SIDO Waahidi Kuendeleza Tanzania Ya Viwanda

  Рет қаралды 24,762

Global TV  Online

Global TV Online

6 жыл бұрын

SIDO Waahidi Kuendeleza Tanzania Ya Viwanda
Moja kati ya banda ambalo hutakiwi kuacha kulitembelea mara tu unapofika katika viwanja vya Sabasaba ni banda la kampuni ya SIDO ambayo inadili na kutengeneza mazao ya chakula kwa ajili ya matumizi yetu ya kila siku, ikiwa ni pamoja na Asali.
Kampuni ya SIDO pia ina programu maalum ya kuwafundisha wanawake kuwa wajasiriamali kwa kuwapa mafunzo ya jinsi ya kuongeza thamani katika mazao ya vyakula
Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe
/ uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1
/ uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 23
@AdamKondo-so3cn
@AdamKondo-so3cn Ай бұрын
Hiyo namba haipo
@akidasalim9798
@akidasalim9798 5 жыл бұрын
Mtionyeshe zinavyo fanya kazi
@amanichisina8495
@amanichisina8495 4 жыл бұрын
Naomba namba ya simu sido makaomakuu
@pauljulius1662
@pauljulius1662 4 жыл бұрын
Naomba namba za sido
@greenlandenterprise451
@greenlandenterprise451 Жыл бұрын
I need soap making machine with cutter in Nigeria, what is the price?
@chaterassk6967
@chaterassk6967 Жыл бұрын
Contact please
@saidkhuzaima8225
@saidkhuzaima8225 3 жыл бұрын
Nauliza kama muna mashine ya kutengeza juice yani kama kiwanda cha kutengeza juice kdg
@akidasalim9798
@akidasalim9798 5 жыл бұрын
Mnauzaje mashine za mahindi?
@vedastokeya3344
@vedastokeya3344 2 жыл бұрын
Hao Sido siwaelewagi kabisa 1 bei zao 2 ukiitaji hiyo mashine uongo mwingi watakwambia zilikuwa za maonesho tu
@JohnJohn-wu7we
@JohnJohn-wu7we 4 жыл бұрын
Bei zake ni kiasi gani
@johnjhon4192
@johnjhon4192 4 жыл бұрын
Bei gani machine hizo na Dar zinapatikana?
@alphonceelias2551
@alphonceelias2551 2 жыл бұрын
Waafrica tukiamua tunaweza.
@MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY.
@MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY. 5 жыл бұрын
Nahitaji mashne ya kutengeza ges ya mbolea
@fredialfredi202
@fredialfredi202 4 жыл бұрын
Safi tutafika tu
@frowinimwinuka9736
@frowinimwinuka9736 4 жыл бұрын
Nahitaji mashine ya kuchuja Asali
@yugakiyumbi9909
@yugakiyumbi9909 5 жыл бұрын
Nahitaji mashine ya kutengeneza sabuni
@RichardsJob
@RichardsJob 5 жыл бұрын
Karibu dar es salaam tunazo ndugu
@kagenzinorbert8164
@kagenzinorbert8164 3 жыл бұрын
@@RichardsJob hello
@hssandogoli8446
@hssandogoli8446 3 жыл бұрын
@@RichardsJob Mnauzaje weka MAWASILIANO mkuu
@benjaminndelwa8797
@benjaminndelwa8797 2 жыл бұрын
@@RichardsJob VP namba mawasiliano
@jean-claudemukuanga8820
@jean-claudemukuanga8820 3 жыл бұрын
nitaji kujuwa juya machine yaku koboa karanga
@plascidormilinga1318
@plascidormilinga1318 3 жыл бұрын
Mbona hiyo namba uliyotaja sio ya sido
@benjaminndelwa8797
@benjaminndelwa8797 2 жыл бұрын
Izo zippo zakanga
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 164 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 15 МЛН
SIRI YA KUMILIKI KIWANDA KWA MTAJI WA KUANZIA MILIONI SITA
18:20
TanTrade Tanzania
Рет қаралды 25 М.
Jamila, mjasiriamali aliyejikita katika uzalishaji wa unga.
22:28
UNATAKA KUANZISHA KIWANDA? Kuna hii ya fahamu kutoka TPSF
4:54
Millard Ayo
Рет қаралды 7 М.
Felder AD 751 PRO 20" Jointer Planer Combo Machine
3:37
The Equipment Hub
Рет қаралды 1,4 МЛН
BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA
12:30
He Used All The Sauce On 1 Slice Of Pizza🤪😂
0:12
BorisKateFamily
Рет қаралды 34 МЛН
Откуда эти паучки??? @zackdfilms - автор анимации.
0:29
Время знаний
Рет қаралды 3,6 МЛН