SIKU 10 ZA MAOMBI | BALI WEWE USALIPO... | MCH. DAVID MMBAGA | SIKU YA KWANZA (1)

  Рет қаралды 8,188

SDA Church Magomeni

SDA Church Magomeni

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@mrsmobisa
@mrsmobisa 9 сағат бұрын
Asante Pastor Mmbaga Hakika Yesu ni Bwana.Utukufu kwa Mungu.!!
@Tnaelias
@Tnaelias 8 күн бұрын
Kwa MAOMBI haya siku kumi mungu niinue nipate kazi na mume
@Princess-vp3qb
@Princess-vp3qb 12 күн бұрын
In this ten days of prayer, dear God do not pass me by. Amina
@Tnaelias
@Tnaelias 8 күн бұрын
Mungu baba nisaidie nipate kazi na mume
@VivianShayo
@VivianShayo 15 күн бұрын
Namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kusikiliza naomba Mungu ajibu maombi yangu leo
@godlivermkono2231
@godlivermkono2231 15 күн бұрын
Nami Mungu anijalie afya njema nina shida ya uti wa mgongo
@JenniferMsese
@JenniferMsese 9 күн бұрын
Nabarikiwa sana
@JenniferMsese
@JenniferMsese 9 күн бұрын
Kwenye maombi haya ya siku kumi mungu nisaidie nipate mchumba
@CartasAbelCharles
@CartasAbelCharles 15 күн бұрын
Nabarikiwa sanaa katika siku kumi hizi za maombi na ni Imani Mungu ataenda kutenda kwa ajili ya mahitaji yangu ndani ya siku izi kumi tusikosee mibaraka hii ni Mungu TU pekee ataenda kutenda kwa utukufu wa jina lake
@jmunene359
@jmunene359 15 күн бұрын
Asanteni wapendwa naomba tafadhali zote tujiunge na maombi ya siku kumi mwaka, kama tumezoea kukosa wengine this time tusikose, Bwana yesu yu karibu ❤
@linethowire7031
@linethowire7031 12 күн бұрын
ASANTE Mungu nimeipata uponyaji mkubwa WA NAFSI❤
@Whynot123boss
@Whynot123boss 16 күн бұрын
From kenya watching replay from Lebanon 🇱🇧 mungu atanitendea katika hizi siku kumi the pain have been feeling can't be compared with the joy am going to receive in this 10 days of prayer 🙏 mungu niko hapa nitazame masikio yako yanasikia sikia kilio changu mumgu kwa wakati upendekezayo
@MariaShehemba
@MariaShehemba 15 күн бұрын
Mungu wetu ambaye ni upendo atakutendea mpendwa
@SebastianChediel
@SebastianChediel 15 күн бұрын
Kwa mujibu wa marko 11:24 na matayo 7:7 Mungu wetu atakutendea yeye hakawii wala hachelewi yuko kwa mda omba san kwa bidii ukijua kwamba mafanikio yetu yamebase sana kiroho zaidi heri ukose vya dunia lakini usimkose yesu Mungu akubariki sana 🎉
@SebastianChediel
@SebastianChediel 15 күн бұрын
Habari
@Whynot123boss
@Whynot123boss 15 күн бұрын
@SebastianChediel Amen amen amen asante sana kwa kifungu barikiwa zaidi na tusidi kuombeana kila na wakati mungu awe nawe
@kadzocharosilver411
@kadzocharosilver411 15 күн бұрын
Nsuru mungu nabarikiwa nikiwa Saudi Arabia lakini nimukenya nasikia wepesi ndani ya mwili wangu
@LaurenciaJac
@LaurenciaJac 15 күн бұрын
Nimemarikiwa sana somo la jana mungu amubariki sana mchungaji Devid mmbaga amina
@Nona-k1b
@Nona-k1b 15 күн бұрын
Iyeyo
@DominicDeonatus
@DominicDeonatus 15 күн бұрын
It's fantastic lessons from Sabbath facilitators there forever let's join together inorder to archive a goal
@judithsichone7047
@judithsichone7047 16 күн бұрын
Tuwakumbuke ndungu marafiki jamaa tuwaombee wawe imala kwajina layesu 🙏🙏🙏
@happinesedward625
@happinesedward625 14 күн бұрын
Ndoa yangu sasa Ina amani Mungu ametenda kupitia siku hizi 10 za maombi mme wangu alikua paka ananfukuza ndugu wa mme pia waliingilia ila sasa kuna amani jina la Bwana litukuzwe
@Anastazia-b2g
@Anastazia-b2g 15 күн бұрын
Amina naomba namba tutume maombi
@etridaelias853
@etridaelias853 16 күн бұрын
Nimebarikiwa nikiwa Oman Sana na nimepona ganzi katikati ya Ombi la Pr.Mbaga. Mungu aliyeniponya aendelee kuinuliwa
@godsonsingo3379
@godsonsingo3379 16 күн бұрын
Mungu atukuzwe
@godsonsingo3379
@godsonsingo3379 16 күн бұрын
Mimi pia nimepona, Mungu ni mkubwa
@JonathanJohn-o4z
@JonathanJohn-o4z 15 күн бұрын
Amen
@mosesmuganga2724
@mosesmuganga2724 16 күн бұрын
Amen and Amen
@esthersalim1616
@esthersalim1616 15 күн бұрын
Sioni number yoyote hapa
@MfarijiMarco
@MfarijiMarco 15 күн бұрын
For watching Kerwa Rwensinga
@mgtanzania9834
@mgtanzania9834 16 күн бұрын
Nimebarikiwa na somo la leo, muweke namba hapo maan nahitaji kutuma ombi mniombee
SIKU 10 ZA MAOMBI | BALI WEWE USALIPO... | MCH. DAVID MMBAGA | SIKU YA PILI (2)
1:42:35
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
🔴🅻🅸🆅🅴 : SIKU 10 ZA MAOMBI 2025 || MCH. DAVID MMBAGA - SIKU 2
2:27:36
Jejeson Creative Studio
Рет қаралды 2,5 М.
SIKU 10 ZA MAOMBI | BALI WEWE USALIPO... | MCH. DAVID MMBAGA | SIKU YA TATU (3)
1:15:34
MAMBO YA AJABU USIYOYAJUA AMBAYO YATATOKEA HIVI KARIBUNI | ASKOFU GWAJIMA
56:45
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 197 М.
🔴 #LIVE 11.01.2025 | MUNGU ANAPOCHELEWA KUJIBU | PR.DAVID MMBAGA
2:10:25
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН