Maashallah jazaakallahul kheyri Sheikh othman Maalim baaraka llahu fiyka kwa hakika ni elimu isio na kikomo
@jumamohamed628 Жыл бұрын
Maa shaa Allah darsa nzuri sana yalea nyoyo
@jojobrayan1551 Жыл бұрын
My favourite ever from canada we love you ❤
@aminafesaliaminafesali8105 Жыл бұрын
Wallah sijajuwa kama sheikh othman alikuwa oman 😢subhan allah 😭 kwanini imenipita hii ziyara yake maana hakuna sheikh anaye itafsir quraan kwa haq nihuyu mbaba othman maalim Allah akuhifadhi insha allah yarab
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Jazaka ALLAH kheri
@shinayzashiraaz4588 Жыл бұрын
Jazakumullah kheir
@ahmedhamisi328 Жыл бұрын
Masha Allah shekh wangu shukurani Sana Kwa mawaidha muimu Sana in shaallah mwenyezi mungu akuifadhi shekh wetu na akuzidishie umri ili uzidi kutupa elimu
@jumamohamed628 Жыл бұрын
Ni sharaf iliojo kupendeza kama huyu bwana
@gallibmhammed8971 Жыл бұрын
Nataman sana kukutana na huyu sheikh. Anaeweza kunipa namba yake plz
@maryammohammed8924 Жыл бұрын
Nakupendeni kwa zote tumo kwenye kufaidika na neema hii ya mawaidha na pia ziara hii ya sheikh in Oman Hakika tunaendelea kufaidika Hakika tumesikia tumetii