Shangazi umekula Shule katika field yako. Nakupenda Shangazi.
@amaniamani63912 жыл бұрын
True speak 100% fact shangazi Natura justice haki ya msingi ya kujieleza
@ericklaura75112 жыл бұрын
Shangazi is one of few individual that must be protected kwa gharama yoyote ile, anatema madini matupu , I love her audacity👏👏👏🌷
@salimamourhamad8607 Жыл бұрын
Mama Tatma karume, ww unatisha, ukweli na uwaziy, ww Ni kibokoyao, msimamowako uwefunzo kwawasiojitambua, Towa doziy mungu Akulinde,
@lulually52092 жыл бұрын
Aunty fatma ww ndio malkia wa nguvu Tanzania bara na visiwani bigup mama lao 💪💪
@ashirawaziri31952 жыл бұрын
Shangazi yupo vizur jamani kwenye sheria mama Samia mrudishe fatuma jamani kazini
@oyay28212 жыл бұрын
Shangazi Fatma ni mbobezi katika masuala ya sheria, ni aibu serikali ya Tanzania kumfungia mwanasheria huyu haki yake ya kufanya kazi za kisheria
@joezeno82 жыл бұрын
Kibaraka huyo
@haroldtarimo31152 жыл бұрын
@@joezeno8 mbona wewe ndio kibaraka namba moja
@oliviaseth46522 жыл бұрын
FATMA ANGEKUWA MWALIMU NINGE FAURU MITIHANI YA DARASANI.
@josephandrew34442 жыл бұрын
Kweli nampenda sana fatma karume
@bekaashbai17812 жыл бұрын
Hapa kazi ipo mama nakubali coming raisi
@kapondamsita4762 жыл бұрын
Shangazi yupovizuri
@Pedeshee012 жыл бұрын
Ana chura?
@G.r.e.a.t.I.Q2 жыл бұрын
Fatma, do you have issues with Tanzania Government? Do you think you can fix "them?"
@ibrahimandrew848 Жыл бұрын
Huyu shangazi ni mpenda haki na msomi nguli wa sheria mwenye misimamo yake.Nashangaa kwa nini SMZ Isimpe uwaziri wa sheria na katiba au Ujaji mahakama kuu Znz.
@ahmedissa78822 жыл бұрын
I love you shangazi
@rosemery5422 жыл бұрын
Fatma unalalamika kuhusu msukosuko ya dunia ya akhera utafanyaje? Hutaki kufanya anayoamrisha Allah. Jistiri ndugu yangu. Adhabu ya Allah ni kali sana
@buuwahiid28982 жыл бұрын
Tumuombee duwa mungu amuongoze
@rosemery5422 жыл бұрын
Aamin Ya Rabbi
@buuwahiid28982 жыл бұрын
@@rosemery542 tuombe mwisho mwema
@johnsonbagambi19082 жыл бұрын
Uyu dada yuko vzr
@ibrahimkibira99432 жыл бұрын
I like her 🥰
@richardjonas92172 жыл бұрын
Kweli maisha ni safari ndefu wewe sasa bado upo na walio kufanyia mbaya wengine walisha tangulia kwenye mwanasheria Mkuu zaidi
@musasabuu28082 жыл бұрын
Mama Yuko vzri
@zeinababdi47572 жыл бұрын
This is the problem with African countries, when someone is an expert in their field are treated like criminals, why take away her license?
@judyngowi3912 жыл бұрын
Mwanamke ana akili sana huyu, Mama Samia, fanya jambo kwa huyu mwanamke mwenzetu
@chamimdesa148 Жыл бұрын
Huyu siyo mtoto wa karume, asingetetea ushoga
@Jane-l5z5 ай бұрын
Ushoga nini? Hajatete bali yeye anachofahamu kisheria ni haki za binadamu.shoga maana yake nini?
@ruqaiamohammed3452 жыл бұрын
Nilijua Celine dion kumbe ni fatma karume 🙄🙄
@alliymohamedalliy65242 жыл бұрын
😂😂😂
@ruqaiamohammed3452 жыл бұрын
@@alliymohamedalliy6524 🤣
@enezermwafrica74432 жыл бұрын
Fatma Karume ni Hazina ya Taifa, ni vile tu hatutaki kuukubali ukweli huu, lkn kadiri siku zinavyoenda tutaelewa tu.🤷🤷
@ahmadajafari882 жыл бұрын
Huyu Fatma Karume Anafaa aolewe na Tundu Lisu wanatumiwa na wazungu kwa manufaa yao
@oliviaseth46522 жыл бұрын
Fatma una akili nyingi mno yaani Tanzania ina vunja sheria, inavunja katiba.
@Pedeshee012 жыл бұрын
Ana chura?
@amanimusa57442 жыл бұрын
Bongo hamna serikari
@zeinababdi47572 жыл бұрын
In Tanzania how many people are in positions they are not qualified for? Fatma you must be in the wrong world honestly.
@jferuzi52222 жыл бұрын
Ni kweli unavyosema, lakini bado anayo haki ya kukusoa. Tutakwenda mpaka lini kwa mazoea tu; kama kuna jambo linakosewa, hata wewe unayo haki ya kukosowa. Hayati Magufuli aliwafukuza mamia ya watu wenye uzoefu wa miaka 10-20, kwa sababu hawakuwa na vyeti. Maana yake hawakufaa kuweko pale. Je wewe ulikuwa upande gani kwenye suala hilo: wa magufuli au wa wafanyakazi?
@ramadhanmussa673 Жыл бұрын
Nyinyi mnompenda huyu fatma nyote mashoga washenz
@malkavoice25702 жыл бұрын
Serikali yetu haina wasomi waelewa imejaa wasomi wa kuunga unga tu ili warithi nyadhifa za wazazi,walezi,ndugu n.k na ndiomaana mpaka kesho wafanyabiashara wadogo tz wanaamini hadi chuma ulete.
@adam-saffi2112 жыл бұрын
You will be waiting for 6000000 years kupata haki, no such a thing hapa bongo
@joezeno82 жыл бұрын
Kibaraka huyo hana lolote
@gracekagoma32312 жыл бұрын
Fatuma ondoka kwenye media unatupoteza wewe.Ondoa Kasumba yako.Nina marafiki very close to me,maana yake nini.Very similar nk.Huyu tofauti yake na Lissu Hakuna kabisa.Wivu Tu Kwa Mama Samia.Shukrani hana.Roho mbaya huyo
@adam-saffi2112 жыл бұрын
Shangazi, which planet are you? Do people in bongo need experience & knowledge to any position, not in bongo. Haki, are you serious!
@jferuzi52222 жыл бұрын
Naamini ulilalamika hivi hivi kwa Hayati Magufuli alipowafukuza mamia ya watu wenye uzoefu makazini, kwa sababu hawakuwa na vyeti. Maana yake hawakuwa na sifa za kufanya kazi hapo. Kama hujalalamika, basi hii itakuwa ni "double standard "