"Sijafukuzwa Simba" - Mzee Kilomoni aibukia kwenye harambee ya Yanga, atoa mchango (KUBWA KULIKO)

  Рет қаралды 50,347

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@selemanmtipu6644
@selemanmtipu6644 5 жыл бұрын
Like kwa mzee wetu
@eddynyaki5539
@eddynyaki5539 5 жыл бұрын
Safi sana timu ya wananchi
@suleimanchonya7736
@suleimanchonya7736 5 жыл бұрын
Hongera kwa ukomavu wako wa kimichezo.
@Digitalhhhhhgfgg
@Digitalhhhhhgfgg 5 жыл бұрын
Ukomavu gani yanga ndo mnamshawish aongeee masikill in hata vitu ambavyo hana uwezo navyo yanga wakati huo umepita mgetafuta njia mbadala sio iyo ndo kawadhamin kwa laki moja amekuwa mdhami. Wenu sasa
@muslimkiluwa3814
@muslimkiluwa3814 5 жыл бұрын
Suleiman Chonya kweli kabisa
@hamadeddy8089
@hamadeddy8089 5 жыл бұрын
Kilomon oyeeee katika fomu yake
@simbamaduhu1600
@simbamaduhu1600 5 жыл бұрын
Acha unafiki mzee
@harrisonselenga5289
@harrisonselenga5289 5 жыл бұрын
Mh!!mzee Kilomoni huko Yang's tena!!??
@chazroochazroo657
@chazroochazroo657 5 жыл бұрын
Kwani hapa humeenda kuongerea habari ya Simba au yayanga embu changia juko
@abdulichikuti2669
@abdulichikuti2669 5 жыл бұрын
Anazinguwa huyo mzee
@lazackbrown1645
@lazackbrown1645 5 жыл бұрын
Yanga itakuwa ni Timu Tishio sana Afrika kwa Mwendo huu wa uzalendo
@shukrankifyasi1500
@shukrankifyasi1500 5 жыл бұрын
Lazack Brown kabisa
@issaseleman4337
@issaseleman4337 5 жыл бұрын
Miaka elfu mzeee
@mutalemwagabriel2277
@mutalemwagabriel2277 5 жыл бұрын
Mzee chilomoni ameenda kuomba wanacho kiomba yanga 😂 😂 jamani huyu mzee ana njaa aisee Ni balaa, yanga msimpe chochote maana na nyie Ni omba omba, Ni ushauli tu😆😆😆😆😆
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 5 жыл бұрын
Hati umetembea. nayo? Angalia wataiiba
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 5 жыл бұрын
Moja ya kudharauliwa kwa wazee km hawa nikuendekeza tumbo, tumbo umeweka mbele kuliko huoni hao mazwazwa wenzako wanaulizia hati ya Simba..kwan Manji alirudisha ile ya Yanga!Au mmelewa unga km kawaida yenu hadi kuweka mito matumboni km wajawazito Alf mijanaume mizima
@erickchande2544
@erickchande2544 5 жыл бұрын
Jitafakari vizuri wewe unaesema katoa kidogo wewe umetoa nini sisi wana yanga tunashukuru kwa chochote alichojaliwa kutuchangia
@muslimkiluwa3814
@muslimkiluwa3814 5 жыл бұрын
Erick Chande good
@barakamesfon2615
@barakamesfon2615 5 жыл бұрын
Ajari
@BontamLee
@BontamLee 5 жыл бұрын
Mnafiki wewe,mkazi wa DSM,na wanaokaa nje ya DSM,wasemeje?umechanganyikiwa.
@gaykazimoto1419
@gaykazimoto1419 5 жыл бұрын
Kilomoni hukundiokuzuri kuficha hati nyumbani mikiawataandama
@mjakajuma5574
@mjakajuma5574 5 жыл бұрын
Mzee okoa simba isiuzwe maan
@kusekwasita1576
@kusekwasita1576 5 жыл бұрын
Krb kilomoni
@issackmadata1080
@issackmadata1080 5 жыл бұрын
hogeleni Yanga kwakumsajili mzee kilomoni
@buyukubwa9713
@buyukubwa9713 5 жыл бұрын
Wewe yanga
@yusufushija629
@yusufushija629 5 жыл бұрын
Wewe Mzee mwenzangu ulikuwa wapi?wakati Sjmba inasuasua?
@rodicostantino7278
@rodicostantino7278 5 жыл бұрын
hati yako ya simba nimekuwekea kwenye koti yakijua umekuja Huku yata iba hayajawahi kua naakiri
@muhidiningamba2572
@muhidiningamba2572 5 жыл бұрын
Usajili mpya anaenda kusaidiana na akili mali mawinga hao
@barakamfugale1049
@barakamfugale1049 5 жыл бұрын
Mchepuko yuko na hela yake Nyie mpaka muombe mpewe ndo mkachepuke c utakuta kasha chepuka mpaka na mkeo
@emmanuelgabagendi3169
@emmanuelgabagendi3169 5 жыл бұрын
Mzee ludi tu yanga
@mariamzuheir4278
@mariamzuheir4278 5 жыл бұрын
Emmanuel Gabagendi : WW HAUJATUMWA NA MABINGWA WA NCHI NI NJAA KUFUATILIA BAKULI LA MISAADA HUKOO.
@Digitalhhhhhgfgg
@Digitalhhhhhgfgg 5 жыл бұрын
Et mdhamin wa simba unadhamin yanga nenda ukooo sasa laki moja ikamsajili mchezaji gani uyuu mzeee daaah
@lazarojr8923
@lazarojr8923 5 жыл бұрын
Wew mdhamini wa Familia yako sio simba
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 5 жыл бұрын
Mnafiki tu hana lolote anatafuta pa kupenyea tu..simba unazan ya kwako..maneno kibaaaaao.
@yusuphamani72
@yusuphamani72 5 жыл бұрын
Naona maneno ya njaanjaa tu mzee sijui umefata msosi au unataka kusajiliwa
@histonezekiel8054
@histonezekiel8054 5 жыл бұрын
Anataka wenyekiti
@mohammediallykaboza5862
@mohammediallykaboza5862 5 жыл бұрын
MZEE ushauli tu achana na mambo hayo ya media
@issamwiyombo8253
@issamwiyombo8253 5 жыл бұрын
inaonekana leo ukikuwa huna hela ya kula ndo mana upo hapo
@barakamfugale1049
@barakamfugale1049 5 жыл бұрын
Juma shomari inakuhusu hii comment ya mchepuko
@Digitalhhhhhgfgg
@Digitalhhhhhgfgg 5 жыл бұрын
Haaaaaa kumbe mzeeee anatumiwaaa na yanga ndo maana wanamshawishi afanye mambo ya ovyooo kabisaaaa
@barakamfugale1049
@barakamfugale1049 5 жыл бұрын
Lilienda kuongeza ujuz wa umbeya
@fabianfaustine444
@fabianfaustine444 5 жыл бұрын
Hawa wazee wanaharibu timu zetu
@allysinkallah1639
@allysinkallah1639 5 жыл бұрын
Tena uishie uko uko mnafiki mkubwa wewe
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 5 жыл бұрын
Mzeee muhuni wewe huna kitu chochote achia vitu hivyo
@simionraphael8382
@simionraphael8382 5 жыл бұрын
Toka hapa ndo wanao kutuma kutuvuruga
@tatunyambala294
@tatunyambala294 5 жыл бұрын
njaa inakusumbua wewe si mdhamini jiangalie kwanza
@alhajimbaga4062
@alhajimbaga4062 5 жыл бұрын
Huna jipya ww malaya
@MohdAli-mi8wv
@MohdAli-mi8wv 5 жыл бұрын
Yebo yebo mwakani mpewe tu kombe lenu kwa straika kilomoni hamkamatiki!!
@histonezekiel8054
@histonezekiel8054 5 жыл бұрын
😆😆😆
@aminamsimbe5806
@aminamsimbe5806 5 жыл бұрын
Kuna mshabiki mmoja wa simba anasema yanga ni matonya lakini iko siku atatamani mambo yetu huyo wanaemtegemea ni mtu mmoja tu simba wote ni ziro wanategemea baniani halafu wanatamba eti wana pesa wametoka bongo lala watarudi bongo lala
@maulidmango1087
@maulidmango1087 5 жыл бұрын
Vipi kuhusu manji walikuwa wangapi, Timu hizi zinapokelezana matatizo, Tulikua na ukata lakini hatukutembeza bakuli
@jacobmsiganga4121
@jacobmsiganga4121 5 жыл бұрын
amina msimbe huna jipya wewe
@andersonkinoga6385
@andersonkinoga6385 5 жыл бұрын
Mzee unatapatapa hiyo hati utatoa tu, hao wanaokudangaya kuwa hati usitoe utavunjiwa heshima yako mzee.
@adrianondumbaro3933
@adrianondumbaro3933 5 жыл бұрын
Huna lolote unatafuta sapoti tu. Usilete ujinga wako
@kyambarungwe4453
@kyambarungwe4453 5 жыл бұрын
pumbavu ww mzamini wa kuku au shenzi
@barakamfugale1049
@barakamfugale1049 5 жыл бұрын
Hawana mdhamin kwanin ucwe mdhamin wao.
@ibrahimmwansasu3432
@ibrahimmwansasu3432 5 жыл бұрын
Baraka Mfugale hawana shida hyo sasa kama waliomp hati
@barakamfugale1049
@barakamfugale1049 5 жыл бұрын
Maana Matonya FC ndo tim unaongea kwa umbeya
@jumashomari2404
@jumashomari2404 5 жыл бұрын
Bora kuwa matonya kuliko kuwa mchepuko.
@adrianondumbaro3933
@adrianondumbaro3933 5 жыл бұрын
Pumbavu wewe MZEE kilomoni..unajipendekeza tu labda unataka kuwaambukiza ujinga wako.
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 6 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 32 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,5 МЛН
MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 17/10/2024
49:06
Azam TV
Рет қаралды 4,6 М.
KARIAKOO DERBY | Kocha Simba asema wamewasoma Yanga
8:41
Azam TV
Рет қаралды 1,6 М.
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 6 МЛН