл бұрын
Thanks for adding new tea in my life
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
In shaa Allah nitaijaribu, maa shaa Allah
@salmahsalim10273 жыл бұрын
Niiiiceeeee. Al definitely try
@asyanasser75973 жыл бұрын
As they say you learn something new everyday ☺️. In Sha Allah will try it 😘
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Thank you so much for watching 💕😊
@salhsalma90093 жыл бұрын
Mashaallah,,,,,cjawahi kunywa hii chai ndio kwanza naona naona n kusikia ,,,asante n nitajaribu
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Asante sana my dear kwa kuangalia 😊
@fahadisaidy15493 жыл бұрын
Masha Allah nzur kweli
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Asante sana 💕
@marrydavid78093 жыл бұрын
Ahsante kipenzi nimejaribu ni tamu sana,Allah azidi kukubariki zaidi
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Ameen asante sana pia kwa feedback nzuri 😊
@mwanaishamohd76753 жыл бұрын
mhhh chai ya nazi ammizing tea, sante Shuna's endelea kutufunza mama
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Karibu my dear ♥
@mwanaishamohd76753 жыл бұрын
@@ShunasKitchen asante mbona mi nipo nawe kitambo
@ommangelmohd30753 жыл бұрын
Yoo ngoja tujaribu mitambo thanks Sis kilaa siku tunajifunza something different
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Asante sana kwa kuangalia my dear
@shumellahabaasi44863 жыл бұрын
I have tried it ma shaa Allah
@ashayummy22993 жыл бұрын
mashaalla asante sana kipenzi
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Asante pia kwa kuangalia ❤
@iptisamhamran3383 жыл бұрын
MashaAllah, Shukran dia for the rcp. Allahi Bariq.
@siriyangu47243 жыл бұрын
Mashaallah mpya iyo kwangu
@neemamtei95263 жыл бұрын
Da shuu mwenyez mungu akuzidishie, uzidi kutupa maujuzi, since I was born ndo nimesikia Leo chai ya Nazi!!!
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Ameen asante 🙂
@HadijaSheban3 жыл бұрын
MashaaAllah nlikua naisubiria sana mpenzi wacha nipate maujuzi
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Asante sana 💕
@ashleyabdallah53653 жыл бұрын
Vip tuwi alikatiki
@JosWmueni3 жыл бұрын
Thank you sooo much for the recipe. I must try and will definitely give feedback
@afifeahmeid64513 жыл бұрын
Hongera mdg wangu hadi kwa chai ya nazi nimepata mafunzo tosha nimependa
@khadijanassor57303 жыл бұрын
Wow mashallah nitajaribu in Sha Allah
@krisqoy99023 жыл бұрын
I think nakunywa coconut oil in tea leaves..
@khadijanassor57303 жыл бұрын
Wow mashallah ninzuri Sana inavutia nitajaribu in Sha Allah
@angelmanga19462 жыл бұрын
napenda sana recipes zako sis, nitaijaribu kuipika
@hatimalnaamani8763 жыл бұрын
Thank you. Nitajaribu
@ummuhudhayfah14213 жыл бұрын
Jazakillahul khayr
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Waiyyak 💕
@marwasabrisaid51733 жыл бұрын
Asante habibty
@khadijatoby74073 жыл бұрын
chaiiii first time chai ya naziii
@anifamulasi37363 жыл бұрын
Nakupend Mami Shuu.. naimani Mungu atakulipa kwa wema huu👌👌
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Ameen asante sana my dear kwa kunipenda pia 💕❤❣😘
@aishaabuuhassan2159 Жыл бұрын
Mashallah
@nanacyalfred63523 жыл бұрын
Ngoja kesho nijaribu wallah inaonekana tamuuu😋
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Sana mashaAllah 😋 shukran sana my dear
@saidobama94953 жыл бұрын
Ntajaribu inshaallah
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Please niandikie imetokaje ukiijaribu in shaa Allah. Shukran sana kwa kuangalia 😊
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Asante sana kwa kuangalia my dear
@paulmeela18642 жыл бұрын
Asante sana kwa ubinifu mzuri sana. Naomba mnisaidie origan ni nini?
@kisuramohammed65983 жыл бұрын
Kwakwel ndonimeiskia na kuiona hapa, ila in shaa ntaijaribu kwanza ninywe mwenyw ikiwa tam ntaanda ya familia in shaa Allah
@jumahashimmohammed9173 жыл бұрын
Alhamdulilah tunashukuru sana kwa kutupa ujuzi asante sana.
@bilkiskhan34313 жыл бұрын
In Sha Allah nitajaribu masha Allah 👍
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Asante sana kwa kuangalia my dear 🙂
@bilkiskhan34313 жыл бұрын
@@ShunasKitchen kwa mapishi yako lazima jazaq Allah kheir
@sheikhasalama293 жыл бұрын
Hi shuna Please show me how to make mkate wa sinia wa sponge
@GregorySemiono11 ай бұрын
Nimeipenda ntajaribu
@FatmaMohamed-yv2vl3 жыл бұрын
Kweli there is nothing impossible... da Shunas ntaijaribu na mimi in shaa Allah.😍😍😍
@nafisaakberali17003 жыл бұрын
Nice i will try
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Thanks for watching 😊
@HadijaSheban3 жыл бұрын
MashaaAllah kumbe haina kazi hivi jamani😂 navile nlikua naona ina kazi ngumu asante sana InshaAllah nitajaribu hii chai nlikua naskia tu thank you soo much habibty. Sijawahi kunywa chai ya nazi but i will prepare kutumia hii video. ❤️🙏
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Ni rahisi mno! Asante sana my love nasubiria feedback in shaa Allah 💕
@HadijaSheban3 жыл бұрын
@@ShunasKitchen feedback itakuja na ya cake mpenzi ❤️❤️ tena hii inafaa ile mzee siku yuko area nimpe surprise 🔥
@nururogastian36373 жыл бұрын
Me mama sijawahi ila na me nitaifanyia kazi yaaani hapa nmeshangaaa balla kusikia tu nilikuwa sijawahi #mchele mmoja mapishi mengi
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Asante sana my dear nimefurahi utajaribu 😊
@jabrial52953 жыл бұрын
Mashaallah mambo mapya.... Nakuletea marejeo in next few minutes inshaallah
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
In shaa Allah dear please tuambie imetokaje 🙏😁
@damariszuckschwert94893 жыл бұрын
Waah...,nimesikia nazi nikajihisi kunenepa ghafla. Nitaijaribu lakini naona kilo za karantini zikizidi kuongezeka.
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Jaribu ni nzuri sana. Shukran kwa kuangalia.
@اميرعاصم-ح6ع3 жыл бұрын
@@ShunasKitchen mm nimeshwakunywa hata cofe unaweza kupikia Nazi mm nikuwa nashindwa bila chai ya maziwa nalikuwa nafanya daiet bs dkt wg kaniam unaweza kunywa chai bs kwa coconut milk hanenepeshi na hainamadhara nzr snn
@LILIANOPANDE-z2kАй бұрын
I love you tea
@aishamussa25633 жыл бұрын
Thank you dear, I go try
@scholasambe44043 жыл бұрын
Madam wng, madam shuu.... hii naenda ijaribu. Najua hukoseag♥️♥️
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Ni nzuri sana mimi nasubiria mrejesho tu asante sana my love kwa kuangalia ❤
@feychibabyfeychibaby84052 жыл бұрын
Je hutiii sukari hii chai ?
@nussmam20093 жыл бұрын
Inshallah nitajarib hii mashallah
@khadijaamur60323 жыл бұрын
First time dear 😋😋😋
@ashayummy22993 жыл бұрын
imeipenda inshallah nitazipika
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Asante sana habibty 💕
@badraboaz77023 жыл бұрын
Uko vizuri mamy
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Asante sana kwa kuangalia
@thewindcane22483 жыл бұрын
Mashallah shuna nime ipenda hi recipe mapya lazima ni itengeze
@namirial45093 жыл бұрын
Mashagllha
@richybellah85183 жыл бұрын
Hello beautiful shuna which is the best oven for baking and how much does it cost
@fardhiyahamdun71513 жыл бұрын
Elekta.. it cost around 10k
@kuruthumchande64663 жыл бұрын
Waliokuja msim huu wa Ramadan pita hapa
@kautharsaid41333 жыл бұрын
Woo ntaijaribu
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Nasubiria mrejesho 💃
@naseemskitchen42983 жыл бұрын
My dear ni Mara ya kwanza.kusikia chai ya Nazi so inshallah tutafanya shukran kutuelimisha
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
In shaa Allah dear, shukran sana kwa kuangalia 💓
@tressnessmsimba94143 жыл бұрын
Hapana let me try then I will come back for feedback
@ashurakinga87352 жыл бұрын
Nimejaribu leo lakini nashangaa nazi imekatika maji nimeumia sana au ndo inavokuwa jamani?
@basmasultan32093 жыл бұрын
Awww kumbe ni kwel🥰
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
💕😊
@patricknaftaaly11152 жыл бұрын
safi
@aishanassor81303 жыл бұрын
Sorry hbbty oregano na saatari tofauti yake ni nini?
@arafajohn90523 жыл бұрын
Mashaalah ntajaribu
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Asante sana
@shufaaali99123 жыл бұрын
Doh ndo naona leo
@ashayummy22993 жыл бұрын
mashaallah jaman hiyo chai ndo naiyona leo
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Nzuri sana habibty, asante kwa kuangalia
@ireneflorence22323 жыл бұрын
Ur blessed dr.
@ekasasimba71062 жыл бұрын
TAMU XANA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥💯🔥💯🔥🌶️🌶️🌶️🌶️🌶️🌶️🌶️
@Georges.Kitchen3 жыл бұрын
Leo na jarib na mm inaonekana ni tamu sana😋🙄😋
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Sana mashaAllah, nasubiria mrejesho George!
@moukhtarahussein98443 жыл бұрын
MashaAllah sijawahi kunywa chai hii ya nazi ila ntajaribu nakuaminia ma'am..
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Asante sana my dear
@mwanafurahammary75673 жыл бұрын
Unaweza tumia tea masalla?
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Ndio unaweza
@feychibabyfeychibaby84052 жыл бұрын
Mimi nimejaribu kuipika ila tuwi limejikata imekuja kua na rangi kama maziwa yalotiwa rangi
@fatmammassy35322 жыл бұрын
Cjawahi kuinywa,pia nistaajabu kuiona chai ya tui la Nazi...
@siennagabriel81603 жыл бұрын
Shuna je nazi za azam zinafaa?? Na je unaeza changanya na condensed milk au maziwa ya kawaida???
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Nazi yoyote unaweza kama nzito tu izimue. Sijawah kujaribu kuchanganya na maziwa mazito au yoyote, ukijaribu please niambie imetokaje 🙏❤
@fatmaabubakar5983 жыл бұрын
Haina majani?
@nimsmsa66353 жыл бұрын
Ametia jani la chai na amesema ukitaka unaweza kutumia loose tea as well
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Inayo my dear
@fatmaabubakar5983 жыл бұрын
@@ShunasKitchen shukraan
@cutiethuma99313 жыл бұрын
Honestly Yani a thought of it naona Kama ambaye nanywa tui Jamani
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Jaribu my dear hainukii tui kabisa
@fatmasalim71323 жыл бұрын
Hunywi tui,si unaipika ikawiva!?
@sakinasarumbo14693 жыл бұрын
Thanks dear sijawah ila nitajarib
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
You are welcome my dear
@khairatabdallah44983 жыл бұрын
Nice Masha Allah
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Shukran sana
@fatumahamisi44473 жыл бұрын
Nilifikiri masikhara, kumbe kweli kuna chai ya Nazi.. how does it taste?
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
It tastes amazing 👏
@Villagelife2024-g3r3 жыл бұрын
😋😋😋😋😋
@thawrasaleh14233 жыл бұрын
😋😋thank u for sharing hun❣..hakiyamungu ndio leo naanza kuiskia and inshaaAllah nitaipiika😊
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
You are welcome my dear nasubiria tu mrejesho in shaa Allah 😊
@zedpineaple78242 жыл бұрын
Nilidhani hakunaga chai ya Nazi duh acha tukue tuyaone
@kikiebaby3 жыл бұрын
Natakiwa kuikoroga mpaka ianze kuchemka ili tui lisikatike au naacha ichemke tu yenyewe.. mambo mapya haya
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Ichemke tu mwanzo yenyewe halafu unakoroga kidogo
@salmahail96413 жыл бұрын
Can you add fresh ginger?
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Yes, add it few seconds before it's done 🙂
@trex37653 жыл бұрын
Are those gloves food safe, I'd rather I use them not.
@hollo36063 жыл бұрын
Wala sitegemei kujaribu!!! Inaoekana mbaya!!!! maoni yangu tu
@salmaalnaamani27863 жыл бұрын
Walah nilidhani ni utani kumbe mambo ni moto moto😋😂😂😂
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Mambo yametaraddadi kama hivo 😁 shukran my dear kwa kuangalia 😊🥰