Umesema saw kabisa Mungu azidi kuitunza Hekima ndani yako
@ThobiasMarandu4 ай бұрын
Kufurahia Mwenzako Anachafuliwa, Anasingiziwa ati Ili Wewe Uonekane Bora Kuliko Yeye.. Mtu Ambaye Pengine Katika Safari yako Unamhitaji... Sio tu Ni Wrong Bali Ni Evil. Ni Uovu na Hata Kama Wewe Ni Baba Yangu Mzazi Nitaanza Kukuchukia... Ndugu Zangu Siasa Chafu Ni Ujinga, Self defeating in a Long Run Na Zinakeraaaaaa