Huwa nakufuatilia, ulimsema sana Magufuli kila mara(every single day) ulikuwa sahihi. Hauna tofauti na Lissu labda ukabila tu ndio unakusumbua ila Lissu naye yuko sahihi maadamu tu anachosema ni ukweli. Acha ukabila
@shabandaffa32826 күн бұрын
Acha uchaga wako, hasira zako zinatokana na ta bia zenu watani wangu mnajiona kaa hamkosei. Mbowe ameteleza several times lisu ni mwanasiasa makini sisi tunajua
@HerryclassicMyrahson7 күн бұрын
Kauli za lisu zililenga kuwafahamisha wananchi hasa wanachadema kwamba tulikosea sana kuwaamini ccm na serikali yao kuingia na kwenye mazungumzo ya amani tehn hatukupaswa kuwaamini kwasababu baaada ya kuwaamini leo wanatulipa kwa mateso tehn dhidi ya viongoz wetu waliotuongoza kufany nao hayo mazungmzo af kingn bro hizo mifano unazozitoa ya burnd na Tz Burnd walikuwa na nia ya dhat ya kujutia walichokifany ndo maan wakatulipa fidia na mazingomzo yale yalileta impact emb tulijiulize ccm wanapaswa kuaminiwa tena???? Emb tuambie watanzania tuendelee kuwaamini ccm?
@blues4life6337 күн бұрын
Hujitambui ww mi nilkua mfuasi wako lkn naona we ni mjinga unabeza micmamo thabiti ya Lisu kwa7bu ya uchagalism😢
@ajmstationery61577 күн бұрын
Mh Lisu amesahau wema wa Mh Mbowe
@ahmedalijuma41487 күн бұрын
Poa tuuu
@JohnsonBagambi7 күн бұрын
Binafs naona yale malidhiano ayakuwa ya chadema bali yalikuwa ya mbowe ukifatilia hata heche yuko tofaut kidogo na mbowe lakn ndo siaza zilivyo
@johnmwawa28387 күн бұрын
Mazungumzo yameleta impact gani? 1.Mfano kupita bila kupingwa kumeisha 2.kupotea watu je?
@ThobiasMarandu7 күн бұрын
Ingawa Kwa Wengine Sio Faida, Mazungumzo, 1)Yamerudisha Waliokimbia Tanzania na Kuwafutia Mashitaka ... Iwe Walionewa au Walisingiziwa... 2)Mazungumzo Yamerudisha Mikutano ya Kisiasa Iliyofungiwa Kiharamu, Mazungumzo Yaliwaachia Hata Waliofungwa Kwa Kuonewa, Kwako Wewe Sio Kitu... KWA KUWA HUKUWA UMEFUNGWA WEWE... Bila Hayo Mazungumzo Hata Huko Kufanya Mikutano Pengine Kusingekuwepo.... Najua Yote Waliyoyataka hayakufanyika... LAKINI PIA IN PART NAJUA UKIACHA WATU WA CCM, MAZUNGUMZO YALIVURUGWA NA WANA CHADEMA AMBAO MUDA WOTE NI WAJUZI WA KUROPOKA NA KUKEJELI NA KUBWATUKIA WATU... SO CCM WANAWEZA KUWA WALIKASIRISHWA NA KITU WAKAAMUA TOHELL! Ukumbuke Kuwa Rais Samia Naye Alikuwa na Wanaomshawishi Asikubali Mabadiliko, Sasa Ukiwa naye Katikati ya Mazungumzo Huku Unamkejeli na Kusemesha maneno ya KUNYA Kila Saa, Guess What Wale Wanaomwambia, "ACHANA NA HAO KIMA" Wanapata Hoja!
@rasnchimbi7 күн бұрын
Kushinda kulaumiana kwa yalopita ni dalili za kuelekea kufilisika,kwani yale maridhiano ilikuwa ni maamuzi ya Mbowe binafsi au chama,kwa nini hilo litumike kama unafiki?
@franciscowilliam25758 күн бұрын
Uko kimya sana , mimi hua nakufuatilia na kujifunza mengi sana kutoka kwako . Rudi uwanjani kaka usipotee
@Chekibobu8 күн бұрын
No kwenye hili Lisu yuko sahihi kabisa, CHADEMA imepoteza muda sana kwenye hicho kinachoitwa maridhiano, na impact yake iko bayana sana, uungwaji mkono umepungua kwa kiasi kikubwa. CCM hii huwezi kudeal nayo kwa siasi nyepesi nyepesi
@franciscowilliam25758 күн бұрын
Yawezekana uko sahihi , ila sina uhakika kama watu wamekosa mvuto na Chadema sababu waliingia kwenye maridhiano!, hurnda pengine uwaongelea watu wa club houses ninaona mikutano ya Chadema inasikilizwa na wengi sana . Mang’ula , mikumi mbozi vyawa na kwingineko
@ErickyKatunzi8 күн бұрын
Brother u'r speeking becouse upo U.S.A,unajua niwasomi wangapi,wapo mtaani.unajua kunawingi kiasi gani cha vijana wapo jobless na wana vyeti from univarsity. Viongozi wetu niwabinafsi rhey dont think about our generation, kunavitu haviko sawa serikali inatupuuza that so.
@margarethpolepole74388 күн бұрын
Nafasi nyingine mtachukua lakini Dola Chadema siyo rahisi tatizo ukabila ymetawala sana sasa hivi Lema ndiyo kaitibua kabisaaaaaaa hicho siyo Chama utahangaika bure
@ThobiasMarandu8 күн бұрын
Huna Haja ya Kumdondosha Mwingine Ili Upande wewe, Huna haja ya Kudharaulisha wengine ili wewe Uheshimike, Huna haja ya Kuwafitinisha wengine ili wewe ukubalike... Ukiwa Hiyo Utakuwa Kama Ma-Kaa wa Baharini Ndani ya Kopo kila mmoja akitaka kupanda wanamshika miguu na Kumdondosha... INAITWA CRABOLOGY...
@andronicomanasemkuyu53335 күн бұрын
Lissu anasema kuhusu uongo wa watawala si kuhusu kumwangusha mwenzake,inawezekana alisema kwenye vikao vyao lakini hawakumsikiliza hivyo anarejea tu. Unajua ukikubali kudanganywa wewe unakuwa mjinga. Mbowe na Lissu wote ni mashujaa minyukano midogo midogo haikwepeki.
@skuleetech68968 күн бұрын
Marandu ni mchaga
@festinamwakipale39198 күн бұрын
Harafu vyama vya siasa si wazungu walitulazimisha navyo.kwa sasa wazungu wanatuhusu ss tuwarudishie vyama vyao tuwapakilie kwenye ndege.virudi tuwapigie simu wazungu ee wakijibu ee bwana ss vyama vya.siasa mipira ushoga ulawiti madawa ya kulevya aaa bwana tumeamua tuwarudishieni ss hatuwezi vinatuletea ugomvi.endeleeni navo wenyewe basi Tanzania na vizazi vyake inaendelea kula.bata
@festinamwakipale39198 күн бұрын
Na wakati mwingine ukute wako kitu kimoja mbona wako na mama samia tena anamponda mwenzie watanzania tuwe macho na wana siasa mm naona bora ingebaki ccm mbona tunatengeneza hila kwenye vyama vya siasa huku ss ni watanzania.watupu
@margarethpolepole74388 күн бұрын
Ameshaona ukabila umezidi kaskazini kwanini awe Mwenyekiti yeye kila siku Mbowe wenzie wskiomba virigisu zinakuwa nyingi Chadema siyo Chama sahihi hao ni wakupata ruzuku na uchonganishi wa kutaka Vita sisi hatuwezi hata Mwalimu Nyerere aliwakataa ogopa sana laana iliyoachwa mtahangaika sanaaaa
@gregorykalinga8 күн бұрын
Kaka ni sahihi. Kunashida kubwa sana Lisu naona amepanga kumuangamiza mbowe au cdm
@lukakyauke97168 күн бұрын
Brother Thobias Kuna vitu vinakera sana ndomaana mtu anasunguza hivyo Na wanayopitia wanasiasa wa upinza Tanzania 🇹🇿 ni magumu sana Kwahiyo usiwe na maneno makali kiasi hicho Tushauri na tutashaurika Na una namba ya Tundu lisu bila shaka Mpigie umpatie ushauri
@ThobiasMarandu8 күн бұрын
Well hata mimi Naelewa Mahusiano ya Jamii... Nimefanya Kazi Kampuni Moja kwa Miaka 19 USA... Na nimeudhiwa na Mengi, Kadhalika hata Mimi Naweza.kuwa Nimewaudhi Wengi Lakini Nisingekuwepo hapo 19 yrs in counting Kama ningekuwa Muda wote Naimba wengine walivyo Wabaya na Mimi nilivyo Madhubuti.
@winfredcanaan5828 күн бұрын
Kaka @ThobiasMarandu hili jambo umeliweka sawasawa. Kule kwenye Sauti ya Watanzania ndiko anakopata sifa baada ya kuwaponda wenzie
@driss49578 күн бұрын
Mbowe ni Baba wa Demokrasia alishasema, Chama kisicho na Misuguano ni chama Mfu.Ushasikia TADEA Wanashambuliana???....Hizo ndio ghalama za demokrasia ndio Mana Chama cha Demokrasia,Msitengeneze tatizo...
Ni kweli, Lisu anatakiwa kuacha lugha hizo, maana hazijengi umoja bali zinabomoa. Bado tupo tunaomini nia ya Mbowe kuingia kwenye mazungumzo ilikuwa ni njema, rais na timu yake ndio walikuwa na agenda zao zilizokuwa zimejificha kwa ajili ya maslahi ya chama chao.
@winfredcanaan5828 күн бұрын
Ni kweli kabisa, halafu Mbowe alishaomba msamaha kwa kumwamini Samia
@deuskamugisha36278 күн бұрын
We endelea na maisha yako uko America ya kibongo tuachie sisi wenyewe
@ThobiasMarandu8 күн бұрын
To Summarize in English, I do not think it is Ok to Blame Hon Freeman Mbowe for entering into negotiations to fix Tanzanian Democracy even though the government at the end failed to reach an agreement. Always Patriotic people give peace a chance because peace is the basis for freedom and development.
@ThobiasMarandu8 күн бұрын
Najua Kuna Watakaniotukana kwa hili, Ninetangulia Kulijua hilo. Hawatanielewa... Muda Ndio Jibu... Hakuna Sababu yoyote Yakuimba over and over Wenzako Ni Wajinga Kwa Kuwa walikosea... Na hata Kama Unaona Hivyo, Sawa Lakini Ukiwa Unaimba hilo over and over Nitajua wewe Una lako jambo au Unataka Wenzako waonekane sii Kitu.
@joshuaswai82037 күн бұрын
Ukweli mtupu huyu jamaa ni mrema ameingia chadem
@HerryclassicMyrahson7 күн бұрын
Brother binafsi itakuwa mara yangu ya kwanza kabsa kucoment kwa mtandao wa kijamii always nikuwa msikilizaji ila Leo nikinyamaza ntaumwa tehn hofu ntakufa 😢 Naumia binadamu wenye akili mliojaliwa maarifa na uelewe mnakuwa watu wakujicomfuse lisu hajasema mbowe kakosea kuingia kwenye maridhiano sikiliza hotuba yake mpk mwisho kwnn umechukua hako kakipande peke yake AA natamani kukutukana bro ila Mungu anisaidie ucpotoshe uma kwa lengo la kutugawa kama taifa tunaotafuta ukombizi wa fikra na rasilimali zetu. Lisu ni kiongozi Bora sana kama alivyo Bora mh Mbowe wote tunawaamini sana kama taa na dira ya kesho yetu.
@josephngaeje57062 күн бұрын
Sikiliza content ya Lissu yote na siyo kudokoa sehemu sehemu ya hotuba yake. Wrong analysis
@rasnchimbi2 ай бұрын
👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍️🏿
@JohnGadafi-x8j2 ай бұрын
Omeongea vizuri sana ndio tanzania ambaye tunaitska il
@jacobchawala2 ай бұрын
Caution ni tahadhali
@fransiskazumba46592 ай бұрын
Amen
@HusseinMustafaParmar2 ай бұрын
The Prophet Muhammad said : The one oppressing and the one defending the oppression are both sinners and will enter hell
@BettyKathambi-qf3wg2 ай бұрын
❤
@eliajimmy953 ай бұрын
Lissu huwa hamungunyi maneno, ukiona ameongea jambo lazima kutakuwa na ukweli ndani yake believe me.
@ThobiasMarandu3 ай бұрын
Sio Kweli Hapa Ipo Wazi anamsemea j. Mrema UWONGO... kzbin.info/www/bejne/qnXTiaGXj6qCh7M
@eliajimmy953 ай бұрын
@@ThobiasMarandu mbona kuna wakati huwa anamtetea mwenyekiti, mfano ishu ya kulambishwa asali, kukaa madarakani kwa muda mrefu. Lakini Lissu akiona mambo hayaendi sawa huwa hasiti kukosoa hata kama ni ndani ya chama chake mfano, ishu ya maridhiano, rushwa kwenye chaguzi za ndani. Lissu tutamlaumu kwa tabia ya kuzungumza hadharani mambo ya ndani lakini kwamba anachoongea ni cha uongo binafsi siamini, namfuatilia Tundu Lisu kuliko mwanasiasa yeyote Tanzania hii Lissu hana tabia ya uongo.
@ThobiasMarandu3 ай бұрын
@@eliajimmy95 The Issue Ni M2 Kuishi Katika Ukweli Period, Hata Majambazi Kuna Muda Wanatoa Sadaka kanisani
@ThobiasMarandu3 ай бұрын
@@eliajimmy95 Nitakuja Kusema Siku Nyingine, Ukiacha Mbali na Uhuni wa CCM Maridhiano yalishindwa Kwa Sababu ya Upuuzi wa Baadhi ya Watu, in my Openion Samia Alikuwa na Watu Wake Wanaomkatalia Asiende Huko na Kukosekana kwa Craftness na Hekima Upande Wa Upinzania Watu hao Walisaidiwa Ku-make their Point, JAMBAZI AMESHIKILIA MWANAO ANATAKA KUMKATA UNAMJIBU KUNYA WEWE UNA AKILI KWELI?
@eliajimmy953 ай бұрын
@@ThobiasMarandu sina shaka sana na harakati zako za kusimamia kweli na kupigania wanyonge, endelea kutuelimisha, asante.
@antipasmkude37893 ай бұрын
Kuhusu mchango wa ccm kwa Lisu, amepotoka kuupokea. Kama ingekuwa ccm kama chama, wangechukua ofisini, kama wanachama mmoja mmoja wangetuma kama wengine wanavyochanga. Ile Ni kejeli baada ya Msigwa kutoa kashifa kwa CHADEMA. Lisu kachemsha.
@ThobiasMarandu3 ай бұрын
Ati Mbowe Alipelekewa Billion 2 Na Mengi Akiwa Nairobi Ampe Lissu Akaziweka Account Yake... So Mengi Alichukua Tani 20 za Noti za Elefu Kumi Kumi Apakia Kwa Lori Akapeleka Nairobi Hospitalini akampa Mbowe, Kimiujiza Mbowe Akaweka TANI 20 ZA NOTI Akaweka Mfukoni Akakausha nazo halafu Baadaye Akaweka Acount Yake?🤣 Au Alitumia Empesa au Money Transfer ya 2 Billions, Hilo Linawezekana? Kiwango cha Mwisho Cha Bank Transfer ni Kiasi Gani Tz? 🤣 Alimwandikia Cheki ya 2 Billion Ampe Lissu? Akakausha Nayo Akaiweka Kwa Account yake... Yaani Bank Ikiandikwa Kwa Jina la Mwingine Unaweza Kuiweka account yako? Inawezekana???😡 KWA MSIOJUA.. UKIHESABU MOJA, MBILI, TATU... MPAKA UFIKE BILLION 2 ITAKUCHUKUA MIAKA 64 USIKU NA MCHANA KUMALIZA KUHESABU.. UKIHESABU NOTI ZA ELFU 10, BILLION 2 ITAKUCHUKUA MIAKA 64 USIKU NA MCHANA KUMALIZA ... MSISIKILIZE TENA UTUMBO WA KIMA HAWA!
@antipasmkude37893 ай бұрын
Viingozi kutokujibu hoja za Msigwa ni sahihi. Msigwa hawakilishi Wanachadema. Ni msaliti, umjibu ili iwe nini. Mahesabu ya CHADEMA Yanakaguliwa na CAG, mbona wanapewa hati safi? Msigwa anataka kutuuaminisha kuwa CAG hajui kazi yake. Wanachadema hawamlalamikii Mwenyekiti wao, yeye nani mpaka atoe tuhuma zote hizo? Mafiki tu. Anasema makamu mwenyekiti anaonewa na Mweyekiti, Makamu ana akili timamu, hawezi kujisemea?
@MagakaManyanya3 ай бұрын
Inahitaji akili sana kujua ya kwamba msigwa anafanya kazi ya chadema
@RamadhaniMsagati3 ай бұрын
Thobias v good
@Peterchipemba3 ай бұрын
Jamani tuwe na akili,,msigwa ni msaliti,,nimlopokaji kwa asira anatifua chama unamjibuje mwenye hasira za kuondoka chadema
@jamaliddiin93573 ай бұрын
Tobiasi tumekuelewa uko sawa lisu kachemsha sana na kuna jambo ktk yake na msiba Tanzania ni unafki tu siasa zake ccm bado sana miaka 300 mbele Lisu ni ccm sasa hivi msiiumize kichwa Na kupokea mchango uliopigiwa debe na msigwa ni huo Ili watu wamseme apate sababu ya kuhamia ccm
@lordymawoiya58183 ай бұрын
Your very right the lawyer your discussing is hypocrite his with Mzingwa
@HappyIceSkate-sb8uf3 ай бұрын
❤
@ThobiasMarandu3 ай бұрын
Siasa Za Maji Taka na Uovu wa Kuchafuliana Majina, Ni Kama Mbio za Sakafuni, Na Kwenye Siasa Zitawaathiri Wote Ikiwemo na Mnaozifanya.
@ThobiasMarandu3 ай бұрын
Iweje Kila Baadhi Ya Watu Wakiulizwa Kuhusu Kashifa za Msigwa Kwa Chadema na Mwenyekiti wa Chama, Wanakwepa sana Kumjibu Msigwa? Kwanini Wanaishia Kumpamba sana Msigwa na Kusema Wengine Ndio Wamjibu? Kwanini Miaka 8 Iliyopita The Same, Hawakuona Kumjibu Dr. Silaa? Kama Hapa? kzbin.info/www/bejne/qWqWi6xqrbOYkJI
@eliajimmy953 ай бұрын
Bila shaka wapo wahusika wakuu wakuzijibia hizo tuhuma kwa nini wasijitokeze kujibu?
@ThobiasMarandu3 ай бұрын
Nafuatilia Sana Mahojiano ya Kisiasa Tanzania Hasa Nyakati Hizi za Uchaguzi... Kuna Jambo La Kushangaza, Sielewi Ni Kwanini Viongozi Kadhaa Wa Chadema Wakiulizwa Kuhusu Uwongo Anaousema Msigwa Wanaishi Kupamba Msigwa Alikuwa Hivi alikuwa Vile..."HOJA ZAKE ZIJIBIWE" Ila Wao Hawataki Kumjibu Ingawa Ni Viongozi wakubwa... Kwa Mimi Nachoona Ni Kuwa Wana Ukaribu wa Siri na Msigwa na Hawataki Kumuudhi na Ni Kama Pia, WANAMSAIDIA UWONGO WAKE USIMAME" Only Few Can See this Hypocrisy and It Make Me Sick!
@georgekimasaofficial16293 ай бұрын
Kabisa mtu wa Mungu
@ThobiasMarandu3 ай бұрын
Salim Kikeke, Usiporekebisha Hii Dosari Utaaibisha sana Taaluma Yako... Niliona Pia Mahojiano yako na Madam Fatma Karume, Nilishangaa sana Ulikuwaje BBC.
@ThobiasMarandu3 ай бұрын
Nilitegemea CCM Ndio Wangeivuruga Chadema, But No, Ni Maneno Ambayo Yanachanganya Mpaka Inasikitisha... Ukimsikiliza Salimu Kikeke Alivyomhoji John Mrema na Ukisikiliza Akimhoji Lissu, Kuna Uwongo Wa Wazi Salimu Kikeke Anaufanya Dhidi ya Mrema... Anamwambia Lissu, "MREMA ALISEMA HUJAANDIKA BARUA" Lakini UkiMsikiliza Mrema anasema "KAMA ALIMWANDIKIA KATIBU MKUU BARUA (LISSU) KAMATI KUU BADO HAIJAIPATA..." NA KIPANDE KINGINE AKASEMA KAMA M2 AMESHAANDIKA BARUA KWA KATIBU MKUU KUTANGAZA NIA HAJAFANYA KOSA" Sasa Najiuliza Why Kumlisha Mrema Maneno? Na Pia Nikastuka Zaidi Kumsikia Mh. Lissu Ambaye Anasema Alimsikia Mrema Alichosikia Sicho Nilichosikia na Hata Nawashauri Mkatafute Hizo Interview Nzima zote Mbili. So Really Why Kutokowa Na haki kwa Maneno na Matendo Katika Siasa??? TUNAJIHUJUMU SANA.
@ThobiasMarandu3 ай бұрын
Mfano Niliouto Wa Hao Wahuni Kudai Ati Mbowe Alipelekewa Na Marehemu Mengi Billioni Mbili AMpe Lissu Alipokuwa Hospitali Nairobi Ati Akaziweka Kwa Account Yake... 1) Je Alimpelekea Pesa Taslimu? Billion 2 Pesa Taslimu Kwa Noti za Elfu Kumi Kumi Ni sawa na TANI 20 ZA NOTI... So Mengi Alimletea Mbowe Lori La Tani 20 Likiwa Limejaa Noti hospitalini Ampe Lissu? Hata Umdanganye Mtoto wa Chekechea Ataamini? Au Je ALimtumia Kwa Mhamala wa Bank? Kuna Bank au Mpesa Tanzania Unaweza Kutransfer 2 Billion? Na Kama Aliandika Hundi Je Unaweza Kumwandikia Lissu Cheki Kwa Jina Lake Tena ya Bill 2 Ati Niweke Kwa Account yangu... Hiyo Ni Bank gani Itakubali hayo? Hata Vikoba wana Kanuni Bora... NATAKA KUWAAMBIA TU MLIOWATUMA HAWA ZERO BRAIN WENYE IQ IN SINGLE DIGITS WAWAFANYIE PROPAGANDA MITANDAONI MNAPOTEZA FEDHA ZENU.
@ThobiasMarandu3 ай бұрын
Hii Clubhouse... Room Ambayo, Kila Siku Hata Uweke Topic Inayohusu Vipuri Vya Magari, Umuhimu Wa Lishe Bora, Watakuja na Ugoro, "Mbowe Aondoke Chadema" Ukimuuliza Mbona Mke wako hana Mtoto, Bado Atasema, "Mbowe Hawezi Kazi" Ndicho Wanachokifanya Tangu Mwaka Jana... Na Saa Nyingine Watajifanya Ati Wanamkubali Lissu Na Sio Mbowe... Nimegundua Kumbe Ni Wahuni Kama Yule FILICIAN KABUGA Aliyekuwa na Radio Iliyoitwa RTLM Iliyoyochoche Mauaji ya Rwanda huku Wakijifanya Ni Wazalendo... Ukiacha Wachache Sana Asilimia 75% Ya Mamodarator Wa Sauti ya Watanzania Ni Wahuni na Machawa na Wachoozi wa Siasa za Maji Taka. Nina Uhakika na Niliyosema hapa 1Trillion%
@ThobiasMarandu3 ай бұрын
NATAKA TU NIWAULIZE CCM NA HAO MAPOLISI WENU MNAOWATUMA KUFANYA UHALIFU DHIDI YA KATIBA NA WANANCHI... MLISHAJIULIZA HAWA WAVIONGOZI MNAOWAKAMATA BILA ADABU NA BILA SABABU (MAANA HAMWEZI KUMKAMATA HE. SAMIA AU DR. CHIMBI) MMESHAJIULIZA LABA ATOKEE MMOJA AFIE MIKONONI MWENU KWA HATA BAHATI MBAYA MTAJICHIMBIA MASHIMO GANI... NAONA MMESHAONA MNAJUA KILA KITU. ONE LITTLE THING CAN GO WRONG AND YOU IDIOTS MTAFANYA NCHI ICHOMEKE... PUMBAVU SANA!